Тёмный

Mradi wa Samia Housing Scheme,Kawe, Ulivyochangamkiwa. 

Shirika la Nyumba la Taifa
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 4,5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 7 месяцев назад
Ujenzi wa Tofali unachukua muda saana, huko mbeleni msimamishe maghorofa ambayo sio ya matofali, msingi na nguzo tu ndio Uwe wa zege , ili mkamilishe Mradi haraka, Mwenyezi Mungu awasimamie
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 3 месяца назад
Wajanja watauziana wenyewe kwa wenyewe/mabaniani ponjoro ndio watajaa hapo kama kariakoo.
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 6 месяцев назад
Nyiwe watu wa ajabi sana hakuna nyumba inalipwaga mwaka mmoja
@sautitv4509
@sautitv4509 9 месяцев назад
Nahitaji nyumba sijui namna ya kuwapata
@avinaalex6476
@avinaalex6476 9 месяцев назад
VIBARUA wanapatikanaje hala
@nassirpemba9763
@nassirpemba9763 9 месяцев назад
Shirika la nyumba za taifa,sio la taifa 😢
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 7 месяцев назад
Hahahahaha 🤣 mambo ya kinganishi
@user-py7uo6xx4h
@user-py7uo6xx4h 6 месяцев назад
Ww sasa Umekosea , wao wapo sahihi kabisa, kiunganishi (la) kinarudi kwa shirika sio nyumba.
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 3 месяца назад
Mjomba kiswahili gani Tena hicho?"Shirika la nyumba" ni jina ambalo mmiliki wake ni taifa la watanzania,kwa hiyo sio Shirika la nyumba za taifa ni Shirika la nyumba la taifa✓
Далее
OG Buda - Сделай Мне Приятно Щас
02:24
ПАПА ГАМБУРГЕР
00:13
Просмотров 163 тыс.
MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA DART AWAMU YA TATU
5:49
Просмотров 2,9 тыс.
SAMIA HOUSING SCHEME KAWE
5:24
Просмотров 1,2 тыс.
JNHPP DOCUMENTARY  AUGUST UPDATE
7:27
Просмотров 9 тыс.
OG Buda - Сделай Мне Приятно Щас
02:24