Тёмный

KIMENUKA! MCH.SIMBA ULANGA AMLIPUA DR SULLE ALIVYOKUWA AKIGEUZA VIFUNGO VYA BIBLIA WAKRISTO WASLIMU 

Maks Media
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 213   
@doreenarbogast4597
@doreenarbogast4597 3 месяца назад
Barikiwa sana mchungaji mtumishi wa Mungu. Hata mimi nimejifunza mengi niliyokuwa siyajui. Yesu ambaye ni Mungu mkuu asifuwe milele yote.
@frankmugomba3484
@frankmugomba3484 4 месяца назад
Mzeee Safi sana Asante kwa Kazi njema kazi Nyoofu sana ilitufungua wengi na inafanya vyema sasa kufungua Macho
@barakampunga8121
@barakampunga8121 4 месяца назад
Duh Mungu wetu ni mkuu akupe afya njema uendelee kuupigania Uksrtu barikiwa sana kumbe elimu imeletwa na wakritu Aminaa
@elimikasasa643
@elimikasasa643 4 месяца назад
Huyu Mzee alifanya kazi kubwa sana! Mungu aendelee kumpa nguvu! Barikiwa Mzee nilikusikiliza kipindi hicho!
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 4 месяца назад
Mtu wa maana kabisa ❤❤
@RenardShelembi
@RenardShelembi 2 месяца назад
Ubalikiwe sana baba kwa kuisema kweli ya Mungu
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
Kazi njema sana sana,
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
Naaam mtu mkuu wa Mungu
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 4 месяца назад
Daaaa!!!!umezeeka baba yangu chuma cha hoja,Mungu akupatie uzee mwema
@EusebioEduardoAntonio
@EusebioEduardoAntonio 3 месяца назад
abali babá mchungaji Simba ivyo vitabu nitavipataje?🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 4 месяца назад
Mungu wa dini hizi mbili ni tofauti
@JamesKabodo
@JamesKabodo 3 месяца назад
Barkiwa baba
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 4 месяца назад
Ukweli Yesu atashinda na apate kushinda Ni Mkuu wa Mataifa na ni Mwokozi ajaye Jina la Bwana libarikiwe
@JudithTwibonisye
@JudithTwibonisye 4 месяца назад
Karibuni tarehe 22 Mwezi huu 6 kuwa na Mdaharo Ukumbi wa Wapo Mission. Kuhusu uungu wa Yesu kutakuwa na pande mbili wanao pinga au wanao kubali
@MaksMedia1
@MaksMedia1 4 месяца назад
Ok
@Jumaamsagaty
@Jumaamsagaty 4 месяца назад
Natamani kushiriki upo maeneo gani
@MaksMedia1
@MaksMedia1 4 месяца назад
Endelea kufatilia Maks media utajua siku yenyewe
@amoschacha2885
@amoschacha2885 3 месяца назад
Je waislam watakuepo?
@LionKijazi
@LionKijazi Месяц назад
Muongo anaejitahidi asiusapoti uislam
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 4 месяца назад
Mtumishi wa Mungu ubalikiwe na Mungu wa viumbe vyote
@StevenMtambo
@StevenMtambo 4 месяца назад
Nawezaje kuvipata hivyo vitabu ,,, Asante pastor Simba ulanga
@MaksMedia1
@MaksMedia1 4 месяца назад
Ipo no ya media hapo pia video inayofata Kuna no yake
@georgeasalla8542
@georgeasalla8542 Месяц назад
Mtumishi weka namba ya account yako sisi wakristo tunakuchangia
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 4 месяца назад
Kiboko yake Mazinge
@josphinenduta2011
@josphinenduta2011 4 месяца назад
Kama mwarabu hawezi geuza mkristo, sulleh hawezi ng'o
@nomar3708
@nomar3708 4 месяца назад
Wenzenu wazungu wanakuwa waislamu kwa makundi. Mumebakia nyie tu waafrika kufuata upuuzi wa biblia iliyobadishwa. Mnafata maneno ya Paulo
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 3 месяца назад
​@@nomar3708hao wazungu wanaosilimu hawajielewi. Wewe unayesema biblia ni upuzi pia hujielewi. Nguzo za imani ya kiislamu zipo sita unazijua? Mojawapo ni kwa kila muislamu kuwajibika kuamini vitabu ( siyo kitabu kimoja) vya Mwenyezi Mungu. Sasa ukiwauliza waislamu wavitaje watasema ni Taurat, Zabur Injil na Kur'ani. Biblia ni neno la kigiriki maana yake vitabu. Sasa vitabu vilivyopo ndani ya biblia ndio hivyo hapo ila Kur'ani haipo ndani ya biblia! Sasa ni wazi kuwa kila muislamu anawajibika kuamini Biblia pamoja na Kur'ani na siyo Kur'ani pekee. Sasa hapo nani mpuuzi kati ya biblia na wewe uliyesema biblia ni upuuzi?
@messiah-l4r
@messiah-l4r 2 месяца назад
​@@nomar3708ingia aljazzeela waislamu Kwa maelfu Wana mpokea yesu kristo
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 4 месяца назад
Waislam wamewaacha mbali sana wakristo kwenye eneo la dini.
@Baba-JJ
@Baba-JJ 3 месяца назад
Hujui hata unachokiabudu wala unachokiongea. Labda kwenye kuabudu majini ndio mmewaacha mbali. 😂😂 Nyie endeleeni kugombania pepo ya ngono. 😂😂
@myself4128
@myself4128 2 месяца назад
Umbali lazina uwepo sababu sisi Tunaelekea Mbinguni wao Kuzimu
@DanielErio-dz2rb
@DanielErio-dz2rb 6 дней назад
Kivipi
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 3 месяца назад
Waislamu wanamuogopa sana huyu mzee
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 4 месяца назад
Yesu ni hapa tu east africa issa ni dunia nzima.
