Тёмный

KIREDIO AVUNJA PENZI LA MEET US 

KIREDIO
Подписаться 172 тыс.
Просмотров 78 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@zuhuraMangapi
@zuhuraMangapi 9 месяцев назад
Huyu kiredio anatujulisha kuwa amna mtulivu kwenye mahusiano
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 6 месяцев назад
Kwel kabixa yaan me namkubal xana
@andrewelia6591
@andrewelia6591 9 месяцев назад
😂😂😂Kiredio kamata maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Ishi nayo ayo
@ismailyussuph8330
@ismailyussuph8330 9 месяцев назад
Kiredio wallaah utaenda peponi moja kwa moja kwa kusema ukweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 9 месяцев назад
So Kwa ukweli huo
@IreneIsack-qp9ns
@IreneIsack-qp9ns 9 месяцев назад
Kasema ataki amin
@shaibumahanda5190
@shaibumahanda5190 9 месяцев назад
Wewe kiredio Ndio maaana halisi ya kamati ya roho mbaya
@salehemcharo
@salehemcharo 9 месяцев назад
We kiredio. Unahuzunisha sana. Mungu anakuona .
@ZuhuraJuma-b9r
@ZuhuraJuma-b9r 9 месяцев назад
Nakupenda sana kiledio
@Vankiller_Official
@Vankiller_Official 9 месяцев назад
Msamehe tu kiredio huyo mwana😂😂, Muache ajifanye yeye ndio mwanaume pekee ake asiecheat hapa duniani😀🤣🤣, Msamehe mwanang Kiredio 😂
@tundamohammed4821
@tundamohammed4821 9 месяцев назад
Huyo mfanyakaz amenikera sana cjapenda tungejua kila ktu apo apo 😅😅😅😅💔🙌🏻….
@IbrahimMtoni-r7d
@IbrahimMtoni-r7d 9 месяцев назад
Kiredio anazingua Sanaa mahusiano ya watu yanakukera wapi
@jspenderhtv1333
@jspenderhtv1333 9 месяцев назад
Ata kuongea vizurii hujuiiii
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 9 месяцев назад
Kiredio una laana ww unapenda kweli watu walie 😂😂😂😂😂😂 u don't want peace always u want problems 😂😂😂😂😂
@Baba_Veronica
@Baba_Veronica 5 месяцев назад
Yaan akijichanganya kwangu anakua mkewangu namkamia..
@CathyGodfrey-db5qm
@CathyGodfrey-db5qm 5 месяцев назад
Ndy bh. Kiledio yupo saw san yani nice
@Baba_Veronica
@Baba_Veronica 5 месяцев назад
Ww nae kumbe Kenge mayai vp ingetokea kwako mtu anasema ataki aman alaf unashabikia ujinga
@Lidyakagondi-h9b
@Lidyakagondi-h9b 2 месяца назад
Usijekujichanganya kwangu utaiacha iyo kazi
@ساميهحسن-ش8ص
@ساميهحسن-ش8ص 3 месяца назад
We kiredio wew hahahhahaha mbinguni utapasikia😂😂😂😂
@CairoJames9
@CairoJames9 2 месяца назад
Wote watano wamevaa sandals za aina moja😂😂😂....stukaaaa maigizo hayo.
