Тёмный

SEHEMU YA 1 : UKWELI KUHUSU MAISHA YA GADNER / NILIUMWA TB / NILIKOSA DAWA 

Dar24 Media
Подписаться 725 тыс.
Просмотров 142 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#r.i.pgadner #tutaonanatena #clouds

Опубликовано:

 

19 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 188   
@kibito8339
@kibito8339 2 месяца назад
Gadner lived his life to the fullest...ameondoka dunia haimdai na wala haidai dunia kitu!!
@theonestinamutole8549
@theonestinamutole8549 2 месяца назад
❤ kabisaa kapumzika
@user-bt6tl9hn5u
@user-bt6tl9hn5u 2 месяца назад
Yaani nimekuja apa , nilivyosikia msiba, Mungu amlaze mahala pepa G
@vinenswilliam3534
@vinenswilliam3534 2 месяца назад
Kaka ulimpa heshima sana kufanya nae mazungumzo. Pumzika kwa amani captain G.
@user-qd9vf6ud3f
@user-qd9vf6ud3f 2 месяца назад
Mungu Ailaze roho ya marehem pema peponi .
@samsonmollel8147
@samsonmollel8147 2 месяца назад
Pumzika Kwa Amani captain Mungu akupe pumziko la milele
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 месяца назад
Ameen 😭😭😭moyo waniumaaa 😭😭😭😭💔💔💔💔
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 2 месяца назад
Mmoja kati kati watangazaji wenye kuvutia kuwasikiliza wakiongea. RIP kamanda G. Nenda kaonane na mwamba mwenzio na rafiki Yako kipenzi Ephrahim kibonde. Msalimie Ruge. Zaidi Pole mkurugenzi Jo kusaga na pacha wake G bwana George Bantu. Jahazi itakumis muda wote
@8pistons194
@8pistons194 2 месяца назад
Huko hakuna kuonana
@beatricembunda6168
@beatricembunda6168 2 месяца назад
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina
@stellaukovizurimtanku2744
@stellaukovizurimtanku2744 2 месяца назад
Poleni sana ndugu jamaa namarafiki nakukumbuka sana Gadner ulipo sherehesha harusi moja kubwa mnoo pale olasiti arusha
@edmundphilemon3054
@edmundphilemon3054 2 месяца назад
Msalimie swaiba wako kibonde
@yasintaamoskatemi2387
@yasintaamoskatemi2387 2 месяца назад
Wew ​@@8pistons194😅😅 umejuaje 😅😅😊
@rosegideon336
@rosegideon336 2 месяца назад
Captain G .Mungu aiweke wepesi katika safari yako aliyoianza.
@DivinebabyDee
@DivinebabyDee 2 месяца назад
Gadna alikuwa msema kweli,.daaah Mungu ampe pumziko jema
@oscartalljembemgonya3528
@oscartalljembemgonya3528 2 месяца назад
daaah jahazi limezama nilipenda sana sauti yako km inamusisitizo frani hizi na mpangilio wako waneno br.R.I.P Gardiner G ha bash.
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 2 месяца назад
Jahazi limezama kweli Ephraim kibonde , gardiner, joj bantu hivi vinu vilikuwa vinafanya kazi alafu walikuwa wanasauti za adimu hupati radio nyingine aisee kifo bana
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 2 месяца назад
Historia ya clouds Fm yote ni wewe Uncle ❤❤❤na wanamuziki wote wa bongo flavour wamepita kwako kisawasawa.. Rest easy 💔 😢 🙏
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 месяца назад
Basi huyu ndiye alikuwa mbanaji wa wasaniii chipukizi..!
@salaita2829
@salaita2829 2 месяца назад
Jamaa anajuwa nini maana ya mahojiano,hakwepi swali wala hana jazba,hii ni maana halisi ya mahojiano.
@HassanHassan-pe7kj
@HassanHassan-pe7kj 2 месяца назад
Innalillah wainna illah rajiun... Jamaa alikuwa anjua sana kazi yake...