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 4 месяца назад
Yesuuu ni jibuu toshaaaa kwa woteeee wamwitajiooo
@universitylink
@universitylink 4 месяца назад
Issa amezakiwa chini ya mti wa mtende wakati yesu amezakiwa katika zizi la ng'ombe
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 4 месяца назад
Leta andiko yesu kazaliwa ndani ya zizi
@JonathanMwaikono
@JonathanMwaikono 4 месяца назад
Mungu akubariki wewe na timu yako kwa huduma hii. NINAOMBA NINAVIPATAJE VITABU HIVYO?na bei zake
@universitylink
@universitylink 4 месяца назад
Mzee simba ulanga ulikuwa inafanya vurugu Mazinge akiogea mnaongea baada yake kuvuruga mawaidha na saa zingne mlikuwa mnaita polisi kwa kusema kuwa mmefanyiwa vurugu. Nilikuwa nashuhudia pale msasani Mazinge alifanya kazi kubwa sana
@FestoSungura-o6v
@FestoSungura-o6v 4 месяца назад
Mazinge hamuezi huyu mwamba
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 4 месяца назад
Wakristo someni kiibrania Yesu anaitwa nani msilazwe tu kikondookondoo bila ujuzi
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 4 месяца назад
Mwandishi mjinga sana unashindwa kuamkia unasema heshima Yako
@Shaha-d1i
@Shaha-d1i 4 месяца назад
Unjua maana ya shikamoo?au malhaba?
@yamungummungulo633
@yamungummungulo633 4 месяца назад
Allah na Jehovah wana tofauti gani kihusika
@FredizMhagama
@FredizMhagama 4 месяца назад
Yehova ni Baba yake Yesu na Baba yetu Allah hana mtoto wala watoto
@profs.a5412
@profs.a5412 4 месяца назад
Waislamu wanalazimisha eti ISSA awe Yeshua , Yesu , thubutuuuuuu....wako tofauti kabisaaaa😂
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 4 месяца назад
Wewe umechanganyikiwa,kwani Waislamu tukisema Yesu ni Issa tunapata faida gani?Au Wewe ukisema Issa sio Yesu unapata faida gani?Sisi hatusemi Yesu ndiyo Issa kwa akili zetu wala matamanio yetu bali ni Vitabu ndivyo vinasema Yesu ni nani?SOMA QURAN 3:50-51/SOMA QURAN 19:30-34 Na Habari za Yesu na ukoo wake yako kwenye Quran kwa wazi kabisa soma Surat Ali Imran.Huyu Mzee nae amechanganyikiwa hetu Mwokozi;sasa Mtu hawezi kuwa Mwokozi?Jeshi la zima moto haliokoi?Labda atuoneshe ayah isemayo Yesu ni Mungu na aliumba viumbe sisi hapo ndiyo tutakubari lakini anapiga porojo tu haoni aibu kufa akiwa hajitambui?Swala la kuchinja sio matakwa ya Wakristo wala Waislamu tu Wenyewe bali ni sheria ya Mwenyezi Mungu :-QURAN6:118 Kama Mzee Simba Uranga unachinja nyama kwa ajili yako hakuna shida lakini kama unachinja kwa ajili kuwauzia Waislamu hiyo sheria hauna,Waislamu tunakula nyama inayochinjwa kwa Majina ya Mwenyezi Mungu sio Nyama inayochinjwa kwa jina la Mtume Yesu na Wanyama halali na vyakula halali kwa mujibu wa Quran:Soma Surat Al Maaidah aya ya 5 na kinachokufanya utumie nguvu nyingi kutunga vitabu vyako ni nini?Jibu ni kwamba unalazimisha kuisemea Bibilia maneno ambayo haikuyasema kwa mapenzi yako sasa Mimi ninakwambia hivi Quran haiitaji kusemewa na mtu kwa maneno yake ya pembeni:Quran sheiria zote zimo kwahiyo ndiyo ujue kuwa dini sahihi kwako Wewe Mzee na watu wote ni Uislamu sio vinginevyo!
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 4 месяца назад
kila asiye na akil atawaza km ww kw7bu kuna UKAFIRI ndan yko
@profs.a5412
@profs.a5412 4 месяца назад
@@halidimgonza5945 hata mkasirike na mpasuke , Isa hawez kuwa Yesu kamwe😅😅 soma biblia ya kiarabu utakutana na Yesoo Al Masih, na sio Isa ..huyo Isa wa kwenu nyieeee. Ila kwakuwa hata kusoma huwa hamsomagi mnasubiri mazinge ndio awasomee basii endelea kuwa hivyo hvyo
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr 4 месяца назад
Shidaa nikuwa waislamu wengii wanaamin commedy za mazinge hawataki kushughulishaa Akili zao kusoma maandiko
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 4 месяца назад
@@0badiaMwasongwe-rt1wr ww ndo umepotea kbs waislam tunafuata Qur-an na mafundisho ya mtume na mazinge ni muhadhir wetu anayekubalika kw7bu anawafundisha nyie MAKAFIRI na kuwatoka ktk kiza kuingia ktk dini ya kwel y kiislamu izo ni chuki tuu kw prof. Mazinge, soma vitabu uelewe usifuate mkumbo
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 4 месяца назад
Isa na Yesu watu wawili tofauti kabisa maandiko yapo wazi
@nomar3708
@nomar3708 4 месяца назад
😂😂😂
@nomamatata754
@nomamatata754 4 месяца назад
Ukristo sio dini ni imani hapo tu kwanza tunashangaa wanavyo lazimisha kuwa ni dini. Wao kama wana dini sawa ila sisi ni YESU mkuu wa imani hii MUNGU ALIYE HAI
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 4 месяца назад
Kushindwa kuwaambia wa kristo ukweli mtakwenda kujibu mbele ya mungu
@BOAZIMPITANYE
@BOAZIMPITANYE 4 месяца назад
Mkristo hana haja ya kuthibitishiwa maana wanajosomea wenyewe.
