Тёмный

USAJILI MPYA WA STRAIKA WA SIMBA NI BALAA| WAZEE WAUNGANA KUMPINGA GSM HATUMTAKI TFF WAANGALIE 

Maximum Tv Online
Подписаться 452 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 159   
@user-px1gd4de7k
@user-px1gd4de7k Месяц назад
Simba nimeifuatilia Sana, tangu ianze pre season hd sasa kuna maeneo iko imara yaani ni zege, kocha kaimarisha eneo lote la ulinzi kiasi kuwafunga ni kazi ngumu. Hata ikitokea wkirusu ka goli ka moja huenda baada ya mechi 10. Eneo ambalo linasukwa ni mbele tu hawa jamaa wakicheza mechi 3 tu watakuwa wameingia kwenye mfumo kwani mapungufu Yao ni kidogo Sana na wanashinda mtalia hp baadaye midomo yenu itawaponza
@FintanBlasius
@FintanBlasius Месяц назад
7:47
@FintanBlasius
@FintanBlasius Месяц назад
9:41
@saimonntani6831
@saimonntani6831 Месяц назад
Umesema kweeli ndugu. Sema wakisha zoweana vizuri watu watatapika pale kwa mkapa
@ferejifaraji8644
@ferejifaraji8644 Месяц назад
nikweli kabisaa
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej Месяц назад
Yaani baba msema ukweli nimekupenda sana shabiki mwenzangu
@FabiolaTriphon
@FabiolaTriphon Месяц назад
Tumekuelewa babayetu kikubwa sisi wanasimba tunaonakama tff imeshikwanayanga na haiwezekani mwekezaji mmoja kuzamini timu 8kwamaanaizozote atakuwa napointi 38tunaona anatengenezewa mazingila,klabu bingwa kilamwaka anapata timu ijeicheze lupaso nyumbani naugenini wakati kwao akunatatizo nikutengenezewa mazingila
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi Месяц назад
Kweli huyo gsm ana haribu sana ligi yetu hii sio siri.
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 Месяц назад
Father hilo swala ulilolizungumza la huyo muwekezaji ni sawa kabisa anatakiwa asiwe na team
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn Месяц назад
We inakuaje kweli bwana anawekeza kwenye timu 5
@SaidySaidysalum
@SaidySaidysalum Месяц назад
Costor union ni Mali ya GSM. Na marefa ni GSM. Simba tupambane kivyetu🦁🦁🦁💪💪💪💪
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Месяц назад
Ninafurahi sana kuona haya ya gsm Tena ikiwezekana tuandamane au tuulize fifa sheria inasemaje mtumoja kumiliki timu zaidi ya 6
@BakaryOmally
@BakaryOmally Месяц назад
@@Esterkomba-ef7eb unakanyagwa kweli wewe
@benwellyrichard6197
@benwellyrichard6197 Месяц назад
Anadhamini GSM hamiliki timu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
​@@BakaryOmallyMSENGE WEWE
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
NI HAKI YAO SIMBA KUULIZA CAF NA FIFA KAMA INARUHUSIWA SIMBA HATUSHINDWI KUDHAMINI TIMU ZOTE FEDHA SIMBA TUNAZO
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Месяц назад
SIMBA SPORT CLUB 🎉🎉🎉❤❤❤WAKALI WA KARIAKOO
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga Месяц назад
Mkitaka hameni ligi hii, tume hoka visingizio vyenu, mara oohh bahasha,mara oohh gsm, oohh mara marefa, oohh mara kiwanja cha azam na taifa vina majini, tumechoka hameni mwendeni zanxibar au kenya, Uganda.
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v Месяц назад
Simba wameamuwaaaa na bdo wafungaji hata wa 5 wafike nisawa tu kikubwa wawe wataalam wa kulenga golini ❤❤❤ mo dewji Mlete Mayele ama Fei toto kwa gharama yeyoteee
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Месяц назад
Onaulivyo kosa hekima unapenda kwenye matusi baada ya kujenga hoja ndiyo maana wenyewe Akili yanga wawili tu.
