Тёмный
No video :(

KAULI YA CCM ZBAR: MBOWE NA JPM WATAJWA/ APEWE MIAKA 14?/ WABUNGE NA MADIWANI NAO WAONGEZEWE MUDA 

Dar24 Media
Подписаться 728 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s Месяц назад
Mzee ata familia Yako inajivunia kukuita baba wewe ni baba wa kweri sio majinga majinga ya mccm Asante baba
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 Месяц назад
Pendekezo limetolewa kwa sababu tu Mwinyi anaonekana na waliompendekeza kwamba anafanya vizuri Je akija Raisi anayetenda vibaya wako tayari kupendekeza apunguziwe muda
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Месяц назад
Hongera sana Mr. Miraji. Tuko hali ngumu wanakotupeleka Wanasiasa sio sahihi.
@stanastana3199
@stanastana3199 Месяц назад
Mbona zanzibar isiwe nchi kivyake,watu wapige kura ya maoni.
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd Месяц назад
dah yani ii dunia inamitiani sana, Zanzibar jiandaeni kushuhudia machafuko.
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 Месяц назад
Mtu wa maana kabisa
@sulleyally5040
@sulleyally5040 Месяц назад
Mzee anaongea ukweli kabisaaaaaaa
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Месяц назад
Ndio nasi Watanganyika tunataka Rais wetu
@w4058
@w4058 Месяц назад
Watabakia na mapinduzi mapinduzi ni mauwaji ya halaiki ujinga Tu wao
@w4058
@w4058 Месяц назад
Lakini hakuna democracy msidanganye watu CCM na democracy wapi na wapi
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Месяц назад
Upo sahihi umesema kweli .
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Месяц назад
Na bado wameongeza uchaguzi siku mbili
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd Месяц назад
MZEE MIRAJI HOJA ZAKO NI ZA NGUVU, HONGORA SANA. MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU. TATIZO LA NCHII NI UCHAWA UMEKITHIRI SANA MPAKA AIBU!!!!
@w4058
@w4058 Месяц назад
Kweli sheikh Said shabash waelimishe wapumbavu wakubwa
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri Месяц назад
Wanaoshawishi ni viongozi wa Chama.Chama hakiwezi kuacha kuhusika na ushawishi huo.Hilo ni la Chama,wako kwenye mchakato.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Месяц назад
Kuna vitu sioni sababu kugeuzwa agenda kwa sababu hivi sasa Taifa linaelekea kutafuta Katiba Mpya. Maana yake kila anaetaka jambo fulani aseme. Anaeona uchaguzi uwe kila mwezi, kila mwaka, kila miaka 5, 7, 10 nk. Anaeona Urais uwe kwa zamu mwanamke na mwanamme nk.
@marybalya2371
@marybalya2371 Месяц назад
Vyama vya upinzani tangu vianzishwe viongozi wakuu huwa Ni hao hao. Cheyo, Lipumba, Lungwe na engine Ni wale wale. Lakini Mbowe ndiye anapigiwa kelele kwa Nini?😅😅😅😅😅
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 Месяц назад
Ana Madhara😂
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Месяц назад
Wanasema mti wenye matunda ndio upigwao mawe!!
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Месяц назад
Rais ni kiongozi wa nchi, ñi kiongozi mkuu wa nchi, na Taifa. Huchaguliwa na wananchi wote, na anaongoza Serikali ya nchi husika. Kiongozi wa Chama Cha siasa, ni kiongozi anayeongoza Chama na wanachama wake, si kiongozi wa nchi Wala serikali. Dhamana zao kwa wananchi vinatofautiana. Huwezi kuwafananisha katika majukumu na wajibu wao kwa wanaowaongoza
@matiredms917
@matiredms917 Месяц назад
Kwanza Mbowe si Mwenyekiti wa CHADEMA tangu ianzishwe.Yeye alipokea uenyekiti baada ya miaka mingi ya kuwepo CHADEMA.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Месяц назад
@@matiredms917 Nic sahihi kabisa Chadema' ilishapita kwenye uenyekiti wa Edwin Mtei na Bob Makani. Lakini cha kujiuliza mbona wanaopinga uwenyekiti wake ni wa vyama vingine?
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s Месяц назад
Mbowe sio rais ni mlezi wa chama sio mtawala kwani mwenykiti wa upinzani ni kama mwaalakati na mlezi kiongozi sio mwenye nchi mwinyi Yuko kikatiba zaidi mbowe katiba ya nchi inamuusu kama mwananchi Wala ajamuongerea mwenykiti wa chama chochote ilamunamutumia mbowe ili atote mkiue chama kiangukie mikononi kwa wachuuzi wakiuze kw ccm tunajua iyo
@islambinomar8716
@islambinomar8716 Месяц назад
Hee huyu mzee kweli mchambuzi wa siasa kweli kama katibu mkuu wa ccm anasema sio kauli ya chama dah napata mashaka na uwezo wako
@user-yp4fs4sx4p
@user-yp4fs4sx4p Месяц назад
Mama zangu haipendezi kutoa comments za matusi , hii mitandao ya jamii inasomwa na wengi kama umeshikwa na jazba basi vumilia tu muachie Mungu ndo muamuzi wa yote😂😂😂
@TheTarabist
@TheTarabist Месяц назад
1) Haikuonekana gharama kufuta uchaguzi wa kipindi kilichopita na kufanya uchaguzi mwengine? (2) kuwa na katiba maana yake nini kama wachache wakitamani tu kubadilisha mambo katiba haiwazuii?
@user-bp7nb7yp2o
@user-bp7nb7yp2o Месяц назад
Hao wanaotaka mwinyi aongezewe muda hawaitakii mema Tanzania-Zanzibar.kaka Kwa hili upo wrong kuongea ukweli mbona
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
Time of respect every single Tanzania is on the way caming from dictotaship to civilian rules because ccm rules we tanzania by Arn face itafika muda wa Kila mtanzania huru wake utaeshimiwa tuu Wacha tutawalene ki.baba mtoto mama rafiki utawala wa kifalme
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu Месяц назад
Mafisadi hasarahio waioneleo mbona hawakuhofia hasara mwaka 2015 waliporejea uchaguzi zilepesa zilia au mavuzi wameyanyonyoa
@w4058
@w4058 Месяц назад
Naam ni mifumo yetu ndani ya vitabu vyetu
@TheTarabist
@TheTarabist Месяц назад
Muda Mwinyi si anao kikatiba kuendelea mpaka 5 mengine baada ya uchaguzi mkuu?
@hajjseif5737
@hajjseif5737 Месяц назад
anaogopa uchaguzi
Далее
would you eat this? #shorts
00:29
Просмотров 1,7 млн