Тёмный

KAPU LA SADAKA LILILOKWAPULIWA NA MLINZI WA RAIS SAMIA LAZUWA BALAA ASKAFU MWANAMAPINDUZI 

Chadema Media TV
Подписаться 206 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 2 месяца назад
Wewe unaye mtukana asikofu kwani amekukosea nini mtumishi huyu wa MUNGU ? Kama ni kwa uchawa wako na chuki binafsi kwaajiri ya kuwatetea mafisadi wanao kuhonga kanga,fulana,na kofia na vipeperushi basi wewe ni mlaanika na ni wakala au ajenti wa kuzimu na shetani
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 месяца назад
Hongera sana Baba askofu kwa kuwafungua akili watu wa kanda ya kati ili waondokane na UTEJA na CCM.
@malebombike
@malebombike 2 месяца назад
Haa ni lini lais alingia na bodgani wa kiume mskitin
@DandasiKundi
@DandasiKundi 2 месяца назад
Asante sana askofu ila Tanzania vilaza ni wengi sana hawelewi kitu wasindikiza wenzao kwa sababu wengi hawana upeo.
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 2 месяца назад
AMAKWERI HAKILI NI NYERE KILA MTU ANAXAKE
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 месяца назад
Askofu Huyu nimukweli sana ndiyomaana maccm wanamu hukia nimefatlila comment humu baadhi nizamachawa
@vitalisnyagali2774
@vitalisnyagali2774 2 месяца назад
Ukweli
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 2 месяца назад
Hakika maaskofu wote wangekuwa kama wewe mbinguni tutaenda na Duniani tutakuwa salama siyo mtuhubirie habari ya kwenda kwa mungu wakati Duniani haki hakuna shida kibao tutafika tumechoka sana huko mbinguni
@mtotowamanka
@mtotowamanka 2 месяца назад
TFT chanel ya kijani, yenye subscribers weng hv nkupe jero ya vocha🎉❤
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 месяца назад
Tunadaiwa na wasomali, hii ni kweli au propaganda?
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 2 месяца назад
Wewe mwenyewe hata hujui ni askofu Wakanisa gani liongo kama Nini wajinga ndio wanashangilia mwache tundulisu aongee mpagani wangu aongee siyo huyo fara kujitambulisha eti ni askofu harafu mwingi hivo
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 2 месяца назад
Wewe mwenyewe agent wakuzimu
@PaullyzmundaPaullyamunda
@PaullyzmundaPaullyamunda 2 месяца назад
Huyu askofu ni bora kabisa! Wengine wanasubiri nini? Hii sasa ndo kazi y Mungu, kuokoa watu wake wanao gandamizwa!
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 2 месяца назад
Askofu wa makanisa yakishetani
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 2 месяца назад
Hivi muulizeni huyu kichaaa ni askofu wa kabisa gani hata chadema hawajui ni askofu wawapi
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 2 месяца назад
Usiwe mjinga kama humpendi tafuta namna yingine ya kufikisha ujumbe
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 2 месяца назад
Mtu na akili yake badala ya kuzungumza mambo ya maana anazungumzia kapu ambalo hatayeye SAMIA hajui nikwa ninikakwapuliwa haya mlinzi wakiume kuingia mskitini badala ya waislam kuchukizwa unalalamika wewe kama siyo chuki binafsi ? LIMEKISA WAUMINI LINATAPATAPA KWAKUKOSA SADAKA
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 2 месяца назад
Fidel ludemwa wewe niajenti w a kuzimu na ni wakala wa shetani ,hivyo wewe ni mlaanika
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 2 месяца назад
Askofu wa makanisa gani labda kabisa la shetani
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 2 месяца назад
Shetani ni wewe mwache asikofu wetu
@EnockKanduli-cv8yr
@EnockKanduli-cv8yr 2 месяца назад
Shetani niwewe
@TumtukuzeMbise
@TumtukuzeMbise 2 месяца назад
Ivyo akiwa ccm ni halali Ila akiwa na wapinzani ni wakala wa shetani mbona Kama mna matatizo ya akili maccm?
Далее
Добрая весть 😂
00:21
Просмотров 536 тыс.
Holding Bigger And Bigger Dogs
00:18
Просмотров 25 млн
У НАС ДОМА ЗАВЕЛАСЬ КРЫСА 🐀
01:00
MWAMBIGIJA AMVAA PETER LIJUALIKALI SUMBAWANGA
20:33
Просмотров 14 тыс.
MDUDE USO KWA USO NA LIJUALIKALI MBABE NANI
11:46
Просмотров 23 тыс.