@lidyakinono9917
@lidyakinono9917 7 месяцев назад
😂😂😂😂kiredio vunja kabisa hao mbuzi wananikela
@MaiKasimu-xf4fz
@MaiKasimu-xf4fz 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@GRACETUZA-wx6lr
@GRACETUZA-wx6lr 2 месяца назад
hakokadada kana ng’ang’ana waongee njee bada kaondoke mxiuw 😂😂 kuharibiana tu
@OmarMzee-f8p
@OmarMzee-f8p 9 месяцев назад
Huyu mbwa nina hamu apate mtu ampige yaan aumizwe hasa, hadi ajute
@davidomkini3470
@davidomkini3470 4 месяца назад
Kiredio hongera sana kaka mungu akupe maisha marfu yakuendea kutukumbusha inabidi tusimame katika kweli daima pokea mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@happyniceNassoro
@happyniceNassoro 8 месяцев назад
Ila kweli mbona kanda mbili zimefanana🫣
@davidedward3715
@davidedward3715 9 месяцев назад
Kiredio ushauri wangu, IPO siku utakutana na mtu mwenye maamuzi ya hovyo ukahatarisha Maisha yako, kabla hujafanya hivyo fikilia mara mbili, kama huna wanaokutegemea basi ruksa kuendelea kufanya hivyo, lasivyo IPO siku hatutakuita kiredio tena itakuwa vice versa bro,
@hamadikandota6271
@hamadikandota6271 9 месяцев назад
Sema nn labda mtakuw mnaigiz ila kama ni live afu ndo ww unanifata ivo bro umeyatimba, nakuvunja na ikishindika nakutafuta maisha yako yote 😂😂
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 5 месяцев назад
Kiredio mna mambo ya ushenzi ushenzi sana
@PauloTHOBIAS-v3p
@PauloTHOBIAS-v3p 8 месяцев назад
Kabisa yaani mambo mengiiiiiii
@ChazDaniel-k9o
@ChazDaniel-k9o 4 месяца назад
Huyo dem msenge kanikera bas
@Baba_Veronica
@Baba_Veronica 5 месяцев назад
Yaan we kenge kiredio jichanganye kwangu uone navyo kupika mboga upo upo kama shoga
@mziwandamziwanda
@mziwandamziwanda 9 месяцев назад
kiredio wew ni msenge tu
@makero04
@makero04 9 месяцев назад
Wameigiza vizuri aliyeharibu huyu mdada anaegombelezea ndio hajui kuigiza
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 5 месяцев назад
Mnazipanga off camera harafu mnakuja kutuzuga hapa 😂😂
@PudensianaFaustine
@PudensianaFaustine 5 месяцев назад
Kiredio wewe nouma njoo na morogoro basii nawewe
@GoodluckDavis-gj7md
@GoodluckDavis-gj7md 9 месяцев назад
Ila Unajua kiredio anafanya sawa ,kwasababu umalaya uishe kabisa
@robertnkaragano298
@robertnkaragano298 9 месяцев назад
Ww mtu umemchokoza mwenyewe kwnn asikutukane #kiredio_ komaa na usiwe makali km unajua uko kazin
@KurthumKhamis
@KurthumKhamis 5 месяцев назад
Jmn nimecheka kiredio ataki Aman🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@OmarMzee-f8p
@OmarMzee-f8p 9 месяцев назад
Yaan kakaa kama mwanamke malaya anaetafuta mabwana za watu
@HidayaHussen
@HidayaHussen Месяц назад
Mbn malapa meupe wote
@gabbypflossy2088
@gabbypflossy2088 3 месяца назад
Me najitolea kuwa bodyguard bila malipo maana unakuwaga na matukio ya hatari pia muda mwingine😅
@VeeMosh
@VeeMosh 9 месяцев назад
Ukweli unauma jamaa katia mimba bora uyo dada ajue
@MagidaFafa
@MagidaFafa 5 месяцев назад
Saivi ukimuona kiredio kimbia bro utanishukuru baadae😂😂😂
@alhilayali4200
@alhilayali4200 9 месяцев назад
Ww kiredio unazinguwa sana kumbe ndo mana ukapigwa tulijuwa ulipigwa kwa kuonewa kumbe ni haki yako kupigwa na unacho kifanya kitakupeleka pabaya kama ulipigwa ukawa hai bc utabigwa uwe kilema
@EvaristSanga-xn1dp
@EvaristSanga-xn1dp 9 месяцев назад
Kiledio kiledio kiledio nimekuita mala tatu utakuja kupigwa wewe 😢😢😢😢
@Ummy-m7l
@Ummy-m7l 9 месяцев назад
Kazi kwelikweli
@twilumbaalfred8751
@twilumbaalfred8751 9 месяцев назад
Kwan hy kiredio mapenz ya watu yanamuhusu nn au kinamuuma nn
@stellatwaah3242
@stellatwaah3242 3 месяца назад
Kiredioo naomba sana uje moshii mjini tunakuitajii asana
@MalkiaErnest
@MalkiaErnest Месяц назад
😮😮😮😮
@hidayaMlowe-rk1kn
@hidayaMlowe-rk1kn 5 месяцев назад
Mkija njombe kamwe hatutakua wa kwanza kuongoza watu wenye ukimwi Yani mtavunja Pepo lote la ngono
@msomirajabu-mt9ug
@msomirajabu-mt9ug 5 месяцев назад
Hii mmeitengeneza haiwezekan wote mvae viatu vya aina moja
@CairoJames9
@CairoJames9 2 месяца назад
We nae una macho😂😂😂...hii kweli kabisa
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 9 месяцев назад
Kaka anakupweee😂😂😂😂😅
@veronicamushi9899
@veronicamushi9899 6 месяцев назад
Ila kiredio et me sitaki amani😅😅😅
@EmilianoNazario
@EmilianoNazario 2 месяца назад
Sawa mtu anaweza asiwe mwaminifu, lkn lazima ujue nmisingi ya kila watu kwenye mahusiano Yao. Huenda mmoja wao anaweza kuwa anafanya Ivo lkn usijue Kesho akajirudi. Acha upumbavu bhn hakuna aliyekamilika, msilete Tabia za ulaya uku, hao unaowafanyia Ivo Wana ndugu Zao, wanatokea katika jamii pia. Halafu unaenda eti hautaki Amani, Una akili kweli?