@nyingos
@nyingos 4 месяца назад
Simba Ulanga kama Simba Ulanga. Ilikuwa hatari sana.
@jamalmanishi7282
@jamalmanishi7282 4 месяца назад
Kwa mtu aliefungwa akili na majini Yani mashetani hawezi kukuelewa nahasa hao wanaosemakwamba Yako mashetani mabaya na mazuri lkn unaeleweka sana tu mtu wa maana sana kazi Yako sio bure pambana Ili umalize vema tuko mwishoni barikiwa Mzee wetu
@MSUYA-n1t
@MSUYA-n1t 2 месяца назад
🙏
@HomeBoy-t5d
@HomeBoy-t5d 10 дней назад
Nahitaji nakala za vitabu nijifunze zaidi
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 4 месяца назад
Mihadhara haipo sbb ya kina mazinge na dr sulle wamekua watafta pesa tu
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 4 месяца назад
Yesu na ISSA ni watu wawili tofauti, biblia haijawahi kumuandika issa, kuzaliwa kwa issa na Yesu ni vitu viwili tofauti. Yesu ndio kweli yenyewe, haki inakuja ukianza na ukweli
@nomar3708
@nomar3708 4 месяца назад
Huyu anazidi kuwapoteza
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 4 месяца назад
Mungu anayeabudiwa na Waislamu ni yule yule Anayeabudiwa na Wakristo? Mwenye hekma ya kunijibu bila kupanic plz
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 месяца назад
Ni Mungu tofauti. Mungu wa wakristo. Amejifunua kwa wakristo katika nafasi tatu. Nafisi Baba, Mwana na Roho mtakatifu ambaye ni mmoja. Wasilamu Mungu wao mmoja Hana mtoto au hazai. Wakristo vitabu kama Ufunuo. Injil ya Yohane, Kitabu cha mwanzo, Isaya. Zaburi. Baadhi tu hutumia kuonyesha Kuwa Mungu huyo mmoja amejidhirisha kwetu kwa nafasi tatu. Melkizedeck kuwani aliishi salemu. Hakuzaliwa , Hana baba wala mama, Hana mwanzo na Hana mwisho. Ila alihishi duniani na alipkea sadaka za Nabii Ibrahim. Huyu alikuwa nani? Kama si Mungu au Nafasi moja ya Mungu kama wanavyokiri wakristo. Soma Injil ya Yohane na Kitabu cha ufunuo. Kinaelezea mwanakondo kuketi kiti kimoja na Mungu na kuwa na macho saba. Na macho hayo saba ni roho saba za Mungu. Tuumbe mtu kwa mfano wetu. Kitabu cha mwanzo. Wasilamu wanakataa Mungu huyo. Wao ni mmoja. Wao 1+1+1=3. Wanasahau kwamba ipo pia 1*1*1=1.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 месяца назад
Mungu wa upande wa waislam anaonkana uwezo wake ni mdogo. Mungu wa wakristo anaonkana uwezo wake hashindwi jambo. Imani ya Islam ina swali la inawezekanaje juu ya Mungu. Ukristo wenyewe hauna hilo swali. Inampa Mungu uwezo na haki ya kutenda atakalo. Wakristo wanaamini kwamba Neno anayetajwa kwenye Kitabu cha mwanzo. Alivaa mwili ndani ya Tumbo la maria. Akawa mtu ili afanye ukombozi na kumtambulisha au kumfunua Mungu kwa wanadamu. Haya yapo kwenye vitabu vya injil zote. Mitume wa Yesu walitaka Yesu awaonyeshe Mungu Baba. Akawajibu kwamba amekaa nao mda wasimtambue?. Kivyo kwa Imani hizi mbili hazikubaliani umungu wa Yesu na Roho mtakatifu. Kwa asili ya uumbaji sote asili yetu ni moja. Baada ya Yesu tunaabudu Mungu tofauti. Na iyo aishangazi. Yesu alisema mtawala wa ulimwengu yuko na ameanza kufanya kazi.
@HafidhiSaidi
@HafidhiSaidi 4 месяца назад
Yesu mamaake maliam issa mamaake maliam embu tuwambie kwaelimu yako manabii wangap amezaliwa pasipo baba kama wanafika wawili utuambie uje utuletee tofauti ya issa na yesu alafu ao jamaa zako wanakusapot eti unaongea ukweli sumu ulio wapa watuwako ni nyingi uzee uo unakalibia kwenda kwa mungu fanya utubu baba kama pesa tayali unayo🙏
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr 4 месяца назад
Tofauti kabisaa yesu alizaliwa kwenye holii la ngombe huko Yeruslem nchi ya Israel. issa alizaliwa uarabuni chini ya mtende tofauti kabisaa kabisaa
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 месяца назад
Vipi Adam
@AzizaHamisi-o6z
@AzizaHamisi-o6z 4 месяца назад
Ukweli utabaki pale pale mungu hazai wala hazaliw na hawezi fananishwi na chochote
@martinisadru9899
@martinisadru9899 4 месяца назад
Kama hafananishwi, kwanini yeye MUNGU aliesema, tuumbe MTU kwa mfano wetu. Maana ya mfano ni nini? Viumbe wote hawafananishwi na MUNGU, isipokua ADAMU na wanadamu tu,, ndio maana hata malaika mkuu yule wa kwanza kuumbwa kabla ya viumbe wote, yaani shetani, aliamliwa kumsujudia ADAMU, na, akakataa,, swali! Kwanini ADAMU asujudiwe? Na anaestahili kusujudiwa ni nani? Nipe jibu. Na hilo, la shetani kuamliwa kumsujudia ADAMU, hata kwenye Quran yenu hiyo aya ipo.