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Месяц назад
Ni bora tuu ligi iitwe GSM Premier league
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Месяц назад
Safi sana, big up , umesema kweli
@RobertHaule-k5p
@RobertHaule-k5p Месяц назад
Azam wanafadhili ligi na wanamiliki timu ya Azam FC. Pia nao wajitoe kumiliki timu
@TunuAdam-gc9rc
@TunuAdam-gc9rc Месяц назад
Tofautisha kufadhili na kumiliki
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Месяц назад
Simba wakati anachukua kombe mara 4 mfululizo timu nyingi hazikuwa na uchumi mzuri ilifika kipindi mpaka baadhi ya timu za mikoani walikosa nauri za kusafiria kwenda kucheza mechi simba ikatumia udhaifu huo kutawala ligi leo hii ligi inaushindani wanataka kuturudisha nyuma
@davidmangole-z1z
@davidmangole-z1z Месяц назад
unardixhwa nyuma kvp mdhamini mmoja haruhusiwi kudhamini timu zaidi 1 inayocheza ligi Moja mf fly Emirates,anadhamini Arsenal,Ac Milan,PSG,na real Madrid je unavyoona apo zinacheza ligi moja
@HildaRugee
@HildaRugee 25 дней назад
Baada ya simba kuongoza misimu4, then mnavyochukua ninyi mara3, kuna timu gani Katie ya hizo ambazo hazikua na nauli zimeonesha ushindan ktk kuwania ubingwa'.
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 Месяц назад
Safiii Mzee wape hao
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 15 дней назад
Nayy Anahonga Timu Ya Azam Ishinde Hy Bakhresa Mwenye Simba Mwanachama Na Kadi Anayo Kaifadhili Sn Simba Mpaka Leo Bakhresa Simba Damu
@Singa-stv
@Singa-stv Месяц назад
Ukiangalia Kwenye uwekezaji au Mzamini watimu duniani kote Uoni wanawekeza zaidi yatim moja
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 Месяц назад
na zile ambazo zina kamia ziko chini ya gsm na ndoo jipu kubwa kwa sasa katika mpira wa tz
@SaidySaidysalum
@SaidySaidysalum Месяц назад
GSM ni waoga ndio mana Wana tm 6 kwenye league Moja. Mo yeye ana tm 1ongera mo ww ni jasili sn.
@KihangoIsmail
@KihangoIsmail Месяц назад
Msenge mwenyewe unaetukana wazee
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 Месяц назад
Umeona hicho kitoto cha 2000 hata kuamkia mtu mzima kama huyo kimeshindwa
@user-gs2ir3bg4j
@user-gs2ir3bg4j Месяц назад
Kwaujunga unao fanyika kwa katika lingi yetu GSM kuzamini timu zaid ya6 uuniupumbavu wahali yajuu duniani kuna ujinga uliopo katika ligi yetu yewezekana TFF kunakitu wanapata kwa GSM tunaamini kwailo
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 15 дней назад
Hiyo Inaitwa Roho Mbaya Mnamuonea Choyo Kwani GSM Aliepewa Kapewa Hapokonyeki Hata Mkimchukoa Bure Mnajipa Dhiki Mwacheni Afanye Analoliweza
@irenemsangi7933
@irenemsangi7933 Месяц назад
Hivi Azam ye sio muwekezaji na anatimu yake?????!
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 Месяц назад
Wewe zwazwa Azam kawekeza TFF kwani azama kafanya mikataba na vilabu vyote vyaligi kuu ,Azam Ana mkataba na TFF HANA MKATABA NA VILABU
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 15 дней назад
Jamani Ee Mbona Maneno Yamekuwa Mengi Kwa GSM Eti Anadhamini Timu Nyingi Mbona Bakhresa Anatoa Pesa Kwa Timu Zote Zinazoshiriki Ligi Kuu
@abujumanne7570
@abujumanne7570 Месяц назад
Mzzee wangu mungu akupe maisha marefu umeongea yote yanayotakiwa kuongea
@kissanjulumi-vt3yl
@kissanjulumi-vt3yl Месяц назад
Mzee acha ushabiki wa unafiki azam na simba ni ndugu sasa yanga inakuwaje hatuna undugu na azam
@DadeSaide-qr7ti
@DadeSaide-qr7ti Месяц назад
Wewe ndo unafiki kuani usichoelewa kua nze ndo kipi nkuda chabiki andazi mchenzi.
