Тёмный
No video :(

BREAKING: Nyumba za NSSF Kigamboni zapigwa mnada 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 169 тыс.
50% 1

Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' na kusimama ujenzi wake mwaka 2016 unapigwa mnada.
Kuliripotiwa kuwepo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo na sasa anatafutwa Mwekezaji atakaeuchukua.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 285   
@christiannyamamba9089
@christiannyamamba9089 2 года назад
Unatudhalilisha sana tunaoishi UK unaongea kingereza cha hovyo bora ungeongea kiswahili tu
@deodatusrweyongeza6747
@deodatusrweyongeza6747 3 года назад
Aliesikia ndege bichi agong,e like twende sawa
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 7 лет назад
😅😅😅Kamugisha..! don't you ever do that again..15 yrs in UK.?Reaĺly.!
@uledimtumwa3045
@uledimtumwa3045 6 лет назад
Mh!!!with about over.. Wahaya bhana.
@denisjohn1719
@denisjohn1719 4 года назад
How can some one stay in UK for 15 years and yet speaks broken English than our Swahili speaking bilingual. Let us learn from our surroundings guys. Anyway Yono are doing real a great job.
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@jorgejorge5210
@jorgejorge5210 7 лет назад
KAMA AMESHI UK KWA MIAKA 15 LUGHA NDIO HIYO JE WAKATI HAJAENDA?NA HUYO MKURUGENZI NI BORA ANGEPIGA KISWAHILI TU HAYA MAMBO HAYAHITAJI ULIMI MGUMU
@venancebasil4656
@venancebasil4656 7 лет назад
Jorge jorge miaka 15 daaah kaboa sana
@theafricanrenaissance77
@theafricanrenaissance77 5 лет назад
Yule Bw. Mabakila wala hajawahi kuishi UK hata mwk 1!!
@seifkiswamba933
@seifkiswamba933 4 года назад
Kweli babaake hiko kiingereza Cha vidudu yaani ametia aibu Bora angeongea kiswahili
@ezmworld
@ezmworld 4 года назад
😂😂😂
@fetilishazomar4799
@fetilishazomar4799 7 лет назад
jamn Bora ungeongea Swahili tuuu Daaah Weeeee Watu wapo UK Miaka 25 na zaidi lakin Swahili watu wanaichapaa mbayaa. Utumwa Walugha Haujawahi acha Mtu Salama Aisee
@jimmiejr9531
@jimmiejr9531 4 года назад
Kwani amekukwaza ? 😁😁
@KhalidKhan-ud9cz
@KhalidKhan-ud9cz Месяц назад
Tanzania mzuri sana kweli 🌹
@driquesmariques9794
@driquesmariques9794 7 лет назад
but why..hawa yono vipi jamani na kizungu hiki..ndo kukaribisha wazungu daah
@sweetyjanne255
@sweetyjanne255 4 года назад
Sura ya Hiuyu Mazaaa🤣🤣🤣Akitumwa Aje Kukudai Utakomaaaa
@georgerichard6706
@georgerichard6706 7 лет назад
Uyo mshaji bora aongee kiswahili tuu kizungu awaachie uk
@williamkijazi3000
@williamkijazi3000 3 года назад
😂😂😂 ana struggle kweli
@marianakapeller4699
@marianakapeller4699 2 года назад
he he he living in UK for 15 years and yet you speak like a grade one student, bravo just speak your mother tongue
@ntalenasson686
@ntalenasson686 7 лет назад
Wahaya kwa kupenda kiingereza tu hawajambo ila bahati mbaya rafudhi mbovu
@fredrickvituskebero5071
@fredrickvituskebero5071 7 лет назад
Ntale Nasson ha ha ha
@venancebasil4656
@venancebasil4656 7 лет назад
halafu ngeli yenyewe mbaya ni bora tu angeongea kihaya
@ntalenasson686
@ntalenasson686 7 лет назад
Tena Kama yule aliekaa uk miaka 15 ndio bure kabisa
@annaniamax8228
@annaniamax8228 7 лет назад
siyo rafudhi tu hata yai lenyewe halivunjiki ! imagine ameish UK zaid ya miaka 5 bt bado anavunja yai kwa shida kabisa ahahahahaaha
@iviejustified8109
@iviejustified8109 7 лет назад
Ntale Nasson siyo Rafudhi tu hata english yenyewe anagonga miguuu no gramma
@yonamwakanyamale5023
@yonamwakanyamale5023 5 лет назад
Lugha yetu ya Kiswahili ni miongoni mwa Lugha bora duniani.. Acheni kuwa watumwa wa Lugha za wageni... Mmejinyima haki yenu ya kutufikishia ujumbe kwa ufasaha zaidi kwa sababu ya Lugha.. Poleni sana..
