Тёмный

Kijue CHANZO cha ugomvi wa P-SQUARE na kwanini kundi hilo lilivunjika 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 213 тыс.
50% 1

Fahamu kwa undani chanzo cha kuvunjika kwa kundi maarufu la muziki la nchini Nigeria, P-Square linaloundwa na mapacha wawili, Peter 'Mr P' Okoye na Paul 'Rudeboy' Okoye

Опубликовано:

 

21 ноя 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 374   
@sirabahendayussufu2862
@sirabahendayussufu2862 3 года назад
I can't wait to appreciate this tv online sns.....Mungu awape umri urefu 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦all the way from cap town South Africa
@OlengaMakeUpKhjfj5bf4hdb
@OlengaMakeUpKhjfj5bf4hdb 3 года назад
Amiin
@classicmido88
@classicmido88 3 года назад
Big up my brother, unafanya kazi Kwa ueledi mnoo, my God bless you all the time
@danielmkama24
@danielmkama24 3 года назад
Yan Sky kuna kitu mungu kamjaalia kwa7bu sio kawaida kutoa vitu ambvyo roho inapenda!! tena kwa wakati, 👏👏👏👏
@OlengaMakeUpKhjfj5bf4hdb
@OlengaMakeUpKhjfj5bf4hdb 3 года назад
🤙🤙🤞🤞
@janemsamati6700
@janemsamati6700 3 года назад
Mimi ni pacha ,najisikia vibaya sana migogoro yao. Mapacha tunapendaga sana, hbd Peter and Paul
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 года назад
Shukrani sana sky na vijana wako kwa kazi nzur mnayo ifanya M.MUNGU awabarik mzidi kuimarika zaid..shukran za upendeleo broo sky MUNGU Azid kukusimamia kwa kaz unayo ifanya
@OlengaMakeUpKhjfj5bf4hdb
@OlengaMakeUpKhjfj5bf4hdb 3 года назад
🤞🤞🤙🤙
@sophiasophia9713
@sophiasophia9713 3 года назад
Thank you Sky Kwa maelezo mazuri. Mungu awasaidie wapatane, life is too short.
@kamanzicrouch3881
@kamanzicrouch3881 3 года назад
Wallah sns nyinyi number moja tzt kwa kufukua habari hamna mpinzani Allah awapiganie mpaka mwisho wa maisha yenu
@mercywamucii1786
@mercywamucii1786 3 года назад
Wabea
@michaeljeremiah8305
@michaeljeremiah8305 3 года назад
Mi nilisha sema akuna mtangazaji Bora duniani na mchambuzi..wa nakala kama sky blessed up mzeee sns tv online bora
@bakaribakari_
@bakaribakari_ 3 года назад
SNS ndio WCB kwa wanahabari. 💯💯💯
@mapalozambia7560
@mapalozambia7560 3 года назад
True
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 3 года назад
True
@elizabethsakina9987
@elizabethsakina9987 3 года назад
Facts
@Swagaboysentertainment
@Swagaboysentertainment 3 года назад
💯💯💯
@bizindavyinicolas4450
@bizindavyinicolas4450 3 года назад
Sns hawana utimu namna hizo bro.