@elizabethlukoo4662
@elizabethlukoo4662 2 месяца назад
R.I.P mwamba aiseee Jahazi litakumis sanaaaasanaa😢
@maryjoseph926
@maryjoseph926 2 месяца назад
Rest in peace 😢 broo
@johnmuro9915
@johnmuro9915 2 месяца назад
huyu mwamba anaakili nyingi sana ,Mungu amuweke salama
@albertmalenge-cs6zy
@albertmalenge-cs6zy 2 месяца назад
Anayehoji yuko vizuri pia
@user-yb1mv2nx6m
@user-yb1mv2nx6m 2 месяца назад
Kama Kuna kuonana msalimie ruge kibonde na mke wake😭😭😭😭
@halimaallyazizi4443
@halimaallyazizi4443 2 месяца назад
Mungu akupumzishe amen kaka
@fadhilmnyamwezi5037
@fadhilmnyamwezi5037 2 месяца назад
Nakukubali sana nilikutana na ww pamoja marehemu runge kwenye mazko y bi kidude znz dah yupo poa sana brother upumzikge kwa amani mbele yako nyuma yetu
@mwanashehejumaaabdallah6864
@mwanashehejumaaabdallah6864 2 месяца назад
mbele yako nyuma yetu kalale salam
@user-jy6pm7px7y
@user-jy6pm7px7y 2 месяца назад
inauma sana ila nenda kaka, mwendo ume umaliza vzr
@CharlesLymo
@CharlesLymo 2 месяца назад
Ni kweli
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 2 месяца назад
Watu wa karibu na Karen wawe nae karibu sana kipindi hichi…My deepest condolences to her family and friends May his soul rest peacefully
@lulumkongwe9987
@lulumkongwe9987 2 месяца назад
Pumzika kwa Amani Legend.
@salminasalim5630
@salminasalim5630 2 месяца назад
Careen Pole sana na msiba wapeni kina mama yako na Sr Ex Pide mamako mkuu . Pole jipeni moyo Mungu alimpenda zaidi tunamuombea kwa Mungu amuweke pahala pema peponi
@mmangaabas2416
@mmangaabas2416 2 месяца назад
Rip mlipa Kodi mwenzangu
@beautymushi6164
@beautymushi6164 2 месяца назад
Mungu ampumzishe pema
@rehemaathhmani357
@rehemaathhmani357 2 месяца назад
Mungu akulaze pema kwenye nyumba yako ya milele Dardner Habash🤲😭
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 месяца назад
Bwana atwaa bwana ametoa, jina lako libarikiwe. RIP Gardner Habash.
@erickbarthazar9316
@erickbarthazar9316 2 месяца назад
Mungu ailaze roho yake katika makao yake ya milele.
@enofrank1842
@enofrank1842 2 месяца назад
Ameuma Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 2 месяца назад
Mungu ampuzishe kwa Aman
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 2 месяца назад
Jahaz litapooza dahhh kibonde na garden walilinigesha😢😢😢😢😢
@DeTrinahx
@DeTrinahx 2 месяца назад
He lives in us daima ❤️❤️❤️❤️🙏
@abdulhassan6482
@abdulhassan6482 2 месяца назад
mungu akusamehe bro hakuna mkamilifu
@Shadadihamis25
@Shadadihamis25 2 месяца назад
Rest in peace Gardner Inasikitusha sana hii
@alidamgeni7051
@alidamgeni7051 2 месяца назад
Rest in peace Gardner tutaonana baadae
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 2 месяца назад
RIP Captain 😢
@teddymutani856
@teddymutani856 2 месяца назад
Daaah Gadnerrrr oooh jamniii
@neemakiula8884
@neemakiula8884 2 месяца назад
Mungu wa mbinguni ailaze roho yake pema peponi
@junioremmanuel1695
@junioremmanuel1695 2 месяца назад
Really I'm speechless 😢
@ommie_nyzer
@ommie_nyzer 2 месяца назад
Captain G habash 🕊️
@dulla9195
@dulla9195 2 месяца назад
Real man
@TVT4888
@TVT4888 2 месяца назад
❤❤❤❤
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 2 месяца назад
Umemkuta.rafiki.yako KIBONDE. ,R.l P Gadna G..Habash.jahazi limezizima.
@TVT4888
@TVT4888 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤
@DavidDavidmaleko
@DavidDavidmaleko 2 месяца назад
R.i.p captain
@alitoufik5477
@alitoufik5477 2 месяца назад
Innallillah wainna illah rajiun
@user-pm7pj6zi6q
@user-pm7pj6zi6q 2 месяца назад
Duhhh pole sana Baba Calen jaman mm ni shabiki wako katika kipindi chako na kile kipindi cha Mihogo jaman ukiwa na George bantu tutakukumbuka sana daima pumzika Kwa aman 🙏😭😭😭😭😭
@eliamtani2840
@eliamtani2840 2 месяца назад
Hapo kwenye mshahara nime angalia lips za Captain, Kasema Milioni 10. Prove Me Wrong, any one.
