Тёмный
No video :(

KIKOSI KILIVYOWASILI MAZOEZINI AVIC TOWN SIKU YA NNE KUJIFUA | PRE SEASON 

Yanga TV
Подписаться 665 тыс.
Просмотров 48 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@aishabakari8040
@aishabakari8040 Месяц назад
Tuliofurahi kumuona Diarra tujuwaneee 🤩🤩🤩
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw Месяц назад
Mi nimeshangaa kumbe watu wanarudi kimya kimya na hawasemi😂😂😂
@bongodata
@bongodata Месяц назад
@@aishabakari8040 mm hapa
@user-zt4rd5pr1e
@user-zt4rd5pr1e Месяц назад
Af mbn Kuna mtyu simuon apa baleke
@bongodata
@bongodata Месяц назад
@@user-zt4rd5pr1e cjamuona
@Elishaelishadboyelisha
@Elishaelishadboyelisha Месяц назад
Baleke anakujaga tuu kusalimia anarudii😂😂​@@user-zt4rd5pr1e
@bongodata
@bongodata Месяц назад
Nimekua wa pili leo mm mwana yanga mwenzenu
@dataduel100
@dataduel100 Месяц назад
Nimesubscribe
@coolestdata
@coolestdata Месяц назад
Nimesubscribe bongo data
@foreveryu247
@foreveryu247 Месяц назад
Video nzuri YANGA oyre
@cuteagnestz
@cuteagnestz Месяц назад
❤❤❤
@kinghuojlund-un2nb
@kinghuojlund-un2nb Месяц назад
Hongera
@meckcassius3983
@meckcassius3983 Месяц назад
Wachezaji wapo na nidhamu sana wanakimbia wanawahi mazoezini
@bongodata
@bongodata Месяц назад
@@meckcassius3983 kabisa mm nimependa hio nidhamu
@julianagowele9163
@julianagowele9163 Месяц назад
Kwa kweli wanajua wajibu wa kazi yao..nimewapenda
@chollejr_
@chollejr_ Месяц назад
😂😂😂😂 wachelewaji
@husnasena6055
@husnasena6055 Месяц назад
Woooo diara coming 🎉🎉
@user-ok3bc8of5q
@user-ok3bc8of5q Месяц назад
Diar kipa Bora zaid ulimwenguni
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Chama Rasmi kwenye namba 17
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Leo Khalid Aucho ndani
@user-yf2ro1wb4y
@user-yf2ro1wb4y Месяц назад
Mdaka mishale Leo ndani
@malietamaliet
@malietamaliet Месяц назад
Tuliofurahi kumuona diarra tujuane hapa
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz Месяц назад
Afadhali diara umerud ilikua Sina aman kabisa
@FiniasBugobola
@FiniasBugobola Месяц назад
Yanga🎉🎉🎉
@MariamuSharka
@MariamuSharka Месяц назад
Nampenda sana ❤❤❤ aucho
@twalibuhassani
@twalibuhassani Месяц назад
KWA MARA YA KWANZA NIMEKUA WA KWANZA KUVIEW NA KUKOMENT
@MUTU_YA_MBEYA
@MUTU_YA_MBEYA Месяц назад
Hongera umenizidi kidogo 🎉😊
@atanasfusi
@atanasfusi Месяц назад
Waoooo yanga❤❤❤❤mungu awabaliki
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Mashallaah nafurahi kuona wanajeshi wetu wakiwa kamili. Mungu awalinde tuko nanyi kwa maombi 🎉🎉🎉
@trice_yanga
@trice_yanga Месяц назад
dube muda wote anafuraha jamani 🥰😂
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo Месяц назад
Nani anataka kutuharibia party yetu jamani..aty engineer imekuaje mbn ghafla saana yaa rabbi😢😢 mie kama ataondoka naacha kushabikia mpira forever sure am telling you😢😢😢😢
@ZawadOmar-j1h
@ZawadOmar-j1h Месяц назад
Diara ❤
@shaibujuma6618
@shaibujuma6618 Месяц назад
Hiii kubwa
@DoiKamata-y6l
@DoiKamata-y6l Месяц назад
Acha tu nisome comments maana nimechelewa leo sitaki mtu anibuguzi 😅 yanga one love
@ObeidPaul
@ObeidPaul Месяц назад
Yanga yangu💚💚💛💛
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz Месяц назад
