Тёмный

SHABIBY AMPASUKIA MWIGULU "HOI, WAPIGAJI NI WENGI, KAMA UMESHINDWA INABIDI UACHIE NAFASI NIJE NIKAE" 

Uhondo TV
Подписаться 577 тыс.
Просмотров 110 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

19 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 347   
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 13 дней назад
Kumbe Shabiby siyo chawa. Hakumsifu yeyote isipokuwa kunena ukweli mtupu. Msg sent kongole Shabiby japo CCM hamkawii kugeuka.
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 10 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@christinakomba689
@christinakomba689 8 дней назад
Watu wanaogopa kusema ukweli,watu kama hawa ni wachache
@AdamKaponda
@AdamKaponda 12 дней назад
Mwigulu ni mpigadili ndio maana magufuli alimtema,lakini kwa serikali hiiya wapigadili mwigulu ndio anafaasana
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 12 дней назад
Hongera Sana Mheshimiwa...msema ukweli ni mpezi wa Mungu,wananchi tunakuunga mkono Sana
@edisonsanga5288
@edisonsanga5288 13 дней назад
Jamani shabiby nimekubali hoja zako zina mashiko tunapenda watu kama nyinyi mpina hadi raha sana Mungu awape miaka mingi
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 13 дней назад
"Wapigaji wamekuwa wengi". Ni kuanzia Ofisi namba 1ya Nchi. Mhe. Waziri wa Fedha anayelalamikiwa na karibu kila Mtanzania, anajitathmini vipi?? Waziri amehitimu PhD ya OMBAOMBA, TOZO na MIKOPO!! Hana ubunifu wowote wa kutafuta vyanzo vya mapato kupitia uwekezaiji ktk raslimali lukuki zilizomo nchini!!??
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 13 дней назад
Shabibi uko vema sana big up chapa kazi baba
@joshuandabazaniye7642
@joshuandabazaniye7642 12 дней назад
HONGERA MH SHABIBI KWA MAONI MAZURI YAFANYIWE KAZI
@user-oc3jf3ts5i
@user-oc3jf3ts5i 12 дней назад
Mheshimiwa Shabibi mitano mingine! Big up bro!
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 12 дней назад
Bado. Kuna madudu anasema anayanyamazia. Ni madudu gani hayo? Anayanyamazia kwa faida ya nani, au anamwogopa nani? Awe muwazi tu kama Luhanga Mpina.
@PatrickMbilinyi-bm2yt
@PatrickMbilinyi-bm2yt 12 дней назад
Uko vizuri sana mbunge wote mngekuwa na msimamo kama huyo shabiby bunge ,,,,,,
@petermangalu5064
@petermangalu5064 12 дней назад
Mnafiki tuu huyo... Alisema na yeye kwamba kila mwananchi akatwe elfu 10
@colletatesha5265
@colletatesha5265 10 дней назад
Hana issue anatetea mitano ijayo hmna kitu anaunga hoja nae
@kalumangachannel4760
@kalumangachannel4760 13 дней назад
Mzeee shabiby akili nyingi hongera sana.
@CafeJohn-jz8ri
@CafeJohn-jz8ri 12 дней назад
Asante Shabibi hiyo nafasi inakuhusu wewe mwenyezi mungu akupe maisha marefu
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 13 дней назад
BRAVO MH. SHABIBY.
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 13 дней назад
Nyie mnakiambia kuwachamba mawazir Mbona huyo mama YENU anaekopa mikopo bila kuleta MIKATABA bungeni mbona hamumuchambi acheni unafiki hakuna kitu hapo
@ibrahimumatangula4085
@ibrahimumatangula4085 12 дней назад
Kwhy bora angekaa kimya uongo!!? Ebu mpe hongera kwanza Kisha toa hayo maoni
@errydeo8865
@errydeo8865 12 дней назад
Huyo ndo JOVYO KULIKO WOTE! HAWA MAWAZIRI SI WANALIBURUZA TUBHALIJUI CHOCHOTE,KAZI KUREMBUA?
