Тёмный

KIMENUKA TENA: WABUNGE WAMVAA BASHE, SPIKA DKT. TULIA AMPA MAAGIZO MAZITO, "HAIFAI TENA" 

Uhondo TV
Подписаться 586 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

26 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 29 дней назад
Mhe. Spika kila muda unavyo enda ndivyo anavyo shuka weledi wake wa kusimamia mwenendo wa Bunge. Yaelekea amekuwa mtetezi wa Serikali zaidi kuliko jukumu lake Kuu la kuishauri na kuisimamia Serikali (kwa niaba ya Wananchi). Hoja ya Mbunge kuhusu chai kama isinge rejelewa, Serikali ingeendelea kukaa kimya licha ya agizo walipewa mwanzoni mwa vikao vya Bunge hili linaloendelea. Hata hivyo, majibu ya Serikali ni mepesi sana na Spika kayaridhia!!
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx 29 дней назад
Tena spika akiendelea namnahiyo 2025 atakuwa mbunge wakuteuliwa
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 29 дней назад
Speaker wa bunge lA hovyo
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 29 дней назад
Huyu Tulia hana uwezo wa kiti alichokalia kabisa is beter apishe
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 29 дней назад
Sukari ni bei sana mahindi bei mdogo alafu mnamwambia mpina mwonngo mungu anwaona saw
@MollelMollel-il4rg
@MollelMollel-il4rg 29 дней назад
Hakuna spika hapa mwili kama muhogo
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 29 дней назад
Hahahaha
@sabinahobe3478
@sabinahobe3478 29 дней назад
Ila jmn khaa umenichekesha sana
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 29 дней назад
Umeona eee vijinga sana hivi vimama vimeuza bandari zetu zoote
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 29 дней назад
Bashe kashindwa kazi. Hajaleta majibu ya tuhuma za Mpina. Mpina ndiyo kawa mushitakiwa. Ushahidi wote wa duka la mobile kupewa tenda la ku import sukari ya mabilioni limezimwa. Hili bunge limekuwa ni la kutetea ufisadi na sio watanzania. Wabunge wanapiga makofi tu bila ya kujali. Hapa bungeni hakuna kitu cha kuwasaidia watanzania. Bashe kashindwa kazi
@awadhally1052
@awadhally1052 29 дней назад
Kwel kabisaa yaan ni wizi mtupu
@allykwaya
@allykwaya 29 дней назад
Ujanja ujanja mtupu.
@allykwaya
@allykwaya 29 дней назад
Yanatokea kwa jirani zetu wakenya ipo siku watanzania wataamua.
@StephanoMoses
@StephanoMoses 29 дней назад
Kweli
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 29 дней назад
Kuna hoja ya Mh. Mpina wabunge wamepuuzia na ndio hasa hoja kuu. Mpina hakupinga uagizaji wa sukari, hoja yake kiwango kilichoagizwa kilizidi mahitaji ( gap sugar). Kiwango kilichoagizwa hakijawahi kutokea na haikuidhinishwa na technical team. Na utoaji wa vibali ulikuwa na harufu ya rushwa. Narejea kauli ya Lisu kila kilo ya sukari wajanja walijipatia shs 300. Kibali ya tani 30,000 kilitozwa bilioni 9. Bunge lilitakiwa niangalie kiasi cha sukari kiliendana na mahitaji kwa wakati ule na makampuni yaliyopewa vibali yangewekwa wazi. Hapa kuna harufu ya ufisadi, na wahusika ni wengi. Iko siku tutasikia ukweli.
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 29 дней назад
Wacha chai ife Tuta Agiza Tuta toa Vibali Vya kuagiza Majani ya chai Braziri Hakuna ahida
@salummichael87
@salummichael87 24 дня назад
Kiswahili ndio sawa wabunge wetu kiingereza marekani siyo tanzania
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u 29 дней назад
Unaposema impliment kwan unafkilia kila mtz anajuwa kingereza?,ongea kiswahili usichanganye kungereza
@festokemibala5832
@festokemibala5832 29 дней назад
Ongea point, kiingereza waulize wanaokifahamu
@illomowerner7690
@illomowerner7690 29 дней назад
Hivi Bashe Hussein hawezi KUONGEA KISWAHILI?