@kasramwalimu5506
@kasramwalimu5506 Год назад
Yaan nishida Kwa wa tz kua watumwa hadi ktk lugha
@KiangiAri
@KiangiAri 4 года назад
Kingeee😂😂😂...Chill man!Kiswahili kingefaa zaidi mzee!
@sharondivine2797
@sharondivine2797 7 лет назад
hujui kingereza aibu
@tzviral7342
@tzviral7342 6 лет назад
5:30 *With about over* ...khaaaa!
@surusuru1994
@surusuru1994 2 года назад
Allah ibariki Tanzania pamoja tutafik
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 7 лет назад
Jamani hongereni but those men who are speaking they're not from UK those pronunciation are either Ugandan's or rwands's Ila Wa mama are Tanzanians sasa be specific mctushike maskioooo 😂🤣😂 the good thing is ppl knows some issues
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 7 лет назад
Lydia Thadeous dada wanaishi UK,huyo mkaka uliomuona anaitwa Juma anakaa Mji unaitwa Reading. ni mjanja mjanja wa mjini enzi zake alikua mchanjaji tena hapo kizungu mbona kimenyooka kupita maelezo. yaan ungemuona miaka hio 10+ iliopita ndio ungejua saa hii amekinyoosha km rula
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Aminaa mjuz wa lugha Yan kwa kifup Amna lugha nyepes ata nzungu utaskia anatafuta jins ya kulitamka neno lake mwnyewe la kingereza uyo rafidhi kutamka kumemshinda lkn ata angeongea kiswahil ingemkosoa na uo mrad mbona mabilionea wapo hapa Tanzania Kina mzee bakharesa ,shabiby Mo dewij na wngne wangesaidiana kuwekeza na kungependeza tu
@kenyomarion5605
@kenyomarion5605 7 лет назад
Unaishi USA kwa zaidi ya miaka 15 alafu kiingereza bado kibovu namna hiyo!?? huko USA watakua wanacheka sana, Wazungu wakija kukaa hapa TZ miaka miwili tu wanaongea kiswahili kimenyooka kama wamezaliwa huku. Diaspora jifunzeni lugha msituaibishe huko mlipo
@bjzee1981
@bjzee1981 6 лет назад
Diaspora in UK with i am lack 😂🙊😱
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 7 лет назад
Watanzania tunajulikana nje ya nchi kwamba tuna kiingereza kibovu sana ingawa ni ni lugha ya kufundishia kwa sekondari na vyuo.
@johncor1377
@johncor1377 7 лет назад
Huyo mama kasema mradi una thamani ya usd 350 sidhani kama yupo serious ts almost laki saba na hivi sidhan kama yupo serious
@jacksonmollel5157
@jacksonmollel5157 7 лет назад
John Cor kumbe umemsikia na wewe Usd 350 nini sasa milion or bilion hundred.
@jacksonnhandy452
@jacksonnhandy452 7 лет назад
John Cor ni USD 320 million. mother alipanic
@iviejustified8109
@iviejustified8109 7 лет назад
John Cor 😅😅😅 wanajigonga miguu sasa sijui alikuwa anamaanisha Million or billion lakini mkurugenzi kambeba brother
@samasob8233
@samasob8233 7 лет назад
Haha perhaps he meant USD 350 "shillings" its beyond belief!