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 4 месяца назад
Nani kasema MUNGU anazaa tatizo mnaakili ndogo sana ayo mambo ni ya roho Sanaa wewe c mkresto uwezi elewa uctungulie kwenye Imani yetu
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 soma vizuri Quaran
@abubakarsalanga2497
@abubakarsalanga2497 4 месяца назад
nakurepoti kwa babu mazinge ulimkimbia songea simba ulanga huwawez kina sule for sure
@crisantisindani3830
@crisantisindani3830 3 месяца назад
Mpaka Leo Bado wakristo mkoa wa rukwa (w) ya nkasi kule Kilando . Wananchinja wao nakuuza katika bucha za wakristo. Mdahalo mwingine ulifanyika sumbawanga mjini pale msakila alikuwepo kinyogoli shafii na mazinge Simbaulanga nikidume kweli😁😁😁😁🤣
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne 4 месяца назад
Profesa MUSSA NGOGO NA PASTOR IMANI PETRO HAWA NIWAKRISTO WASOMI WALIACHA UKRISTO NAKUWA WAISLAMU ...NITAJIE WAWILI WALIOACHA UISLAMU NAKUWA WAKRISTO...KISHA TUWAPIME...ACHENI UONGO NINYI SIKU YAKIYAMA NINZITO MNO.
@fabianalfredy5557
@fabianalfredy5557 4 месяца назад
Nyie mnawazui Kwa nguvu Hadi kuwata kuua, so huwa hatuwatangazi km nyie. Shekh sharifu aliposilim MLIMFANYA NINI? Huo ni mfano mmoja
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 4 месяца назад
Tatizo lako ujuwi km ujuwi hapo ndo shidaa sasaa mpo kiushindani sisi hatopo ivyo nyi mnamfoc mtu awe muislamu
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 4 месяца назад
Katika ukristo unahubiriwa ili umpokee yesu, hakuna vitisho vya mauaji endapo atahama dini, upande wa pili ni shida mtu analazimishwa kinguvu awe dini hiyo na yule anayehama yupo hatarini kwa kifo . Kule Iran watu wanaingia ukristo kimya kimya ole wako ujulikane. Ulaya hawalazimishi watu wawe wakristo, nenda arabuni uone. Maajabu wahamiaji wanawakimbia ndugu zao katika Iman na kukimbilia kwa makafiri ulaya. Yaani hawajui kinachowavuta ni upendo wa kristo kwa watu wote walioupokea watu wa ulaya
@hassantoure7472
@hassantoure7472 4 месяца назад
Maks Media mtafute sheikh shafii shomari kw hili swala la debate na Simba ulanga
@Fathertrucker
@Fathertrucker 4 месяца назад
Twaitaji DIBET Sule vs Shaffi Jamani ili tuelewe
@universitylink
@universitylink 4 месяца назад
Wakati hizo nikisoma form five na six Dar Sheikh Mazinge na Simba ulanga msasani .Mzee simba ulanga akipinga uislamu na watu wanasilimu tu nafikiri ilikuwa 2000 mpaka 2004 ndio nilikuwa Dar
@HomeBoy-t5d
@HomeBoy-t5d 10 дней назад
Nakala ni bei gani kwa kila moja?
@MaksMedia1
@MaksMedia1 10 дней назад
No ipo hapo
@ZuberySaid-dt2mh
@ZuberySaid-dt2mh 4 месяца назад
Huna point,
@jamalmanishi7282
@jamalmanishi7282 4 месяца назад
Nyie badala yakuuliza uhalali wamtu kufundisha dini huku akiwa nimganga wajadi anaetumiwa namajini mnaka kusifiana harafu mnataka nasisi tuje tufanywe misukule nahao waganga watumishi wadini yenu eMungu okoa watu wako wajulishe kuwa anaeokoa niyesu na sio dini wala zehebu maana wanatambia majina yadinizao lkn hata wavotoa mawazo yao vinywa vimejamaneno machafu namatusi nabado wanaona wakosalama 😂😂😂😂😂😂😂
@HellenaMky
@HellenaMky 4 месяца назад
Lamu niwaongo Sana nimaarufu kubadirisha majina.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 месяца назад
Mzee wetu Simbaulanga bado ana nguvu, nashauri awe anafanya mafundisho au mafafanuzi ya mada mbalimbali alizoandika kwenye vitabu vyake. Awe anarusha kwenye You Tube na mitandao mingine, atasaidia sana wakristo kuelewa kwa undani ukweli wa imani yao vs imani ya Kiislam.
