Тёмный
No video :(

KASHESHE: WATOTO WAMSHTAKI BABA YAO/ BABA KANUNUA LAND ROVER MIL 3 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 253 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 488   
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 3 года назад
Mzazi huwa hashitakiwi mwache kabisa Mwenyezi Mungu atakupa alichokupangia usitafute laana
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 года назад
Dada utabeba laana bulee, achana hiyo kitu kubishana na mzazi, kaa tu mama yako, fanya kazi mungu atakubariki
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 года назад
Hapo we dada, acha kabisa kubishana na baba yako, we kama vipi chukuwa mama ukaishi nae tu.
@romanambelle6356
@romanambelle6356 5 лет назад
RC hajamwelewa huyu dada yeye kampa mzee fedha kwa kuwa alitaka kuuza eneo na kumwondoka mke wake arudi kwao ndipo binti akaona ni heri ampe baba hela ili mamake abaki hapo home. Sasa RC abamzingua huyo dada nahisi anamchanganya. Pili kwa nn asimwite Mtendaji amnyoshee maelezø kama hajaelewa.
@anordlazarolazaro8445
@anordlazarolazaro8445 4 года назад
Kuna utata milion 30 adi milion 3
@husseinchambau3015
@husseinchambau3015 3 года назад
Wewe ndo hujaelewa wanataka kunyang'anya baba eneo
@gracerichard8145
@gracerichard8145 2 года назад
Kweli kabisa huyo dada anamtetea mama asirudi kijijin kwao da!
@albashiridule9664
@albashiridule9664 2 года назад
Kabisa ,we ndo umeongea sawa ,ila yeye mkuu wa mkoa hajaelewa kite
@aminabugembe3708
@aminabugembe3708 5 лет назад
Familia zina mambo mengi sana,,,,,, kwa mtazamo wangu sio vzr kuweka mambo kama hayo public bora yamalizwe na koo ( familia husika)
@maedaabdul2155
@maedaabdul2155 2 года назад
Nyumbn watauwana bora serikali
@shebbybongo567
@shebbybongo567 5 лет назад
Dada wawatu anaongea point mkuu wa mkoa na watu wake wanaleta joke, tatizo kijana mwenzetu sio msikilizaji mzuri, hizi kampeni hizi.
@monicapatrick3816
@monicapatrick3816 4 года назад
Wazee wamekuaje jamani Mimi baba yangu ameuza kila kitu kahamia kwa mke mdogo.
@paulolaizet5175
@paulolaizet5175 4 года назад
Hongera sana mzee ndoo dawa ya watoto watukutu
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe 2 года назад
😂😂
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 5 лет назад
Wasomaaa comments... Gonga like....
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 года назад
Tupo wengi
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 3 года назад
@@ameenaameena1224 blessed
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 5 лет назад
Nionavyo mimi mkuu wa mkoa awaite ofisini pasipo na shangwe. Hio sio sehemu nzuri. Ingawaje huyu mtoto hana heshima lakini kiongozi asome tatizo
@juniorbayyo9209
@juniorbayyo9209 5 лет назад
Wew mnunulie mama ako kiwanja na mjengeee usipende kushindana na baba ako utapata laan bureee
@neemaloy889
@neemaloy889 4 года назад
Sawa
@kihiyomngwana5492
@kihiyomngwana5492 4 года назад
Bure kabisaaaaa hakuna kiongozi hapa
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 4 года назад
Fundi aliemshonea huyu mzee suti mungu anamuona😀😀😀😀😀
@bornkilla6173
@bornkilla6173 5 лет назад
Huyu mkuu wa mkoa BANGI sana hasikilizi vzr
@princespider5854
@princespider5854 5 лет назад
😂 😂 😂
@happinessmtenga3036
@happinessmtenga3036 5 лет назад
Huyu mkuu wa mkoa mitumba tupu sekta hiyo haifai.
@bornkilla6173
@bornkilla6173 5 лет назад
umeona eeeeh cjui hua wanawekwa kwa sifa gani @@happinessmtenga3036
@floradori5760
@floradori5760 4 года назад
Mmh mbona mnajidhalisha na familya zenu
@keagleeagle821
@keagleeagle821 5 лет назад
Ni ngumu aisee Sio rahisi kama watu mnavyofikiria
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 5 лет назад
Kababu kaongo haka, jamani kuweni serious kwa vitu kama hivi, mnacheka. Watu kuweni makini.
