Kinywaji Kizito kwa kutumia Nanasi, Embe na Chungwa. Katika kutengeneza kinywaji hiki unahitaji matunda yako yawe yameiva vizuri. Ni rahisi Kutengeneza na mahitaji yanapatikana kwa urahisi pia. Enjoy it!!
20 окт 2018