Тёмный

Uchambuzi wa hadithi ya Nilitamani 

MAWANDA YA LUGHA TV
Подписаться 969
Просмотров 3,3 тыс.
50% 1

Huu ni uchambuzi wa kupigigwa mfano wa hadithi ya Nilitamani. Tumani ni mhusika msichana ambaye amejipata katika hali ya kutamani takribani kila kitu. Tumaini anatamani apate kazi, mali, nyumba na hata mume mzuri wazae na watoto. Tumaini akiwa katika hali hiyo anakutana na Romeo ambaye baadaye Tumaini anagundua kuwa ni jini.

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@fredmwangi3536
@fredmwangi3536 Год назад
Tupe mauthui yanayo jitokeza kwa hadathi ya mapambazuko ya machweo na Ahadi ni ndeni
@NyundobinTwanga
@NyundobinTwanga Год назад
Kazi nzuri sana. Endeleeni hivyo hivyo. #NyundobinTwanga
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana bwana Nyundo bin Twanga, pamoja tuendelee kukitwanga Kiswahili.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana kaka na kukubali kuwa shabiki wa Channel hii yetu. Shukrani za dhati.
@orengenyakangi7048
@orengenyakangi7048 Год назад
Kazi nzuri
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante kaka
@VinnyCheruu-uq3le
@VinnyCheruu-uq3le Год назад
Sadakta
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana Vinny kwa kukubali kuwa shabiki wetu.
@theornams1536
@theornams1536 11 месяцев назад
Kazi safi sana..
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 11 месяцев назад
Asante sana ndugu kwa kushabikia kazi yetu.
@solomononkanya9654
@solomononkanya9654 Год назад
Kazi safi
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana kaka Solomon, pamoja tukijenge Kiswahili.
@ju5tu5mangi90
@ju5tu5mangi90 4 месяца назад
Uchambuzi mzuri. Kongole
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 3 месяца назад
Asante sana
@AlvinMatu
@AlvinMatu 3 месяца назад
MNAWEZA KUTUSAIDIA NA JINSI YA KUJIBU MASWALI
Далее
Nipe Nafasi
39:53
Просмотров 3,6 тыс.
Nguu za Jadi Full Movie ||KCSE2024
59:31
Просмотров 104 тыс.
Uchambuzi wa hadithi ya Toba ya Kalia
38:11
Просмотров 2,9 тыс.
Kila Mchezea Wembe
38:50
Просмотров 5 тыс.
Uchambuzi wa Hadithi ya Pupa
45:14
Просмотров 4,3 тыс.
Fadhila za Punda
50:40
Просмотров 4,8 тыс.
Sabina | Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
9:04
UCHAMBUZI WA HADITHI YA AHADI NI DENI
47:53
Просмотров 2,8 тыс.
Faida ya Kufunga. Pr David.
19:23
Просмотров 77