KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AMLIZA MKURUGENZI| AGOMA KUZINDUA MRADI WA ZAHANATI
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023, Abdalla Shaib amegoma kuzindua mradi wa zahanati uliogharimu zaidi ya Tsh.MIL 184 baada ya kutoridhishwa na mradi huo.
#mwanza #mwengewauhuru #trending
3 авг 2023