Тёмный

Kifo cha Suluhu 

MAWANDA YA LUGHA TV
Подписаться 969
Просмотров 4,6 тыс.
50% 1

Hadithi ya kifo cha Suluhu inaangazia madhara ya tamaa na kisasi. Inadhihirisha ukweli wa methali kuwa tamaa mbele mauti nyuma. pia mwandishi anathibitisha kuwa suluhu ya matatizo yetu ni kifo cha tamaa na kila mmoja wa jamii anafaa kuwajibika vilivyo ndipo tuwe na maisha mema.

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@billiahkerubo9516
@billiahkerubo9516 Год назад
Kazi nzuri sana walimu
@MusaHussein-wb3xj
@MusaHussein-wb3xj Месяц назад
Good job ❤
@kafiyo5052
@kafiyo5052 Год назад
Ahsante mwalimu alafu tuingia kartasi ya kwnza...new member
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Karibu ukumbini. Asante
@chachamongosi1648
@chachamongosi1648 Год назад
Kazi nzuri Bi Chan
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Twashukuru
@stellakendi5138
@stellakendi5138 3 месяца назад
Ongera walimu
@BeccyBeline
@BeccyBeline Год назад
Thanks 😊
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Welcome Beccy.
@billiahkerubo9516
@billiahkerubo9516 Год назад
Maudhui ya uongozi mbaya
@billiahkerubo9516
@billiahkerubo9516 Год назад
Huenda ikawa kuwa kifo cha mke wa suluhu ambaye alikuwa ametamauka kungekuwa suluhu kwa familia yake kwa vile suluhu angewashughulikia watoto wao aliowatelekeza
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Kweli kabisa Biliah
@billiahkerubo9516
@billiahkerubo9516 Год назад
Wanaeneobunge la Suluhu walikosa suluhusho la matatizo yao kwa kumchagua Suluhu kama kiongozi wao kwa vile hulakuleta suluhu lolote kwenye eneobunge hilo
@dorinechan7653
@dorinechan7653 Год назад
Naam,hakuleta suluhu kwao. Alimuua mamake Abigael. Alitelekeza familia yake,watoto na mkewe. Suluhu anapunja wananchi ili ajikimu katika anasa. Alijiendeleza katika anasa na uasherati na wanawake wa chuo kama abigael. Alinyakua shamba la mamake Abigael. Suluhu alishiriki katika uavyaji mimba ya wanachuo kama vile Abigael. Zingatia uozo unaoendelezwa na suluhu
@billiahkerubo9516
@billiahkerubo9516 Год назад
Mke wa suluhu alikuwa na uwezo wa kumuua Suluhu kwa kumtilia sumu kwa chakula kama alivyokiri kwenye barua lakini akaamua kuacha kwa vile kifo hicho hakingekuwa suluhu kwa matatizo yao ya kindoa
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Ukweli
Далее
UCHAMBUZI WA HADITHI YA AHADI NI DENI
47:53
Просмотров 2,8 тыс.
SABINA
34:09
Просмотров 2,6 тыс.
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 21 млн
Hadithi ya Harubu ya Maisha na P. M Mutua
42:56
Просмотров 2,5 тыс.
LUHYA BUKUSU SHORT FILM # DOWRY -BUKHWE
52:17
Просмотров 551 тыс.
Kwanini nakosoa serikali nikiwa nje ya nchi?
6:31
Просмотров 48 тыс.
Uchambuzi wa hadithi ya Nilitamani
33:24
Просмотров 3,2 тыс.
Mzimu wa Kipwerere
47:42
Просмотров 7 тыс.
Nipe Nafasi
39:53
Просмотров 3,6 тыс.