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 12 дней назад
Congratulations sana Shabiby
@AdamKamendu
@AdamKamendu 5 дней назад
Mzee shabiby Mungu akupe maisha marefu
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 12 дней назад
😂😂kamaliza kwa kuunga mkono hoja, ccm ni ileile
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 12 дней назад
Hii ndiyo haieleweki kabisa
@NescharlesMalando-xm6lg
@NescharlesMalando-xm6lg 12 дней назад
Nice mp
@user-hp5zf2fw4o
@user-hp5zf2fw4o 12 дней назад
Tujifunzeni katika nchi kama ubeligiji namna wanavyo kusanya fedha
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 12 дней назад
Hongera sana Mh.Shabibu
@AzizMangara
@AzizMangara 11 дней назад
Nakupa Dua Mh H. Shabiby
@vincentvenance321
@vincentvenance321 12 дней назад
Mama mpe Mh Shabiby uwaziri haraka Sana ahsante
@samwelrevocatus1218
@samwelrevocatus1218 10 дней назад
Hiyo naface wameikosea sana kumweka huyo jamaa
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 12 дней назад
Safi sana Shabiby kusema ukweli
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 11 дней назад
Shabiby unafaa sana si Moro tu mchango wako wa Bima Afya siwezi sahau❤❤❤❤❤❤❤
@SeifYusuf-jf7bn
@SeifYusuf-jf7bn 10 дней назад
Kwa Mwenendo Wenu Bungeni Waziri Wa Fedha Mwigulu Nchemba,Hussein Bashe Wajiuzulu HARAKA Iwezekanavyo Naomba Kuwakilisha.
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 12 дней назад
Shabby umenifurahisha sana
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 12 дней назад
hongere mzee shabibu kwa kusema ukweli mheshimiwa samia na mawaziri alio wachagu wale ambao magufuli aliwa tumbuwa wanamungusha na yy kwakuwa anamajukum mengi hangunduwi wananchi wanapata taabu sanaa
@emmanuelburakola-bz2zo
@emmanuelburakola-bz2zo 12 дней назад
Hoja ya Mh.Shabiby ni nzuri sana sema wapigaji hao hawawezi kukubalina na mawazo hayo.
@gasperaroni5751
@gasperaroni5751 13 дней назад
Uko vizuri sana hamed ua nakukubali sana msema kweli
@barakaabel482
@barakaabel482 12 дней назад
Mwigulu kwaķweli......
@victorcephas3618
@victorcephas3618 13 дней назад
Siku watanzania tukiwa na akili kama za jirani zetu wakenya hapatatosha
@dinosiasa5600
@dinosiasa5600 12 дней назад
uko vzr Shabiby ww ndio mtetezi wa Nchi
@fredrickallan5437
@fredrickallan5437 10 дней назад
Kaongea vizuri mwisho wa maongezi anaunga mkono hoja,nimecheka sana aisee.
@chrissamani7921
@chrissamani7921 13 дней назад
Maridhawa kabisa,kuwa ccm sio kusifia na vitu ambavyo havipo! Safi mh.Shabiby
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 12 дней назад
Mtu wa maana kabisa 💯❤
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 12 дней назад
Anajielewa huyu. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 12 дней назад
Angekuwa Mpina angepelekwa kwenye Kamati ya Maadili Mungu toa jibu huyo nani analimwaga hadharani
@user-ij2lp1om6i
@user-ij2lp1om6i 13 дней назад
Shabibu yuko vizuri sana
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 12 дней назад
Shabby Yuko vizuri, na anajua anahitajika waziri wa fedha anayeweza kutengeneza fedha, siyo wa kutafuta fedha.
@kiyumbijustine3434
@kiyumbijustine3434 12 дней назад
Shabiby siku zote kwenye ukweli huwa anasema hapepesi macho big up sana
@hemedsimba492
@hemedsimba492 12 дней назад
Mbunge kama Mzee Shabiby ndio wanao hitajika katika nchii hii, uzalendo kwanza na sio uchama or uchawa hatuwahitaji.
@EmanuelIdd
@EmanuelIdd 13 дней назад
Safi sana Bora ata ungekuwa mbunge wa singida
@naseersalim8586
@naseersalim8586 12 дней назад
Mh Shabibi huo ndio ukweli wenyewe congratulations kwa hili last barabara Serikali ifanye kazi ya ziada barabara zetu zimepitwa na wakati
@user-hl3dt6os3b
@user-hl3dt6os3b 3 дня назад
Safi Sana nakujuwa wewe ni mwenyewe maisha yake huwezi jipendekeza mchane huyo mwigulu maana ametuchosha
@mahingilasambichuma1369
@mahingilasambichuma1369 12 дней назад
HONGERA SANA SHABIBY KWA KUTOKUSIFIA WAKATI HAKUNA KINACHOFANYIKA.
@HildaMwakalebela
@HildaMwakalebela 12 дней назад
Yaaani huyo mchangiaji sijui mbunge wa wapi umeongea point na sijui kama huyo jamaa anajielewa, shida ni maisha yake amemaliza. Ila nawambia kuiona mbingu ni kazi.
