Baada ya kutia bidii na kujituma, kazi ya kilonzo pale Jikoni inafanya Madam Kumpatia date kwake nyumbani. Kumbe kilonzo ni Engineer wa fridge. Hao mafundi wengine hawawezi kazi, mimi ndio tosha ata kuliko Khaligraph.
Wa! enyewe vitu vizuri zinawenyewe,wamboi you really kill me "undeyaga ta njohi"you so awesome, presentable and a good actor.wish you well and may you prosper.thanks kilonzo big up broo.I know utanipea like but wish ingekuwa like ya wamboi.🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Hahaha 😂😅 hehehe kilonzo fridge una bebea nyundo na spaner waaaaah @ fridge haijakuwa nashida target ni wewe Hmmmh lakini shukuru fridge imefanya umeangukia jack pot ?? usiache wambui ni mrembe sana #$ wapi likes za kilonzo na wambui
Mtoto wa mtu anaamka 5 akienda job ananitext *mrng, beb i love you*...Then kimtu kingine idol kama wewe unaamka saa tano ndo unanianza* 😂😂😂😂😂ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-XFCQtI1s-W4.html