@merygodfrey3709
@merygodfrey3709 29 дней назад
KISWANGLISH.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 29 дней назад
​@@festokemibala5832nyoko mlete mamako atafasili ulitupeleka shule watumwa walugha we now english than you
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 29 дней назад
​@@festokemibala5832mlete mamako atafasili ulitupeleka shule watumwa walugha we now know english than you
@constntinemabina5067
@constntinemabina5067 29 дней назад
solute kwa mpina,wabunge wa ccm wote wapiga pesa za walala hoi, hamna mtetezi wa wanyonge. namshangaa sana huyu speaker anayejiita speaker wa mabunge ya wazungu anashindwaje kushugulikia hoja za mbunge ambaye anawakilisha kero za wananchi, pia nawashangaa wabunge kama msukuma na wengine.
@levidavid1156
@levidavid1156 29 дней назад
Bashe na sipika wote wezi wanalindana hawafai
@festokemibala5832
@festokemibala5832 29 дней назад
Na kwamba spika huwa hana rekodi ya hoja ambazo hazijapata majibu ya serikali kwa kipindi husika? Nini maana ya mwenyekiti/spika/kiongozi wa kikao kama hajui yatokanayo na maazimio ya vikao vyake? Uchawa bungeni kwa manufaa ya nani? Sukari dsm sh.2,600 kagera na nadhani kigoma sh.3,200! Hili nalo spika walisemeaje, au unayo maslahi pale wananchi wanapokosa kunywa chai asb kwa sbb ya bei ya sukari kuelemea bajeti ya siku? Hapo hujataja maharagwe sh.3,600-4,000/-. Mungu anawaona, midomo ya watu haitawaacha salama😢
@StephanoMoses
@StephanoMoses 29 дней назад
Hili bunge iko cku wa tz watachoka kama wakenya.
@andrewmwita119
@andrewmwita119 29 дней назад
Wewe watz huwezi walinganisha na Kenya broo wale ni educated sisi nivilaza tuu hatuwezi jilinganisha nao hata kidogo
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 29 дней назад
Kazi ipo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 29 дней назад
Tatizo hawa viongozi ndo wamegawana biashara zote za nchi hii hawa matajiri ni bosheni tu.
@richardnott4403
@richardnott4403 29 дней назад
Tumepigwa sana mh
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 29 дней назад
Bashe nae ni kama Mwigulu tu,nimesha mstukia huyu nae,anatengeneza maongezi ya hekima ya kuigiza kama Mwigulu na kumbe nyuma ya pazia kuna mashaka makubwa ya utendaji na uwajibikaji dhidi ya hiki anacho kisimamia
@dilludillu2747
@dilludillu2747 29 дней назад
Huyu waziri 😢
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 29 дней назад
Wezi watupu HAKUNA MUWEKEZAJI HAPO… mnalindana- mhindi na msomali UHUJUMU MTUPU 😂
@awadhally1052
@awadhally1052 29 дней назад
Kwel kabisaa
@mohamedelmi7435
@mohamedelmi7435 29 дней назад
Kumamalalamako msenge ww tafuta kazi wacha ukabila utaliwa wazi
@awadhally1052
@awadhally1052 29 дней назад
@@mohamedelmi7435 unafirwaa na nguruwe ww kimala mamaako mtoto wa haram
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 29 дней назад
@@mohamedelmi7435 Asante Sana nashukuru. Tusi hilo umemrudishia Mamako. Duuuhhh Wewe unaona wivu kwa usenge tu !!! Pooolleee sana sababu namuonea huruma mamako. Pole zake Mungu atampa mtoto mwema badala yako.
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 29 дней назад
@@mohamedelmi7435 kisha Jina Mohammed Ddduuuhhh 🤣
@SteveShemsanga-il3ct
@SteveShemsanga-il3ct 29 дней назад
Mbunge upo vizuri unawapigania wananchi wako sio makamba ameshawishi wakulima wafunge kiwanda nasasahivi amewakimbia nahaongelei kuhusu hilolakiwanda champonde
@paulokateme7615
@paulokateme7615 29 дней назад
Serikali itawafidia vipi hao wakulima? Mhd ana umuhimu gani kuliko wananchi na familia zao?
@user13375
@user13375 29 дней назад
Wanajadili siku ngapi😮😮
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 29 дней назад
Ovyoooooo
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 29 дней назад
Wizara hii ya kilimo angepewa mzalendo kama POLEPOLE. Bashe sio mżąlendo anadanganya watanzania. Mugeni hajifichi.