@emmanuelsenga4536
@emmanuelsenga4536 28 дней назад
Tukitaka vitabu hivyo tutavipata wapi? nijibu
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 4 месяца назад
Hakuna kilichogeuzwa wakristo watazame kinachosemwa kama hakimo wao hupokea kinachotungwa na wachungaji na kukataa wanachokiona kwa macho wakristo bhana 😂😂
@BOAZIMPITANYE
@BOAZIMPITANYE 4 месяца назад
Unajitekenya na unacheka mwenyewe
@AlabdbFoone
@AlabdbFoone 11 дней назад
Sisi tunasoma Biblia sio kama nyie mnasubili msomewe na mazingee
@afropatriot7769
@afropatriot7769 4 месяца назад
Yesu hakuoa Issa alioa Yesu ni mwana wa Mungu,Issa hatujui ni mtoto wa nani Yesu alifufuka Issa hakufufuka Yesu alihubiri habari njema ya uokovu ,Issa alikua nabii wa kiislamu Jina la yesu linaokoa ,jina issa ni la kihistoria na nabii wa waislam Yesu yu hai anaishi hata leo,issa alishajifia huko Msilazimishe wafanane hawa ni wawili tofauti kitabu chenu kimeandikwa kwa kuiba iba kwenye biblia ili vifanane
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 месяца назад
Sasa mbona huyo yesu alisulubiwa na rangi dhambarau luka anasema jekundu marko anasema kijani hapo vp
@afropatriot7769
@afropatriot7769 4 месяца назад
Hayo huwezi kuyaelewa kwa sababu huijui biblia unasomewa na hao mashehe ubwabwa kama unataka kuelewa soma vizuri hivo vitabu vyote kwa lengo la kuelewa utapata ukombozi katika maisha yako
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 месяца назад
​@@afropatriot7769soma vizuri hakuna hizo tofauti. Ukweli ni kwamba tujisomee hivi vitabu vya kiimani wenyewe kwa makini sana. Lugha za kimungu zinahitaji ujuzi sana. Nilishangaa sana kwamba Yesu wa bible kwamba akiludi atahukumu wazima na Wafu. Pia kile kitabu cha ufunuo kinasema ule Mji yeye atakua ndiye taa na Mungu ndiye hekalu la huo Mji.Watakatifu na wote watasujujudu kwake na Baba. Bible inashangaza kidogo tena, kwamba katikati ya watakatifu na katikati ya kiti cha enzi alimuona mwanakondoo aliyechinjwa akiwa na macho saba na ndizo roho saba za Mungu. Basi ni Nani basi?. Bible inataja kisa cha Ibrahim kukutana Na kuhani mkuu Melkizedeck kule Salem, leo hii Jerusalem. Huyu kuhani bible inasema yeye Akuzaliwa hakuwa na mama wala baba. Hana mwanzo au mwisho. Tena anafananishwa na Yesu katika agano Jipya. Huyo kuhani ni nani?. Kwa nini Hana mama au baba. Kwa nini Hana mwanzo au mwisho?. Ni Mungu mwenyewe?. Quaran nayo ukifuatilia baadhi ya mambo nayo inaibua maswali mengi tu. Unaweza kuhitimisha kwamba upo ubinadamu tu. Wengi wetu na sayansi tunaelewa kuwa Radi ni umeme. Inakuwaje quaran tukufu itwambie ni malaika au ni kwa nini Mungu asahu uumbaji wake?. Kufanana kwa watoto na wazazi kwa Quaran mbona ni kinyume na sayansi. Ishara ya mwezi kugawanyika Ili Mtume tumwamini ni kweli mwezi sayansi inasema umegawanyika?. Dhana ya uadilifu kwa kiongozi ikoje?
@yousirsports7482
@yousirsports7482 4 месяца назад
Aya ipo wapi kwamba aligeuza maandiko
@sleyumngolo
@sleyumngolo 4 месяца назад
Kwaiyo ndacha anasapoti uislamu au
@AzizaHamisi-o6z
@AzizaHamisi-o6z 4 месяца назад
Bado hujajielewa na utu uzima huo pole sana
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 4 месяца назад
Hili zee jinga zaidi yesu ni jina la kutunga asili ni isa bin mariam
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 4 месяца назад
Wew ndo ulompa?
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 месяца назад
Huna shule ww
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 месяца назад
Unajua maana isa ww
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 месяца назад
Hoja. Kimsingi nani wa kuaminiwa zaidi Kati ya Mtu anaye simuliwa jambo na yule aliyeshudia kwa macho?. Islam inaonekana kuanzishwa miaka 610 AD. Injil zote agano Jipya zimeandikwa na watu waliomwona Yesu na kufanya kazi naye. Mtu ambaye kaja miaka 610, ushaidi wake unawezaje kuaminiwa zaidi?. Kwanza haya moja ilitelemshwa na ilipoonekana akidhi Mungu alitelemsha iliyo bora zaidi?. Unakutana na Hadithi za kiimani kwa nini usione shaka?.
@nomar3708
@nomar3708 4 месяца назад
Wazungu wenyewe wameacha ukristo na wanaingia makundi kwa makundi kwenye dini ya haki, uislamu. Mumebakia nyie tu waafrika mnashikilia uongo ulioandikwa na paulo
@BOAZIMPITANYE
@BOAZIMPITANYE 4 месяца назад
Pole sana
@StephenSelelya
@StephenSelelya 4 месяца назад
Vitabu hivyo havionekani sasa hivi bookshop!
@universitylink
@universitylink 4 месяца назад
Saa zingine mlikwa mnakata umeme yaani mnachomoa wire za speaker
@ZablonLameck
@ZablonLameck 3 месяца назад
Hivyo vitabu mtumishi nitavipataje,? Niko kahama
@MaksMedia1
@MaksMedia1 3 месяца назад
No ipo hapo
@ZablonLameck
@ZablonLameck 3 месяца назад
@@MaksMedia1 mawasiliano yao tafadhali naomba hapo kahama
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 4 месяца назад
Tupe number tuje kununua hivyo vitabu.