@mhandyeyoo6591
@mhandyeyoo6591 6 лет назад
John Cor Umesikia eh naenda kununua 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️350 Eti alikuwa Uk ? Hata maimunaaaaaaaaa kasema tis project 😜😜😜😜😜muhhhhhhh warudushe kizunguuuuuu tuuuu au? Best?
@abdulyiddy358
@abdulyiddy358 7 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 jaman nimecheeeka huyo wa UK
@FredyVincent951753852456
@FredyVincent951753852456 3 года назад
Huu mradi umejengwa kwa fedha za wafanyakazi maskini, faida itakayopatika igawanywe kwa wachangiaji wa NSSF😎
@juliusmavanza4310
@juliusmavanza4310 11 месяцев назад
Ni kweli tena ingekuwa vizuri kama wangewataarifu wafanyakazi wa sector zote Serikali na binafsi labda wangeweza kujiuunga nakutengeneza umoja na wapewe kwa mkataba Ili wasimamie maana watakuwa na uchungu wa mafao yao
@malelamalela1362
@malelamalela1362 9 месяцев назад
Ok
@slimkheri953
@slimkheri953 7 лет назад
About over 😂😂😂😂😂😂 jamani hivi kiswahili kigumu kuongea
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 7 лет назад
😂😂😂
@edwarddaniel5683
@edwarddaniel5683 7 лет назад
Huyu jamaa bora angeongea tu Kiswahili English yenyewe ya kudonoa hakukua na haja ya kujikakamua hahahahaha
@huaweiphone1459
@huaweiphone1459 5 лет назад
Uchokozi uwooo
@henrymaro3638
@henrymaro3638 7 лет назад
yono kweli ni madalali but mradi huu wao kupewa ni another loss.I don't think if they have that capacity.second, nafikiri serikali imewahi kuchukua maamuzi kuhusu hiyo project maana hizo ni fedha za members Wa nssf waliokua wanapeleka contribution zao.I think serikali ingewahusisha wachangiaji Wa kwenye fund kwanza kusikia maoni yao kabla ya kupeleka mradi sokoni like that.third I think who every was involved in that project did some securitization and collateralized the future cashflow of the project through rental income or house sales. now with recession we are experiencing now no magic is expected those house uptake won't be much. maybe yono instead of looking for individual buyers and corporates in silos they could think of forming a consortium of brokers and approach banks or capital market to establish a secondary market to mortgage those houses.minding that payback period of the project was say more than 15years now that decision decided by who ever in the office will have financial impact and reputation risk to the fund which is very bad for business. the statement concerning the sale of the project is enough to cause confusion to members and contributors. am aware of SSRA what is their professional advice on this outfit to members of the fund and to the existence of the fund...I think yono would act much smart to see the regulator instead of taking up the deal cause of commission to be earned from the sale of that project. I can bet this decision is a double loss to whoever made it go publicly.
@ceciliakabyemela9793
@ceciliakabyemela9793 7 лет назад
Henry Maro vision and wisdom have left the building. This project would have been a huge investment for nssf if one looks beyond cutting the nose to spite the face
@leriq1
@leriq1 7 лет назад
well said bro.
@dawoodtekakie4012
@dawoodtekakie4012 6 лет назад
Henry Maro sijui nan yupo nyuma ya yono ila kiukweli saiz yao ni kushika magari barabaran, by way kila mbuzi anakula kulingana na kamba yake na huyu mama sio mchaga kama mnavyo sema i think ni mnyaki
@sammytiger92
@sammytiger92 5 лет назад
Henry Maro Wee👉😈😈😈😤!!!.Hakuna Mnyaki aitwae Mushi.mxcuuu.