@alyhamadi8033
@alyhamadi8033 4 года назад
Kweli nimeamini watoto wanaweza kumuua baba yao kwa ajiri ya urisi
@lusajomwakalinga1374
@lusajomwakalinga1374 5 лет назад
Moral law wazazi wana hàki kwa watoto wao endapo aliwalea
@abuubakalmtangenange4389
@abuubakalmtangenange4389 3 года назад
Ni jambo baya sana mtoto kufikia hatua mpka kumdhalilisha baba yko tena mbele ya umati
@ukhtyashurasakinamnyoti1786
@ukhtyashurasakinamnyoti1786 5 лет назад
Kaka Allay Happy hujamuelewa huyo dada malalamiko yake ungemsikiliza kwanza umsaidie kutatua hilo tatizo
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 2 года назад
Khaaaa mzee kijana kanunua Landy lover
@benlaizer9936
@benlaizer9936 5 лет назад
New style for problems solving , huu ni udhalilishaji kwakweli!!
@victorfocus7882
@victorfocus7882 3 года назад
Sure ben
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 лет назад
Ila dada me ningekushauri urudishiwe hela yako ili ununue sehemu nyingine umjengee mama yako! Pole sana hata sisi tuna baba shetani
@fatmaabdallah8743
@fatmaabdallah8743 5 лет назад
Huyu dada nae mzee kishaonesha nia ya kumdhulumu mama yenu tena unakwenda kumpa na pesa eti ununue nyumba kwanini km ana pesa asiende kununua sehemu nyingine mnakwebds kununua hapo hapo kwenye tatizo!
@ahmedalshaibany6690
@ahmedalshaibany6690 5 лет назад
Hiii ni fact ya maana sana, migogoro mingine ni yakujitakia kwanini anunuwe shmu yenye ugomvu
@eng.magesakhamis493
@eng.magesakhamis493 5 лет назад
Kwa hiyo nyie ni watoto wa sh.....!? Makubwa haya
@gabrielymathias5516
@gabrielymathias5516 5 лет назад
hiyo ni uduma kwa mzee
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 лет назад
@@eng.magesakhamis493 ahahahaha sisi hatujawa mashetani jamani sisi ni malaika
@nzokanzoka2698
@nzokanzoka2698 4 года назад
Tuwe serious,hiz kesi zinapelekeaga mauaji.
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 5 лет назад
Huyu kalishwa sumu ya mamayake wadada wengi huwa wanaleta ubaguzi wivu huwa unawapanda wamama yao
@samueljr9105
@samueljr9105 5 лет назад
Daaaah hapo RC umepata kiboko yako ni huyu mzee😂😂😂😂😂😂😂😂😂ww dada hapo ilipofikia wachana na hiyo shamba kama una uwezo mnunulie mama sehemu ingine maana wote ni wazazi my advise
@ireneranga7024
@ireneranga7024 5 лет назад
Daaaah mkuuuu wew tumia akili ya kawaida wenge la nn
@HASASON
@HASASON 5 лет назад
Huyu mkuu wa mkoa haoni kama hapo ni mfumo dume na nyanyasaji wa mwanamke? Kwani huyo mama hana mamlaka ya kumiliki hicho kiwanja? Mkuu wa mkoa akili yako ngumu kama mawe humuelewi tu huyo dada point yake
@frankmlowe4819
@frankmlowe4819 4 года назад
broo umenena.
@monicapatrick3816
@monicapatrick3816 4 года назад
Bogazi kabisa
@salcle9702
@salcle9702 2 года назад
Kazi za mahakama hizo na ustawi wa jamii
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 2 года назад
Watoto hawana akili ugomvi wa baba na mama mnaingilia je wanaona sasa Mzee kageuza kibao
@petermwasomola5189
@petermwasomola5189 3 года назад
Hawa viongozi vijana waangaliwe sana maana hawana hekima za uongozi kabisa, msikie jinsi anavikosa hekima za kusikiliza, anatia aibu sana
@askofkobogo4361
@askofkobogo4361 5 лет назад
muishmiwa magufuli huyo mkuu wa mkoa hakufai mbadilishe fasta bos kaz
@maswamills3161
@maswamills3161 2 года назад
Wewe dada muombe baba yako Msamaha.
