Тёмный

KAWE MPYA NYUMBA 500 ZAANZA KUJENGWA, SAMIA HOUSING ZA BEI RAHISI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 сен 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@barakamsungu5260
@barakamsungu5260 Год назад
Kazi nzuri ila tunaomba mtuwekee garden za kupumzika Daresalaam ikibidi moja tupate hapo
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 Год назад
Kodi laki nane, bei ya chini laki NNE! Kuna masikini atakaa hapo? wekeni kiwango cha elfu hamsini au bure kabisa kwa kaya masikini.
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 Год назад
Ilo nalo neno sema nn masikini habebeki man...elfu 50 jau sana
@muskreality
@muskreality Год назад
Hizi nyumba zilianza kujengwa kabla ya Magufuli hajaingia lakini alivyoingia Tu akaisitisha. Inabidi paitwe Jakaya Kikwete
@afredyohana356
@afredyohana356 Год назад
Hivi tuwaileweje Jana mlisema miradi hii ni ya kifisadi Leo mnaindeleza tena aisee shida mliyonayo ni kubwa sana
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 Год назад
Samiaaaaa oyeeeee
@geofbeka1669
@geofbeka1669 Год назад
Kama miradi hii itakuwa kwa ajili ya kuwasaidia watanzania wenye kipato Cha kawaida Basi kwangu Mimi mama Samia atakuwa ameingia kwenye rekodi ya Marais waliofanya mambo makubwa Sana kwa watu wao
@hpenyika7686
@hpenyika7686 9 месяцев назад
Mimi nahitaji nyumba ya kununua iwe peke yake sio gorofa naipataje?
Далее
BREAKING: Nyumba za NSSF Kigamboni zapigwa mnada
9:16
Просмотров 168 тыс.
Mradi wa Samia Housing Scheme,Kawe, Ulivyochangamkiwa.
31:29
TBA na dhamira ya kuibadili Dodoma kuwa kama Ulaya
11:38
Tanzania begins tests at new hydropower project
2:39
A.I. Revolution | Full Documentary | NOVA | PBS
53:46
Просмотров 540 тыс.