@footmobonline
@footmobonline 3 года назад
😂😂😂 Kwani wakiongea kiswahili kuna tatizo gani? Okay na huyo mama $350 ndo imetumika kujenga huo mradi. Anajua dollar 350 ni sawa na laki 8😁😁😁
@ayoubrogath4297
@ayoubrogath4297 7 лет назад
$350=1061268/= wabongo itawashinda milioni moja ngoja nimuibie bi mkubwa😁😂😁😂😁😂 kidhungu hakihitaj mbwembwe
@mrsnam6897
@mrsnam6897 3 года назад
Ivi ni kweli usd 350 tuh raha kweli
@faidamanoni2285
@faidamanoni2285 7 лет назад
UK anayomaanisha ni Ukerewe
@annaniamax8228
@annaniamax8228 7 лет назад
ahahahahaha nadhan ,
@doreenmganga1100
@doreenmganga1100 7 лет назад
Hahahahahaaaaaa
@huaweiphone1459
@huaweiphone1459 5 лет назад
Hahahaha mbavu zangu mwemwe
@waridi2644
@waridi2644 3 года назад
Nafikiri aliimanisha Ukonga..😀
@radhiasalum833
@radhiasalum833 7 лет назад
haya kwa wale wenye uwezo.sie acha tukae manzese tu.maana hizo nyumba unaweza pata kisha utakosa usingizi hahahaa
@daniellewiskubojakuboja7427
@daniellewiskubojakuboja7427 4 года назад
Jamaa anashindwa hata na kale kabinti kangu ka darasa la 3
@kibidyaabdul5737
@kibidyaabdul5737 6 лет назад
Hao wazungu walio katwa kimeo huwezi pata mwekezaji kwa makodi ya nchi him hicho kijiji kimilikiwe na ccm au serikali
@stingosmatingas5569
@stingosmatingas5569 7 лет назад
sio rahisi mradi kama huo mwekezaji kastuka huko baaada ya mwaka ataambiwa kaibia serekali kodi
@remedymoody
@remedymoody 7 лет назад
Mmhh! Kithungu 🤔
@fastfacts1967
@fastfacts1967 7 лет назад
May be the guy meant to say 15 days instead of years.:-)
@richhustl1931
@richhustl1931 4 года назад
I'm telling you😂😂😂😂
@arushanioshaka5600
@arushanioshaka5600 4 года назад
@@richhustl1931 so its going to finish in 15 years ?
@dilliwa
@dilliwa 3 года назад
Dah jama-jama... Nyeee.
@zuriathzubeir3702
@zuriathzubeir3702 6 лет назад
Mmmmmmmmm? More than 15 years
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 года назад
Njoo tuuchukue mradi basi
@extramen5534
@extramen5534 6 лет назад
A,ahaaa watanzania, hawana maisha hayo. Wapangaji wa nyumba hizi kwa walengwa ni tatizo. Sababu mtanzania akiwa na uwezo wa kumiliki gari zaidi ya moja, basi kinachofuata ni kuwa na nyumba yake mwenyewe sio kupanga tena, Tanzania ardhi ni kubwa ukiwa na pesa ya madafu tu unajenga mjengo wa kifahari. wenye shida ya nyumba Tanzania ni makapuku, na sio wenye kazi Selikalini.
@kibidyaabdul5737
@kibidyaabdul5737 6 лет назад
Serikali ichukuwe huo mradi iwape mikopo wafanyazi kwa kipindi cha miaka 20.ila kwenye maduka na malls wapangishe wamalizie kwa ununuzi mmoja moja panatisha huko
@godfreyaloyce5032
@godfreyaloyce5032 5 лет назад
haina noma mbona wageni wanaongea kiswahili broken na tunawapigia makofi acheni hizo this is business.... as long as umeelewa watu tunasonga mbele "NUNUA APARTMENT NCHI YETU IPATE MAPATO" na NSSF pia...... miradi ikue.
@frankd1156
@frankd1156 5 лет назад
Duh jamani acheni kiingereza...aibu
@godfreywebiro4058
@godfreywebiro4058 7 лет назад
😀😀😀😀 usd 300???. mama sema basi kama m.au laki
@Lukind47
@Lukind47 Год назад
Mradi unathamani ya us dollar 350....dah! Kweliii
@kevinephily8357
@kevinephily8357 Год назад
kweli dalali ni dalali tu, hawa watu huwa hawana any official credential for marketing zaidi ya kupiga upatu tu ujanja ujanja mwingi sana mdomoni hii nchi something need to change we should have officially marketing educated brokers udalali huu tatizo ni matapeli waliohalalishwa na nani sijui.
