Тёмный
No video :(

KIKAO CHA WAJAWAZITO WITH GLADNESS KIFALUKA - EPISODE 1 

ZamaradiTV
Подписаться 246 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Usisahau ku"SUBSCRIBE" RU-vid channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@AgripinaTesha-ys7nv
@AgripinaTesha-ys7nv Месяц назад
Nimetokeaa kukupendaa sanaa nyie mnao comments amjasikilizaa mpakaa mwishoo ndiomaana mna comments ujingaa aliwaambiaa amemkataa mtt au yeye alichotarajiaa sicho 🎉love g
@mamakayla6697
@mamakayla6697 Месяц назад
Fanya toba ya kumkataa mtoto,asije akawa na roho ya kukataliwa,wakati kumbe huyu mtoto ni nabii wa Mungu amebeba ahadi ya Mungu na tumbo lako limepigwa muhuri na Mungu kwa ajili ya kusudi la Mungu alilobeba mwanao.❤
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 Месяц назад
Pole gland ukijitoa sana kwa watu nawe wasipo jitolea kwako unaumia sana
@Teddy_jones
@Teddy_jones Месяц назад
Mno🥹🥹🥲
@Teddy_jones
@Teddy_jones Месяц назад
Wow Glad am happy for you,ila kuna watu washamba umu sjuw wa Tz tuna shida gan😅😅 achen ushamba kwaiyo mtu afiche tumbo ili iweje s lake lets people enjoy the moments if you can’t afford it drink water and pray a lot
@zenasalum2231
@zenasalum2231 Месяц назад
Unamtetea kukaa uchi siku ya hukumu utamsadia kujibu
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 Месяц назад
Hongera mama kija❤❤❤❤❤❤ Mungu awe pamoja nawe na ujifungue slm❤❤❤❤❤❤
@aminammbaga7736
@aminammbaga7736 Месяц назад
Kashajifungua sikunyingi lakn
@evakessy3282
@evakessy3282 Месяц назад
Kwani mbona nikama mnamgombania Nandi😅😅😅😅
@samiramasudi7493
@samiramasudi7493 Месяц назад
Hao washakua marafiki sio kama wanamhombea nandi ila urafiki wetu waschana tofaut na wanaume
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Месяц назад
Hyu ndo mumeo mtarajiwa mashalah
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f Месяц назад
Usijali mama K mtoto ni baraka
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Mtoto ni mtoto huwezi kuchagua mungu alichokujalia
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Месяц назад
Ilikua mimba jaman
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 Месяц назад
ushetani unawasumbua, mavazi gani sasa hayo.
@Malaikakisseto
@Malaikakisseto Месяц назад
Tuache kuiga ujinga kwann mnaonyesha matumbo yenu
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Месяц назад
Kibibi nivp jaman mwezio kajua utaenda Wanawake sisi😂
@Careencriss
@Careencriss Месяц назад
😊❤
@nesymichael4286
@nesymichael4286 Месяц назад
Nmemwona mzee shayo
@ashaali7154
@ashaali7154 Месяц назад
Zamaradi anajua kuwadhalilisha wanawake wa bongo kwa kweli na hawa wanaoitwa wasanii au celebrities ndio hawana akili kabisa utadhani hawana ubongo kwenye vichwa vyao.
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Месяц назад
Bya zamani
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th Месяц назад
unalaana wewe ngoja mungu amchukue ndo utajua majivuno sio mazuri
@mwasitihashimu8593
@mwasitihashimu8593 Месяц назад
Mmh wewe hayo maneno vp we pia binadamu ujue...sio vzr
@jacklinechuga2569
@jacklinechuga2569 Месяц назад
We ndo mwenye laana umeshindwa kutoka kwenye maisha ya shida unakuja kutoa laana kwenye maisha ya watu
@Teddy_jones
@Teddy_jones Месяц назад
Huoni aibu ww dada eh shame on you msyuuuuu yan watu Maskin wana makasiriko loooh em jipepee
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu Месяц назад
Tabia mbaya wew
@mybeautyflorence3090
@mybeautyflorence3090 Месяц назад
The second to comment
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Месяц назад
Kujifunya wazungu saaana ovyo
@Teddy_jones
@Teddy_jones Месяц назад
Em lala na wewe utafikir wew hutak kufanya hv em uko 😒😒
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 Месяц назад
Punguza kingereza maana unakichapia sana Tujifaharishe na kiswahil chetu
@elizabethmwafongo7829
@elizabethmwafongo7829 Месяц назад
Mimi hua sipendi kua rafiki wa rafiki yangu kabisa
@adelnabukuku7144
@adelnabukuku7144 Месяц назад
Yaani nimefurahi kusikia kwamba ulimuomba msamaha mtoto
@vero57
@vero57 Месяц назад
Sasa huyu dada ana mume kweli????? Sasa wewe mwanaume unaruhusu hii tumbo ya mwezio nje hivyo???? Wala haipendezi kabisa, !!!! 😮😮😮😮
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 Месяц назад
Why music is like that?
@tiffahdangote7548
@tiffahdangote7548 Месяц назад
Sasa ww glad ulikua unataka mtt wa kike wakati mstari tu unauona umeenda mpaka kwenye kifua jaman, au kutuektia....eti meliaaaaa 😂😂😂😂😂😂ila mi nakupenda tu
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Месяц назад
Sasa yuko wapi huyo baba moto kama si huyo!
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 Месяц назад
😊😊❤❤❤🙏🙏❤🇧🇮🇰🇪
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Месяц назад
Hapo no ndoa,tumbo linaonyeshwaaa ka sjui nn Ila watanzania ni watumwa wa wazungu jaman KWA KUIGAA KHA UZUNGU MWINGI ULIMBUKENI TU😂😂😂😂😂😂
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Месяц назад
4 sure
@TheresaRobert-e4j
@TheresaRobert-e4j Месяц назад
Jomonn😢
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 Месяц назад
Kwani huyu mjamzito tena
@Hapygideon
@Hapygideon Месяц назад
Mi mwenyewe nilitaka kushangaa
@Mina.15
@Mina.15 Месяц назад
Kashazaa zamani
@user-yb1mv2nx6m
@user-yb1mv2nx6m Месяц назад
Piri unajeuli ujui kuongea uwezi mwita mtu kama Ami bibi😢
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Месяц назад
Pili ni mimi staki unafiki Tuwe wazi😂😂😂
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 Месяц назад
Ujinga mtupu
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Месяц назад
Ujinga tu, Kwani kujieshimu ni shingapi
Далее
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 27 млн
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
Просмотров 155 тыс.
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 27 млн