Nyie..... Ma doctor wa meno mbinguni mtafika mmechoka!! Nilitaka kupoteza maisha kwa ajili ya jino alinichoma ganzi haikushika sijawahi kuonja hata kilevi kusema ganzi haishiki.... Kufika nyumbani fizi inamwaga damu mi nkajua kawaida kumbe Kuna kishipa kiliumizwa nilimwaga damu siku 4 ya Tano nilitolewa ndani sijiwezi nshavuja damu mpaka