@stephanokigosi656
@stephanokigosi656 3 года назад
Skywalker we ni mtu mbaya saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana kwenye utengenezaji wa makala na uchambuzi pia..keep it up bro. 🙏🙏🙏
@ltlmedia8480
@ltlmedia8480 3 года назад
Katika vitu ambavyo huwa najivunia katika Tasnia hii ya habari ni wewe brother #SKY na nimekuwa nikifatilia hatua zako Sana na nataman nije kuwa wa aina yako the way unavyo relax Sana katika kutangaza ama kutolea ufafanuzi habari fulani.... Naimani unapata sifa stahiki kipindi hiki uko Hai kaka naweza nikasema, wewe ni Presenter pekee Tanzania unapewa sifa zako nzuri kipindi hiki uko Hai.... Hongera Sana ila Ombi langu Moja tu jaribuni kufanya kutualika basi mashabiki wenu, Wana #SNS wa kindaki ndaki angalau tuje Studio walau tupate picha ya pamoja nimekuwa nikiomba Sana Sana hilo lakin no respond, although naelewa hiyo ni Kazi pia ni biashara lkn pia ni Ombi tu!.. Yote Kwa yote Idumu milele #SNS #ONELOVE
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 3 года назад
Kweli kabisa
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 года назад
Kweli mm mwenyewe niko Kenya Lakini napenda sana sky
@noelmsofe2589
@noelmsofe2589 3 года назад
Kabisa jamaa anajua
@mizemize8894
@mizemize8894 3 года назад
Kwel Ata pia mm uwa napenda sana hii sns uwa iko na habar zur
@hatibhatib5760
@hatibhatib5760 3 года назад
mtu akijituma ni lazima tumpende na tumsaport. hiv ndivyo ilivyo kwa diamond, sky, milard ayo na muigizaji madebe lidai
@sabrinamustafa8554
@sabrinamustafa8554 3 года назад
Yaani, sns kama mlituja vle, hii chanzo cha ugomvi wao wengi tulikua hatukijui, thank you!!
@naccer9930
@naccer9930 3 года назад
Hii ki2 nilikua naitafuta kitambo sanaa.... asante #sns saaaana
@hopechidera
@hopechidera 3 года назад
I can't wait kutangaziwa wameombana msamaha na kurudisha umoja wao kama mbele jaman👬🏿🙏🏽,miss your new songs P-Square🎼🎤😢
@user-eo7ug2tg9r
@user-eo7ug2tg9r 3 года назад
Hakika
@enockadam8509
@enockadam8509 3 года назад
KWA KWELI NIMEELEWA NOW, ILA UNAITENDEA HAKI TATHNIA HII BROO, KEEP IT
@sollonzotm.376
@sollonzotm.376 3 года назад
Bonge la uzi thanks @sky for the simplification of that awesome narrative .luv from 🇰🇪
@susanruo8087
@susanruo8087 3 года назад
Yote tisa, ya kumi ni, THEY ARE STILL FAMILY 👬
@nasrahsamwely6871
@nasrahsamwely6871 3 года назад
Naumia tu lakini Sina cha kufanya zaidi ya kuwaombea kwa mungu alainishe mioyo Yao 🙏🙏🙏🙏😢
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 года назад
AMIIN
@kahoribonga9280
@kahoribonga9280 3 года назад
Amen
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 3 года назад
We jamaa utangazaji wako umekuwa borasana umekuwa chanel bora sana
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 3 года назад
Dahhh thanks u brother kwa upande wangu nilikuwa sjui kbc nn ttz SNS raha sanaa
@francyedo2010
@francyedo2010 3 года назад
Sky brother wewe ni legend aiseee unafanya kazi kwa weledi mkubwa
@frenchygigi
@frenchygigi 3 года назад
Hawakumkata kwasababu ya umri wake...hata angekua mdogo bado wangetafuta sababu...hao ni watu wazima na hii yote ni utoto na tamaa ya pesa...
