Тёмный

KIJANA ANAYEDAIWA KUPIGWA RISASI NA KUPOTEZA MAISHA AKIJIANDAA KWENDA CHUO, "AMEPATA DIVISION 1.7" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 211   
@dicksonisrael5491
@dicksonisrael5491 20 дней назад
Naichukia Ccm Na Kizazi Chake Chote Wananchi Tufanyeni Mabadiliko Katika Uchaguzi Ujao
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 20 дней назад
Ccm inahusika na nini hapo? Hii Kesi wahusika watafutwe haraka 😢
@ZeProDJay
@ZeProDJay 20 дней назад
Shida kuwaondoa sasa ndo tatizo.. maana mizizi yote ya figisu wameishikiria wao 😂
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 20 дней назад
​@@ameirzapy1318sasa hao wanatafutwa na nani kama watafutaji wenyewe hawana ushirikiano
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 20 дней назад
@@athumannyungundileki9799 watatafutwa na hao hao Serikali,, Kwenye wengi sio wote wabaya
@francizzykasowizzy7991
@francizzykasowizzy7991 19 дней назад
Hakika
@PaclasLeo
@PaclasLeo 20 дней назад
Pole bwana Kwa hilo Mungu akupe ujasiri wa kushinda Ukweli Mungu atahukumu Kwa haki
@ommyshopangi9543
@ommyshopangi9543 20 дней назад
Hii sio sawa kabisa!!!Serikali ijitathmini.
@Gaynor1234
@Gaynor1234 20 дней назад
SAMIA ONDOKA NENDA ZAKO HUTUFAI.
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 19 дней назад
Kabisa mbwa kabisa ajizulu 2...? Kumamake Samia...!!
@kingrichboe
@kingrichboe 20 дней назад
Matukio yamekuwa mengi RIP magufuli
@victorburser1717
@victorburser1717 20 дней назад
Huyo ndio mzizi na chimbuko la aina ya mauaji yooote yanayoendelea
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 17 дней назад
Alizushiwa ndomana unaona hayupo na yanaendelea choko ww​@@victorburser1717
@manchalijob9600
@manchalijob9600 20 дней назад
Sio INADAIWA NI KWELI WAMEMPIGA RISASI AYO TV ACHA UNAFIKI WA KURAMBA SELIKAR
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 20 дней назад
Anatamani angesema hivyo vifungu vinambana , utaambiwa tunaomba usibitisho wako atashindwa kujieleza .
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 20 дней назад
​@@Fadhilimwamlimandio uoga huo tunaouzungumzia ndugu
@annamtapila5761
@annamtapila5761 20 дней назад
Ooooh! So sad 😢😢😢😢😢😢. Polisi wa Tanzania kwa nini mnapenda kupiga watu na hizo bunduki badala ya kuwalinda? Kwa kweli inauma sana. Tafakari kama huyu angekuwa mwanao.
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 20 дней назад
Wanaiga kenya kwani kupata haki lazima kufanya fujo?
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 20 дней назад
​@@jassonnelly3445 wewe ni mpumbavu sana utakuwa huna mtoto wewe,umeambiwa alifanya vurugu
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 20 дней назад
@@SmilingBulldogPuppy-nb9ur wewe ulikuwepo?
@mbagaandpartnersgoldmine4061
@mbagaandpartnersgoldmine4061 17 дней назад
Kwa hiyo hata mwanao akifanya vurugu anatakiwa auwawe? Na wewe yataja kukuta uone uchungu wake​@@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@mbagaandpartnersgoldmine4061
@mbagaandpartnersgoldmine4061 17 дней назад
Kwa hiyo hata mwanao akifanya vurugu anatakiwa auwawe? Na wewe yataja kukuta uone uchungu wake​@@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@vibetz9991
@vibetz9991 20 дней назад
Dah Hamza wa sarenda bridge alifanya kazi nzur
@barakarobert1029
@barakarobert1029 20 дней назад
Huyo polisi awajibishwe
@danielmwambashi3386
@danielmwambashi3386 20 дней назад
Hakika,Hamza apumzike kwa amani.
