Тёмный

KIMENUKA! LULU AZIDI KUPONDWA KWENYE JUA KALI, WAMKATAA, AJIBU "Huu mwaka wa kufosi😭" MANGE AHUSIKA 

Marjo Media
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 2 месяца назад
Lulu ww Fanya kz mdogo wangu huwezi kupenda na watu wote
@johnsonmichael945
@johnsonmichael945 3 месяца назад
Jaman achen wivu na roho mbay zenu mnamponda lulu mbona yup vizuri jamani ukwel nikwamba kinacho wasumbua wivu na roho mbay tu
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 3 месяца назад
Sio roho mabaya huyu lamata ametuzoea sana mara bill mara sijui nani maria was a main actress
@ramasalm-wk5zj
@ramasalm-wk5zj 2 месяца назад
Kabisamaana lulu na hajaweza nahatoweza nibora wangempa kipande kingine nibora hatawangesema ni Mdogo ake femi nasiokua maria bado sana wamrudishe tu maria wetuuilio mzoea ​@@fatumakidoa4006
@user-qk1el5jr5t
@user-qk1el5jr5t 2 месяца назад
Na mm naona lulu anafanya vizuri mbona
@vickymeikasi8147
@vickymeikasi8147 Месяц назад
Maria is the best
@VeronicaValence
@VeronicaValence 23 дня назад
Lulu anafanya vizr lakini maria yuko vzr zaidi kwenye scene yake sio wivu bro huwezi elewa
@bernakajoro2656
@bernakajoro2656 3 месяца назад
Lulu yupo super sana na atakuwa Zaid ya Mars,,kama Bill mpya tumemzoea na Maria mpya tumemzoea,,jumapili kaingiza vizur sana sana,,usihofu Lulu upo vizur sana watakuzoea tu kama bill
@DennisAli-kz6hv
@DennisAli-kz6hv 3 месяца назад
😂jameni Mimi denu from Kenya sijafurahia kubandilishwa kwa Maria 😂
@Shadya-ju2el
@Shadya-ju2el 2 месяца назад
Toka Maria atoke siangaliii jua kali aki tena lamata twamtaka Maria jmn
@BahatiSunga-yk9qf
@BahatiSunga-yk9qf 2 месяца назад
Nakupenda Lulu achana na wasio kupenda ❤
@MishelMwambega
@MishelMwambega 3 месяца назад
si wivu jaman tumemuzoea maria maria yko sawa pia anavutia hta kama hutaki kuangalia jua kali utaangalia 2 maria jaman shida nn tuna boeka
@LevinaMsafiri
@LevinaMsafiri 2 месяца назад
mi mwenyewe binafisi sjapenda kubadil mimi mars . ase wana haribu move
@elizabethgeorge2197
@elizabethgeorge2197 2 месяца назад
Atujua huyo aliyeshindwa kuvumilia atajua roho mbaya tu lulu mbona yupo vzr sanaa jamaniii
@Aseel-di2jv
@Aseel-di2jv 3 месяца назад
Wamseme lamata na siyo Lulu mm nakukubali sana Lulu maua Yako hayo🎉🎉🎉
@pendosiye7965
@pendosiye7965 2 месяца назад
Lulu yuko vzr lkn wamrudishe maria wetu ❤
@user-gf2sq5ux4o
@user-gf2sq5ux4o Месяц назад
Tim Mass tujuane yani malia wa zaman❤
@user-og3sx6th9w
@user-og3sx6th9w 2 месяца назад
Mimi mwenyeww sjapenda kubadilishwa kwa Maria sjapendaaa 😢😢😢😢😮
@mercykazungu
@mercykazungu 2 месяца назад
Lulu ywawezakweli hatukatai lkn si Kwa nafas ya maria Maria alikua anacheza vizur hii part jaman tunamtaka maria😢😢😢😢😢
@mafundaramadhan8926
@mafundaramadhan8926 2 месяца назад
Jamani maria anaweza kumtuliza kaka fule lkn lulu hajui
@MwajemeMussa
@MwajemeMussa 3 месяца назад
Maria am fikiyi lulu hata kidogo
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 2 месяца назад
Mimi nimempenda maria mpya ako vizuri sana
@johnsonmichael945
@johnsonmichael945 3 месяца назад
Nabado mtaisoma namba mtoto lulu anpiga na atapiga kaz jua Kali itaendea maria hawez kuasababish jua kali isiendee tup wengine tutaangalia wew kama hutaki bas wap wadau kibao wanaangalia mbon
@elizabethgeorge2197
@elizabethgeorge2197 2 месяца назад
Umeonaa eeeeee kumbe tupo pamoja
@chaniranassor6646
@chaniranassor6646 2 месяца назад
hatuja maanisha kama lulu tunamchukia ila ile scene ya Maria kwa kweri hapendezwi nayo
@vailethnicolaus6813
@vailethnicolaus6813 2 месяца назад
Una kitu utafika mbali
@BabraShushuda
@BabraShushuda 2 месяца назад
Kama zaylisa kaweza ye ni nani ashindwe.tunakupenda sisi wapenzi wa juakali na utaweza zaidi ya kuweza
@qqqswwwmango9670
@qqqswwwmango9670 2 месяца назад
Lulu anafaa nafasi ya Maria kbs bila shida na ameweza, ameweza tena
@user-gl2kw3rn8k
@user-gl2kw3rn8k 2 месяца назад
Kwanza huyo lulu mcharuko amesababisha jua Kali inakuwa mbaya bora maria kiukweli
@ReginaJames-ew6ch
@ReginaJames-ew6ch Месяц назад
Malia mbbona. Yuko vzuur jaman watu mmnawivu duh hakika huwez. Pendwa. Na wote
@DayanaSospeter-sy8wl
@DayanaSospeter-sy8wl 3 месяца назад
Waache wivu bhn lulu yupo vzr mnooo❤❤
@vickymeikasi8147
@vickymeikasi8147 2 месяца назад
Maria yupo vizuri
@DorcasSebahunde
@DorcasSebahunde Месяц назад
Mutu rudichiye maria muna taka aribu filamu yetu
@DorcasSebahunde
@DorcasSebahunde Месяц назад
Jamani na sisi tuna ku penda lulu lakini mutu rudichiye maria wetu na bili wetu
@mariamseif9432
@mariamseif9432 Месяц назад
Mimi ata huyu marya mpya simuelewi
@martharugwana2130
@martharugwana2130 3 месяца назад
Lulu anafaa sana sema Kuna watu wengine wanaleta chuki binafsi kwa mtu.
