Marko 5:9 inasema akamuuliza jina lako nani akajibu jina langu ni legion kwakuwa tu wengi point Yako ni ipi kwenye hii Aya? Hapa Yesu anamuuliza yule aliepagawa namapepo nae anajibu shida nn hapa sema tukusaidie
Sasa wewe unajengea hoja kitabu cha juzi,, yaani qruan wakati vitabu vya mwanzo havisemi hivyo,, kwahio jini jhajaumbwa bali ni maraika waasi,, huo ndio ukweli wa torati, zabri na injili
Hakuna majini ya kikristo kwa kuwa hakuna dini hiyo hata yesu haitambu,Mungu anasema "sikuwaumba majini na wanadamu isipokuwa waniabudu" hivyo wapo watu wabaya na wazuri hivyohivyo na majini
NYAKATI 2 18:18-24 MUNGU ALIPOKUWA NA JESHI LAKE AKAULIZA NI MTUME NANI AKATOKA PEPO (JINI) AKASEMA NITUME MM NITAKWENDA KUWA JINI WA UONGO VINYWANI MWA MANABII WA AHABU.PITIA NYAKATI FAFANUA .
Wacha kusema Dr Sule kabanwa vibaya. kitabu hicho ni feki cha bible kimendikwa Rome,kapitia lugha ya kigiriki na kilatini kwa biashara zao na kufanya mengi katika mataifa ya Europe na kwa kukitumia katika biashara za utumwa missionari
KWA HIYO HAO MALAIKA WAOVU WALIUMBWA ILI WAWE WAOVU SIKU ZOTE? Je, kabla ya kukengeuka, walikuwa wema? Na kama walikuwa wema, hivi inawezekanaje wote wakengeuke Maadili mema?
Kumbe na wakristo wanayo majini na nirafiki yao ulikuwa una kataa nn sasa kama hakuna majini ya kikristo nilidhani nyinyi hamna majini bwana yeyote anaye jitenga na amri za mungu lazima ashikwe na majini wabaya namajini wabaya wapo na wazuri wapo kamavile binadam wabaya wapo na wazuri wapo.na ndomana biblia inawataja wabaya kwann isitaje majini tu,na na malaika hawamuasi mungu
Halafu mm nashindwa kabisa vipi wasaidiwe hawa watu biblia inasema yesu katumwa kwa wana wa israel vp mungu awapendelee wana wa israel na chaajabu walio pendelewa kupewa huyo yesu hawaitambui biblia wao wako na taurat aisee
Wewe lamda nimfuasi wa shetani eti waisilam hawruhusiwi kuvaa nguo za ndani wakienda msikitini kwanini unazusha unafiki kama huu wewe nibure kabisa hujui lolote kwenda
🤣🤣🤣🤣🤣Uyu mwalimu wenu nae bwabwa kweli unatafta weak point ili kudhoofish usilam nan ka kwambia Sulle na Elimu zake za uganga anazo zitoa ni mwislam nan kakwambia waislam wana iman za kishirkina kama alizonazo sulle, yule ni mwana mpotevu tu alie hadawa na dunia hawakilishi mwislam yyte ss waislam tunamtambua kama mpiga ramli ss na ww unatoka uko mabonde kwinama unataka utumie ako kachance kudhalilsh uislam na kuwapoteza watu, Uislam ndo dini pekee ya kukupeleka mbinguni sheikh au paradiso so take a brake tuliza povu🤣🤣🙌
Hio Bibilia yako ni yakizushi sana majini hawakumuita yesu mwana wa mungu ndugu zangu hebu kasomeni wenyenyewe Luka 4:34 [34]akisema, Acha! Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Umekuja kutuangamiza? Nakujua u nani, Mtakatifu wa Mungu.'' '' '' '' '' '' 'Kwahalihii kila mkristo atakuwa na bibilia yake
Mchungaji rudi darasan elim ime kukataa majini sio malaika malaika awa muasi mungu majini nimajini na malaika ni malaika majini wameumbwa kwa Moto na malaika wameumbwa kwa nuru umeona tofauti apo kasome tena ndugu yetu
Kama majini ni Malaika basi wapo Majini wema nikimaanisha Malaika wanaotii amri za M/mungu kwa hiyo wapo majini wazuri.na majini waovu ni Malaika waliomuasi M/mungu.lakini majini hawana dini yeyote na wanazungumza kiarabu au kusalimia kiarabu sababu wana asili ya kiarabu kwani ndio lugha ya zamani zaidi.