@Montana12-v2c
@Montana12-v2c 20 дней назад
@@barakarobert1029 kwa maelezo risasi ya tumboni kutokea kwenye tako inamana aliopiga alikua kwenye gari juu ni kinyume cha sheria polisi anatakiwa kutumia risasi ya moto kwenye maandamano kama watu wamekaidi na kubeba mawe lakini anatakiwa kupiga risasi chini ya miguuni na maandamano yanapo isha majeruhi wanatakiwa kupelekwa hospitali haraka sana risasi ya tumbo kutokea katikati ya tako inamaana imepigwa na askari aliekua juu ya gari
@elvismchaki7897
@elvismchaki7897 20 дней назад
Pole Sana Baba na Mama wa hii Familia,, Mungu awatie Nguvu na Uvumilivu kwa Msiba huu Mzito
@rithaurassa
@rithaurassa 20 дней назад
Daah pole mzaz mwenza Mungu akutie nguvu jaman tunaenda wapi Mungu tusaidie na haya majanga. Mungu wape uvumilivi hawa wananchi wasimiu.
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 16 дней назад
Police mnatumaliza kwa kutuua hebu muogopeni Mungu.Poleni sana familia 💔😭😭
@bahati502
@bahati502 20 дней назад
Hii ndio tanzania ya sasa imekua ngumu sana.😢😢
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 20 дней назад
Nenda kenya
@noelluchiba3660
@noelluchiba3660 20 дней назад
😢​@@jassonnelly3445
@bahati502
@bahati502 20 дней назад
@@jassonnelly3445 huko ndo balaa zaidi🤫🤫
@STAN_MACOMPUTER
@STAN_MACOMPUTER 19 дней назад
Dah!!!!!! Kijana mwenzangu kbs kafariki umri mdg sana aise inauma jamani 😭😭😭😭
@FreeGod368
@FreeGod368 20 дней назад
Mmeua Genius sio...shwain
@edisonkashaija4067
@edisonkashaija4067 21 день назад
Duuuuh ivi ni kweli kwamba juhudi na ndoto zote za kijana huyo zimeishia hapo 😢😢😢😢
@lilianpuka218
@lilianpuka218 20 дней назад
😢😢😢
@janedenisi7056
@janedenisi7056 20 дней назад
😢😢😢😢😢😢😢😢woi yaan nimeogopa hata kumsomesha mwanangu😢😢
@bonvivant3704
@bonvivant3704 20 дней назад
@@janedenisi7056kufa kupo tu
@Montana12-v2c
@Montana12-v2c 20 дней назад
@@janedenisi7056 msomeshe ila mfundishe asiende kwenye mandamano
@leonardAmbokile
@leonardAmbokile 20 дней назад
Pole sana Mzee mwenzangu
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 20 дней назад
Na matukio ya utekaji yamezidi alafu hakuña hata kauli ya viongoz
@SINADATITO
@SINADATITO 14 дней назад
Mmemkatili kabisa ndoto zake mlaaniwe wote mlio mtendea hivyo. Poleni kwa familia Mungu awape nguvu
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 20 дней назад
Imenichukuwa muda sana kuandika chochote jamani inauma sana Mungu tuangalie atuna kimbilio lingine atuna mfariji zaidi yako😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@VicentTarra
@VicentTarra 20 дней назад
Unaiomba tena serikali ingekuwa mim wakijitokeza hapo nachukua mkuki na msaada wao naupeleka chooni maana hakuna cha kulipa maumivu hayo
@user-sr8tc8ke6q
@user-sr8tc8ke6q 20 дней назад
Ccm naipendea hapo Inatuma police kuua chapchap Sijui mimi wataniua lini😂😂😂
@UlediSalehe
@UlediSalehe 20 дней назад
😅😅😅 we uwogopiiii
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 20 дней назад
Mtihani sana.
@augustinokessy
@augustinokessy 20 дней назад
Hawa ndio police wa tanzania na serikali yetu..😢😢😢😢
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 15 дней назад
Watoto wetu wauliwe tu ila tusijaribu kuandamana.safi sana .kuna mdada alikuwa anapenda sana kuombea wenzake kufa anasema mimu sitaki kuolewa na mwanauume alie na wazazi nataka mwanauume aliefiwa wazazi.siku Alipofiwa alikuwa analia kama mjinga tu nikamwambia kumbe huwa unaombea wenzio kufiwa nikijuwa wewe ni jiwe ama kwenu hawafi .hilo nalo Funzo achakuombea wenzako . Ila tunaomba tu police wetu wasitumie vuombo vya moto ila kama watu hawasikii wapelekwe mahakani. make hata maandamano nayo siyo kweli tuangalie Kenya Jirani zetu watu wengi sana wamekufa niajabu sana .
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 20 дней назад
Pole ndungu yangu inauma sana , IPO siku haki itapatikana hata kama sio hapa duniani.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 19 дней назад
Sasa aki kama ipati Kani duniani ita patikana wap ccm tusi wachague sio siku aki ita patika tuchague viongoziii wengineee
@aby21111
@aby21111 20 дней назад
Ministry of interior must be held in charge of the murder. Compensation is a must in millions. Volunteer lawyers highly recommend for this case.
