Huu ni uchambuzi wa hadithi ya Nipe Nafasi. Hadithi hii anaangazia nafasi ya mwanamke katika jamii. Mwanamke hana sauti katika jamii. Katika jamii ya Msimulizi inaaminika kuwa kila analofanya mwanamke liwe baya au zuri lazima apate kibali kutoka kwa mmewe. Mamake Msimuzi (Mama Kazili) anaamwa kwenda kinyume na imani hii potovu na kuamwa kutafuta kazi kinyume na idhini ya mmewe ili akimu familia yake.
12 окт 2024