Hata mimi uwa simwelewi msukuma,yaani alivyomsinichi msukuma mwenzie,sikutarajia.alitakiwa awe upande wa msukuma mwenzie au anyamaze kimya , wasukuma wa Geita mwangalieni sana huyu msukuma,ovyo sana hafai.Mpina safi
Musukuma ni mjinga. Anajipendekeza kuficha ukosefu wake wa elimu. Sidhani hata anaelewa sheria. Huyu alimushutumu hata Magufuli. Musukuma anamusifu speaker eti kwa kuwa amepigiwa kura na mataifa makubwa. Kwa nini hatujiamini, tunaamini wagęni na wazungu wakihusika na kitu ndiyo tunaamini. Kuna wengi walipigiwa kura na kupewa nafasi kubwa, kwenye umoja wa mataifa, lakini hawakusaidia chochote. Wakati Rwanda wanauwana, UN tulikuwa na kiongozi mwafirika aliyechaguliwa na mataifa yote, na ha kufanya chochote na kuacha wanyarwanda kuuwana..
Ukweli uonevu uliofanyika kwa mpina ni namna ya kutuonyesha sisi wananchi kuwa, kumbe wabunge wote nchini wapo kwaajili ya maslahi yao wenyewe, na sio wananchi. Alafu pia japo sio wote ila unafki umekidhir sana hapo bungeni. Ndio maana mmemtoa mtetezi wa wanyobge.
Huu mfumo dume sijuwi utaisha lini Tz?. Akina Lazaro Nyalandu wapo wengi ktk nchi hi huku wale wanadiplomasia wakipiga chapuo kana kwamba hawajuwi kilichopo chini ya bahari, ccm bana hatari sana. Kumbatia bomm likubutukiyee 😢😅😢👆.
Mpina baba don’t give up. Hawa watu tunawajuwa. Ni ka group dogo wanataka ku control mali zawo, na kuifanya Tanzania ni mali yawo. Watu wasema kweli wananyamazishwa , ama wana tupwa CUBA kusikokuwa na mawasiliano ili watanzania wabaki gizani. Wanayo yafanya yatawadhuru mpaka vizazi vyawo. Tanzania ni ya watanzania wote na sio ya watu wachache. Wakitaka Tanzania iendelee kuwa nchi ya amani, lazima haki itendeke kwa wote. Selective justice inaweza kuleta madhara makubwa nchini.
Uko SAWA mpina acha wakufanyie ujinga wamezoea hao mafisadi kuficha wizi wao.tunawaambia watakujaga kumfukuza na ujumbe au maksudi ya MUNGU kwa ujinga wao.wanadhani lisisiem la majizi halitakuwa na mwisho litakuwepo TU milele wasahau mwisho wao huooo? tunauona wanautaka wenyewe wanaupata.
Ccm hawana hoja za kuishauri serekali hivyo wanakushangaa wewe mbona bado unahoja za msingi! Ndo kosa lako mpina kosa lako hakika nikuwatendea haki watanzania
Kama ingekuwa Katiba mpya ipo tayari figisu za aina hii zingepungua. Mbunge ni wa wananchi.. Kuwa na mgombea binafsi ni jambo zuri katika ustawi wa nchi.