Nimefurai kukuona leo,au mimi ndo nilikua sikuoni pekeangu,ok kikubw upo💪💪💪💪
@abuunayfatu8701
@abuunayfatu8701 Месяц назад
Vijana wananidhamu nzuri sana
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 Месяц назад
Kibabe zaidi
@LydiaStephano
@LydiaStephano Месяц назад
Yaani nampenda kibwana mm jamani 🤗
@zainahemed6411
@zainahemed6411 Месяц назад
Nmemkumbuka moloko alivyokuwa anawakaribisha na style zake daah
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Max na Boka wanaonekana washkaji sana
@rashidabdallah752
@rashidabdallah752 Месяц назад
Mkongo mwezake
@MzansiFundiz
@MzansiFundiz Месяц назад
​@@rashidabdallah752Na ndio mwenyeji wake
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Месяц назад
Kama aucho na msonda😂
@Papycon22_
@Papycon22_ Месяц назад
Djgui Diarra kumbe amerudi kimya kimya 😂
@alphajonathanurio1227
@alphajonathanurio1227 Месяц назад
Mwanachi halisi💚💛💪
@vintz338
@vintz338 Месяц назад
Kibwana kila akijitahid kuwahi mazoez unamkuta Yao kwasi kashafika😂😂😂😂
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz Месяц назад
😁😁😁😁😁
@nacetsiringa1334
@nacetsiringa1334 Месяц назад
😂😂
@yudapeter4710
@yudapeter4710 Месяц назад
Mungu ibariki yanga🔰🙏
@agustinojohn6573
@agustinojohn6573 Месяц назад
The Tank ❤ Khalid Aucho
@EstarJofu
@EstarJofu Месяц назад
And me love yanga❤❤❤
@fadboe772
@fadboe772 Месяц назад
🙌I love you young Africans 🔰💚
@mealsbymana6561
@mealsbymana6561 Месяц назад
💚💚💛💛
@emmanuelisaya3172
@emmanuelisaya3172 Месяц назад
Yanga raha
@charles5633
@charles5633 Месяц назад
Diaraaa
@SalmaChuo
@SalmaChuo Месяц назад
❤❤❤❤❤
@AchileusNshekanabo
@AchileusNshekanabo Месяц назад
umoja ktk tm umeanza mapema iv
@herrysonk.edward609
@herrysonk.edward609 Месяц назад
Ccm mtusaidie bhs hizi raha za yanga mb ziende taratibu maana tunainjoy hata tukiwa na buku mfukoni😂❤
@aishabakari8040
@aishabakari8040 Месяц назад
Pacome hii black haijakupendeza mchumba wangu 😢
@AhazyStanley
@AhazyStanley Месяц назад
Huyu Abuya mara nyingi anakua mwenyewe😅
@OmarySalimu-rj2yr
@OmarySalimu-rj2yr Месяц назад
Leo nimechelew kido😢
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i Месяц назад
💚💛
@user-lm6wc8gw3z
@user-lm6wc8gw3z Месяц назад
Pacome weka tu blich kipenzi black halijakupendeza yanga forever
@user-tp3nm1do6j
@user-tp3nm1do6j Месяц назад
Discipline iko yanga ni ya kuigwa kwa kweli
@herrysonk.edward609
@herrysonk.edward609 Месяц назад
😂😂😂 sasa mwamba wa lusaka umetoka kuoga na ndala zako unaenda mazoezini wee mwamba bhn
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi Месяц назад
Aucho ❤
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj Месяц назад
18 ni ya sureboy
@realbeda2880
@realbeda2880 Месяц назад
Huyu abuya yupo serious kuna wakubwa watapoteana
@DaudiJoseph-l2q
@DaudiJoseph-l2q Месяц назад
Vyuma kwelikweli
@FrumenceBoniphaceMasero
@FrumenceBoniphaceMasero Месяц назад
Imetulia hy
@ChidySuleiman
@ChidySuleiman Месяц назад
Sasa mie nimekua wa 54 leo maaana hata sijui kua wa kwanza n nin
@julianagowele9163
@julianagowele9163 Месяц назад
Kijana wa kuchomekea
@chollejr_
@chollejr_ Месяц назад
😂😂😂😂wachelewaji utawajua t
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 Месяц назад
Allaah Akbar
@WilliamMwambande
@WilliamMwambande Месяц назад