@amosmahona433
@amosmahona433 3 года назад
Mtangazaji umebarikiwa saut nzuri Hadi Raha dah kweli Kuna watu mnafanya kazi ambazo mnazipenda
@mpendwalove4390
@mpendwalove4390 3 года назад
Rudboy yupo vizuri kwenye uimbaji
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 3 года назад
Asante kwa Ufafanuzi Nzuri Damuu Ya Mapacha Inabalaa sana
@mohamedleli9928
@mohamedleli9928 3 года назад
Sky, thanks for the update 💯
@bekkamontana5448
@bekkamontana5448 3 года назад
Ukweli in kua Ugomvi wa hawa P square ulikuja baada ya Kuoa.Sasa mshajua chanzo ni nini
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 3 года назад
😅😅😅
@kiniyabh8646
@kiniyabh8646 3 года назад
😄😄after God fear women 🚵🚵🚵
@makariouscharamba5371
@makariouscharamba5371 3 года назад
Mwanawake
@phatumaibrahim8329
@phatumaibrahim8329 3 года назад
Mwanamke mtu hatar xn
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 года назад
Jmn ALLAH awafanyie wepec wapatane damu moja jmn kesho hatuijui binaadamu maugomvi ugomvi hayana maana
@shkjumaa8939
@shkjumaa8939 3 года назад
mmh uko sahihi kweli kumtaja Allah sehem Kama hi
@onlinemaster6003
@onlinemaster6003 3 года назад
Nimependa sana ulivyo ichimbua kwa kina sana bro sky. Keep inspiring me keep informing us 🙏🏻🙏🏻. Speaking of this topic mm nipo upande wa King rudy
@wanjaradeson9091
@wanjaradeson9091 3 года назад
Nilijua tu huachag kupita huku
@onlinemaster6003
@onlinemaster6003 3 года назад
@@wanjaradeson9091 dah kaka huku Ndio nyumban 😀😀
@fatmaahamad633
@fatmaahamad633 2 года назад
Asante sana kk yani nimekusikiliza kwa makini umeelezea vizuri sana ubarikiwe
@surealfredkabasa4518
@surealfredkabasa4518 3 года назад
All the best brother......!! Kaka SKY #SNS urudi home MUSOMA tumekumiss sana.
@ujenezasandrine6854
@ujenezasandrine6854 3 года назад
Thank you so much sns
@robertsimba5081
@robertsimba5081 2 года назад
I miss p square alot!!!🇰🇪2021
@mziwanda_empire4033
@mziwanda_empire4033 3 года назад
SnS. My family najivunia kuwa karibu na nyie #sky #creez
@mkakampole7802
@mkakampole7802 3 года назад
Diamond anaheshimika sana aisee. Yani wameungana kufanya ngoma kwa kumuheshimu tu. Diamond is a legend guys, huyu mdau tumthamini sana na kumjali kabla hajafa
@sangijamadukwa1486
@sangijamadukwa1486 3 года назад
Pesa bro
@beatricemwakalinga4140
@beatricemwakalinga4140 3 года назад
Na huu ndo uhandishi sasa hongera sana bro SKY
@ercayo9106
@ercayo9106 3 года назад
SnN to the top Huyo mwanamke ndo chanzo cha hayo yote
@chitec4394
@chitec4394 3 года назад
Huku sasa ndio kwa kupata habari kamili. Safi
@nicksoncharles8240
@nicksoncharles8240 3 года назад
Bro umeelezea vzr sana nmeipenda hii
@maryamm7765
@maryamm7765 3 года назад
Umetisha bro sky kwa habari
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 3 года назад
Thank U brother sky for Ur information watching from CD and soon I will be there in TZ, I wish to see you. Kweli kwa TZ kama sija pata habari fro SnS or Millard Ayo uwa siamini coz all social media is just umbeya tuu, God bless SnS and all presenter. #SnS for life
@najuf8021
@najuf8021 2 года назад
Sky you're the best 👌 🔥habar zako zimeshiba
@sheilamusa9443
@sheilamusa9443 3 года назад
Mi siwajui kwa majina Ila mwenye Rasta anajua Sana sana. Amefanya hit kibao as solo artist. Uyu mwengn anaimba rnb Sana na kucheza zaidi.. all in all wana vipaji
@arlenebenithairakiza5769
@arlenebenithairakiza5769 3 года назад
Rude boy ni huyo sa rasta n'a Mr p ni huyo wakipara
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 года назад
Kwer nimeamini mitandao kwer ni mzizi mpya wa maovu.