@yousirsports7482
@yousirsports7482 4 месяца назад
Andiko liko wap
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 4 месяца назад
Natamani kuvipata hivyo vitabu
@universitylink
@universitylink 4 месяца назад
Kwenye Bible Daudi alimzini mke wa jirani yake na kumuwa mumewe wakati Daudi wa Quran ni mtu safi kabisa
@HomeBoy-t5d
@HomeBoy-t5d 10 дней назад
Inamaana wewe ni miongoni mea kile kikundi cha akina Ndimbo?
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 месяца назад
Huyu kafiri hana lolote anamjua vzr mazingw
@BOAZIMPITANYE
@BOAZIMPITANYE 4 месяца назад
Mazinge ndiye boya kabisa
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 месяца назад
Boya wengi tu, Imani ni jambo gumu sana. Quran inasema Jua huzama na kuchomoza wapi?, haramu kutoka kwenye uso wa Dunia kwenda anga za mbali? Kufanana kwa watoto na na wazazi hutokea vipi?. Radi nini?. Mtu mzima mwanaume kunyonya?. Mvua hutoka wapi?. Kuoa mateka wa vita?. Maji ya zam zam?. Shetani kukaa usiku kwenye pua?. Shetani kuishi chooni?. Elimu ya makini?. Haya nayo ni ukafiri?
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 месяца назад
Huyu mchungaji ni muongo sana cheki pua yake
@Stewart-l6t
@Stewart-l6t 4 месяца назад
Kadanganya nini hapo
@fabianalfredy5557
@fabianalfredy5557 4 месяца назад
Matusi yanatoka wapi tena.!!
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 месяца назад
@@fabianalfredy5557 sas wew kwani hauwoni pua yake jinsi ilivyo?
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 месяца назад
@@Stewart-l6t kwani wew hujui alicho danganya
@fabianalfredy5557
@fabianalfredy5557 4 месяца назад
Mathayo 12:34 [34]Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake. NDIYO YALIYOJAA MOYONI.
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
Mtumishi umetoboa ndonya
@alyumaraos
@alyumaraos 4 месяца назад
Mzee mzima uongoo 2 waislam gan waloingia ktk ukristo? Na kama huna machoo vaa miwan uangalie wakristo wanao ingia ktk dini ya Haq ya uislam.
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 4 месяца назад
Mkirsto hana dini akichinja ni umekula mfu. Na mkiristo hana hoja ndiomana wanamiminika kwenye uislam.lini ukaona wakiristo wanamiminika kweny uislam?ukweli ni uislam pekeyake
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 4 месяца назад
Endelea kujichanganya acha kusoma utakuwa mjinga mpaka kufa
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 4 месяца назад
@@silvesterrichardhelenya1319 ndio maana tunawausia waliolala kwenye ukiristo wamepote waingie kwnye uislam wasije wakafa kwenye ukafiri
@MajiTakaMaji
@MajiTakaMaji 4 месяца назад
Broh nenda kwenye makanisa ya kilokole utapata jibu
@ANTONIILOMO
@ANTONIILOMO 4 месяца назад
Mtu,akitaka kumjua MUNGU kuwa ndio YESU Mwenyewe aokoke awasikilize wanaomwabudu ili wajue kweli. Kwa maana akizungumza asiyoyajua ni kwa sababu hajui Mambo yote na kweli ni wazi hayajajifisha,Mungu yupo yaani YESU KRISTO,wataomwamini wataokoka na kuingia mbinguni wasiomwamini Watakwenda kwenye ziwa la moto (jehanamu) .Ukihitaji msaada katika hili maine mchungaji Aliye mwamini YESU,mfano Mchungaji Ulanga n.k
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 4 месяца назад
@@ANTONIILOMO anaeitakidi yesu ni mungu nisawa na anayesema ngo,mbe ni mungu.mutaingia motoni .yesu sio mungu bali ni mtume wa mungu
@SOLOMONADAMS-v6q
@SOLOMONADAMS-v6q 4 месяца назад
Shida ni Mchanganuo ww mzee hujui lolote sisi wenyewe tumekimbia kanisa tunadanganywa saana Mungu hawezi kuzaliwa na mtu bana
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 4 месяца назад
Imam kakimbia uislamu msomii sembuse wewe? ru-vid.comc2e99p3YSqY?si=My42Rd54cgqmkST7
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 4 месяца назад
Ni kweli
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 4 месяца назад
ww mzee simba ulanga unawapotosha MAKAFIRI wenzio lkn ukwel unaujua km ukristo si dini ya mwenyezi Mungu mtakuja chomwa motoni nyie na unamuogopa mazinge kuliko chochote
@basilejuma
@basilejuma 4 месяца назад
Mazinge achia ndacha, ndo maana Mahali ndacha Yuko mazinge anahepa
@AlabdbFoone
@AlabdbFoone 11 дней назад
We ni chizi
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 4 месяца назад
Navipata je ivyo vitabu ??
@MaksMedia1
@MaksMedia1 4 месяца назад
Karibu no ipo hapo!!
@omaar5693
@omaar5693 4 месяца назад
isa sio kiarabu.... musijichanganye... isa ndio jina original kama musa na yusuf..yakub, ishak ibrahim yote si ya kiarabu ila yameandikwa kwa lafudhii ya kiarabu
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 4 месяца назад
Weee ndo ujuwiii kabisaaa una elimu ndogo sanaaa Bora ukae kimy tuu kuliko kukoment ujingaaa
@omaar5693
@omaar5693 4 месяца назад
@@FrankMushi-cs5js ah we nawe wewe si unasema yesu ni mungu? ametairiwa vile? so anayo chululu ? acha kuniambia jambo kama mungu wako ametairiwa na viumbe wake..
