Hakika tushikamane katika njia ya Allah, tupendane,tusaidiane na tuoneane huruma baina yetu, tusimame katika kuipeleka Dini ya Allah na uislamu mbele zaidi, Umoja na mshikamano ndio silaha kubwa kwetu sisi Umma wa kiislam Allah akupe umri mrefu Wenye afya na manufaa katika Dini, duniani Na kesho Akhera, sheikh wetu KISHK Tuchangieni katika hili la ndugu zetu wapate kukamilisha madrasa yao.. Swadaka ni mlango wa kheri kwetu
Uislam raha sana tusitiwe sumu tukaendekeza faragha za madhehebu kama kuna utofauti ALLAH atujalie hekma na mapenzi maelewano katika kuelekezana elmu na waisilam tukawa kitu kimoja
Ma sha allah Mchozi umenitoka wa furaha Sheikh kishk Allah akuhifadhi na akubariki Allah akuruzuku pepo ya firdous na wazazi wako na familia yk na ss wengine Allah aturuzuku pepo
Maashallah Allah awatilie barkaa huyu mwalimu.... Pia akuzidishie barka na kheyr sheikh Nurdiin Kishky kwani JUHUDI unazo fanya ni kubwa hujaridhika kukaa TEMEKE na watu wenye Mali zao na vyeo vyao ukawafikishia lkn umeamua kusimama na kuwapa Faraja hii ni jambo kubwa sanna na umewapa nguvu kubwa na hamasa Allah atakulipa kwa JUHUDI zao
Subuhannallah. Pepo inakazi c mchezo,sheikh kishk Allah akupe mafanikio dunian na akhera,unayoyafanya makbwa,sjakuonea mfano,mashekh wengine stawasema Allah amewapa mali lakin tunawaona tu kupga siasa ,Allah akulpe firdaus,yarab Tuongoze,
Hongera Maalim Kishki, natamani wasomi wetu wa dini wawe wanaonesha mfano kama wako kwenye jamíi hii yenye vurugu nyingi za kimitazamo ila njia sahihi ya dini itabaki palepale
Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh MASHA ALLAH shekhe wetu leo nimefurahi sana wallah! ALLAH akuongoze wewe na Jamaa uliyoongozana nao! Allah atawalipa Amin Amin! Na kwa uwezo weke Allah hiyo madirasa itasimama Amin Amin
Shekh kishk na team yak nzima Allah akuzidishien kher dunian na akhera pia awajaaloen maisha maref na mema muzid kutupatia daawa amiin yarrabb aalamiin inshaallah
Shekh Nurdeen kishi Allah akupe umri mrefu wa miaka mia wallah nakupenda kwa ajili ya Allah nakufatilia sana sana 🇬🇧🇬🇧🇬🇧 Allah atakulipa kheri juu ya kheri unaroho ya peke yako una nuru wallah tunafaida na sie
Mashaa Allah Alhamdulillah JazzakAllah khair BarakaAllah fiysh Sheikh Nurdin Kishk na team yako Allah akupe Maisha marefu na Afya njema na Uzima YaalLah awajaalie Furaha YaalLah Aamin na akuzidishie Imani na Taqwa ishaa Allah biidhni lilLah Aamin!
Maa shaa Allah... Barakallah fiikum sheikh Kishki na team yako...kweli Allah a nakutumia wewe nasi tunapata nafasi na fursa za kupata na kufanya khairat...basi tumesikia na kuona sheikh wetu...salaams from Texas