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 года назад
Daah mm had nimeumia jaman duuh jaman
@luccabosslugendo9722
@luccabosslugendo9722 3 года назад
#sky..ww ni mchambuz namba 1 kwangu
@saidakessy3175
@saidakessy3175 2 года назад
Sky always on point🔥 excellent content always
@leylaiddy5815
@leylaiddy5815 3 года назад
Yaa Allah wasimamie matwinz wangu wawe wenye kupendana DAIMA pasiwe na mwanadam kuwatenganisha.. simamia pia Hawa Peter & Paul
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 3 года назад
Umefafanua vizuri sana...cjawahi juta kuifahamu (SNS).
@africandanceramashan4627
@africandanceramashan4627 3 года назад
Jamn hawa Allah awafanyiye wepesi wawe wote tena uyo ni shetani tu anawajaribu 😭😭😭😭😭
@officialarafa6511
@officialarafa6511 3 года назад
SKY you are the best bro 100✅
@giramado9403
@giramado9403 3 года назад
Tisha sana #MrFredickBundala #Sky zaidi ya simulizi
@omymze4533
@omymze4533 3 года назад
Baba upo vizuri broo ina relaxx kinyamaa
@andrewjulius3951
@andrewjulius3951 3 года назад
Mmmmmh,,,,,haya yote sababu ni pesa tu,,,,,mengine ni kachumbari tu kwenye msosi......Huuu ndio ukweli.
@slayingtee6044
@slayingtee6044 3 года назад
Kweli
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 года назад
Kweli kabisa pesa inavunja undgu pesa inaharibu kila kilicho chema na kuonekana hakifai tena pesa ni kitu hatar sna inatengeneza na kuharibu pia. Yote kwa yote kabla hujafata matamanio ya nafsi yako lazma ukumbuke uhai ni dhamana inayoondoka muda wowte. Pia kwa liliomy tujifunze kuto kumdharau mtu hujui kesho kipi kitatokea japo hakuonyesha moja kwa moja kuto kumdharau simba lakin uandishi wake tu jinsi alivokua akimwita ilitosha kujua alimchkuliaje
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
@@mursallusinde9189 jaman🤔
@Kal-Mary
@Kal-Mary 3 года назад
Asante Sns.Ayo mapacha gisi wanavyo fanana afu oooh jamaniiii Inasikitisha kwli
@saidmambya1891
@saidmambya1891 3 года назад
Dah!
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 года назад
Natamani warudi na kuwa pamoja.
@azizachahali8942
@azizachahali8942 3 года назад
Mungu awfnyie wepesi jmnii, tunwapenda
@lilianfelekeni7771
@lilianfelekeni7771 3 года назад
I miss P square songs, warudiane wawepamoja
@patiencejose2685
@patiencejose2685 2 года назад
Me too dear 🥺
@adamrenatus4235
@adamrenatus4235 3 года назад
Wako sawa katika kazi
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 года назад
Kwa kweli nawaombea warudi pamoja. Maana mapacha ni nafsi moja hawa. Mungu awarudishe pamoja. Kaka yao sio mtu mzur waridiane tu. Please please I love you my sons be together.
@salmaissa8384
@salmaissa8384 3 года назад
Katika vitu ambavyo huwa vinaniumiza saana nafsi kwa Hawa mapacha wangu nihiki chakutengana kwao wanapendeza Sana wakiwa pamoja namuomba Sana mungu awarudishe pamoja Tena Kama mwanzo.
@hamidabaliyanga2584
@hamidabaliyanga2584 3 года назад
Shukran sana simulizi na sauti
@kimah9855
@kimah9855 3 года назад
It's really sad indeed:(Wako brother's.