@binseif2216
@binseif2216 4 месяца назад
Muongo sana we mzee😂😂Wakristo ni wengi waingiao uislamu mpka wachungaji na hamkuwahi kujibu maswali ya waislamu
@martinmkoba361
@martinmkoba361 4 месяца назад
Nyie mnaona wengi kwakua mnatangaza wakristo hawatangazi
@binseif2216
@binseif2216 4 месяца назад
@@martinmkoba361 🤣🤣Wachungaji wanavopenda sifa wataacha kuwatangaza
@martinisadru9899
@martinisadru9899 4 месяца назад
Wakristo wanaehamia uislamu, ni wale wasio jua kitu, au kwa tamaa zao za kimwili! Akiwa mwanamke,, sababu kapata mwanaume muislamu,, na akiwa mwanaume amepata mwanamke wa kiislamu,,, mkisto mwenye nguvu ya KRISTO nafsini mwake hababaishwi na vitu vya kimwili, maana hivi vipo duniani tu! Kwa upande wa sisi wakristo wenye nguvu ya KRISTO nafsini mwetu, hata angekuja mwanamke mrembo kuliko malaika, siwezi kumwacha YESU, na hata nipewe pesa na thamani zooote za dunia hii, sitamwacha YESU kamwe! Maana nilikuja uchi, na nitarudi uchi, nilikuja bila mke, wala pesa, na thamani, nitaenda peponi hali nikiwa sina hivo vyote va duniani,,, Sasa kwenu nyie waislamu ni sawa kulinganisha vitu va kidunia na pepo yenu,, maana pepo yenu nyie mmeandaliwa wake 1000 wa kuwakaza huko. Sisi wakristo pepo yetu haina kuowana.
@hamisdodi-cu7bu
@hamisdodi-cu7bu 4 месяца назад
Wewe.mzee.moto.una.kungoja.potospha.watu
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 4 месяца назад
Simbaulanga.umeamua.kufa.kafili?
@martinisadru9899
@martinisadru9899 4 месяца назад
Pole,, sana,, kwakua unamacho ya kutazama, lakini, huoni, una masikio, lakini hutasikia kamwe,, uislamu ni dini ya kurisi, na UKRISTO unatafutwa kwa nguvu! Na Si kwa kurisii,, MUNGU mwenye enzi, anatuthibitishia kuwa,, wenye nguvu ndio wataiteka pepo.
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 4 месяца назад
Wewe ndiyo kafiri soma vizuri vitabu vyako utaukimbia uislamu mchana kweupe
@fabianalfredy5557
@fabianalfredy5557 4 месяца назад
Haa, umekubali kufa bila kumkubali YESU mwokozi wa ulimwengu kutoka dhambini..!!
@martinisadru9899
@martinisadru9899 4 месяца назад
Hakimu wa kiyama ni YESU KRISTO,, na sio muhamadi! Siku ya hukumu,,, hatasimama, ibrahimu, musa,daudi, sulemani, ismaili, wala muhamadi,, wote tutahukumiwa na bwana YESU.
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 4 месяца назад
Nmeona mzee hana hoja ni chuki tu za kuvimbiwa makande...yani mkristo hatakiw kukubali chochote kinachosenwa na qur an kama biblia imekosea
@FadhiliMakasi-vb9dl
@FadhiliMakasi-vb9dl 4 месяца назад
Hiki kizee kiongo sana nakifahamu Eti Issa sio yesu
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 4 месяца назад
mungu wenu anawafunza ukosa adabu' pole sana.
@limakisasautajirike
@limakisasautajirike 4 месяца назад
Issa hawezi kuwa Yesu hata siku Moja! Issa mfuga Majini na Yesu mtoa Majini ni vitu viwili tofauti
@universitylink
@universitylink 4 месяца назад
Kwanza kwenu wakristo mkikubali kuwa yesu ndio issa ni faida kwenu kwa sababu issa anezungunziwa vizuri kuliko yesu wenu katika Biblia
@frankmugomba3484
@frankmugomba3484 4 месяца назад
Jamaaaa acha kuwa mpotoshaji coz ukweli ni kufatilia kuongeza Maarifa Jifunze ukiiva njoo kwa Table na Hoja
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 4 месяца назад
Hakuna muislam anapindisha biblia umri wote huo Mzee unasema uongo ingia kwenye mihadhara upinge kwa maandiko kama unasema kweli usizungumzie vichochoroni
@HellenaMky
@HellenaMky 4 месяца назад
Waislamu hawawezi kuitwa YESU maana wanamajini. Yaya wapiga😂😂
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 4 месяца назад
Wewe ni kafiri nguruwe tako
@HellenaMky
@HellenaMky 4 месяца назад
@@MuslimYouthman acha matusi wewe sisi hatuna midomo michafu. Pangua hoja na andiko siyo matusi🙄
@khambhai360
@khambhai360 4 месяца назад
​Eti hamna matusi mbona mnatuita wafuga majini mnaushahidi Gani?Makafiri nyie.