@emmanuelletema8385
@emmanuelletema8385 2 месяца назад
Yeah nimerudia kama mara 5 ni sahh
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 2 месяца назад
Yah kasema ""Si chin ya 10""
@EvodiaMgunda
@EvodiaMgunda 2 месяца назад
Kila nafsi itaonja umauti mungu ailaze roho yake mahari pema
@collinsrutenge6449
@collinsrutenge6449 2 месяца назад
RIEP Kaptein....Salimia Kaka Ruge& rafiki Kibonde
@Wendy-kz6cy
@Wendy-kz6cy 2 месяца назад
Pumzika kaka Captain we will miss like nobody business Salute bro R.I.P
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 месяца назад
Pumzika salama kamanda wangu..😭
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 2 месяца назад
Jahazii
@user-dt9iz2gq3s
@user-dt9iz2gq3s 2 месяца назад
Apumzike kwa aman
@YousraNjokiMGHAZA-rq7wz
@YousraNjokiMGHAZA-rq7wz 2 месяца назад
Rest in peace LEGEND
@FaridaNassor-oj7tx
@FaridaNassor-oj7tx 2 месяца назад
Pumzika Kwa Amani bro
@nancyg8664
@nancyg8664 2 месяца назад
Hv uwa inakuaje interview inaachiliwa mtu akifa..anyways pumzika kwa aman captain
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 2 месяца назад
Hatuko sawa kabisa wabongo
@nancyg8664
@nancyg8664 2 месяца назад
@@audaxmlowa9953 ujue mi sielewagi kabisa.
@joycekalago532
@joycekalago532 2 месяца назад
Ya muda sana nyie tu ndio huwa mnakosa vifurushi vya kutazama
@nancyg8664
@nancyg8664 2 месяца назад
​@@joycekalago532😂😂mi naona wew ndo unakosa kifurushi coz ina 4 days mpk leo na gadna toka afariki ana kama 5 to 6 days mpk leo.
@mwajumanjama4023
@mwajumanjama4023 2 месяца назад
😢😢
@abdalamhamed3586
@abdalamhamed3586 2 месяца назад
Daaaaaaa
@mwasitimajid
@mwasitimajid 2 месяца назад
Rest in peace gadner g🙏
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 2 месяца назад
Kwa heri Captain pumzika salama, moja ya watu waliokuwa wanajiamini
@Timoclement
@Timoclement 2 месяца назад
RIp legend
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 2 месяца назад
Kama mtu anachangia kuwatupia magonjwa watangazaji Hawa wanakufa kama kuku Mungu aliyemtumbua Farao atawaumbua tu kiukweli sio kitu kizuri kumpa mtu magonjwa kufa bila kujitarajia rip roho ya jaydee poleni familia kiujumla jina la bwana libarikiwe milele ❤
@AdrianoStephen
@AdrianoStephen 2 месяца назад
Lazma Kuna kitu c bule
@sunwizy608
@sunwizy608 2 месяца назад
achezi izo mungu anafanya mambo yake wanekufa mitume tukumbuke iloooo m...’G lala salama😢
@levinabyamungu8453
@levinabyamungu8453 2 месяца назад
Rup capten
@annamakomele339
@annamakomele339 2 месяца назад
Aiseeeee😢😢😢
@fortunatafelician5625
@fortunatafelician5625 2 месяца назад
RIP Legendary
@kamulisamson896
@kamulisamson896 2 месяца назад
Poleni sana😢😢😢😢
@davidnyitambe3399
@davidnyitambe3399 2 месяца назад
Mbona huo mshahara sijasikia vizuri..kama imekatwa hivi
@Bettingreviewtz
@Bettingreviewtz 2 месяца назад
29,000,000
@blessedaggie9159
@blessedaggie9159 2 месяца назад
​@@Bettingreviewtzaisee, pesa ndefu
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 2 месяца назад
Ila mm nmeangalia mdomo wake ni kama amesema ""si chini ya 10""
@Bettingreviewtz
@Bettingreviewtz 2 месяца назад
@@leedsoldat4189 Milion 10 wapo wanaolipwa hiyo pesa
@oscanyakunga
@oscanyakunga 2 месяца назад
Polen wanahabari
@josephlorri431
@josephlorri431 2 месяца назад
Jamaa peace sana. RIP Kamanda
@hamisiussiku1151
@hamisiussiku1151 2 месяца назад
Inna lillah waina Illah rajiun
@OmaryJuma-lo1kw
@OmaryJuma-lo1kw 2 месяца назад
Rest easy G
@FurahaNgomango-zr3bz
@FurahaNgomango-zr3bz 2 месяца назад
Mimi Nakumbuka mwaka 2005 ananasifu
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 месяца назад
Dunia 😢😢
@janecolleter
@janecolleter 2 месяца назад
Daah! May his soul rest in peace 💔
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 2 месяца назад
😢😢😢Sasa MBN clouds majembe yote yaenaenda mbinguni.