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 года назад
Moja ya viongozi waliyopewa madaraka ya bure bila weledi ni API
@amapiaanocityintz6454
@amapiaanocityintz6454 3 года назад
Mzee anaakili sana sio kidogo
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 лет назад
Wengi mnamlaumu Hapi bure lakini hapo hakuna kesi...kwanza shamba lianze milioni 30 mpka milioni 3...alafu pili shamba ni la mzee kwaiyo akiamua kuuza atauza na sidhani kama alikubali kuuza kitu cha milioni 30 kwa milioni 3.Bidada nae kaona ni kitonga hiko kajilipisha milioni 3 fasta fasta..unanunuaje shamba kwa mzazi wako kweli..hio kesi hapo si mahala pake..wakamalizie sebleni tu.
@saidtembo8672
@saidtembo8672 2 года назад
Safiii
@damianmhagama2792
@damianmhagama2792 5 лет назад
Huyu dada anataka kimiliki nyumba yeye kwa milioni tatu awadhulumu kaka zake
@drinozzsamson8676
@drinozzsamson8676 2 года назад
Yani hakunaga kitu sikipendi kama litoto kuangaika na mali za wazazi wakati linamikono sukomaetu nje ya famlia ukifanikia mungu asante likibuma pia mungu asante
@josephtimothmbulu8677
@josephtimothmbulu8677 5 лет назад
huyu mkuu wa mkoa mbona mambo ni rahisi sana na unachukua mda kupata ufahamu, mzee alitaka kuuza nyumba, ambayo ilikua ikimsaidia mama yake na huyo binti, kumaanisha hata kama wasingenunua hao watoto bado angeuza tu kwa mtu yoyote yule, sa hapo kama binti kaamua kuilipia yeye mwenyewe ili izidi kubakia mikononi mwao imsaidie mama yake shida iko wapi? apewe nyumba yake bana manake baba yake tayari anae mke mwingine.
@najma3268
@najma3268 5 лет назад
Hata mm ndo navyoona hivyo huyu baba anataka kumzulumu mkewake , kashashikwa skio na mkewake mpya sasa gar kanunua kaweka kwa mwanamke mwingine , eti anawadai treckta akalie kwa faida ya mke mdogo wakat mama yao hana sehemu pa kukukaa , utampa babaako gar akatembelee na mwanamke mwingine wakati mamaako hana pa kukaa ukiuliza kakuzaa , hiyo haiwezekan yy kashaamua kuhamisha virago bas amkatie huyo mkewake eneo na kama hataki hiyo pesa ilotolewa hati iandikwe akabidhiwe mama yao na hao
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 лет назад
Ahsante kwa kuelewa. Viongozi wazima wanachekacheka kwenye mambo nyeti.
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 лет назад
Joseph Timoth Mbulu anauliza swali lakini hamsikilizi
@ireneranga7024
@ireneranga7024 5 лет назад
Nashangaaa vitu lain analeta siasa au anamwogopa babu hahahah
@veronicajoseph6053
@veronicajoseph6053 5 лет назад
Nimemfatilia huyu mkuu wa mkoa kila atua lakini kwa hili naona kaniboa sana Binti kafanya kitu cha busara sana na kuhusu huyo kaka aliyeandikisha hilo jina lifutwe liandikwa la mama au la binti
@ansethburukardi9354
@ansethburukardi9354 5 лет назад
We dada acha upimbi muache baba ako utamlipa nn wewe alikuzaa ukiwa uchi now umevaa
@danneismail5442
@danneismail5442 4 года назад
Huyo mkuu wa mkoa anauza sura na hayuko serious kabisa # from Kenya
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
Mnafanana na baba yako maashallah
@MohamedMjenga-vq8vc
@MohamedMjenga-vq8vc 9 месяцев назад
Wamefanana sana
@imagepower3641
@imagepower3641 5 лет назад
Hizi kesi ziende mahakamani,ndio maana zipo sheria,mnapoteza muda hapo
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 года назад
Wee dada umekosea sana badaaa iende ukanunue eleneo mbali nahapo kwenu umeenda kujikita kwenye majanga
@hizim6699
@hizim6699 4 года назад
Hii noma kwanza mzee yuko vzr
@dengerengisaruni1859
@dengerengisaruni1859 5 лет назад
Huyo mkuu wa mkoa sijui anamapeee sana
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 4 года назад
Tamaa mbaya mzee
@steveagustino9368
@steveagustino9368 5 лет назад
mzee MuNgU Anakuona!!!