@pedrotzmunis4132
@pedrotzmunis4132 20 дней назад
Andika Kiswahili..English yako mbovu haielewek
@pedrotzmunis4132
@pedrotzmunis4132 20 дней назад
..na hakuna Ministry of Interior..Ni Ministry of Home Affairs
@petro8010
@petro8010 20 дней назад
At interior......hueda ni Mnaigeria
@petermwaijumba1384
@petermwaijumba1384 20 дней назад
So sad😢
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 17 дней назад
Wachukuliwe hatua askari waliompiga risasi huyo kijana Wafikishwe mahakamani sheria ichukue mkondo wake
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 17 дней назад
Polisi badala ya kulinda raia, wanaua raia! Utapigaje risasi kwenye halaiki ya watu?
@richkaja3317
@richkaja3317 20 дней назад
Malipo ni hapa hapa duniani mungu anawaona
@ashuramussa3776
@ashuramussa3776 20 дней назад
Pole sana Mungu akutiye nguvu
@jombilozoo
@jombilozoo 20 дней назад
Very Calm, Pole sana Mzee.
@Taito-brand
@Taito-brand 20 дней назад
Daah inauma sana kak na sio police. Wte wako hvy kak mimi mwenyew askar ila hii inaniuma Sana aiseeh
@AnnaSaid-d7k
@AnnaSaid-d7k 20 дней назад
Mungu wangu nimelia sana hivi viatu havaliki jamani poleni sana baba na mama mungu akawe mfariji wenu
@hamissomary6869
@hamissomary6869 20 дней назад
Serikali ya Samia hapana tulipofikia inatisha "mama gan hana uchungu wananchi wanakufa yeye anafurahia "saw bhna naho wahusika Mungu yupo.
@dawhacker2216
@dawhacker2216 20 дней назад
Aliye kwambia Mungu ataukumu ktk ili ni nani??
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 20 дней назад
Rekebisha kichwa cha habari Sema aliyepigwa Risasi sio anayedaiwa
@YahayaKunga-le7mr
@YahayaKunga-le7mr 20 дней назад
Wingi was haya matukio sasa hayatuogopeshi yanazidi kutupa nguvu tupo karbu na mwisho we2 Amin"
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 20 дней назад
MATUKIO YAKUTISHA NA KUSTAAJABISHA *TANZANIA* "Maumivu ya moyo"yanaongezeka"
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 20 дней назад
Raisi John Pombe Magufuli Aliekuwa na upendo sana na alifanya mengi mazuri tena mengi sana MUNGU MWEMA Amrehemu kosa moja tu alilifanya kama binadamu kumteua mwanamke kuwa mgombea wake mwenza tena wazanzibari yaani
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 20 дней назад
Kama ingekuwa ndo mimi huyu mzee ningeenda polisi na panga mpaka serikali isimamie haki kuzaa nakulea na kusomesha kugumu hivi leo mtu aniulie mwanangu kiuzembe tu sitokubali
@iantussa9064
@iantussa9064 20 дней назад
Yaan usingeweza kufanya chochote my dear.tuombe sana Mungu atuepushe tu na mambo mabaya kama haya
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 20 дней назад
Shetani mbaya sana, mtoto wa watu amefaulu vizuri ndo muda wa wazazi kula matunda anakufa😭😭😭 pumzika kwa amani meshack lakini aliyefanya hicho kitendo atalipia tu na kizazi chake chote
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 20 дней назад
Wanasheria wamsaidie huyu baba.watabadilisha sasa hivi.na lazima serekali itoe fidia japo haitamrejesha.inauma saana jamani!!
@AthumanRamadhan-e4r
@AthumanRamadhan-e4r 20 дней назад
Pole baba angu mungu akutie nguvu
@lightwilliam4443
@lightwilliam4443 20 дней назад
Huzuni kwa kweli.Mungu awape nguvu wapendwa.
@user-jy1wm8do8w
@user-jy1wm8do8w 20 дней назад
Da!!! Inauma sn wanyonge ndo huteseka R.P.I Anko Magu😢
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 20 дней назад
Acha watuue tu watumalize tutafanyaje sasa??maana hii serikal haina msaada wowote kwa wananchi wake,huku risas huku watoto wanatekwa yaan moyon wanasema na msipotuchagua kura tutaiba😢😢😢😢Mungu tusaidie baba🤲🤲
@noonelike6382
@noonelike6382 20 дней назад
1:53 ...bibi anasikitika kwa uchungu Sana.
