Hongera kwa movie nzuri. Kaka Kelvin ,dada vick.kwa filamu hii nimejifunza ukweli umwrka mtu huru,pia tuwapende wenzetu kwa kuhakikisha FURAHA zao zinatimia Kama Wanav yotatajia.
Natamani saaaaana sikumoja nionane Na Kevin yani anipe mashauri zaidi kuusu izi muvi zake Namu penda sana kabisa yéyé nimuigizaji wakukamilika amenifunza mengi sana ❤❤❤❤❤
Munazingua kudadek zenu tengenezeni filamu so hizi munazo weka fupi fupi au hamuna aidia ola munazingua kinoma yang fanya kama dada wa kz au kijana masikini au kesho yangu nyie vp ola munazingua sana 😊