@Zainab-qg6xv
@Zainab-qg6xv 2 месяца назад
Yatarudi yameenda kupalilia majani yamezidi
@EliasElias-ee7wl
@EliasElias-ee7wl 2 месяца назад
Rest in peace habash
@shillachiumbo4241
@shillachiumbo4241 2 месяца назад
You have gone very soon Gardner, Tutakumiss kwenye Jahazi, Na U-MC wa Sherehe mbalimbali!!
@anithamuttassa8981
@anithamuttassa8981 2 месяца назад
R.i.p Brother
@OmaryJuma-lo1kw
@OmaryJuma-lo1kw 2 месяца назад
😢😢😢
@imanimwakinga4934
@imanimwakinga4934 2 месяца назад
Apumzike kwa amani
@davidsebastian661
@davidsebastian661 2 месяца назад
Nakumbuka msemo wa maisha ni nyumba jahazi😢😢😢
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 2 месяца назад
Innalillahi Wainnailaihi Rajiun
@aminaaziz5451
@aminaaziz5451 2 месяца назад
R.I.p
@leaherasto929
@leaherasto929 2 месяца назад
Pumzika kwaamani Captain
@user-op5gz7vj6w
@user-op5gz7vj6w 2 месяца назад
R. I. P Captain 😭😭😭
@RaphaelDaffa
@RaphaelDaffa 2 месяца назад
R.I.P my brother G...
@junioremmanuel1695
@junioremmanuel1695 2 месяца назад
R.i.p Gadna
@TupokigweKibopile
@TupokigweKibopile 2 месяца назад
Rest in Paradise Captain G😢
@AgripinaJosephMushi-hw2xw
@AgripinaJosephMushi-hw2xw 2 месяца назад
Huo mshahara amengata maneno sijasikia vizuri
@erastongussa2334
@erastongussa2334 2 месяца назад
Wameedit aisee
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 2 месяца назад
Wameedit saut kipande Iko ila nmeangalia mdomo ni million 10
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 2 месяца назад
Amesema SI chin ya 10
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 месяца назад
MTANGAZAJI NDO UKAAMUA UTUPIGE PALE PALE KWENYE NYUZI??
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 2 месяца назад
Pumzika kwa amani bro!😭😭
@georgebundala1915
@georgebundala1915 2 месяца назад
RIP Captain G H
@teodorypeter6677
@teodorypeter6677 2 месяца назад
R i p mkuu pumzika salama kaka nimaumivu makubwa ila hatuna jinsi 😭😭😭😭😭
@user-jl6uj4lf6q
@user-jl6uj4lf6q 2 месяца назад
Huyu jamaa aliwahi kukaa mza wakati akitokea Kampala akitangaza kiss FM,kama sikosei..
@NhungosolloMuya
@NhungosolloMuya 2 месяца назад
R•I•P Mwambaaaaa😢😢
@rehemadossa8154
@rehemadossa8154 2 месяца назад
Inalilah wainaillah rajiuun 😢😢
@EVALINESILVIN-dp5kj
@EVALINESILVIN-dp5kj 2 месяца назад
Moja Kati ya watangazi ninayempenda May your so rest in internal peace
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 2 месяца назад
Nimekuja baada ya msiba wake😢😢
@suzanmichael5793
@suzanmichael5793 2 месяца назад
Mbele yake nyuma yetu pumzika kwa Aman
@zulaikasalum3568
@zulaikasalum3568 2 месяца назад
Inna Lillah Wainna Ilayhi Raajiun 😢
@user-gv6ij2zt2h
@user-gv6ij2zt2h 2 месяца назад
Mm nashindwa kuzungumza ila mungu hakoseagi pumzika kwa amani kaka
Далее
готовка с Даней🥹
00:59
Просмотров 345 тыс.
KWANINI WANAWAKE WENGI HAWAFIKI KILELENI
25:44
Просмотров 188 тыс.
Shajara ya Coy Mzungu | Afungua Kurasa za Maisha Yake
57:52
готовка с Даней🥹
00:59
Просмотров 345 тыс.