Тёмный
No video :(

KIDOGO KWA MBALIIII: ANGALIA JINSI IBRAHIM CLASS ALIVYO KICHAFUA DHIDI YA SAIDI CHINO (SPARRING) 

IBRAHIM CLASS
Подписаться 2,5 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Ngumi sio uadui, moja kati ya Sparring zangu bora ni hii hapa na Ndugu yangu Said Chino💥👊 Nimejifunza vingi naamini na yeye pia hajatoka patupu, Boxing Life🥊
#2024Tumejipanga

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@liboriusbabile1197
@liboriusbabile1197 2 месяца назад
Ibrahim has Boxing instincts, he has a fascinating talent and fabulous skills. I see him in international levels soon. Next time no matter how skilled he is , head protector is a must.
@HalimaGhalibHalei
@HalimaGhalibHalei 2 месяца назад
Namkubali sana Class,ila nilichokiona kwenye sparring hii Chino ame improve hususani kuikabili Jab ya Ibrah sio kama ilivyokuwa last time alivyopigana ulingoni na Class#teamClassmawe💙
@user-gh6ip5od3y
@user-gh6ip5od3y 2 месяца назад
Classic Mawe mawe unajua sana broooh keep it up now and forever along your career ❤
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 2 месяца назад
wote bado sana wanatakiwa wapambane sana kua wazuri sana 🎉🎉🎉🎉
@KabudukiMwakatapa
@KabudukiMwakatapa 2 месяца назад
Mmetisha san tilipuii lazima tuwachape san mataifa mengine
@IbrahimShan-qu3um
@IbrahimShan-qu3um 2 месяца назад
Good sparing na ujamvalia gard ibrah!! Nomaa
@mudhihirIbrahim-hb7ry
@mudhihirIbrahim-hb7ry 2 месяца назад
Huyo chino siwakumbeza yuko vizuri
@HappyHourTunes
@HappyHourTunes 2 месяца назад
Asante sana tena sana ndugu zangu kwa maoni yenu 🤝🤝🤝🤝
@user-ll6nv9ss8m
@user-ll6nv9ss8m 2 месяца назад
Good job 👍 champion 🏆
@HappyHourTunes
@HappyHourTunes 2 месяца назад
Asante sana ndugu zangu tuko pamoja sana
@user-ig7mj4ve9h
@user-ig7mj4ve9h 2 месяца назад
Kazi nzuri san san
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 2 месяца назад
Kama sio saidi kucheza kwa kujishindia ndani sana sparing ingekua nzuri zaidi.Acheze na ibara kwa kuachia mwili ngumi nyepesi lkn zitoke nyingi nafasi ikiruhusu vigongo moja moja lkn ili awe karibu kimashambulizi lazima aandae ulaini wa mwili na mikono na miguu ihame sio Akite
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 2 месяца назад
Ibra mawe Munguakujalie ufike mbali uwe namba Moja duniani sema usiwe na majigambo kama wengineo
@AmaniCosmetix
@AmaniCosmetix 2 месяца назад
Safi2
@ismailsultani-kr9jl
@ismailsultani-kr9jl 2 месяца назад
Up vizuri kaka ila unapo zingua ap kumu wekea mpizan kisogo waka una mtoka kuwa makini na ilo2 ila kwengine sija ona bado
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 2 месяца назад
Uzuri Gani kaka ........angalia vzr hii sparing .....angalia mwisho kabisa ngumi alizopiga chino.... Chino akibadilisha kocha uyu jamaa hatoboi.
@championchumalaizerlazier3537
@championchumalaizerlazier3537 2 месяца назад
Makini sana🎉🎉🎉
@user-fk3mx2hq1d
@user-fk3mx2hq1d 2 месяца назад
Chino kapigiwa tena,ibra Yuko very smart
@MlongaMawe
@MlongaMawe 2 месяца назад
Good job
@SamwellubigisaLubigisa
@SamwellubigisaLubigisa 2 месяца назад
Bondia mwenye stamina zake ndo uyu jamaa,, nakukubari sana mwanangu,, ongeza bidii ipo siku utakalisha watu wanaotamba kila siku
@HappyHourTunes
@HappyHourTunes 2 месяца назад
Pamoja sana ndugu
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 2 месяца назад
Chino amekamia sana..ibra karelax
@Manimajura
@Manimajura 2 месяца назад
Chino anahitaji ku improve guard yake. Kichwa chake kiko wazi sana ni easy target
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 2 месяца назад
Jab ya ibrah hailali. Jab ndio ngumi kuu katika boxing..
@Ybsgibsondaniely
@Ybsgibsondaniely 2 месяца назад
..nakukubal kinoma yaan king stone kwa hapa tz sion levo zako bro