@samirnaty8774
@samirnaty8774 3 года назад
Bro upo vizur Sana Sana katka simulizi na ufatiliaji
@oscarvipi5603
@oscarvipi5603 3 года назад
Uko vzur bwana sky woker🙏🙏
@baterams1828
@baterams1828 3 года назад
Nikweli sababu nipesa! Ila namsapoti sanaaa paul! nyuma yapesa paul kamwe hakun atakayenitenganish nafamiliy yangu☝️
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 3 года назад
Hata mimi naona Paul anajielew
@homeofonlinecontents2569
@homeofonlinecontents2569 3 года назад
i like the way peter stood up for his wife
@zawadilubani5401
@zawadilubani5401 3 года назад
yaaaaaan cc wanawakee mmmh
@johnmwangi2435
@johnmwangi2435 3 года назад
Love the story
@zatchardzknestor
@zatchardzknestor 2 года назад
Bien vraiment
@hadijagere
@hadijagere 3 года назад
Peter aliwahi kuandika alikutana na lola marayakwanza anakuja ku booking show ndio walijuwana hapo it means huyo mwanamke ndie virus mpaka kundi kuvunjika
@hadijagere
@hadijagere 3 года назад
Angalia kwenye post zanyuma za Peter akimtakia heri ya kuzaliwa lola nahisi niile alio mzawadia gari aliandika ujumbe mrefu part 1 na 2
@peloofficial5610
@peloofficial5610 3 года назад
@@hadijagere ndo ukweli huo ila hapa😱😱😱
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 года назад
Hawa wakilud mond . Tutamsikia tu jaman
@chaliwachuga519
@chaliwachuga519 3 года назад
Awa itabidi wengine wapumzike kwa miaka kama miwili kwanza wa trending
@felixally297
@felixally297 3 года назад
Bro your the best presenter of all time
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 3 года назад
We love you guys
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 года назад
Siku zote nyoka ni mwanamke hawa jamaa walikuwa ndugu wenye upendo ila walivyo oa tuu ndio waka anza kuzinguana shkamoooo wanawake na midomo yenu mirefu 🤣😂wake ndo huwa wana leta mtafaruku kwa ndugu
@alij3688
@alij3688 3 года назад
Ata shemegi pia huwa ndo chanzo na yote hutokana kaka akimzidi ndugu ndugu huchukia na hutaka mali ziwe chini yao bila kujali kua na yy kashaanzisha family yake shemegi pia matatizo sana yashanikuta ndio maana
@subiraomari5908
@subiraomari5908 3 года назад
@@alij3688 pole Sana
@mjubauwoniushambahrm7893
@mjubauwoniushambahrm7893 3 года назад
👬mungu atawaunga nisha
@renaldadagaa3677
@renaldadagaa3677 3 года назад
kweli
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 года назад
Katika watu nilikuwa nawafuatilia kwa ukaribu sana ni p square nilikuwa nawapenda sana niliumia sana walipotengana Mwenyezi Mungu asaidie ili warudi kama kama ndugu kama mapacha jmn Ila peter ndo mwenye kiburi Shukrani kw sky your best presenter
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 3 года назад
Peter hana kibur kusimamia haki zao ndio kumeleta shida
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 года назад
@@faidhamyovela179 wewe humjui wewe
@zuu__95
@zuu__95 3 года назад
roho inaniuma sana kwa hawa jamaa kutengana wallah. 😢😢😢😢😢😢😢
@ommythebestotb4383
@ommythebestotb4383 2 года назад
Unaweza sky
@jongelaricestore1871
@jongelaricestore1871 3 года назад
Kwakweli nivizuli sana brother kwautangazaji wako p-squere
@sweetprincess4771
@sweetprincess4771 3 года назад
Jamn tukazane ku share love na sns yetu 👌 ifike mbali zaidi
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 3 года назад
Life is too short 💔 nyinyi ni ndugu kisha mapacha forgive and forget.