@janedenisi7056
@janedenisi7056 20 дней назад
Jamani hii nchi yetu ni ya ovyo sana wamemuua kijana wa watu aliyekuwa tegemezi kwa wazazi😢😢😢😢
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 20 дней назад
Sasa risasi za moto zilikuwa za nini na wananchi hawakuwa na silaaa?kwani hao police wakoje jamani?inauma saana jamani.
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 20 дней назад
Hakika inauma alafu anajitokea kiongoz anasema hakunà mwananchi alie zuruka hii nchi duh
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t 16 дней назад
Halafu unakuta machawa sijuwi matahira wanasifia ujinga anaupiga mwingi huku wananchi wanapoteza maisha
@HabibaWazir
@HabibaWazir 18 дней назад
Pole sana
@othumanimberwa2747
@othumanimberwa2747 19 дней назад
Hivi askari wanawazaga nini kwa sababu hauwezi kurusha risasi mbele za watu wasio kuwa na hatia mbona wanakua kama hawajitambu raia wema wameenda kuripoto police kwa sababu kuna watoto wawili wamepotea wanawachukua wanawatia ndani kweli ni haki jamani inamana askari ndo wanaoteka watoto
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 20 дней назад
Pole brother inauma sana vile tu ww ni mwaume
@DandasiKundi
@DandasiKundi 16 дней назад
Inasikitisha sana jamani
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 19 дней назад
JAMAni tanzani tujitambue viongozii awa ccm awa tufaii Leo kwa mwingine kesho kwako tuwaa achee kwenyee uchaguzziii tisi wachague lakini Kuna maginga uta sikia mm ccm sijui wame zaliwa na mbwaa maana awajitambuiiii
@DavidChristopherVeronica
@DavidChristopherVeronica 19 дней назад
I'm speechless 😭 😔
@OmarySamata
@OmarySamata 15 дней назад
Daaaah😢😢😢
@stephenkitururu5588
@stephenkitururu5588 20 дней назад
Pole sana baba mzani inauma sana
@user-ly8hk9kc8r
@user-ly8hk9kc8r 20 дней назад
Hii ni mbaya sana Tena sana, mama jiangalie jitasumin sana ktk hili Kwa maana watendaji wako ni wapumbuvu mno mno mno, Kwan inasikitisha sana
@gerevasliyunga9831
@gerevasliyunga9831 19 дней назад
Risasi kwenye waandamanaji hii ikoje??😢😢😢😢
@hasheemonline2765
@hasheemonline2765 20 дней назад
Police Kila Kona police tuwapate Hawa. Police ili tujue na cc tunafanyaje juu yao
@ticia950
@ticia950 20 дней назад
Mungu Mungu baba TUKUMBUKE WAJA WAKO TUMECHOKA TUMECHOKA TUMECHOKA TUMECHOKA
@lasteckmmary9741
@lasteckmmary9741 15 дней назад
Nenda kawapige mbwa, waishe wotee?
@SimonWilliamChamba-fu4kx
@SimonWilliamChamba-fu4kx 14 дней назад
Inahuzunisha sana😢
@NeemaMwita-h3d
@NeemaMwita-h3d 16 дней назад
Yaani jaman 😢😢😢😢
@ErickMacha-sb2ot
@ErickMacha-sb2ot 17 дней назад
Kwakweli poleni Iko siku Dunia itakuja kumjuwa MUNGU ninani
@el-bahsaanytv985
@el-bahsaanytv985 21 день назад
😢
@NorahNyamko
@NorahNyamko 20 дней назад
Mama Samia mama inch yetu Kila siku matukio ya kutosha😢😢
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 17 дней назад
Mama ameupiga mwingi
@MonadiNadi-j6s
@MonadiNadi-j6s 20 дней назад
Pole sana mzazi😢
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 17 дней назад
Mitano tena kwa samia
@datusonlinetv6099
@datusonlinetv6099 19 дней назад
Mkiambiwa ccm sio mchongo hamuelewi mkipewa kanga na chumvi mnasahau...haya sasa ndio haya matokeo.