@AlabdbFoone
@AlabdbFoone 11 дней назад
@@MuslimYouthmanukweli unaumaa
@AlabdbFoone
@AlabdbFoone 11 дней назад
@@HellenaMkyeeeeeeeeeeeeeh nyie ndo hamna mtusi nyie uliza watu wanao wajua walabu
@MrishoMambo
@MrishoMambo 4 месяца назад
Acha uongo muda wote wamgazara yako haujawai kushinda muhadhala wakigoma ulikimbia ukasababisha mchafuko mbona ulikimbia wakati wewe unajua ukweli ulikimbia nini
@mckobatz5861
@mckobatz5861 4 месяца назад
Wakristo hawashindani kwa hoja ili kutafuta mshindi bali kuelimishana na kusaidiana uelewa juu ya kumtafuta Mungu anayesikia na kuelewa ni sawa na asiye elewa pia sawa maana ni ukweli dhahiri kwamba Imani moja huweza kuwa uwendawazimu kwa Imani nyingine
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 4 месяца назад
Uongo ni jadi yenu,kigoma nilikuwepo,waisilamu ndio mliandamana mkatishia kuwaua kwamba wanadhalilisha uisilamu wenu,ilikuwa viwanja wa kanisa la moraviani
@FadhiliMakasi-vb9dl
@FadhiliMakasi-vb9dl 4 месяца назад
Issa mama yake anaitwa Mariam Hakua nababa kama ilivyo yesu Wewe babu mimi ni mkiristo ila hapo nipagumu kwako
@MiziziMti
@MiziziMti 4 месяца назад
Wewe sio mkristo..Sema nyie waislamu uongo mmeruhusiwa
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 4 месяца назад
Wewe sio mkristo
@limakisasautajirike
@limakisasautajirike 4 месяца назад
Muislamu unayefuga Majini
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 4 месяца назад
Imam kakimbia uislamu msomii sembuse wewe? ru-vid.comc2e99p3YSqY?si=My42Rd54cgqmkST7
@martinmkoba361
@martinmkoba361 4 месяца назад
We kichaa kweli Issa alizaliwa nakuongea siku hiyohiyo sasa Yesu aliongea siku hiyohiyo???
@LionKijazi
@LionKijazi 4 месяца назад
Nani achaga umbea ushakuwa ww
@amoschacha2885
@amoschacha2885 3 месяца назад
Huyu mzee muongoo sanaaa tena sana hakuna muhadhara wowote toka iyanzishwe hakuna mkristo ambae anaingia katka uislam ila wakristo ndo wanaingia
@DamasObeid
@DamasObeid 3 месяца назад
We ni mtoto wa 2000 humjui vzur huyu mzee
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 месяца назад
Kuhama Imani ni kawaida sana. Mwanadamu amepewa karama ya kushawishika na kufanya maamuzi binafsi. Lakini kuhama aina maana ndio umeingia mbinguni. Bible inasema mwana wa Adam akirudi atahukumu wazima na Wafu. Huyu ndiye wa kuhamia tu. Islam imeiga kazi hiyo ya Yesu siku ya mwisho na kumpa Allah. Mwanadamu tunatafuta ukweli wakati wito.Yesu ndiye mwenyewe mamlaka ya mwisho kwa wenyewe mwili. Kila Goti litapigwa kwake
@filberthenrick
@filberthenrick Месяц назад
Ninao kanisani kwetu
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 4 месяца назад
We Mzee ni muongo sana jina yesu limebuniwa hapo unguja walipo tafsir biblia
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 4 месяца назад
Aya wewe nawe ni mandazi kabisa,haya kasome kihebrania au kiyunanani.
@badruseif1318
@badruseif1318 4 месяца назад
​@@odilomwemeziernest646Hakuna maandazi apo Jina yesu Ni kiswahili na lilitungwa mkunazini Zanzibar
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 4 месяца назад
Mtasema Sena ila jina la Yesu linaponya na kuyafukuza majini ambao ni ndugu wa Kiislam lakini Hilo la Isa halieleweki na halija wahi fanya muujiza.
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 4 месяца назад
Aksante Sana mchungaji. YESU sio Issa . Kila mtu abakie upande wake
@limakisasautajirike
@limakisasautajirike 4 месяца назад
Kila Mtu abaki na Yesu wao - Yesu wetu anatoa Mapepo, Issa wao anafuga Majini
@FadhiliMakasi-vb9dl
@FadhiliMakasi-vb9dl 4 месяца назад
Yesu issa Mama yao ni Maliam Hakua nababa .hivyo Yesu ni Issa Wemzee unafeli
@theodorythobius3965
@theodorythobius3965 4 месяца назад
Yesu sio Issa , na Issa hawezi kuwa yesu kamwe, huo ni mpango wa shetani kuleta mtu anayefanana na yesu ili kupotosha. - Mama yake issa ni mariam ambaye ndugu wa haruni ambaye aliishi kipindi tofauti kabisa na ujio wa yesu kristo duniani. Yesu aliteswa msalabani , aliishinda mauti na akapaa mbinguni. Yesu atarudi kuja kuchukua walio wake(na wewe unalijua hilo) wakati huo issa anangojea hukumu. Yesu ni alizaliwa kwenye holi la ngombe wakati issa alizaliwa chini ya mtende . Pia sauti siku zote yesu ilitoka juu wakati issa anazaliwa sauti ilitoka chini. Mimba ya mariam mama wa Yesu kristo ni miezi tisa, lakini inaonesha mimba ya mariam mama wa issa ni muda huo huo alipata mimba akashikwa na uchungu na kwenda kuzaa. Ref: Maryamu" (19) kuanzia aya 16 - 35. Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipojitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.(Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mcha Mungu. (Malaika) Akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako ili nikubashirie tunu ya mwana aliyetakasika. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanamume yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba? (Malaika) akasema: Ni kama hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lililokwishaamuliwa. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningelikufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa! Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji! Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu! Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi? (Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii. Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai. Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapolihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.
@FredizMhagama
@FredizMhagama 4 месяца назад
Allah sio Yehova, Issa sio Yesu. Allah na Yehova ni TOFAUTI, NA HAWAFANANI
Далее
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
Просмотров 12 тыс.
MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!
19:52
Просмотров 15 тыс.