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Месяц назад
Sasatff hiiligiikoje mbonasijawahi onavituhi hukombele waache hizo
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 27 дней назад
Wenye mpira wao wanamtaka Gsm nyinyi wengine porojo tu
@AlexMlaba
@AlexMlaba Месяц назад
Gsm Inahera ndiomaana wanawekeza mwambieni na mo awekeze
@user-vm2wk1mb4v
@user-vm2wk1mb4v Месяц назад
kwanza nawapongeta sana viongozi wetu wa Simba, msimu huu mmesikiliza kilio Cha Wana Simba, tunaomba Fred maiko abaki, chonde viongozi Fredi abaki Simba tunaimani na fred
@mussakingwande3694
@mussakingwande3694 Месяц назад
Simba nguvu moja 💪🏾💪🏾💪🏾🤣
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 Месяц назад
Chama alikuja Simba akiwa kijana,kaenda yanga akiwa mzee 😂😂😂😂
@HenryNdaigaTanzania
@HenryNdaigaTanzania Месяц назад
Kwahio mnataka timu zipate tabu, mpira pesa.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga Месяц назад
Andambwile atawafunga tena na timu yake haifadhiriwi na ngsm.
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Месяц назад
Mzee na kitu utafika mbali
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 Месяц назад
rushwa iliyokidhili hadi kuvimbilwa. Hayo ni baadhi tu ya athari. Bahari mbaya zidi pesa za rushwa haziwekwi banki .
@omaryshabani3480
@omaryshabani3480 Месяц назад
Bado hamjasema yani mpaka mseme...!!
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 Месяц назад
Azam anadhamini mpka ligi na analipa vilabu vyote na bado hamjasema
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba Месяц назад
Mlevi huyo
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Месяц назад
Azam hana tabu.tatizo lipo kwenye boss wenu anadhamin 6 na anakua ana uakika 36 point uu ni usenge unaofanyika tz .dunian kote akuna mdhamin anaedhamin team zaid ya moja kwenye nchi husika.tff wala rushwa
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 Месяц назад
Nyie msio taka Gsm adhamini timu zaidi ya yanga nyie nani mpaka muwape amri tff?
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Месяц назад
TFF ktk hili wanajikuta ni wa mchongo kabisa. Sanaa ni fitina ndio uendelee GSM lazima afanye figisu tu kumtoa mpinzani wake nje ya uwanja pitch kwao ni mazoezi tu
@AlexMlaba
@AlexMlaba Месяц назад
Achane unafiki Bakheresa awekeza na ana timu
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Месяц назад
Nyooo wee mzee ni mnafiki leo hii yamekuwahayo
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 Месяц назад
Ushamba tu, wanaacha tengeneza timu zao! Mnahangaika GSM eti asizamini timu zaidi ya moja, kuna kosa gani? Huko ulaya utakuta mzamini mmoja anazamini timu zaidi moja katika league moja. Kinachozuiliwa ni mmiliki mmoja kumiliki timu zaidi ya moja, kwenye ligi moja!!!
@billalicool9430
@billalicool9430 Месяц назад
Ulaya ipi
@billalicool9430
@billalicool9430 Месяц назад
Hakuna hiyo kitu Dunia kote
@sudisilako5468
@sudisilako5468 Месяц назад
jamani gsm inatufelisha kuusu uzamin
@RajabuRashid-df7dd
@RajabuRashid-df7dd Месяц назад
Waulizeni fifa tupate muafaka
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Месяц назад
Simba wasitupangie sheria za mpira wetu. Azam wanafadhili timu ngapi?Pale TFF mmejaa Simba watupu mbona hamsemi wapunguzwe tuweke wa timu zingine? Na kwa nini mnaolalamika ni simba tu na vilabu vingine vimekaa kimya ? Na kosa lenu ni usajili mbovu uliopelekea kufanya usajili mkubwa na bado mmekosea tena maama bado mnatafuta mfungaji. Shida nyingine ni kwamba badala ya kumsikiliza kocha anapenda wachezaji wa aina gani nyie mnasajili hata bila kumwajiri kocha , kocha anawakuta wachezaji waliosajiliwa na Mo. Mo sio kocha wala hawajui wachezaji wala mpira. Simba mmefungwa na Yanga mara tatu mfululizo kwani mnafadhiliwa na GSM? Mkubali kuwa timu lenu ni bovu acheni visingizio.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga Месяц назад
Mnasema uwanja wa azam na uhuru wameweka uchawi ili muwe mnafungwa, huo kweli ni uelewa kwa dunia ya leo? Mkacheze lgii ya zanzibar au kenya, football limewashinda hapa bongo, washirikina na visingizio kibau, msubirini andambwire wa prison ambaye hadhaminiwi na gsm awanyoshe ndani nje ndo mkome visngizio. Na mwaka huu kazi mnayo, mtapigwa na timu nyingi.Tatizo hamjitambui kuwa mna usajiri mbovu, mna porapora wachezaji hovyohovyo bila kujali bado wana mikataba na timu zao.