@EliaMarco
@EliaMarco 13 дней назад
Safi kabisa mbungu tatizo wabunge wengi njaa zinawasumbua
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 12 дней назад
Tasaf ndiyo shida 😂😂
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 13 дней назад
Very smart mh.shabby
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 12 дней назад
😂😂😂😂😂 saizi mama anaupiga mwingi mpaka una mwagika 🏄🏄 hela zinaingia mfukoni
@JohnPesambili-vx2jg
@JohnPesambili-vx2jg 10 дней назад
Well said mweshimiwa
@richardhoseni2643
@richardhoseni2643 13 дней назад
Absolutely
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 12 дней назад
Shabiby hapo umenena asilimia kubwa ni unafiki wa kumsifia mama
@TuntufyeBrayson
@TuntufyeBrayson 11 дней назад
Umetisha ndugu
@bigmachinempower4680
@bigmachinempower4680 11 дней назад
That is tanzania
@shadyaomary
@shadyaomary 13 дней назад
Maua yako shabiby
@shadyaomary
@shadyaomary 13 дней назад
Shabiby shabiby shabiby shikamooooo mzeeeee👍🏽🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐🏼🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@user-fs6lp3op1x
@user-fs6lp3op1x 13 дней назад
Huwa namkubalii sanaa huyuu jamaaaa !! Kaz nzr
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 13 дней назад
Mwigulu hesabu zake ana feli sana
@aminimushi6945
@aminimushi6945 12 дней назад
Kufeli kwa mtu kuko mara mbili,kwa makusudi au kwa bahati mbaya,kwa waziri huyu ni kwa makusudi,na hayupo peke yake.
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 13 дней назад
Uko sawa
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 13 дней назад
Shabiby upo vizuri sanaaa,
@alfredfaustin4441
@alfredfaustin4441 12 дней назад
Mh shabibiby uko vizuri
@FilbertRobert
@FilbertRobert 12 дней назад
Uko vizuri mkuu❤
@KingEdward-dn2in
@KingEdward-dn2in 13 дней назад
SHABIBY kazi iendeleee
@user-rt5ve2zf6v
@user-rt5ve2zf6v 11 дней назад
Salute mkuu
@asteriashios1852
@asteriashios1852 12 дней назад
Yaani shabiby jamani mwongezeeni muda wa ubunge Yuko vinzuri siyo mnafiki anaongea ukweli sana na amesema hapo ndani watu wanapiga mikono or meza kusapoti kitu Cha kweli au siyo Cha kweli yeye hayuko hivyo ndo tunatakia watu wabunge km shabiby hongera sana mheshiniwa mpashe mwigulu ni bomu lililoshindikana
@clickway..
@clickway.. 12 дней назад
Brave Shabiby
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 12 дней назад
Msema ukweli ni mpenzi wa mungu
@GeorgeMwasibata
@GeorgeMwasibata 13 дней назад
Uko vizur Mzee wangu lakini viongozi wengi wasio na uzalendo niwengi hawana huluma na hili taifa wameziba maskio yao
@barakarobert1029
@barakarobert1029 13 дней назад
Umeongea point sana
@user-mu1hx7yv9b
@user-mu1hx7yv9b 13 дней назад
Fact
@juliusitogelo5764
@juliusitogelo5764 9 дней назад
Huyu Mh. Kichwa kipo vizuri sana ,hakijafurugwa ,anaelewa anachokihoji
@KakamieHassan
@KakamieHassan 7 дней назад
Mi nafikili mwigulu nafasiyako imekushinda jiudhulu tuachie nchi yetu unatuumiza sana
@lovemusicnoreen9185
@lovemusicnoreen9185 10 дней назад
My fav MB
@emanuelshayayi54
@emanuelshayayi54 12 дней назад
Awamu ya Tano ilikuwa vizuri kwenye makusanyo.
@hizzasheshe3209
@hizzasheshe3209 12 дней назад
mkuu kakaangu shabiby asana kwa kuwakumbuka walalahoi katka nchi hii nikweli viongozi wengi wakiafulika wamekua siwazalendo katka nchizao kiujumla inatakiwa viongozi m wemnawahulumia hananchi walio waweka mamlakani
@CharlesAlly-jp1ms
@CharlesAlly-jp1ms 12 дней назад
Ogopa sana watsnzania wakikusifia jua wanakuibia hongera sana mzee.
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 13 дней назад
Very Very Very Smart...Ndo maaana Shabib Bus Usafiri wangu pendwaa...Wanachota Sana Sana
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 12 дней назад
Wamevimbiwa
@edwardkimaro2103
@edwardkimaro2103 13 дней назад
Shabiby Uko Sahihi sn JPM Alisema Pesa yote iende Hazina.Taasisi Zipeleke bajeti ZAO na zipewe Kwa wakati Kazi zisikwame.MWIGULU Simamia hivyohivyo Kuusanya Hela yote na bajeti ZAO Fuatilia zinavyotumika.Kwingineko wanagawana Wachache Wana create matatizo ili Uwarudishie makusanyo.Watafanya Sherehe za Nyani Mashambani tena.
