Тёмный
MAWANDA YA LUGHA TV
MAWANDA YA LUGHA TV
MAWANDA YA LUGHA TV
Подписаться
Karibu katika Ukumbi huu wa Mawanda ya Lugha ya Kiswahili ambao unaangazia vipengele vyote vya lugha kwa mjibu wa mtaala wa elimu nchini Kenya vikiwemo uchambuzi wa vitabu vya fasihi andishi, fasihi simulizi, mashairi, matumizi ya lugha na insha. Hata hivyo, ni lengol letu kuwa wote wanaokienzi Kiswahili wanufaike katika ukumbi huu. Kutana na wanajopo wa ukumbi huu ambao ni walimu wenye tajiriba ndefu ya ufundishaji na utahini wa Kiswahili katika shule za upili nchini Kenya. Jopo hili linaongozwa na ndugu mwelekezi mwalimu John Nyandwaro kutoka shule ya upili ya mseto ya Nyarongi, Migori (0725625733), Mwalimu Dorin Chan-shule wa shule ya upili ya wasichana Kadika,Migori (0712962427), Mwalimu Silanus Migiro kutoka Shule ya upili ya Mseto ya Opolo ,Migori, (0701095183), mwalimu Don Oiriga wa shule ya upili ya wasichana ya Moi Suba, migori (0725362484), Mwalimu Mokua kutoka shule ya upili ya Rapogi (072133351) na wengineo.
Uchambuzi wa Hadithi ya Pupa
45:14
Год назад
Nipe Nafasi
39:53
Год назад
Kifo cha Suluhu
47:03
Год назад
Mzimu wa Kipwerere
47:42
Год назад
Kila Mchezea Wembe
38:50
Год назад
SABINA
34:09
Год назад
MAPAMBAZUKO YA MACHWEO
42:19
Год назад
MSIBA WA KUJITAKIA
46:48
Год назад
Fadhila za Punda
50:40
Год назад
Комментарии
@NassibMohamedWakusala-dd6if
@NassibMohamedWakusala-dd6if 29 дней назад
Tafadhali walimu wapendwa ukipewa alama ishirini unatoa hoja ngapi?
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 28 дней назад
@@NassibMohamedWakusala-dd6if Tunashukuru pia.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 28 дней назад
@@NassibMohamedWakusala-dd6if : iwapo swali ni wazi basi hoja ziwe 20.
@NassibMohamedWakusala-dd6if
@NassibMohamedWakusala-dd6if 29 дней назад
Mungu awabariki kazi nzuri sana
@MusaHussein-wb3xj
@MusaHussein-wb3xj Месяц назад
Good job ❤
@ApungureAloker
@ApungureAloker 2 месяца назад
Nice play
@JemmyWattanga
@JemmyWattanga 2 месяца назад
I love the content by jimmy Lowell 3green Rapogi
@SophiaAdhiambo-i8k
@SophiaAdhiambo-i8k 2 месяца назад
Kazi safi ...Mimi ni Denison Okuku kidato Cha pili indigo
@estherpyeko2583
@estherpyeko2583 3 месяца назад
Jambo chanya la ukuzaji misitu
@stellakendi5138
@stellakendi5138 3 месяца назад
Kazi Safi
@AlvinMatu
@AlvinMatu 3 месяца назад
MNAWEZA KUTUSAIDIA NA JINSI YA KUJIBU MASWALI
@stellakendi5138
@stellakendi5138 3 месяца назад
Ongera walimu
@ju5tu5mangi90
@ju5tu5mangi90 4 месяца назад
Uchambuzi mzuri. Kongole
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 3 месяца назад
Asante sana
@nancyodoyo3893
@nancyodoyo3893 6 месяцев назад
Tafadhali mwalimu chan naomba unisaidie kuchambua nguu za jadi,ni phylis mwanafunzi wako,asante
@nancyodoyo3893
@nancyodoyo3893 6 месяцев назад
Nimefadika sana ni phylis
@nancyodoyo3893
@nancyodoyo3893 6 месяцев назад
Mwalimu Asante tafadhali pia nguu za jadi
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 6 месяцев назад
Karibu sana Phylis. Endelea kutufuatilia. Tunapanga kufanya Nguu za Jadi.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 6 месяцев назад
Tunapanga kuchambua riwaya ya Nguu za Jadi na Tamthilia ya Bembea.