nimefurah kuwaona wachezaji wa yanga
@JamesLudovic
@JamesLudovic Месяц назад
amna tim hapo wote wazee😂😂
@user-lt1md8ku5t
@user-lt1md8ku5t Месяц назад
Manen ya mkoxaj
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi Месяц назад
Sawa Deborah
@user-qm5un9yc8r
@user-qm5un9yc8r Месяц назад
Nice
@user-sw9tp2rf7f
@user-sw9tp2rf7f Месяц назад
Ikatokea cku moja Kama zali nizini tyu na aucho halafu nitatubu maana cyo jinc ninavyomuelewa
@ZainabuSengo
@ZainabuSengo Месяц назад
🤣🤣🤣🤣🤣🫣🫣
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz Месяц назад
Alaf unapost majirani tuamini,anajua itakua raisi kuniunganishia kwa shekan,😁😁😁😁😁😁😁
@user-wp9or7wh5s
@user-wp9or7wh5s Месяц назад
2mefrahy kuona diara na aucho
@jmasutv2228
@jmasutv2228 Месяц назад
Jackson Masumbuko Wambura is watching Yanga Dam
@DaudiJoseph-l2q
@DaudiJoseph-l2q Месяц назад
Yanga sihami
@AhazyStanley
@AhazyStanley Месяц назад
Kwan Jersey number 2 anavaa Nan maana Now Bacca anavaa 4😢
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo Месяц назад
Diara nae asha wasili kumbe rahaa
@robertfrancis5567
@robertfrancis5567 Месяц назад
💚💛💚💛💚🌍🌍🌍💯🙏
@isaacndimangwa6791
@isaacndimangwa6791 Месяц назад
Mashine za KAZI, lazim kieleweke mwaka huu
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Месяц назад
Hivi yule mkongo tuliomsajili anaitwa bokka ni beki au kiungo?
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 Месяц назад
Mi ni simba ila sijui nini- maana najikuta tu natamani kuwangalia wananchi! Kama nafasi ipo naomba mnipokeee🙄🙄
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles Месяц назад
wachezaji wana ugwadu
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi Месяц назад
Tuliofrah kumuona aucho tujuane
@user-vb1rh4eq7b
@user-vb1rh4eq7b Месяц назад
wore wamelejea
@MohamedSadala
@MohamedSadala Месяц назад
Pambee😊
@user-vb1rh4eq7b
@user-vb1rh4eq7b Месяц назад
nlimmisi aucho kumuona
@user-ne9sk5br3l
@user-ne9sk5br3l Месяц назад
Axante mungu nixiku nyingne tena
@frankkinabo2406
@frankkinabo2406 Месяц назад
Mkude anawahi kuhesabiwa hahahah
@MTIGATV
@MTIGATV Месяц назад
Yanga taam
@georgekimario228
@georgekimario228 Месяц назад
Had Zoezi tuna tunachomekea
@user-ev2dp8st1h
@user-ev2dp8st1h Месяц назад
Wamekamilika sasa
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz Месяц назад
Makipa wa yanga wapo4 kumbe du
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Месяц назад
Mnaonyesha sehemu mulizoazimwa kuish kw kupewa hifaz
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi Месяц назад
Ndio Deborah
@RehemaMaganga-ed1go
@RehemaMaganga-ed1go Месяц назад
kolo wew umefwata nn umu debora😅😅😅😅
@marcobulili4341
@marcobulili4341 Месяц назад
@richardelieza1001
@richardelieza1001 Месяц назад
💥💥💥 2024/2025
@PhikilMussa
@PhikilMussa Месяц назад
Pacome arudishe bleach
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 Месяц назад
Wa 40😂😂😂
@IdrissaHabibu
@IdrissaHabibu Месяц назад
Mbn km nataman mechi
@fredcostantine4831
@fredcostantine4831 Месяц назад
Kama umemuona msuva,gonga like hapo chini
@anordelias
@anordelias Месяц назад
Nimekuwa WA mwisho kukoment
Далее
Х.евая доставка 😂
00:23
Просмотров 1,3 млн
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34