Тёмный

KIJANA MZALENDO AWAGEUKIA WAANDISHI "NIMEFURAHISHWA NA TEF WAANDISHI WALISUSIE JESHI LA POLISI" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 321 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@ibrahimtesha2733
@ibrahimtesha2733 2 месяца назад
Akuunga mkono sanaaa! Waambie hao polisi kwamba ccm hatuhitaji kutetewa kwa udhalimu! Tunataka haki
@evelina9621
@evelina9621 2 месяца назад
Safi.sana Kijana.mzalendo.sema.kweli.fitina.hakuna
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 2 месяца назад
Khofu imetanda kwa watawala😮
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 месяца назад
Hii inchi kila kiongozi anatoa amri awe mdogo awe mkubwa yaani ni maajabu kama kiongozi wa chama anaamulisha police huku tunaambiwa asikari tunaambiwa asikari.hana chama🎉s i maajabu
@nkondokubini7618
@nkondokubini7618 2 месяца назад
Mimi ningepemda kuiona Tanzania nzima mijijini na vijijini kila Barabara imejengwa kwa kiwango Cha Rami..Ningependa kuiona Tanzania yenye Nyumba zilizo jengwa kwa kufuata musitari na zimepangika.Nchi yenye maeneo ya makazi ,maeneo ya wafugaji na wavuvi.Mimi Ningependa kuona ziwa Victoria linalidwa na Mamlaka husika kama zilivyo ,TANAPA,SENAPA na KINAPA.Katika miaka 25 ijayo Ningependa kuziona shule za msingi Tanzania zinafundisha Masomo manne tu Kusoma,Kuandika,Kuhesabu na Lugha yoyote ya Taifa au ya Kimataifa.
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali 2 месяца назад
Shida hatina umoja waoga Mungu tusaidie wanyonge tunaonewa
@marakidtz9454
@marakidtz9454 2 месяца назад
Umeeleweka Vizur Sana Bw/ Muumini Wa Haki Ndio kwanza Nakuona ila Nimeisha Ku Apriciate💯✔️
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Wanataka watanzania tuwe mazombi.Hataki kumtoa kwa kuwa sjui Mzenji mwenzie .Ila hafai
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 2 месяца назад
Ccm.hoiiiii.chadema.inawatisha.
@rosekimaro384
@rosekimaro384 2 месяца назад
Kabisa
@HamisLeo
@HamisLeo 2 месяца назад
Point sana ila wandishi hawajijui. Kule mwanza walipgwa na polis
@GidisonMarco
@GidisonMarco 2 месяца назад
💕💕💕
@HonestMchau
@HonestMchau 2 месяца назад
Hapa polis mmefeli duu
@BozaDizamile-u1d
@BozaDizamile-u1d 2 месяца назад
CCM WANAIGOPA CHADEMA WATANGANYIKA WOTE TUNAJUA
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 месяца назад
Police tuunganisheni watanzania msitutenganishe na wapendwa wetu
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 2 месяца назад
Ukweli hauzami huruma huleta upendo na furaha na furaha huleta haki na amani
@emilyKassiano-oo5iy
@emilyKassiano-oo5iy 2 месяца назад
Kabisa
@WhiteMgeni
@WhiteMgeni 2 месяца назад
Ccm wanawaogopa chadema
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 2 месяца назад
Kuogopa mabadiliko ni unyonyaji.
@joshuayombo7759
@joshuayombo7759 2 месяца назад
Ni mpango wa rais Kama si mpango wa rais polisi hawangeweza kutekeleza uhalifu wao huo.
@StellaKaluwa
@StellaKaluwa 2 месяца назад
Hao ndio polisi wa Tanzania ni kama chama cha siasa waonevu sana polisi wa kilwarod wameua mtotowangu kwa lisasi tulikuta ameshakifa. Tulipohoji wanatutisha na kutupiga wanyonge sisi tulichukua maiti tukazika ninauchungu sana wahuni ni wengi polisi waungwana wa hache yatima hawa nani atawalea naumia sana
@HamisLeo
@HamisLeo 2 месяца назад
Pole sana lkn njia ya kumaliza maumivu hayo ni mbili tu. Moja kuomba kwa mungu kwa iman na kufunga na kumlilia mungu awaue wote waliohuska.2 nikutafta dawa za kuroga wote waliohuska, km nikweli huku kwetu tunaita kuwasumba wote wanakufa
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 месяца назад
Kawasomee Albadil hao wote waliodhulumu uhai wa mwanao.