@redemptor4072
@redemptor4072 3 года назад
thnx si unatuchanuanga aki sauti unayo kutanganza
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 3 года назад
SNS #fortzlifestyle 🔥🔥🔥
@happytimpiyian1347
@happytimpiyian1347 3 года назад
Nawapenda sna
@khadijaoman4085
@khadijaoman4085 3 года назад
Daah ! Maskini mm nawapenda hawa watu na mziki wao wafanye wayamalize 2 waendelee kutupa raha sie maugomvi kwenye familia mbona ni kitu cha kawaida popote pale muhimu ni kusameheana ili maisha mengine yaendelee.
@daisybankika3761
@daisybankika3761 3 года назад
It will pass
@pendocoster4170
@pendocoster4170 2 года назад
Mh kz kweli kwel nimeelew vzr
@b-creative4662
@b-creative4662 3 года назад
Mi nauliza dudubaya yuko wapi!? 🙄🙄🙄
@rayshikeli1577
@rayshikeli1577 3 года назад
Hilo nalo nnenooo!!!!!!!!!!Hata mie naomba kujua watujuze
@andrewmachage9102
@andrewmachage9102 3 года назад
Kuna ck nlmuona huku kahama af km kakonda
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@allyzicko8149
@allyzicko8149 3 года назад
Alipotea
@gloriousn6425
@gloriousn6425 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣i am outter here
@anethzephulin490
@anethzephulin490 3 года назад
Mungu wajalie wawe pamoja
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 года назад
Mm namkubali wa raster 🤣🔥
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 3 года назад
Hata mimi. Anaonekana anajielewa sana.
@naslee1010
@naslee1010 3 года назад
@@winfridamwigilwa2107 ivi uyu rasta ndo mdogo au mkubwa
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 3 года назад
Apana bhana mi namkubali mr peter
@daudlangson5639
@daudlangson5639 3 года назад
@@naslee1010 ni mdogo mkubwa peter
@wilsonthomas9176
@wilsonthomas9176 3 года назад
@@daudlangson5639 Paul ndio mkubwa wewe
@briankenyan1799
@briankenyan1799 3 года назад
Mr P ni msakata densi Mzuri Rude boy ni vocalist mzuri sana
@elkanamwaigomole8953
@elkanamwaigomole8953 3 года назад
Twin never fight🤗🙂☺️😘😘👨‍👧
@healthchoicewithluciebern8741
@healthchoicewithluciebern8741 3 года назад
Thanks
@chainbre275
@chainbre275 3 года назад
Thought nimewahi kumbe 😜🤔🤔🙄 number 3💃💃
@maryamumapenzi1257
@maryamumapenzi1257 3 года назад
Magobano ya mandugu hayafai kuingiliwa na mtu yoyote yule maana ipo siku wataelewana alafu nyuso zenu mtazieka wpi
@isayamarco5083
@isayamarco5083 3 года назад
True
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 3 года назад
😥😥😥😥😥 Asantee sns kwa uchambuzi mm km mm nilitamn kujua chanzo 😖😖😖mm pia ni shabik wa psqure nimeumia san kutofautian daaah 😥😥😥😥😥
@hadijagere
@hadijagere 3 года назад
Yani ninavyo ona huyo lola ndio ana muingia mumewe aache kufanya kazi na huyo kaka yao yani anaona pesa anakula zabure😢
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 года назад
Jmaaaa amedirect video zote sa pesa ya bure inatokawapi wanawake ndo tatizo
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 3 года назад
Poul, your a man. Thanks.
@charlesnyembeke2985
@charlesnyembeke2985 3 года назад
Shukarn kak MB zinaishaga kwa Ajili yako Yenu Wana SNS ngoja nikatfute vocha sas
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 3 года назад
Asante sana kwa upendo huu 🙏
@smithsane8119
@smithsane8119 3 года назад
Hii channel ina vichwa vyeny uwezo San GOOD JOURNALIST
Далее
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Просмотров 10 млн
P Square Story
10:46
Просмотров 172 тыс.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Просмотров 10 млн