assalamu alykum ramadhan, ndugu wa mwisho aliitaka thibitisho ya utabiri wa prophet muhammad s.a.w ndani ya bibilia, nahisi kuwa ungemwonyesha angalabu apae ufahamu manake fursa nyingine ya kuipata mafunzo haijulikani, ni elmu ilio na allah subhana wataala
Dahwa Iko sawa ustadh Ramadan na mwenzako nawatakia Kila la kheri katika kazi yenyewe ni ngumu sana Allah sw awazidishie Kila Lilo la ❤❤❤ kheri katika Dunia na vilevile Akhera
Asalam aleikum she ramadhan kurya hapa mlikosea mmekula ndizi mkisimama hadharani haikupendeza kwakweli na sisi ni waislam na tunaelimisha wasio waislam
Mashallah Uctadh. Jazakallah khaira. Allah akulipe/ awalipe wote. Napenda sna kufuatilia video zenu Alhamdulilah Allah azid kuwawezesha. Allah awape mema ktk dunia na kesho akhera bighar hisabu. Amiiyn. Nataman mnoo kuwaona live ktk da'waa lkn ivo sina jinc. Kubwa ni kuwaombea du'waa kwn kazi yenu inahitaji subra snaa. Allahumma Amiiyn Wa-Iyyaka
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.  1:2 - Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;  1:3 - Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;  1:4 - Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.  1:5 - Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.  1:6 - Tuongoe njia iliyo nyooka,  1:7 - Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.