@ShilaKageah
@ShilaKageah 9 месяцев назад
Kazi nzuri saana
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 9 месяцев назад
Shukrani sana Sheila. Asante pia kwa kukubali kuwa shabiki wetu.
@meraNaz-rh1yi
@meraNaz-rh1yi 9 месяцев назад
Thanks,you guys have really helped me
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 9 месяцев назад
Tunakushukuru kwa kukubali kuwa shabiki wetu.
@MegaPapajohns
@MegaPapajohns 9 месяцев назад
kazi nzuri lakini ningeomba muthibitishe ukurasa katika maudhui
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 9 месяцев назад
Asante sana ndugu. Tutajaribu ingawa muda wa kufanya hili huwa changamoto.
@magdalinejepkosgei9502
@magdalinejepkosgei9502 9 месяцев назад
Kazi safi...endeleeni vivyo hivyo
@quicknetcomputers3626
@quicknetcomputers3626 10 месяцев назад
Kazi safi mtemi....
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 10 месяцев назад
Nashukuru kaka julius
@isakaronald3477
@isakaronald3477 10 месяцев назад
Kazi kuntu. Kazi safi kama sufi
@aggreyomarijunior6484
@aggreyomarijunior6484 10 месяцев назад
Kazi kuntu wanajopo.Mzidi kuwa mwanga katika tasnia hii. Nawarai mfanye uchambuzi wa riwaya ya NGUU ZA JADI sura baada ya sura.Mtemi wasalimu Dada Chan,Kaka Don Oiriga Mnenawazi,Salanus Migiro.Nyinyi m wa maana sana.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 10 месяцев назад
Asante. Tumeweka mikakati, tutafanya hivyo.
@dorinechan7653
@dorinechan7653 10 месяцев назад
Asante mwenzetu,mwongozo wa nguu za jadi utatoka mwakani. Moto kama pasi❤
@bananapeel02-02
@bananapeel02-02 10 месяцев назад
Kongole walimu. Mmechambua hadhi hi vyema kabisa.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 10 месяцев назад
Asante kwa kufuatilia.
@johnoyaro9648
@johnoyaro9648 11 месяцев назад
Kazi nzuri hii
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 11 месяцев назад
Asante kaka. Pamoja tukijenge Kiswahili.
@theornams1536
@theornams1536 11 месяцев назад
Kazi safi sana..
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 11 месяцев назад
Asante sana ndugu kwa kushabikia kazi yetu.
@aristapedro1002
@aristapedro1002 11 месяцев назад
Ninawaona kaka. Arisa
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 11 месяцев назад
Asante kaka Arisa.
@EmmanuelMuchitsa
@EmmanuelMuchitsa Год назад
😊😊😊
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante.
@BeccyBeline
@BeccyBeline Год назад
Thanks 😊
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Welcome Beccy.
@ESTHEROSORO-fe9vf
@ESTHEROSORO-fe9vf Год назад
Kazi njema wanajopo
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana dada Esther kwa kukubali kuwa shabiki wetu.
@roseawuor6020
@roseawuor6020 Год назад
Kazi nzuri Bwana Nyandwaro na wanajopo.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
@@roseawuor6020 asante sana mwalimu. Tunashukuru.
@stephenwangari9495
@stephenwangari9495 Год назад
Kimada ni nini?
@dorinechan7653
@dorinechan7653 6 месяцев назад
Malaya
@BoazNyangau-fj2om
@BoazNyangau-fj2om Год назад
Safi
@BoazNyangau-fj2om
@BoazNyangau-fj2om Год назад
Safi sana shehe nimeweza kufaidika sana kutokana na hizi video zenu mm n Dickson mwanafunzi wako
@LevyOkongo
@LevyOkongo Год назад
really interesting 🤔 I love this... thank you ❤
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Tunashukuru pia kwa kukubali kuwa shabiki wetu. Karibu kwenye ukumbi huu.