@manozamwinyimvua7143
@manozamwinyimvua7143 2 месяца назад
Dah Class ni mtu na nusu yani kijana anakipaji kikubwa sana, anakila kila ambacho boxer anatakiwa awenacho....ana speed, power, target and control...upepo ndio usiseme Allah amfikishe mbali sana mi ni mshabiki wake mkubwa sana napenda sana kumuona yuko ulingoni nainyoi science tamu😊
@KidundaIssa
@KidundaIssa 2 месяца назад
Hi
@sostenkyando2969
@sostenkyando2969 2 месяца назад
Chino asingekuwa na guard angevimba saana zimempata nyingiii
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 2 месяца назад
Mbona kama za ukweli
@relaxstarman
@relaxstarman 2 месяца назад
Harafu dogo chino anataka game da si atapigwa kama ngoma
@Bondia_mrembo
@Bondia_mrembo 2 месяца назад
🔥
@isihakamohammedy6322
@isihakamohammedy6322 2 месяца назад
Oyqa uyu Chino kumamamamamake ananispire sana
@abdulmanota3342
@abdulmanota3342 2 месяца назад
Davic sio kiaz kaka
@Tzn255
@Tzn255 2 месяца назад
Kitu hujabalikiwa ni Cross
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 2 месяца назад
Hook na upper cut kali anazo juma choki
@makwegarashid-ui1oe
@makwegarashid-ui1oe 2 месяца назад
Broo hiz clips za kuzikata zisiwe full hivi unauza siri kwa maadui kaka. Ila performance nzuri sana wote mpo strong but classic Anajua sana
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 2 месяца назад
Fight zake zote ziko RU-vid...na kwny fight ndo unaonydha skillz zote....na hakuna kitu kipya .....alichoonyesha humu.,....
@OmaryNaziru
@OmaryNaziru 2 месяца назад
Watakuwa na game zakitaifa wanajiandaa
@Abbasbakarsth
@Abbasbakarsth 2 месяца назад
Ibra kapigwa
@colmanrichard7827
@colmanrichard7827 2 месяца назад
Miongoni mwa vipaji tunavyojivunia Watanzania ni kipaji cha Ibrahim Class maarufu kama (Mawe/👑 Class) We jamaa una ki2 na kwa mapenzi ya Mungu utatuwakilisha vyema na kufika mbali. Usijibizane nao kwa Ngebe bali wajibu ulingoni kwa Mawe👊
@HappyHourTunes
@HappyHourTunes 2 месяца назад
Asante sana ndugu zangu
@heistpointstrategies9104
@heistpointstrategies9104 2 месяца назад
Unajua mpk unapitiliza Ibrahim class Mawe
@kassimabdallah1075
@kassimabdallah1075 2 месяца назад
Lakin said Chinno mmachukuliaje
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 2 месяца назад
Chino ...anaskillz na ukimtazama anavutia he's intertwining the audience...
@MubarakaAbdallah
@MubarakaAbdallah 2 месяца назад
King class anatisha anatakiwa akapigane na kina Davis uko marekani
@SabanAmir-mv9lw
@SabanAmir-mv9lw 2 месяца назад
Wote mko pw ila jitahidin kutupa sparring zenu mtandaoni
@rajabshunda3933
@rajabshunda3933 2 месяца назад
Hiyo jab ninoma
@novatilyamuya3491
@novatilyamuya3491 2 месяца назад
Chino akubali to alipigwa ata gem akirudiwa atakuwa anata ella to sio kushinda
@fahamnitwahir9249
@fahamnitwahir9249 2 месяца назад
Hata kama ibrah yupo vizur lkn said chino sio bondia wa kumbeza,yupo sanaaa na naamin ikitokea rematch atatoa upinzan mkubwa sana
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 2 месяца назад
Chino makosa yake ni Yale Yale...jab yake inalala sana...na chino habadiliki akiwa mchezoni......alitakiwa afanye caunter jab za mpinzai....kitu ambcho chino hafanyi.... Ibra sio mbondia wa kutisha...hvyo ila anachommudu chino ni kua anampiga hard jab nyng mno....nq chino anazpokea .....,.uyu ibra akikutana na bondia kama kiduku ....au Pius moenda..ahahaha Hyo ni TKO au KO
@iddyhussein7282
@iddyhussein7282 2 месяца назад
Sio chino huyo acheni uzushi.
Далее
버블티로 체감되는 요즘 물가2
00:15
Просмотров 1,6 млн
Кого из блогеров узнали?
00:10
Просмотров 660 тыс.
ANGALIA NA JIFUNZE JINSI YA KUJIHAMI NA ADUI
4:11
Просмотров 52 тыс.
Every Martial Art Type Explained in 12 Minutes
12:44
Просмотров 863 тыс.
ROBOTI WA CHUO🤖😂Part7
2:34
Просмотров 7 тыс.