Niambie profesa aliyefanya makubwa kwenye Nchi hii na yumo ndani Kwa kifungo! Na usimtaje Mungu Karia wewe ni mnafiki tu! Na Mungu atakunyoosha sana na timu lako bovu.
Watu wana muoneahuruma manaratuu lkni yulekiroporopo mbona akina maiko wambura, kitumbo, rais aliemtangulia karia nawengine wengi akiwemo kiongozi wayanga manji na imani Madagascar wakowapi sasa why manara kwani ni mungu wampira watz. Itabidi tusime albadiri sasa ili huyo manara afe ksbisa , kwasababu yeye ndio chsnzo chahuu ushabiki wakutamkiana maneno yqhovyo . Zamani hatukuwa nautani wakuitana makoro sijui gongowazi utopolo. Yeye ndootqtizo kutoleanalugha zahovyo
Karia we ni mnafiki tu na unachuki na manara acha roho mbaya kwa kiuwezo wa kipesa humfikiii embu acha ubaya na manara Mungu atakuhumu vby sana we subiri tu
Jamal Malinzi nae alikuwa anachuki na Haji ?? alimfungia miaka 7 nae vile vile alikuwa anachuki ?? acheni ushabiki wenu wa kisenge km mnawatetea waliofungiwa wateteeni wote Kitumbo,wambura,shaffih dauda n.k siyo mnaleta vicoment vyenu vya kichoko choko apa
Watanzania hizi issue zenu za kupindisha sheria kutokana na umaarufu wa mtu ndio maana hamuendelei tuwe straight.Karia anauliza swali nzuri why Haji kwann wasiwe hao wengine wanahabari mnacheka kwa dharau mnashindwa kujenga hoja.wanahabari ndo mnaharibu sana soka letu.
Doh, tatizo la karia ana hasira sana, ukimuhoji ni mwepesi kupanic...kiongozi hapaswi kuwa hivyo....Kwani mtu akifungiwa usemaji hawezi kuwa mshabiki au kutoa maoni mitandaoni kama mshabiki..!
Ata ukimskikiza unaona anachuki pinafsi mpaka mtangazaji amekuelewa kuwa haj unasema hana akili ila mwenye kujisifia huwa kila siku ndo mjinga. Na hayo yote subiri mtayapata akisha toka madarakani kwa sababu hao hao wasaidizi wake anataja ndo wat1tupa ukweli.
Huyu nikiongozi asie jua mpira na mungu ata mhukumu anawafungia sana watu kujihusisha na mpira kama eye ndie aliye wafanya waupende mpira mungu anakuona
Zile media zilizoendelea huwa zinaweka waandishi mahususi kwenye mahojiano mahususi kama haya. Huyu ni rais shirikisho letu inakuaje mnamuweka mwandishi ambae hajui hata sheria za mpira au TFF? Hata kama mnataka kufanya utetezi kwa mtu fulani sio sawa hata kidogo kuleta mabishano kama mko kijiweni bana. Ndio karia anawezakuwa anakosea ila kwa namna mahojiano mlivyoyafanya hakika mmeniangusha sana. Yawezakuwa mnatumika ila tumikeni kwa kutumia maarifa. Clouds nikubwa sana msifanye tuamini mmefika mwisho wa ubunifu
Nikulize swali tu karia anaingia madarakan akakuta haji kafungiwa miaka 7 akawambia kamati huyu haji anarufaa yake mbona amuiskilizi kuskizwa haji katoka baada ya hapo kasahau ubinadamu enda mfokea rais wa tff mbele ya adhara mbele ya waheshimiwa wabunge wakuu wa mikoa nk bado mwasema kaonewa na upande wa kutumikia adhabu kweli haji hatumikii adhabu mpaka leo anajiusisha na yanga hakuna mtu asojua kwaio akitaka adhabu ishe akalipe faini anze kutumikia adhabu
Ipo siku utajibu hoja kw mungu kama aliomba razi kw nini mshindwe kumsamehe wew unajifanya mungu mtu ila kuna kifo shehe wangu tubu zambi zako kazi nisehem ya mtihni uo ni mtihn kwko
kamati hiyo ilikuwa yakipuuzi sana,,kwamaana tuliona wote mkitoleana maneno,na ata kutaka kupigana,sasa iweje akaliwe kikao mtu mmoja,,ata ww ulikosa heshima na adabu kama raisi huwezi taka pigana na mtu unae muongoza,,nawe ulipaswa uadabishwe na kamati ya maadili,ikiwa ni pamoja na kuachia kiti cha uraisi wa TFF
Mpumbavu huyu Hana akili na Na rais mama Samia haoni uonevu huu ,,,msomali mmoja kakimbia vita kwao anakuja kinyanyasa watanzani kwenye ardhi Yao huu niupuuzi
Viongozi wa serikali wanamjuwa huyo wanasubili kipindi cha uchaguzi ndio bay bay huyo msomali hatumtaki anachuki za sio za kitanzania wenyewe tunasameheana
Ndugu yangu karia usiendelee kuwa na chuki na haji, ukiendeleza chuki hata muda wake umeisha itakugharimu, wenye mpira wao hawatakubali, alafu angalia hata kauli zako, unasema umemfungia, alafu unasema kamati Yako umemfungia, kamati inayopokea maelekezo
Tunaiomba serekali ya tanzania iangalie haya anayofanyiwa Haji Manara. Hakika mama Samiya uliweza kulimaliza suala la Feisali la Haji Manara linakushinda?
Jamaa ana roho mbaya kama ngozi ya Futi Kama anapewa Uraisi wa Nchi Wapinzani wote ndani. Maana hakuna mtu anasemwa vibaya kama Raisi wa nchi. Siku azigandi atakuja kujua baadae thulma haidumu.