@abelmwalupogo9252
@abelmwalupogo9252 12 дней назад
Mweshimiwa huo ndo ukweli!
@zakariarantsim1064
@zakariarantsim1064 12 дней назад
Safi sana shabiby
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 12 дней назад
Much love Shabby
@EvaristiUhako
@EvaristiUhako 13 дней назад
Umewapa ya moyoni Barikiwa
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 12 дней назад
Wabunge amkeni. Hii nchi ni yetu sote
@JacksonFrances
@JacksonFrances 11 дней назад
Mchango Mkubwa Sana, Hongera Kwa Ujasiri Huo CCM Wenyewe kwa Wenyewe Mzodoane Kwa Rushwa na Ufisadi ili Mjue Kuwa Hamna Faida Yoyote Bila Upinzani Bungeni. Kazi Kuu Ya CCM Ndani Ya Tanzania NiKUIBA,, KUFIKISI na KUARIBU Kama ilivyo Kazi Ya SHETAÑI"
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 13 дней назад
ZIRO NI RAIS
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 12 дней назад
Sio zero tuu ni mbumbu rpia
@romanambelle6356
@romanambelle6356 12 дней назад
😮😂
@errydeo8865
@errydeo8865 12 дней назад
Yaani huyo Ndo Kaoza kabisaa! Unafikiri upigaji uliokithiri HAJUI! LINAJUA SANA! ULISHAWAHI KUMSIKIA AKIMUWAJIBISHA WAZIRI YOYOTE! SI WOTE JUZI TUMEONA UOZO WA BASHE? si yupo? Sakata la sukari,alikua amuondoe waziri wa kilimo na wa viwanda! Si wapo wanapeta!? SAMIA HOVYO
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 12 дней назад
😮😮
@williamboniphace5887
@williamboniphace5887 12 дней назад
Big up
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 11 дней назад
Shabiby 5 tena hoyeeee
@sangijomnyami8727
@sangijomnyami8727 12 дней назад
Huo ndio ukweli anaosema mh.
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 13 дней назад
Safi sana Shabiby ila hiyo serikali yako ya ccm ni hovyo,wabunge wachache sana wa ccm wanaweza kuongea hivi asilimia kubwa ni kusifia na kupiga makofi tu
@charlespaschal284
@charlespaschal284 12 дней назад
Hapa hamna kitu kabisaaa tuna viongozii wa hovyoo
@qamdiayboay-gv3by
@qamdiayboay-gv3by 12 дней назад
Safi sana
@AdamKaponda
@AdamKaponda 12 дней назад
Dili za ccm hizo,ndio mishahara muliyojipandishia hakuna cha wabunge walanini
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 12 дней назад
Hawa viongizi wote wakiooigwa chini na jpm hawafai kabisa BI MKUBWA AWATOE..NI WAHUJUMU UCHUMI🚵HAWAFAI NI HATARI
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 12 дней назад
Hapo saw
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 13 дней назад
Kweli kabisa wapigaji ni wengi mama hawezi kabisa kuwazibiti wapigaji hata robo....maana anasafili mala kwa mala nchi yake anaiacha inalegalega yni tunaelekea kubaya sana wa Tanzania 🇹🇿 😢😢
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 12 дней назад
Sikuwahi kumjua Shabiby hivi, anadeserve to be waziri.
@francismomo7067
@francismomo7067 12 дней назад
Tatzo akipewa uwazir anakua tofauti
@EdwardMashauri-gp6tb
@EdwardMashauri-gp6tb 11 дней назад
Correct
@user-op5xn8ny2j
@user-op5xn8ny2j 7 дней назад
Saaaf sanaa sabyby
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 12 дней назад
Duh,akili kubwa,mh shabiby
@abasishayo1402
@abasishayo1402 12 дней назад
Hahaha big up brother Shabiby
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 12 дней назад
Kweli kabisa tumerudi nyuma sanaa kwa sababu wapigaji ndo waliorudishwa mzigoni
@allyopi6101
@allyopi6101 12 дней назад
Mwiguguru hafai anatakiwa atolewe kwenye wizarahiyo haimfai sijawhikusikia alichiwahi kukifanya kikawa kizuri😂
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 13 дней назад
Shabiby na mpina Kwa kweli mnaleta angalau maana ya bunge....
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 12 дней назад
Asanteni kwa kuwa wazi
@ikungetamwakamele
@ikungetamwakamele 12 дней назад
Good
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 12 дней назад
Shabby on line busss
Далее
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 200 тыс.