@robertphilip385
@robertphilip385 Месяц назад
Kwani GSM anazamini hata Kaiz au T Galex ? Mbona wana simba kamawameku mabwege? Sajilini wachezaji wa viwango
@HadijaBatoni
@HadijaBatoni Месяц назад
Una akili
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 Месяц назад
Daaah mtu mzima ila kolo ndo sbb anaongea ukolo na udunduka
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Месяц назад
Hasada haijawahi muacha mtu salama hivi kipindi mo ameweka udhamini wa mo coconut kwenye jezi ya namungo na coastal mlipiga haya mayowe au alizuiwa? Au aliacha mwenyewe?
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 Месяц назад
Simba ikishindikana tuhame ligi tu yuhamie Zanzibar
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Месяц назад
Khaswaaaaaaaaa
@mohameduliza7607
@mohameduliza7607 Месяц назад
Mzee muongo ww yanga na Azam hawawez kua kitu kimoja labda na nyie makolo
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani Месяц назад
Bakhresa ni mwanachama na mfadhili wa makolo
@BakaryOmally
@BakaryOmally Месяц назад
Mbona hamumsemi mo kutoa sadaka kwa jamii? Yanga inarudi kwa jamii kupitia gsm pengine dua za wahitaji nazo zinasaidia
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Месяц назад
Unaongea unazi.mtu akidhamin team zaid ya moja.kuna kua hakuna fair competition
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
OMARI MUUZA MKAA TULIZA KIJAMBIO HICHO
@AlexMlaba
@AlexMlaba Месяц назад
mbona bakheresa ameekeza na anatimu
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on Месяц назад
Umasikin wako ndo unakufanya ushindwe kumiliki vitu vingi si ukiona mtu anadhamini team nyingi ni kwamba ana uwezo mkubwa, so sisi watanzania kwa kuwa tunawaza kubebwa tu kubwabwaja na kuongea tumbo bila kufikili maendeleo
@jimmymhina1264
@jimmymhina1264 Месяц назад
Tatizo ninyie msiyo fuatilia mazungumzo siyo GSM kufadhili.Tatizo GSM ana fadhili lakini ana klabu yake pendwa Yanga, kudhihirisha hili ni pale anapo hojiwa na majibu Yanga bingwa.Sasa wewe ni baba wawatoto 7 kwanini umtaje mmoja ? Hata km ni bora km baba ubaki na lako moyoni. Sasa hivi 6 vingine maana yake ni sehemu ya kuchukuwa points tu .
@NzeyiwaboAbdul
@NzeyiwaboAbdul Месяц назад
Nampira wa kucheza. Na kipa. Sio mpira wanatuuzi mpira. Nikati. Sio kila mpira. Kucheza na kipa nihatari nakipa. Kila mda. Yupo mbele hadi. Mita 25huyo kipa ao streka
@anathshabani2952
@anathshabani2952 Месяц назад
Yaani nyie mtabaki kuongea wengine wapo wanajiimarisha zaidi mkianza kujijenga mtakuwa mmeshachelewa make amkeni nyie paka shume
@user-qo1sg1zd7c
@user-qo1sg1zd7c Месяц назад
Yeye mwenyewe kakukosakosa
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Месяц назад
GSM anahalibu Mpira wa Tanzania na hata tff ni wajinga sana
@Singa-stv
@Singa-stv Месяц назад
Apa kea giesim ame zidi😢
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 Месяц назад
Mzee nongwa tu huyu, ana wivu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
UTANIPA ILE KITU NAMESA MESA MWENSAKE??? 😂😂😂😂
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 Месяц назад
Wew ni gyant baba furahia sasa mbona unalia lia? Piga mara tatu na bado haturingi 😂😂😂 sisi ni wadogo tulia uone sasa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
UTANIPA ILE KITU NAMESA MESA MWENSAKE???😂😂😂
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t Месяц назад
Toka zenu timu lenu bovu visingizio haviishi
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Месяц назад
Wewe mwenyewe mbovu nyuma. au hujajiona???
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 Месяц назад
Shabiki maandazi 😂
@yaminijerome2054
@yaminijerome2054 Месяц назад
Kwani simba haifungwi na yanga? Huo ni mtazamo wa ovyo?
