Тёмный
No video :(

MASKANI KWANGU EP. 1(b) | UKWELI KUHUSU MAISHA YA IBRAHIM CLASS 

IBRAHIM CLASS
Подписаться 2,5 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

#Inspiration #IbrahimClass #Ngumi
Karibu kwenye Episode ya kwanza ya "Maskani Kwangu" Podcast ambayo mimi, Ibrahim Class, nimeshea safari yangu yote ya maisha yangu. Kuanzia nyakati ngumu nilizopitia, mapambano ya kimaisha, na ushindi nilioupata nje ya ulingo wa ngumi, hadi ndoto ambazo ninaziishi na nilizokuwa nazo.
Katika sehemu hii ya kwanza, nimeelezea changamoto nilizokutana nazo katika malezi yangu na baba yangu, jinsi nilivyompoteza mama yangu na mdogo wangu, pamoja na njia zilizonifanya kuwa bingwa huyu unayemfahamu leo. Pia, utapata kujua kuhusu maisha yangu ya kimapenzi, watoto wangu, na ndoto zilizonifanya nisikate tamaa.
Jiunge nami nitakapokupitisha katika nyakati mbalimbali, nikiwa juu na nikiwa chini, nyakati za kucheka na zile za kulia, na kila kitu kilichopo katikati ya maisha yangu.
Usisahau kuLIKE, Comment, na kuSubscribe kwa ajili ya episodes nyingine.
#MaskaniKwangu #IbrahimClass #SafariYaMaisha #Ngumi #Inspiration

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 6   
@PaulCharles-ox9pg
@PaulCharles-ox9pg Месяц назад
Noma sana champion wote ndo hvyo maisha yetu
@Bondia_mrembo
@Bondia_mrembo Месяц назад
😂😂😂 pole ila hao dada zako sio poa
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 19 дней назад
Spidi ya kuongea ni ngumu lakini jitahidi ipungue
@Betty-x9z
@Betty-x9z Месяц назад
Nakumbuka alikupaga suruali yake Uvae ili uje Dar😂😂😂
@Betty-x9z
@Betty-x9z Месяц назад
Lakini hata yeye zilikua ni akili za kitoto coz alikua mdg Sana kipindi hicho
@ibrahimuclass_
@ibrahimuclass_ Месяц назад
Ni kweli😅
Далее
THERE IS HOPE AHEAD JIMMY WANJIGI ASSURED KENYANS
31:37