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 5 лет назад
Mshitaki yupo smart kuliko msikiliza mashtaka sometimes ina shauriwa kutumia brain wash kusikiliza vitu kama hivi
@mayco-channel__1
@mayco-channel__1 5 лет назад
Aisee huyu mkuu wa mkoa hamna kitu.. Aisee hizi taarifa zimfikia anko magu ndio muweza ya yote maana huyu mkuu anazingua 😁😁
@fatmaabdallah8743
@fatmaabdallah8743 5 лет назад
Huyu mkuu wa mkoa hafai anapendelea upande mmoja
@mustaphambwana7944
@mustaphambwana7944 5 лет назад
CENT DAMONSTA Michael aise!! Anko magu sio muweza wayote kumbuka nae ni binadamu kama wewe na Mimi muweza wayote ni mmoja tuu nae ni mungu alie umba aridhi na mbingu pasi na nguzo na vilivyomo ndani yake naisi ume nielewa
@hechihechie5558
@hechihechie5558 5 лет назад
@@mustaphambwana7944 anamanisha anaweza kutatua yote ktk huo mgogoro,huyo anaegemea upande mmoja
@rasmaliyosi6252
@rasmaliyosi6252 4 года назад
Nyie mlie kaa hapo mezan wajinnga hamjui kumsaidia mtu
@evansm8802
@evansm8802 4 года назад
He is a fool.the worst ever
@shadybadojulius2634
@shadybadojulius2634 5 лет назад
Mkuu umefell kabisaa
@godfreysekumbo1523
@godfreysekumbo1523 2 года назад
Kiongozi midahalo mizuli hebu uwe unaiweka maisha ya watu yaendelee
@eliajimmy95
@eliajimmy95 3 года назад
Huyu mkuu WA mkoa pumbavu sana anachekacheka tu mambo serious
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 5 лет назад
Mhhhh mtihani mungu saidia....
@angeluslijuja2413
@angeluslijuja2413 5 лет назад
Walimwaidi mzee wakataka kumpoga changa la macho kwawawai yeye kupitia kiwanja baada ya kuona trekta aliji mzee mjanja sana
@edwardsemwenda4726
@edwardsemwenda4726 2 года назад
Kwel kuzaa sio kupata mtoto unadomeshwa na baba na mama ukipata Kazi humtak babaako
@jubilatesamweli2874
@jubilatesamweli2874 5 лет назад
Kwani mke mkubwa sii wa kwake?huyu mzee ni muhuni!
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 5 лет назад
Maneno ya mzee ni sawa
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 5 лет назад
Kweli Mkubwa Dawa Mzee kajieleza vizuri saana Katumia ukubwa
@boazsigala3284
@boazsigala3284 3 года назад
hapo tatizo watoto mzee amewatunza na kuwasomesha hawampi za ulanji hata akinamama huwa matatizo kusababisha watoto wa siwapende akina baba
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 года назад
Kwahiyo urithi wa mtoto ni elimu? Hizo ni fikra za kimaskini!
@mangiclaus
@mangiclaus 5 лет назад
Hamna kazi serious ambayo anko magu anaiongelea hapa
@mlawajafari5741
@mlawajafari5741 4 года назад
Kutoka 30 milion mpaka 3milioni haiingii akirini ja manii huyo mtt muongo.
@laylatmlacha4729
@laylatmlacha4729 3 года назад
Hapa mkuu wa mkoa kapendelea mana hajataka kumsikiliza huyo dada na huyo dada anataka haki ya kumlea mama yake asihangaike mungu saidika hizi familia
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 2 года назад
Washenzi mnampangia babaenu alichotafuta mwenyewe, mm mnaambulia makofi tu.
@gilbrtmaganga5471
@gilbrtmaganga5471 5 лет назад
Hapo Mama abaki nyumba inabaki kuwa ya familia Baba hiyo ela zawadi ya kukuzaa
@geofreysenteuh6980
@geofreysenteuh6980 3 года назад
Hahaha aya ban Ay
@issabakari1916
@issabakari1916 4 года назад
We mtoto Huna Adabu weye, 😂 atayaachia makengele mbele za watu uzibe maskio weye, hahahaha
@masaluhamis5579
@masaluhamis5579 5 лет назад
viongozi jitahidini kutoa majibu kwa busara sikiliza vizuri kama ni ngumu kuamua kwa muda huo lielekeze sehemu sahihi wakasikilizwe uletewe mwafaka, munaboa .walitakiwa tu waelekezwe sehemu sahihi then wewe mhe utapewa mwafaka na utapata mda wa kulielewa vizuri sijapenda kwa maswali mnayomuluza huyo dada hata attention haipo hamuwezi kujua sinerial kamili.
