Тёмный

KISA MILIONI 100 YOUNG KILLER AFICHUA MADUDU YA ROMA NA STAMINA, KUTAKA KUSAINIWA WCB 

EastAfricaTV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Развлечения

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@MikidadiKimilike
@MikidadiKimilike 12 дней назад
Alitaka kufanya kazi na roma lakini roma akakataa ila akaondoka na idea ya ngoma akaenda kufanya na stamina
@maufijose2294
@maufijose2294 10 дней назад
Hawa Watangazaji Vipi? Hivi Mlishindwa Kumtafuta Muhusika Awaambie Maana Ya Alchokiandika? Sasa Hapo Tunasikiliza Nn? Hamjui Hata Mnachokisema! Tathnia Yetu Ya Utangazaji Tuna Safari Ndefu Sana.
@LeopordMkinga-gz9gc
@LeopordMkinga-gz9gc 12 дней назад
Ila apo mjengoni mnafeli 2mewachoka mchambue mziki sio kila siku mondiiii 2
@Kizzyone
@Kizzyone 3 дня назад
Duh kweli east Africa ,
@JosephJackson-jv1so
@JosephJackson-jv1so 12 дней назад
Nyie watoto mnachambua Nini ?? Kama mahitaji majibu sahihi SI mnamuita Msanii mwenyewe??
@cellestinelucas165
@cellestinelucas165 9 дней назад
sasa hapo mnachambua nn mtafuteni muhusika goma tumeshalisikiliza
@adammayogho300
@adammayogho300 12 дней назад
Mpigieni awajibu
@PhilipoJuma-t3r
@PhilipoJuma-t3r 2 дня назад
Hapo sijselews chanzs
@Paplick9
@Paplick9 12 дней назад
Young muuaji 🙌🙌🙌🙌
@DaxOg-gu3tp
@DaxOg-gu3tp 11 дней назад
Mtafuten killer mwenyew
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 12 дней назад
Hamna watangazaj humu 🤣 aisee
@HassanYassin-ju5rf
@HassanYassin-ju5rf 12 дней назад
Shobo na maisha ya hip hop haviwezi kuwa pamoja respect msukuma mjanja si hatunaga shobo kabisa
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 12 дней назад
Pqmoja mkuu🤝
@chuserkibavu
@chuserkibavu 8 дней назад
kabisaaa👊
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 12 дней назад
Idea ya Rostam❤
@AbdallahVunjabeiYusuph
@AbdallahVunjabeiYusuph 6 дней назад
Chuki roho mbaya na uoga unabandika maji ya ugali ukisikia wamekuja wageni unayaoga... eeeeh bwana si hatunaga swaga kabisaaa
@h.akarim
@h.akarim 9 дней назад
☝️☝️☝️
@redmondke9682
@redmondke9682 2 дня назад
Ila ni muda sana hamjafanya interview na Young killer au mngempigia ata simu si pia tunatamani ivo
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 12 дней назад
Ah amna kitu mnaongea!
@Traper.Spata-Carlos
@Traper.Spata-Carlos 12 дней назад
Likes for new memebers in this channel❤❤❤
@THEWOLF_26L
@THEWOLF_26L 12 дней назад
Young king🎉
@EzzyK438
@EzzyK438 12 дней назад
Hili jina lina kitu, mtag Msodoki 😂
@EurickMwangunda-wb9wo
@EurickMwangunda-wb9wo 8 дней назад
Wasen*e tu nyie NDo nn sas häpø??? Mpigien aseme
@sostenkyando2969
@sostenkyando2969 12 дней назад
Hawa madogo hamna wanachochambua hapo, Salama Jabir aliwafundisha juzi tu namna ya kuendesha kipindi ila ndo hawajabadirika kabisaaaa
@benmramba1023
@benmramba1023 12 дней назад
Hahahaa watotowadogooo😂😂😂
@user-ck2rw1hw2g
@user-ck2rw1hw2g День назад
🤪🤪🤪
Далее
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Просмотров 134 тыс.
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
Просмотров 2,8 млн
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 6 млн