@mohameduliza7607
@mohameduliza7607 Месяц назад
Yule bado hajawa muekezaji yule ni mdhamini ndo mana anadhamini timu nyingi msiwe wajinga mbona Azam anadhamini timu zote za ligi?
@seydouside4081
@seydouside4081 Месяц назад
Tatizo ni elimu.. Azam .. anatoa pesa na timu yake imepigwa.. kwahiy timu zisipate pesa ili washindwe nauli ili muwe mnawalipia gest mpate ushindi.. ambiwe mzee Azam anatoa pesa kwa timu zote mbona anatota.!
@halidijuma1884
@halidijuma1884 Месяц назад
Azam ana sapoti ligi mbona kafumuliwa ,,,simba mwenyewe kafumuliwa 5, uzamini ni tofauti na umiliki,,
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
TUNAONGELEA MAMBO YA UDHAMINI USITULETEE MAMBO YA SIFA ZA KIJINGA KWANI NYIE MATOPOLO HAMFUNGWI??? FALA WEWE
@GODFREYKIPALILE
@GODFREYKIPALILE Месяц назад
wameanza na bado,tatizo wa simba hawajitafakari watachelewa sana,azam ana mkataba na vilabu vyote,emilates waliwahi kudhamini vilabu vyote england,mmeanza kuweweseka,mnajenga tim mulikuwa wapi ndiyo faida mlichelewa na kumtukana mangungu
@DanieliDgani
@DanieliDgani Месяц назад
Ujitambui mjomba
@geophreydamson6936
@geophreydamson6936 Месяц назад
kwani umeona emirate kajikita sehemu moja kama realmadrid arafu aseme ni bingwa ni real Spain msimu huu. kwasasa Sisi ni bora ndo mana hatuyaoni hayo ila nyakati na wao wakiwa bora na MO amewekeza kama GSM ndo tutajua kwanini huo utoto hautakiwi kuwepo.
@davidmangole-z1z
@davidmangole-z1z Месяц назад
timu gani tuambie we muongo mwaka gani
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
DAWA YENU MSHITAKIWE CAF NA FIFA KENGE NYIE
@CharlesSomeke-b5m
@CharlesSomeke-b5m Месяц назад
Mzee utufundishe imani ya dini acha mpira utusaidie kutufunza Mambo ya imani mpira acha
@gorettimtungwe9011
@gorettimtungwe9011 Месяц назад
Kama hujaelewa na kuamini dini Hadi unaweza kuandika humu hata akija marehemu Toka kuzimu hutaelewa, utamwelewa huyu?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
UNATAKA AWE KAMA MSENGE TITO SHABIKI WA YANGA ANATEMBEA MITAANI NA MSALABA UME ANDIKWA MSIFIRWEE AU 😂😂😂😂😂
@BINRESSA
@BINRESSA Месяц назад
Basi na azam asiwekeze kwenye soka tatizo simba hamjitambui washamba
@godfreyapolnary5856
@godfreyapolnary5856 Месяц назад
Kwani wamewekeza nini
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 Месяц назад
Tumia akili broo kuwekeza matangazo ya kuonyesha nakuwekeza pesa kwenye vilabu ili awayengenezeee jez nivitu viwili tofauti na mzamini wa matangazo ya kuonyesha mpira wetu
@BINRESSA
@BINRESSA Месяц назад
@@barutiabuu9492 haya sports pesa vp anafanya nn kwa sababu gsm sio mmiliki ni mzamini mjuwe mana sasa mshakuwa hamna pakukimbilia ndo mana poleni sana vibonde wetu cw
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 Месяц назад
@@BINRESSA sasa kama kweli ungekua na akili usingeongea utumbo spot pesa inamiliki timu gani kwenye ligi timu gani anaimiliki kama yake
@BINRESSA
@BINRESSA Месяц назад
@@barutiabuu9492 kwani nyinyi shida yenu nn amiliki au azamini mana hamueleweki mnataka nn makolo et ssa ilo lenu gere au
@LinusKyando
@LinusKyando Месяц назад
MALALAMUKO FC
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq Месяц назад
Mzee wangu tengenezeni timu ndio kitu cha msingi
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 Месяц назад
Babu ukamiwi Ila timu huna
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
KWA HUYO NYIE TU MATOPOLO MNA TIMU FALA WEWE
@stevenobure8241
@stevenobure8241 Месяц назад
Hivi kipindi kile cha sports pesa walipokuwa wadhamini wa simba Yanga Singida na namungo mbona hakukuwa na hizi kelele????