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 года назад
Uko na waswahili wenzako ongea kiswahili acha ujinga lugha yenyewe gongana
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 6 лет назад
Wapi dr.Shika?
@sadamramadhan2754
@sadamramadhan2754 4 года назад
Naona hapo huo mradi apewe magufuli amalizie, hapo ni miezi mitatu tu atakuwa kasha kamilisha, toeni huo mradi kwa serekali naamini raisi wetu anaweza na pia miradi kama hiyo ziwe zinajengwa kwa kila mkoa.
@shabanthomasnjarita1181
@shabanthomasnjarita1181 6 лет назад
huo mradi wa laki 7 inamaana😂😂😂😂 350 USD.
@maxilekanoi8257
@maxilekanoi8257 4 года назад
Shaban Thomas Njarita 350 MIL mzee cyo hyo unayodhani huna akili ya kujiongeza pumbavu
@johnnydepp3218
@johnnydepp3218 7 лет назад
Ongeya luga yako toka lini mwingereza nchini mwake ulishasikya ananongeya luga ya kigeni?
@kelvinkavenga7422
@kelvinkavenga7422 3 года назад
Sasa mbona wewe kiswahili kinakupiga chenga😂😂
@user-ge3ni4qn4u
@user-ge3ni4qn4u 4 месяца назад
Kwa Nini mradi Huu wa sipewe chuo kikuu mlimani
@GONGALIFESTYLE
@GONGALIFESTYLE 4 года назад
Ahaaaa
@deogratiaskatabwa5230
@deogratiaskatabwa5230 8 месяцев назад
Ndege bichi twendee baba
@deongonyani1523
@deongonyani1523 6 лет назад
Mbavu zangu jamani ,kama kakaa nje miaka 15 yuko hivyo je kabla hajaenda alikuaje? Sasa cjui kaja kufanya nini hata cjamuelewa na cjui atarudi tena huko alikoishi kwa miaka 15 , bora kiingereza cha shilole maana hajakaa nje hata mwaka
@elliottrahema
@elliottrahema 4 года назад
Toeni urai pacha hizo zitanunuliwa bila tatizo
@wariobawtanzania5548
@wariobawtanzania5548 7 лет назад
Hivi nyie watanzania hivi kuna mwekezaji yeyote anaweza kuja kuwekeza kupitia kwa broker? sijui tumelogwa? halafu tunasema tumesomea marketing na economics
@sss3s867
@sss3s867 4 года назад
Kwannza mpaka JPM abadilike. Na Kwa kweli ni hatari.watu no waoga. Na WA ya hawana pesa, Kwa sababu mlaji WA chini Yuko Hali mbaya Kwa pesa mfukoni na bank hawakooeshi Kama mkopaji hasomeki.
@samasob8233
@samasob8233 7 лет назад
Acheni urongo.....diaspora hawanunui ng'o mpaka mkubali kwamba watanzania raia wa nje wanahaki ya kuwa na uraia mara mbili. Hamjui kama nchi ni kiasi gani ya talent na pesa mnapoteza. mlipeana marushwa na mpango wenu huo endeleeni nao uwaozee
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 лет назад
Sama Sob wagekubali uraia wa nchi 2 zibgeshachukuliwa
@samasob8233
@samasob8233 7 лет назад
Looong time ago!! tuna usongo na nyumbani lakini ujinga mwingi, hata watu wabishe ni ukweli mtupu!
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 3 месяца назад
Nataka namb ya yono
@jumakittyler69
@jumakittyler69 3 года назад
Hivi nyinyi mbona msiongee kiswahili kizungu waachieni wenyewe shida mnajig'ata mno
@michaelmotika4477
@michaelmotika4477 2 года назад
Ths is too big for yono this project need an internation firm this is not suctioning cars?!
@sinisfatal431
@sinisfatal431 6 лет назад
Hii ndiyo Tatizo la kuchukulia taaluma ya habari kama kipaji wakati unapaswa ukae darasani.Kichwa cha habari hakisadifu yaliyomo ndani nyumba zimepigwa mnada wakati ndiyo wanatafuta mteja what's the freaking heal.