@imelidamfikwa7954
@imelidamfikwa7954 2 года назад
Issue kama hiyo ni rahisi sana kuitatua ukitumia utamaduni wa diplomasia ya ukoo,wajomba nk,Ila ilivyokaa haina afya kilichobaki mzee nikumloga mtoto mtundu kwenye Mali take.
@ansethburukardi9354
@ansethburukardi9354 5 лет назад
Achana na mzee iyo ela aijamlipa ata kdogo
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 3 года назад
Huyu dada nijambazi kisiri. Kama sijambazi asinge nunuwa mali ya wazee ange wasuluisha. Lkn kujibinafsisha mali kijanja.
@innocentpaulchillu1512
@innocentpaulchillu1512 5 лет назад
mkuu api nimekukubali na wananchi wako.mzee walimbip kumnunulia trecta
@stanleymungongo531
@stanleymungongo531 3 года назад
RC alikuwa mzito sana hataki kutulia asikilize aelewe ndipo aulize na kutoa msimamo. Document zinatakiwa kutoka ofisi za Mtendaji so Mtendaji ndo aulizwe amepokea 3M kwa mamlaka gani?
@ruzukually9982
@ruzukually9982 5 лет назад
mnazalilisha familia za watu kiona watu hajitambui kwanini usiwape maelekezo kimyakimya
@AK-ho2lb
@AK-ho2lb 5 лет назад
Mzee anataka kusepa,anaona ujinga.
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 лет назад
Ni vitu vya kawaida ili mradi kuwe na Document, sema mzee baada ya kupata hela sasa anatumia uongo.
@isayaambose219
@isayaambose219 3 года назад
Hapana jamani,,,hivi kweli unanunua mali ya babako kwann usiende kununua sehemu nyingine kama tatizo ni eneo😫😫😫
@ricksonmrema1693
@ricksonmrema1693 5 лет назад
Mkuu wa mkoa mbona we mgumu kuelewa na dada amejieleza vizuri
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 года назад
Kwenye kesi hii Mkuu wa Mkoa kazingua .
@jojinarmillinga7219
@jojinarmillinga7219 3 года назад
Hata mimi nashangaa mbona dada kajieleza vizuri tu
@mwigaali9780
@mwigaali9780 5 лет назад
Baba Luisa nyumba yke akiwa hai ni haki yake au munataka kumrisi marehem akawa hai. Fanyeni kazi mupate mali zakwenu
@marylyimo8446
@marylyimo8446 2 года назад
Uyo RC ajitambui kabisa hatakama niujana sio kwa upumbavu huo. hamsikilizi uyo dada. RC wenge kabisa
@stephanozakaria1876
@stephanozakaria1876 5 лет назад
Kwanini Kama ulikua unauwezo wakununua eneo kwanini usiende kununua sehem nyingine? yani watoto wasikuhizi ni shida sana
@izindorikindolekindole1605
@izindorikindolekindole1605 5 лет назад
We stephano hunaakili we ni kama huyo mkuu wa mkoa
@salummzee9739
@salummzee9739 2 года назад
Wagonjwa hao watoto mali yk mwenyewe mumpangane baba yenu tafuten chenu mbona hana makosa baba Utu wake tu kukuachine mali zake Ndio mutafute maisha yenu,,Mbona mazingira hayo Zanzibar hakuna
@ahmedyhassan4059
@ahmedyhassan4059 Год назад
Wangemsikiliza uyu dada...pia watendaji wakata
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 2 года назад
Mbona rc mwenyewe ha concerntrate kwenye mada
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 лет назад
Huyu dada ana laana mzazi utamshtaki vp
@sebastianwilson213
@sebastianwilson213 4 года назад
Ttz mkuu wa mkoa wkt dada anaelezea yy anapiga story inaonekana hakumuelewa dada kbs
@albertoarcangel5859
@albertoarcangel5859 5 лет назад
Hii ni family issue wanatakiwa ukoo ukae wasuluhishe, mana navoona hapo watu wanawacheka tu, nakuwachora, uyo n mzee anaonekana mtata,
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 5 лет назад
😎😎😎 familia na public wapi na wapi
@nyamushalaparfait4154
@nyamushalaparfait4154 5 лет назад
Mkuu wa mukowa na kibamiya sana chenga xana
@johnsonjusto9564
@johnsonjusto9564 5 лет назад
Haya ndo madhara ya mzee kuwa nyumba ndogo namzee kazingua
@abdiaoto9041
@abdiaoto9041 4 года назад
Huyo hana radhi km yye anaweza kumlipa tangu mchanga hedi hivyo mpimbavu
@evakiwia6768
@evakiwia6768 5 лет назад
Mhe mkuu wa mkoa hueleweki kbs
@janepeter5716
@janepeter5716 4 года назад
Jamani ,Huyo mzee anadanganywa na nyumba ndogo,
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Ulikua uongozi wa kiboya sana
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 лет назад
Mmmm migogoro ya familia,mzee mtatahuyu,haowatoto wangeondoka na mama yao wakanunue kwingine,mzee akishakuwa na wamama 2 mtihani.