@MWAKIPESA
@MWAKIPESA 9 месяцев назад
ofic za watu kuwa care kiredio mwanangu japo unapata liziki
@Michy__baby.
@Michy__baby. 9 месяцев назад
Hatimae umewafikiaa😅😅😅😅😅😅
@arafapilingu
@arafapilingu 9 месяцев назад
Kiredi yuko sahihi unatakiwa kitulia na rafiki yako moja tu.
@alexmuli1681
@alexmuli1681 9 месяцев назад
Kiredio we ni matako kwa mara ya pili🖕🖕,, ww inakuhusu nn??? Utakuja dabangurwa
@aishahamad7923
@aishahamad7923 9 месяцев назад
Kiredio utakujapigwa😂😂😂
@ShabaniKakongo-gy4eb
@ShabaniKakongo-gy4eb 9 месяцев назад
Ukisikia ibirisi wa mapenzi anaingiliaga kati ndo ivyo sasa ,nia yako wagombane au mi nakupenda ila apo sijapenda coz nawapenda na hao😂 ila
@Cao_ZeKai
@Cao_ZeKai 9 месяцев назад
Atakuja kupigwa huyu jamaa
@benny4345
@benny4345 9 месяцев назад
Huwa mnapost video za watu. Mna consent inayowapa ruhusa kupost watu? Kuna watu watawashtaki ndo mtajua mnachokifanya si sawa
@Nuna_attire
@Nuna_attire 9 месяцев назад
💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@elvilamwambambale950
@elvilamwambambale950 9 месяцев назад
Unajua unaumia nn unatabia izo
@Tanzaniayangu1
@Tanzaniayangu1 9 месяцев назад
​@@elvilamwambambale950yah inawezekna,maana mara nyingi kiredio hjawah kulazimisha challenge na mtu ila wahusika ni wao wanakubal wenyewe then inakuwa hivyo
@erickabel6201
@erickabel6201 9 месяцев назад
Kamuulize baba Ako 😅😅
@tumainmwambala7526
@tumainmwambala7526 9 месяцев назад
Hawawez kuwa wajinga ivo lazima wanapata ruhusa Kwa wahusika
@PiPlus-ue1cc
@PiPlus-ue1cc 9 месяцев назад
😁😁😁😁Sasa kiredio unaogopa kutukanwa
@HabibaMohd-f9o
@HabibaMohd-f9o 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂anajfnya hajui kucheat mbn kam anajiamn kakataa
@MohammedAli-yc2ek
@MohammedAli-yc2ek 9 месяцев назад
Bro natamani nije onana na wewe alafu unifanyie ufala kama huu hehehe itakuwa mwisho wako kufanya hii kazi utafurahia show mjomba.
@Mdvisual-r8r
@Mdvisual-r8r 9 месяцев назад
Jamani nini kinaendelea mbna sielew
@Michy__baby.