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 29 дней назад
WABUNGE NA SPIKA WAO WOTE NI MATAAHIRA MPINA NDIE ANAEJITAMBUA!
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 29 дней назад
Tangu lini mwanamke akaongoza basi tuu watanzania nimataira.ingekuwa kenya walivyouza tuu bandari yeye na samia wake wangeondoka hata hivyo tanganyika uoga umezidi
@olembetonga7341
@olembetonga7341 29 дней назад
Kwanza mwigulu na speker muliamua kutumaliza wa Tanzania hamna uzalendo hata kidogo na nchi hii😡, bashe nilikukubali sana ulianza vizuri lakini nikama umeshalambishwa asali umeanza kuturuka ki petero tunakuchekitu muhesh🤔
@olembetonga7341
@olembetonga7341 29 дней назад
Hapo hakuna kitu ni story tu na kutafuna kodi zetu mna panga mambo hewa manake hatuoni mabadiliko hukunje kilakitu bei juu tozo zimezid na bado mnazidi kuongeza ilituzidi kuwa masikin mtutawale mnavyotaka hamuna uzalendo na wananchi kabisa mmekaa hapo kutumaliza na hiyo katiba ya wazungu ikosiku tutakuja huko bungeni ndio mutajua nchi niyetu sote wa Tanzania tunawatizama tu 😠
@yesayaissa3860
@yesayaissa3860 29 дней назад
kosa la bashe kwenye sukari ni lipi?
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 28 дней назад
Mtakutana
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 29 дней назад
Mohamed enterprise ni pasua kichwa. Alinunua mali nyingi toka serikalini lakini hakuna alichofanya kuendeleza. Hakuwa na nia ya kuendeleza isipokuwa ilimsaidia kupata mikopo kuendeleza biashara zingine. Amekuwa sio mtu sahihi kumkabidhi mali za umma. Na hapa natoa wito kwa reli trc msimpe uendeshaji wa reli atahujumu. Tunaona pia uwekezaji simba hauna uwazi ni maneno tu.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 29 дней назад
Ndo maana alipotezwa muda fulani. Siyo potential mwekezaji bali opportunist na in no time atakuja kivingine kusaidia uongozi kuingia madarakani!
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 29 дней назад
Mimi ,bashe simchukulii kama mwenzetu.Jamani au amesahau kuchana?
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 29 дней назад
Ameshiba
@awadhally1052
@awadhally1052 29 дней назад
Kwel kabisa
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 29 дней назад
Spika kazi umeshidwa…
@user-hb8er6dq2q
@user-hb8er6dq2q 29 дней назад
Watanzania tuna asira sanaaa ngojen
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 29 дней назад
Ivi wabunge mbona kila atakaeruhusiwa kutoa hoja huwa anajikunjia sana kwenye kipaza sauti yaani (mike, ,) hamuoni kuwa baada ya miaka 10 mtakuwa na vibiongo wote hapo bungeni??
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 29 дней назад
ni ili kukifikia aongee asikike maana kipo chini sana
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 29 дней назад
La kuvunda halina ubani! "hatutakubali sekta hii ife..."! Kwani ni sekta gani nyingine mmekubali ife, ni kahawa, katani, pamba au tmbaku?
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 29 дней назад
Viwanda vya Baba wa Taifa
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 29 дней назад
@@adelinelyaruu3036 Hakika!, Imebaki historia. Kulikuwa na mamlaka ya pamba, mamlaka ya kahawa, mamlaka ya tumbaku. Hizi ziliwasaidia wakulima kupata pembejeo na masoko, vyote vimeuawa. Masoko ya mazao haya ni wabunge na viongozi wakuu wa Chama. Halafu waziri anakuja na majibu mepesi!
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 29 дней назад
Big brain Bashe.uishi maisha marefu Bashe.
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 29 дней назад
Nqtaman hatar Leon rais amtoe bashe maana hatumwelewi kabisaaa lakin mpina ndo tunamwelewa sababu anatuelewesha kwa ushaidi kwann bashe nayey asiweke ushaidi kwahy mpina ili tujue mkwel yupi
@HaryPoter-zw7vr
@HaryPoter-zw7vr 29 дней назад
SASA mlimfungia Mpina Kwa Nini???
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 29 дней назад
Anatetea raia
Далее
Ruto: Nimebuni serikali ya kuunganisha wakenya
5:47
Просмотров 3,3 тыс.