@BoazNyangau-fj2om
@BoazNyangau-fj2om Год назад
Asanti sana shehe,n nyangau
@BoazNyangau-fj2om
@BoazNyangau-fj2om Год назад
Ni Dickson mwanafunzi wa shehe,asanti sana walimu wetu endelea tu na huyo moyo wa kutusaidia hili tuweze kufaidika katika masomo yetu
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Kwema kijanangu. Endelea kufuatilia uchambuzi wa hadithi zote.
@simonkahinga8401
@simonkahinga8401 Год назад
kazi nzuri ila katika utangulizi mwasema '' karibu katika uchambuzi wa riwaya ya....'' hii ni hadithi fupi na wala sio riwaya. nadhani ni haraka ya uandishi
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante. katika harakati za uploading kosa hili lilifanyika. Karibu kwenye ukumbi huu mwalimu.
@NasriMohamed-d7q
@NasriMohamed-d7q Год назад
Shukran
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Karibu kwenye ukumbi huu kaka.
@BoazNyangau-fj2om
@BoazNyangau-fj2om Год назад
Safi sana shehe
@BoazNyangau-fj2om
@BoazNyangau-fj2om Год назад
Safi shehe
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Sawa kijana. Alama nzuri nategea.
@sheila4139
@sheila4139 Год назад
Asante
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana Sheila kwa kukubali kuwa shabiki wetu.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana Sheila
@sheila4139
@sheila4139 Год назад
@@mawandayalughatv halafu nikuulize mwalimu, serikali inaeza nikubalia nirudie form 4 mwaka ujao ,,juu nilifanya form 4 2020 na ninataka kurudia kuna uwezekano
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
@@sheila4139 : inakubalika ila utajilipia hela za mtihani.
@ALFONCEMUTINDA-b2e
@ALFONCEMUTINDA-b2e Год назад
Nina swali kama mwanafunzi hilo swali kuhusu madhari ya pango katika hadithi hii.naomba kujibiwa wenzangu
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Baadhi ya hoja: Madhari haya yanaendeleza maudhui ya uharibifu wa mazingira-Makutwa anachimba migodi bika kujali usalama wa mazingira. 2. Yatumiwa kujenga sifa za wahusika-kwa makutwa ni katili, anashirikisha vijana katika uchimbaji migodi badala ya kuwa shuleni. Nk..
@karugake6891
@karugake6891 Год назад
Mbona mwandishi akatumia mtoto kuwa msimulizi?
@christinemutunga4813
@christinemutunga4813 Год назад
Wow ❤
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante kwa kukubali kuwa shabiki wetu.
@NyundobinTwanga
@NyundobinTwanga Год назад
Nimependa kazi hii, sana! #NyundobinTwanga
@NyundobinTwanga
@NyundobinTwanga Год назад
Kazi nzuri sana. Endeleeni hivyo hivyo. #NyundobinTwanga
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana bwana Nyundo bin Twanga, pamoja tuendelee kukitwanga Kiswahili.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana kaka na kukubali kuwa shabiki wa Channel hii yetu. Shukrani za dhati.
@NyundobinTwanga
@NyundobinTwanga Год назад
#NyundobinTwanga
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Fuatulia vipindi, jifaae kifasihi.
@susanmoraa4178
@susanmoraa4178 Год назад
Karibu sana
@susanmoraa4178
@susanmoraa4178 Год назад
Kazi ya kusisimua kwelikweli
@annaajwang
@annaajwang Год назад
Am proud of my teacher Mrd Chan
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Tunashukuru kwa kauli yako hii.
@VinnyCheruu-uq3le
@VinnyCheruu-uq3le Год назад
Sadakta
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana Vinny kwa kukubali kuwa shabiki wetu.