Mpina unajua kukielenza vizuri watu hawajielewi wanajichanganya kweri uko sawa chapa kazi ewe ni mbunge unapo mtoa mpina wananchi wake wanaathirika harafu mnapiga makofi tu
Mwanawane kuna maslahi hapo ya watu Mungu anatoa jibu taratibu na bado wengi watatolewa January Makamba huyoooo Nape Huyooo na bado wengine wanafuata na mama atajaza Wanzanzibar wenzie
Ulitaka sukari iuzwe bei ya 10,000 kwa kilo, ndio uone sahihi. Waziri Bashe amejitahidi bei ya sukari kushuka, ameingiza sukari kwa kiasi kikubwa. Waziri Bashi amewatenga hao unawatetea / wafanyabiashara ambao walificha sukari na kuchelewa kuagiza sukari ili bei ipande, kuna ubaya gani kuwapa watu\wafanyabiashara ambao hawamiliki viwanda ili waagize?. Kuna ubaya gani Waziri Bashi kutoa vibali vya kuagiza kiwango kikubwa cha sukari ili watanzania wanunue sukari bei chini Hongera, Waziri watu kama wakina Mpina wanatumika asikukatishe tamaa, piga kazi
Anajulia wapi @@marandoruzali1946? Angalia swalia alilo uliza et "kunaubaya gani, kuwapa vibali wasio na viwanda kuagiza sukari?" Yaan hata maelezo ya Mpina hayaelewi, hajui kama ni kosa kisheria kufanya hivo!! Unaona kunaakili hapo, huyu anafuata ushabiki na sio hoja.
Na shida ya msukuma anajifanya kanajua sana kuongea bila point elimu elimu shida yeye na hao la saba ndio wanaharibu bunge kisa ujue kusoma na kuandika basi msukuma ni shida ule ni ujanja ujanja wao Ili waonekane wanatetea chama
Ukweli uliousema pale bungeni ndio unakuhukumu mpina ccm baadhi yao hawajitambui kabisa ila wananchi tunayaona na tunayasikia ngoja tusubiri sanduku la kura
Mbona hiyo ya makofi ndo kawaida yenu yulioko pembeni uwa tunashangaa makofi yanayopigwa kama uwa mnaelewa mnachopigia makofi.pia wabunge guess awasomi.
Hongera mpina tuko pamoja sana tunakupenda na huyu mungu akasimame na wewe sasa huyo msukuma anajijua elimu hana ni darasa la saba ck hizi msukuma amekuwa wa hovyo kabisa elimu yake imezidi kuwa zero maana tunamwona jinsi anatetea vitu vya ovyokabisa arudi shule yule kapoteza dira na uzee unamjia vibaya hata swala la bandari alikuwa mstari wa mbele kukubali iunzwe
Kunawabunge wengine niwalaji umo broo wewe uko vizuli broo usikubaliane nao hawo wanaotaka kutukandamiza wanyonge kilajambo litakalotolewa bungeni lisiokua sahiiii likatae broo mpinna wewe fanya kazi wao wanaona kama vile unavujisha sili lakn sisi wanyonge tunaona unafanya kazi nzuli sana natunamuomba mwenyezi mungu akupe maisha malefu wewe nmtetezi wawanyonge
unajua hawa wabunge la Saba ni shida sana,,huyu nusukuma ukimsikiliza mara nyingi ni u sure boy tu ma mission town tu ujanja ujanja wa mitaani elimu ziro,,tangu issue ya bandari msukuma ni fata upepo tu,, nyie wanasiasa ,,mnachosha sana,,me nadhani tunaihitaji kubadisha namna ya utawala,,sikubaliani na mifumo ya demokrasia ni umalaya wa kiutawala
ULIMI ULIKIPONZA KICHWA KIZIMA , MPINA UMEKOSEA SANA UTARATIBU UNAUJUA UONGOZI SIO KUROPOKA ROPOKA BALI NI BUSARA NA HEKIMA, ULITAKIWA KWENDA KWA KIONGOZI WAKO KABLA YA KUROPOKA
Samia wetu ebu tafakar hili, ni haki mbunge apewe adhabu inayopelekea wananchi wake kutelekeza, au ni nani amewekwa kwenye nafas yake ya kutusemea hapo bungeni pindi atakaporudi??
Inaelekea huyu yupo na chama bado ila amekosea timing hiki kipindi SI kupingana na serikari . Halafu anasahau uwajibikaji wa pamoja .lakini anaendekea kufanya makosa kuendelea kuongea na vyombo vya habari pasipo kuwasilisha hoja zake katika chama .labda kama amejipanga kuondoka