@Ushauri235
@Ushauri235 20 дней назад
Inasikitisha sana kwani nchi hii watu wanatumia bunduki za nini duuuuu wakati watu wenyewe ni WA pole ivi
@mwasa_tv
@mwasa_tv 20 дней назад
sitoweza kimpigia kula uyu mama labda niwe kichaaa
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 20 дней назад
Watanzania wenzangu hakunakitukizuri kama nchi ikiwa na amani na utulivu hata kama unakula ugali na bamia vurugu maandamano yasiyokuwa na lizaa ya wahusika hainamana jamani kuweni watii wa Shelia bila kushurutishwa
@devotabashome1090
@devotabashome1090 20 дней назад
Hiyo fidia hairudishi uhai wa mtoto....umasikini huu utatupeleka pabaya
@AliphonceMartina
@AliphonceMartina 20 дней назад
Hayaa ndiyo matokeo ya CCM Walikalilishwa na kusemwa eti CCM ilituzaa watanzania tutaangamia kwa kukosa maalifa
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 20 дней назад
Kifupi Jeshi la polisi limechafuka uongozi wote ufumuliwe maan matukio ya ajabu yamekuwa mengi mara utekaji mara kupigw risasi ovyo kabisa😭😭😭
@tedlema8105
@tedlema8105 17 дней назад
Ninachoamini ni kwamba vizazi vya Hawa wauaji na watetezi wao akiwemo mkuu huyo wa wilayahawako salama hats kidogo,muda utasema tuu!!!
@user-qg7fw7si5i
@user-qg7fw7si5i 20 дней назад
Mungu simama
@relaxwithcruz1834
@relaxwithcruz1834 20 дней назад
Ccm out
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 20 дней назад
Jamani kitu gani hiki kuuwa tegemezi kwanini wanaua mtoto asiye na makosa anaandaliwa kwenda Chuo Kikuu Serikali gani hii inauwa hovyo
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 20 дней назад
Pole sana Braza kwakumpoteza mwanao namimi kama mzazi nasaasa wazazi wenzangu tujalibu kuwa kanya watoto wetu mambo ya uvunjifu wa amani hii nchi inaongozwa kwa misingi ya sheria sio vurugu
@JosefuSwai
@JosefuSwai 20 дней назад
Inauma sanasana lakini nasi tutakuja mdogo wangu mbele Yako nyuma yetu
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 20 дней назад
Jmn dah viatu vyenu havinitoshi 😭😭😭😭😭😭
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 20 дней назад
Polis mnatengeneza uadui na wananchi 😢😢😢😢
@phare_tz
@phare_tz 20 дней назад
Inauma sana dawa tunaanza na polisi kwenye mijinyao
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 20 дней назад
@@phare_tzJaribu na ww utapeleka msiba kwenu
@lucasmganga2811
@lucasmganga2811 20 дней назад
Hivi wewe ​@@jassonnelly3445mbona upo kukanusha2 comment za watu? Umetumwa ety ? madako yako😢
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 20 дней назад
​@@jassonnelly3445 jinga sana 😢😢
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 20 дней назад
😭😭😭
@starlily07
@starlily07 20 дней назад
Aisee kuna mambo yanauma jamani 😭😭😭
@OmariManjonjo
@OmariManjonjo 20 дней назад
Very painful
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 20 дней назад
Hivi tukisema polisi msiishi na sisi mtaani, mnaweza mkaishi peke yenu huko vituoni kweli.
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 20 дней назад
Toeni michango itakayosaidia kuondoa hivyo vitendo sio kuonesha chuki,kwani waliopita hao viongozi hayakueko haya?
@augustinokessy
@augustinokessy 20 дней назад
km kesi ndogo ya kubakwa binti inapigwa danadana je tunadhani kwa hii kubwaa mzee atapata msaada na ikiwa wauwaji ni police wenyewe...😢😢😢
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 20 дней назад
Masi lamda wametekwa na police ndio maana walipoenda kulipoti wakashikwa na wao MUNGU tusaidie Mungu mbona waovu Wana faulu? Mungu usiwaruhusu kufaulu Mungu Bunduki zao na Zisifanye kazi nguvu yako iwe kwa wenye haki uovu wao watosha tuweke wapi roho zetu
@claudia1500
@claudia1500 20 дней назад
Polisi aliefyatua risasi iliyomuua mtoto huyo alaaniwe yeye na kizazi chake hadi cha tatu! Kwa kukatisha maisha ya mtoto asie na hatia
@consorathajames2693
@consorathajames2693 20 дней назад
Huyu mzee ana hekuma sana embu vaa viatu vyake uone uchungu anao usikia
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 20 дней назад
Aise pole sana ila hii Tanzania duu
@allymohamed2724
@allymohamed2724 20 дней назад
Huu ujasiri wa kuvamii vituo vya POLISI unatoka wapi
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 20 дней назад
Inauma ila itabidi tuzoee😢
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 20 дней назад
Leo sasa ndo nimemuelewa yule Hamza aliykua anawapga risasi polii
Далее