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 2 месяца назад
Kabisaa Ako vizuri
@user-ik5ut4du3t
@user-ik5ut4du3t 2 месяца назад
Lulu anaweza vizuri tena jua kali imechangamka lamata anawakomesha safi tu
@user-pw2bl4qd8w
@user-pw2bl4qd8w 2 месяца назад
Yote9 jaman tuache wivu na ubinafsi me nampenda lulu mwachen kumshambulia bwn kwan hata zaman mbn tunazipenda move zake leo kiwapata nini, kaah
@OthumanMohammed
@OthumanMohammed 2 месяца назад
Lulu yupo pouwa acheni wivu jamani
@mudasina6968
@mudasina6968 3 месяца назад
Lulu pambana achana na walimwengu kuongea ndio kawaida yao
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 месяца назад
Akili mbovu wivu mtupu hamna no maana .
@user-cb5nl9xw6s
@user-cb5nl9xw6s 2 месяца назад
Lulu ayup konfotab tunaitj Malia alud kweny nafas yake tunaomb jamn
@user-sv9pb3qs4t
@user-sv9pb3qs4t 2 месяца назад
Mic u min mars, but ni kosa la lamata
@miriamkyando8505
@miriamkyando8505 2 месяца назад
Kifupi juakali saivi imekuwa mbaya alivyo toka Maria lamata mate wangu mrudishe maria Lulu nimzoefu wa kuigiza lkn kwa nafasi ya maria hajui kabisa kwakweli
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 3 месяца назад
Kama tumezoea bill mpya!! Tutazoea tu maria mpya
@NuruNgole
@NuruNgole 3 месяца назад
Umewazidi wengi lulu fanya kazi watu hawaishiwi maneno tunakupenda
@DuniaGustave
@DuniaGustave 2 месяца назад
Nampenda sana
@DuniaGustave
@DuniaGustave 2 месяца назад
Lulu Yuko vizuri
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s 2 месяца назад
Apana yule mm mars alikuazube uyuwasasa jama tumpen mauq yake
@piusalphonce-qs1jt
@piusalphonce-qs1jt 2 месяца назад
Atumie mapozi yake lulu itapendeza tu yamaria amuachie mwenyewwe tatizo lamata amwambie atumie mapozi yake
@user-kj7om3gi8q
@user-kj7om3gi8q 2 месяца назад
Lulu anajua sema kwa nafasi ya maria hapana, lulu ni mcharuko
@nyamisanachiwanyi7823
@nyamisanachiwanyi7823 2 месяца назад
Me mtu naonaga sijamzoea ni zaylisa tu...menina alikuwa super bhana....
@Lidyaanthony-bl1nt
@Lidyaanthony-bl1nt 2 месяца назад
Akitoka lulu niwekeni mm nitafititu watake wasitake
@user-cl5mb8lx3r
@user-cl5mb8lx3r 2 месяца назад
Lamata me naomba umshawishi maria arudi tumemmisss
@leahzawadi5104
@leahzawadi5104 2 месяца назад
Tamthilia inapoteza ladha😢
@nathashacolette113
@nathashacolette113 2 месяца назад
Murudishe mimi mars bwana
@user-ud5ru1vg8n
@user-ud5ru1vg8n 2 месяца назад
Iyonafasi.yamariya.mrudisheni.mariya.mtaharibu.kipindi.
Далее
UKWELI WOTE KUHUSU MARIA NA BILL KUTOKA JUA KALI
8:05
100❤️
00:19
Просмотров 1,8 млн
Макс Пэйн - ТРЕШ ОБЗОР на фильм
47:02
Looks realistic #tiktok
00:22
Просмотров 26 млн
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
Sophy Wa Jua Kali Aja Na Mapya/Aibu/Dula Makabila Ndani
10:14