@HamzaHaroun-k4b
@HamzaHaroun-k4b Месяц назад
Soka letu limekua sio kama enz za sportpesa , GSM ana kwambia kabsa Yanga Bingwa kw sabab anajua anacho kifanya kwenye matawi yake
@davidmangole-z1z
@davidmangole-z1z Месяц назад
unakumbukumbu vzr wakati sport pesa anadhamini Simba yanga singida na namungo je GSM alikuwa anadhamini timu gani sport pesa ni main sponsor na ndo mana aliwekwa mbele je angalia vilabu xxiv vyote vina mvaa GSM hii inaleta ubabaifu wa matokeo kwa xx haliwezi onekana ila kwa badae tutaona clip zikird upande wa pili
@user-px1gd4de7k
@user-px1gd4de7k Месяц назад
Sio underdog tu ni vibonde
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 Месяц назад
Huyo bwana barakashea kavamia mpira wa miguu leo! Tangu lini Azam na Yanga wakawa familia moja?
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani Месяц назад
Kwani Mo Energy amezuiwa kuzifadhili hizo timu zingine??? Je Azam na Makolo wamepigwa kwenye mechi zao kwa kudhaminiwa na GSM?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
HAKUNA KANUNI HIYO KUDHAMINI TIMU NYINGI LIGI MOJA NGOJEA TUULIZE CAF NA FIFA NDIO MTATIA AKILI.
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Месяц назад
Waziache timu ndogo zipate wadhamini ili timu ziwe imara waache porojo
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 Месяц назад
Kwaiyo GSMkawekeza simba kadungwa kuliko timu zote
@sadih5333
@sadih5333 Месяц назад
GSM hua ana wekeza kwenye waamuzi zidi ya Simba
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
BONGO MAFALA WENGI SANA HASA MATOPOLO
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza Месяц назад
Msenge tu huyu ameona wamepgwa kwenye usajili Sasa wanhangaika kama bisi kwenye moto
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
UNAFIRWA WEWE
@bakarimkolwa
@bakarimkolwa Месяц назад
Ulivyokula 5 ulizaminiwa na gsm
@dinosiasa5600
@dinosiasa5600 Месяц назад
Ndio maana wakafukuzwa maduka yote
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
APANA WALIZAMINIWA NA MAMAKO 😂😂😂
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Месяц назад
Mzee familia moja kivipi? Acheni visingizio andaeni timu zenu!
@renatusrwezahura4967
@renatusrwezahura4967 Месяц назад
Kuna tatizo kwenye mashabiki wa Simba siyo Bure. Hili suala TFF wangelitolea ufafanuzi. Maana hawa mbumbumbu wameanza kabla hata ligi haijaanza na timu yao ni mbovu watatusumbua
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
MKUNDU WAKO UNA TATIZO SIO SIMBA
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
MKUNDU WAKO UNA TATIZO SIO SIMBA
@LinusKyando
@LinusKyando Месяц назад
KWANI HUKO SIMBA NA AZAM GSM AMEWEKEZA KWENU?MNAZEEKA VIBAYA,MBONA MNAFUNGWA@SIKU NA YANGA??MNGEPEWA RUSHWA?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
DAWA YENU TURIPOTI CAF NA FIFA NDIO MTAKOMA
@JamalBaswaten
@JamalBaswaten Месяц назад
Mbona wewe mashavu yananinginia wew na mpila wapi mwaka gani
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
ANA MTOMBA SANA MAMAKO LAZIMA YANING'INIYE CHOOKO WEWE
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
ANA MTOMBA SANA MAMAKO LAZIMA YANING'INIYE CHOOKO WEWE
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Месяц назад
Mzee acha upunguani.Wekeza ww kama una uwezo.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
HUJUWI KANUNI ZA MPIRA DUNIANI PUNGUWANI MUUZA GENGE WEWE
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Месяц назад
@@salimmalaka256 nendeni mkashitaki huko mnakoona mtapata haki ya mataahira kama ww.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
@yakobokuzenza6837 HASIRA ZA NINI PUNGUWANI TAHIRA MUUZA GENGE WEWE RUDISHENI FUNGUWO NYUMBA SIO YENU
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
@@yakobokuzenza6837 MZEE MAGOMA OYEEEEEE OYEEEEEE
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Месяц назад
@@salimmalaka256 Kuma la mama yako
Далее
TAKU SHOW 17 09 24
Просмотров 5 тыс.
Kimeumana: Acting IG Masengeli lands in big trouble
8:44