@matobholwamanonu5919
@matobholwamanonu5919 7 лет назад
Tangaza kiingereza wabonga hakuna atakae nunua
@freddymello3227
@freddymello3227 5 лет назад
Matobholwa manonu ananielezea Mimi,acha aendelee,ntanunua hii kitu!
@SEMANKA97
@SEMANKA97 4 года назад
USD 350 nini?
@jaributenanatena
@jaributenanatena 6 лет назад
Tamaa ya kujenga apartment 7,000 kwa mara moja. Kwa pesa hiyo ingetosha kumalizia 1000. Kila wakiuza wanajenga nyingine wasingekwama. Hawana akili ya kibiashara. Poleni kupotea njia ndio kujua njia.
@peterjohn7613
@peterjohn7613 4 года назад
Hivi si muongee kiswahili Jamani hicho kiswanglish wengine hatuelewi
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 7 лет назад
huu mradi umeshindwa mapema sanaa,
@relaxingnaturegreen
@relaxingnaturegreen 6 лет назад
huyu jamaa haishi UK, kiiengereza mbovu kama hiyo haizungumuzwi England, huyu ni kibaraka tu wamemchua mtaani YONA kutafuta biashara. Huwez kiishi England 15 years alafu bado anaongea kiiengereza kama ya chekechea
@GONGALIFESTYLE
@GONGALIFESTYLE 4 года назад
Jamaaa mzushi huyooooo waongeee tuu kiswahili kwa ni tatizo nini wanapata shida thuu na hiyo English
@halithhali8038
@halithhali8038 4 года назад
Habari yako wazima wowo nimependa sana halakini sijajuwa mapema dolangapi please utanijubu
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 4 года назад
Hahahah araundiiiii so wiare happy kama chekechea mkurugenzi wana bod
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Год назад
Huu mradi Ikbari alipora wananchi ardhi zao, matokeo yake nae kapitiwa na magu, dhulma ulipwa hapa hapa duniani
@usindemdamo5299
@usindemdamo5299 Месяц назад
😂😂😂
@reagankihwelo1517
@reagankihwelo1517 6 лет назад
duuu hivi kweli huyu jamaa kwann asitumie lugha yake akaeleweka MTU alieishi UK zaidi ya miaka miwili naongea lugha mbovu kkkkkk kweli ni shiiiiida
@sadamramadhan2754
@sadamramadhan2754 4 года назад
Waje wajenge na Arusha tupate sehem bora ya kuishi.
@adolphdamas7606
@adolphdamas7606 4 года назад
Wajenge ngarenaro
@mcfallenmacha9611
@mcfallenmacha9611 3 года назад
Fifteen years in UK, au alikua houseboy kwneye nyumba ya wabongo tupu na hakuwah kwenda hata Dukani na maybe wabongo hao pia walikua hawapati hata mgeni
@loner_wolf
@loner_wolf Год назад
Usd 350. sidhani kama mama yuko sahihi
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Год назад
Please forgive me. I think this guy has not lived in UK for 15years. His English speaks
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 года назад
Nshomile fom 4 bat no cozy hahahahahahaaaaaa
@loveness6732
@loveness6732 6 лет назад
moyo unauma...kma ndo mzazi umetoa ela alaf kijana wako anarudi na kingereza hicho ..dah
@hongeramgaya714
@hongeramgaya714 6 лет назад
Hahaha siunajua lugha za kujifunza ukubwani haiwezi kuwa original. Ulimi ushakomaa
@christophersayuni9849
@christophersayuni9849 6 лет назад
Lilian Jackson mzazi unajiskia flesh tu bora nicheke tu yu no yu no haaahaa
@longlive_k10
@longlive_k10 6 лет назад
Lilian Jackson 😹😹😹 bora rasi simba angeweza kuwa na gharama ndogo
@marylitty3620
@marylitty3620 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@irenecharles4651
@irenecharles4651 6 лет назад
Ongea tu kiswahili hizo ze ze ze kibaaaao
@ebenezerfreight3309
@ebenezerfreight3309 6 лет назад
Yaani usd 350 ni nyingi mi niwape 3500$ ten times
@godrafael7916
@godrafael7916 6 лет назад
Mbona sijaona mnada zaidi ya maelezo ya mradi.