@Michy__baby. 9 месяцев назад
Kiredio kiredio😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NeemaIbrahimu-c2l
@NeemaIbrahimu-c2l 2 месяца назад
Ni kweli ndo maana kaka anaeuza mkali
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 5 месяцев назад
❤❤❤❤😂😂😂😂
@grasiousissa
@grasiousissa 9 месяцев назад
walikuaa wanatambaa san kumbe wanacheatian
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 9 месяцев назад
The great thing he did was to take his girl and leave, what a wise man. Huyu kiredio ni mpumbavu sana, na anayoyafanya yatamtokea puani. Endelea kujivuna, ujikute unaangukia kwangu. Nakufumua hapohapo. Mbwa wewe
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 6 месяцев назад
Kama hujatulia uumbuke maana nyie ndo mnacheet htl
@victoriapaul1364
@victoriapaul1364 6 месяцев назад
Kwasabab nawewe ni mchafu
@Lidyakagondi-h9b
@Lidyakagondi-h9b 9 месяцев назад
Unafanya vitu hatar sana wee dogo
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 6 месяцев назад
Wachaga wamekutana 😂😂no 😂
@neemachavala6553
@neemachavala6553 9 месяцев назад
Safi kiredio
@rusticadeus6016
@rusticadeus6016 9 месяцев назад
Ila kiredio jamaan😂😂😂😂
@WardatSeseme
@WardatSeseme 9 месяцев назад
Hatutaki amanii😅😅😅
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 7 месяцев назад
Angalia usije pigwa Kiredio
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 6 месяцев назад
Utakuja kupigwa nakwambia shauri yako
@hassanissah7141
@hassanissah7141 4 месяца назад
Kiredio hutaki amaniii ??😅
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 9 месяцев назад
Acha kiki za kifala utaolewa
@FatumaHassan-gv4bi
@FatumaHassan-gv4bi 9 месяцев назад
Ndio maana unapigwa😏
@MichaelBusinesHub
@MichaelBusinesHub 9 месяцев назад
Wewweeee ni Msengeeeeeeee.... Fanya content ondokaa... Acha usengeee unaendelezaa baaada ya Content haya ni maishaa msengee weweee
@aud548
@aud548 9 месяцев назад
😂😂😂😂mkuu huyo jamaa humjui si maarufu mitandaoni ....hii ni script tu
@henryjoseph7036
@henryjoseph7036 9 месяцев назад
😂utakuja pigwa vibaya kamanda
@happynkya9770
@happynkya9770 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@malakimathias9244
@malakimathias9244 4 месяца назад
Kirediro kumbe wewejinga kweli we una Thani Kila Dem ata kusikiriza wwee ulivyo mpumbavu jmaaa nimempe mkono kaondoka kuepusha shari
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 9 месяцев назад
Kiredio ww litakukuta jambo akii
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 9 месяцев назад
Kiki 😂😂
@AhmedSalim-l2h
@AhmedSalim-l2h 7 месяцев назад
Ww kiredio sjyi kitiviii ww khanisi sana malaya mmoja ww nataka nikutukan kw matusi yetu ya kipemba kumamamayoo msrnge kwl ww mahusiano ya watu yana kuhus nn kisimi mmoja ww fala nn ww ebooo kumbe mahanisi nyieee subir tutakupiga chajuuu uku uku tuliko
@irenesinare
@irenesinare 6 месяцев назад
🙄
@irenemacha5661
@irenemacha5661 9 месяцев назад
Ndomana unapigwa
@AbdulYusufu-s9x
@AbdulYusufu-s9x 9 месяцев назад
Uo ushubwada wako unileteee mimi nishakutoa meno dk2 tu
@desmondrabsonmwaipula1239
@desmondrabsonmwaipula1239 9 месяцев назад
Anakukuta wapi lkn😂😂😂
@OliverGodwinzakaria
@OliverGodwinzakaria 8 месяцев назад
😅😅😅😅
@emanuelshilla6368
@emanuelshilla6368 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@clevertwotz7910
@clevertwotz7910 9 месяцев назад
Tembeaga Na body gadi
@goodlucksanga2652
@goodlucksanga2652 9 месяцев назад
Ww middle finger
@treyvissy9854
@treyvissy9854 9 месяцев назад
Hii ni script 😂
@BarakaKisbo
@BarakaKisbo 9 месяцев назад
N2mie no za uyo dada labda na mm nmblock
@BouUnlocker
@BouUnlocker 9 месяцев назад
😂😂😂
@shebbykhatibu9731
@shebbykhatibu9731 9 месяцев назад
😂😂😂
Далее
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Просмотров 73 тыс.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
Просмотров 167 тыс.
NILIKUA NAMTAFUTIA SABABU, SIMTAKI TENA
10:10
Просмотров 63 тыс.
JAYMELODY ATAKA KUMZULUMU KIREDIO
8:05
Просмотров 35 тыс.