@malikBakar-ni2gh majini walikua malaika kabla ya kuasi, walipoasi hawakua wema tena ndio maana walitupwa duniani. Hakuna malaika alietupwa duniani baada ya kuasi alikua mwema, majini wote ni wabaya tu, uislamu ni ushirikina ndio maana wanafosi majini yaonekane mazuri
Wewe sii mwalimu bali ni fundi wa waongo duniani ila wajinga wasio soma watakuamini na hizo propaganda zako pili hakuna waislamu wanaoingia mskitini uchi kwani ni haramu kwa mwanamume na mwanamke kukaa uchi.Uta wadanganya wakrito wenzio kwa kutumia kitabu cha biblia kilichoandikwa na watu na hadithi thaifu za kuokota lakini sii waislam wenye elim zao.
Ungeanzia Moja ndio ungepata majibu wanao ongelewa hapo ni wakina nani yeremia50:1 Neno hili alilolisema Bwana ktka habari zababeri naktk habari za wakaldayo kwakinywa chayeremia nabii. Hao ndio wanaongelewa hapo nayeremia baada yamungu kusema nae juu ya watu hao ukisoma 8:50 inasema wakimbia kutoka baber pamoja na nchi yawakalidayo coz kulikua nadhambi zinafanyika kwakipindi hicho namungu akachukizwa nadhambi hizo ndio Mungu akaongea na nabii yeremia habari za hizo nchi coz watu wake wamepotea kwahayo wayafanyayo
Danel una maneno mengi nauongo mtupu. Bibilia haijaelezea suala la majini, hayo maelezo ni yako si ya bibilia, khabari huo ufunuo 12:7. ni ndoto si uhalisia. na hiyo unyozungumza wewe si tafasiri ya ndoto hiyo. wewe umeichukua kavukavu. Kwa mujibu wa quran majini ni viumbe tofauti na malaika. na Quran suratl jinn imethibitisha kuwa kuna majini wema na waovu. aya za suratl an'aam haionyehi kuwa majini wote ni waovu. Danel huijui Quran wala Bibilia acha uongo.
Makundi ni zaid ya moja yaani mawili na kuendelea na ukiangalia kwenye Qurani kuna makundi mawili tu ya yale yalio amini yakasirimu ( mnayaita mema au mazuri na ni maislam haya) na kundi lingine ni yale makafiri ambayo siyo maislam ( mnayaita mabaya) sasa njoo utuambie wew kundi la tatu ni lipi uje na reference yake
Wapi aya inayosema KWAMBA majini ni malaika walioasi ?? Sasa aya uliyosema haisomeki kuwa majini asili YAKE ni malaika.sasa yesu kaja majini yameondoka?
Hamna kitu, apo pumba tupu, cc waislam wenyewe tupo apa, unatusingixia mchana kweupe, Mnafiki wewe mzee, cc tunavaa nguo za ndani na za nje pia, ili mrad ziwe tohara, kama c tohara hata iwe kanzu huwez kuswalia, acha kusema uongo, Tubu kwa Allah.
Nyinyi makafili wakiislam na mubakaji wenu muhamad ni vipi kila kitu munapinga wakati nyinyi ni mamuma na hakuna munachokijua zaidi ya ushirikina?😛😛😛😛😛😛
Hayo maelezo na hicho kitabu kwamba hakuna mtu aliepnda jini akasema yeye ni papa,..,..nk. kama utarejea huko nyuma amesema majini wanapenda kujinasibisha na majina mazuri, ujue basi hayo ya uikristo nk ni mabaya ndio maana majini hawajinasibishi nayo.
Daaaaaa kweli Nimecheka sana sana Daaaaaa Wasilamu Mko vizuri sana kwa Kitabu chao ja Majini na Vituko vyao kiko Vizuri sana daaaaa Waisilamu wako Vizuri sana Wacheni na Majini yao
Kwanini wakristo elimu ya dunia mnafuzu vizuri sana lakini ya kidoni nyinyi ni bongo lala? Majinni ni viumbe kama sisi, yaani theres the human kind and the jinn kind.