@jijicool7206
@jijicool7206 7 лет назад
Waswahili jamani. Kwani kosa gani kuongea kingereza. Mradi huu unalenga watanzania na wawekezaji toka nje ya nchi. Kwa hiyo ni bora kwa wale wasiongea kiswahili
@richsoundstudios5871
@richsoundstudios5871 6 лет назад
Hicho kiingerezacha hao jamaa mbona hakijanyooka bora angeongea kiswahili tungewaelewa tu
@domnicabuto859
@domnicabuto859 4 года назад
Its a pity to see you guys struggling to speak English like that. Why don't you just speak Kiswahili a language you are conversant with so as to enable people clearly understand the project. Poleni sana ndugu zangu.
@johnsonjoshua6707
@johnsonjoshua6707 3 года назад
Pesa zetu za mafao zimeishia hukooo..ndio maana hata ukimaliza mkataba wa ajira yako hawana cha kukupa...wajanja wamekula
@philipkomba5525
@philipkomba5525 7 лет назад
dah jamaa kanifurahisha na English take ... nzuriiiiii maana AME Wa over introduce
@hamoudmohamed4916
@hamoudmohamed4916 6 лет назад
Kizungu chenyewe cha darasa la Kwanza kwenda zako huko
@loner_wolf
@loner_wolf Год назад
Huyu mwamba wa united kingdom ninawasiwasi atakuwa tp mazembe, poor english alafu kiswahili anajua na anajikuta aongee tu kingereza ili aonekane labda mkweli.....
@lutusammid571
@lutusammid571 6 лет назад
USDollars 350 si hata mm naweza wekeza kumbe,mama nahisi umekosea Asee
@johnbidya119
@johnbidya119 2 года назад
Izo nyumba ziuzwe wakazi wa magomeni watahamia apo
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@afropanorama4730
@afropanorama4730 7 лет назад
Ongea kiswahili msenge wewe iyo broken yako nenda nayo ukouko UK
@najmabajun1739
@najmabajun1739 6 лет назад
😂😂😂😂
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 6 лет назад
Jamani huu si mradi wa Dr.Shika kweli??!!
@kamanda007
@kamanda007 4 года назад
Boss sio lazima uongee kiingereza, Swahili tutakuelewa tuu
@lebronngambi6955
@lebronngambi6955 6 лет назад
kwann kitu kama icho kisipelekwe njee ya mji jamam kama ni kisarawe Kibaha au bwagamoyo kuliko kulundika kila kitu DSM
@kipendarohotv2669
@kipendarohotv2669 7 лет назад
Kutakua nachumba cha elf30 jamani
@samsamyoo3689
@samsamyoo3689 4 года назад
Tatizo la waswahili wa UK ni kwamba wengi wao hawachanganyiki na watu wengine. Wanazungumza Kiswahili sana huko
@zuriathkajwangya1724
@zuriathkajwangya1724 4 года назад
Kwaiyo na kazi wanafanya na waswahili tu au?
@samsamyoo3689
@samsamyoo3689 4 года назад
@@zuriathkajwangya1724 wanaongea kama hivyo ulivyosikia akiongea ,yaani broken english. ushaelewa sasa.
@zuriathkajwangya1724
@zuriathkajwangya1724 4 года назад
@@samsamyoo3689 ok ila wabongo tunapenda kubeza sana lakini hao wenye lugha yao sasa hata habari hawana as long as anaelewa unachomaanisha twende kazini ila sasa sisi kina yakhe mmmm ni shida
Далее
MIRADI YA NYUMBA ZA NSSF
15:06
Просмотров 15 тыс.
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 257 тыс.
PATA MAKAZI BORA NA YA KISASA KIGAMBONI DAR ES SALAAM
24:57
MAENEO YANAYOLITAMBULISHA JIJI LA DAR ES SALAAM
6:56
Why Nigerians own Empty Mansions in their Villages
25:18
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 257 тыс.