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 2 месяца назад
Kama kweli ni kada ujumbe umefika binafsi sikuona sababu ya kuwapa kiki upande wa2
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Unafki wetu ndio shida yetu hatuna umoja unafki ndio umetutawala
@evelina9621
@evelina9621 2 месяца назад
Polisiwalifanya.tukio.la.kuzuia.vijana.chadema.waajibishe.chagueni.vijana.waadilifu
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 2 месяца назад
NYIE POLISI MSIFANYE KAZI KWA MIHEMKO YA WANASIASA SIKU UNA STAAFU UNAKUJA MTAANI MNOKO
@SDM2024-z4s
@SDM2024-z4s 2 месяца назад
😅😅😅 Huyu jamaa ni unprofessional
@remigioushofa2817
@remigioushofa2817 2 месяца назад
Huyu mwanaCCM lakin anajielewa sana
@knight6757
@knight6757 2 месяца назад
🤔🤔🐸
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 2 месяца назад
Uogope nini kufa mara moja tu
@chrisostomruta-cw3zf
@chrisostomruta-cw3zf 2 месяца назад
Hawa ni wanahabari wa mpira
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 2 месяца назад
Mwandishi wa habari unaboa shida unaongea Sana .mwandishi uchwara
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 2 месяца назад
Kwanza wewe mwandishi unaofanya mahojiano na huyo kijana mzalendo nawewe ni chawa kamavyombo vingine vya habari walivyo machawa
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 2 месяца назад
tatizo uoga wetu unatuponza
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 2 месяца назад
UKO VIZURI ILA FAHAMU RAIS NI SEHEMU YA HUO MPANGO WA KUWATESA CHADEMA
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 2 месяца назад
Viongozi wetu wanatakiwa wajitasimini kwa kina sana hii nchi ya leo , sio ile ya 60 . Jeshi la polisi waache kukopi kwenye jeshi lakikoloni hilo lilikuwepo kwa ajili ya kuwaogopesha raiya enzi hizo sio leo . Polisi acheni kukopi jeshi la polisi la kikoloni fanyeni kazi na tazameni nyakati iliyopo . Tofauti na hivyo ipo siku nyie polisi hamtailinda hii nchi itawashida .
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 2 месяца назад
Kwan wakisusa kuna shida gan? Kwanza serikali yenyewe ina waandishi wa habari! Yaan viherehere kama ninyi ndyo mlisababisha mauaji ya kimbari huko Rwanda waandishi feki ndyo waliochochea habari za mauaji ya wenyewe kwa wenyewe! Hiv bongo kuna waandishi wa habar au makanjanja? Unajiita mzalendo ww kwenda huko
@francismomo7067
@francismomo7067 2 месяца назад
Madaraka ya muda mrefu hupofusha na kulevya.......kama makundi flan yatapuuzwa n hatari sana
@BorySaronge
@BorySaronge 2 месяца назад
Hebu angalieni pumba za huyu mtu ni sawasawa kuwaambia wagonjwa wawasusie madaktari kuwatibu wakati bado wanahitaji huduma yao
@thamani5842
@thamani5842 2 месяца назад
Waambieni chadema hatutaki fujo
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 месяца назад
Wewe chunga Ng'ombe za Boss wako acha unoko
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali 2 месяца назад
Saa ya bwana ikifika ccm itatoka to mate do yenu ni dhahil mbele za Mungu
@Mkrist
@Mkrist 2 месяца назад
Huyu naye jamani. Hajaona waandishi wa habari wakiuwawa uwanja wa vita? Anafanyaje utafiti? Si Vema polisi kufanya hivo. But, si vema kusema uongo. Hata majuzi tu Palestine waliuwawa wakiwa na badges na jackets za utangazaji.
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 месяца назад
Kama wanauwawa kwenye vita ni bahati mbaya
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 2 месяца назад
Nawe unastahili kufa kwa bahati mbaya😮​@@mosesmacha1080
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 месяца назад
Kwa hiyo wauwawe au
@B23-i8p
@B23-i8p 2 месяца назад
Ccm wanawaogopa chadema
@chrisostomruta-cw3zf
@chrisostomruta-cw3zf 2 месяца назад
Hawa ni wanahabari wa mpira
@knight6757
@knight6757 2 месяца назад
Mpira imewalewesha wa TANZANIA 99%😂
Далее
Гравировка на iPhone, iPad и Apple Watch
00:40
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36