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 3 года назад
Mzee kanunua Gari Anakula Bata na mke mdogoo ..
@lwagamwakalinga5276
@lwagamwakalinga5276 5 лет назад
Happi kazi yako nzuri sawa lakini uwe unasikiliza Kwanza kabla ya kudakia dakia,unapoteza mtiririko wa Mambo siku zote.Mimi nimeangalia sana clip zako nyingi huwa unadandia haraka haraka Sana kiasi kwamba haileti mtiririko mzuri
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 5 лет назад
Mmh familia za kimasikini shida kweli
@abuubakalmtangenange4389
@abuubakalmtangenange4389 3 года назад
Hawa watoto uwezo wanao ila wanataka kumpa ela baba yao mpka awauzie kitu
@abelypeter3225
@abelypeter3225 3 года назад
Nahili tatzo ni sababu anawatoto tabaka2 ndo nyie mpunguze kuoa wanawake zaid ya mmoja inaonyesha mzee anaupendeleo seem 1
@abuubakalmtangenange4389
@abuubakalmtangenange4389 3 года назад
@@abelypeter3225 ningumu kwakua wanawake ni wengi kuliko wanaume pia Ni agizo kutoka kwa Mwenyezi Mungu smatakwa ya mwanadam
@zahrajumaa8965
@zahrajumaa8965 2 года назад
😂😂😂😂 mzee muhuni huyu dingi chiziiii
@mathiascharles5769
@mathiascharles5769 4 года назад
Watoto wakike wanamashauri mabaya kwa mamazao mzee yuko safi
@manmachomaasai1095
@manmachomaasai1095 4 года назад
ww dada ni fala kwann usingeenda kununua eneo lingine ukamjengea mama yako boya ww
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 4 года назад
Mama mzima wangangania mali ya baba yako
@barakaissame4381
@barakaissame4381 5 лет назад
Babu umenichekesha sana
@jacksonsilvery5963
@jacksonsilvery5963 5 лет назад
Kazi ya mkuu wa mkoa ni kubwa
@juliusuronu7862
@juliusuronu7862 5 лет назад
Huyu mkuu wa mkoa ana kera Sana..... haeleweki, badala asikilize ana ropoka tu!
@familylove5417
@familylove5417 5 лет назад
Umeonaa eeeh yani yy anakurupuka hasikilizi
@ashaally6993
@ashaally6993 5 лет назад
Warudishiwe hizo milioni tatu kuna nyumba gani inauzwa milioni tatu acheni kumlaghai baba yenu alafu unataka iandikwe jina lako wewe dada ushindwe kabisa!!!
@ebbyramadhani
@ebbyramadhani 5 лет назад
Mheshimiwa anashindwa kumsikiliza akamuelewa Dada ameona kuliko kulikosa eneo kabisa kwa kununuliwa na mtu mwengine Bora alinunue yeye ili mama ake asiangaike pakuishi
@mohamedgilala8423
@mohamedgilala8423 5 лет назад
RC unachemka wewe ni mwa sheria kitaaluma ambacho uelewi hapo ni nini kinaendelea punguza kiki fanya kazi vikao hivyo vinahitaji majibu sio kuwadhihaki watu
Далее
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Просмотров 880 тыс.
Historia Ya Magufuli Kazini
10:26
Просмотров 352 тыс.
MAFINGA NOMA MAMA KAMUULIZA RC HAPI 'ÚNAITWA NANI''
7:36