Allah atufanyie wepesi katika ibada na akujalie uwemiongoni mwawatu walio salimika nyoyo na ulimi wenye kusema kweli. Allah atufanyie wepesi katika hliii inshallah 🤲🤲🤲☝️
maashaallah shekh Osman m.mungu akupe afya njema ww pamoja nasi na m.mungu atukutanishe sote peponi .🤝🤲❤Swaum maqbur m.mungu atutakaqabalie swaum zetu na walioko mahospitalini wagonjwa na majumbani na magelezani awape subra na awaponye
Masha Allah. Nime kuwa namsikiliza sheekhe Othman. Nime ridhika na wa"adi yake. Huwa nasikiliza sheikh Jabutawi lakini najipata na tafuta funzo la sheikh Otjman
Nikweli Sheikh ila wengine hawajui kusoma pengine kwa kutopelekwa madhrasa au kusilimu ukubwani so nimtihani kulingana kwamba mtu anataka kujua ila muda na majukumu yanayo mzunguka imekuwa kikwazo kwake ila nina imani kubwa kwamba kila mja wnahamu ya kuijua vyema dini aliyo ipenda.asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh.
Umeletwa duniani kwajili gani ukijua ivo basi hutokua busy na dunia ukaipa mgongo Quran kama unaweza ukatenga mdaa kwajili ya kula bc pia unaweza kutenga mdaa kwajili ya kuijua quran hakuna kisingizio
Kwa hakika Ramadhan inashuka ukiangalia kila mwaka Kuna kitu chapunguzwa hapa ilikuwa mwezi huu kila chumba imewekwa Qura'an na wa naisoma kidogo kidogo mwaka huu ni chumba moja tu nimeon6😢😢😢Subhana Allah
Maa shaa Allah sheikh wangu nafatilia darasa zako sana kwa kwel nikisikiliza nafarajika sana pia najifunza mengi sana kupitia darasa zako Allah Akujaalie mwisho mwema
ALLAH ANIJAALIE MM NIJE KUMRECOD HUYU SHEKH AKISOMA QURAN ANASAUT YA PEKE YAKE INSHAALLAH IPO SIKU KWA UWEZO WZ ALLAH MM NITAMLIPA NIRECOD NAE JUZU 30❤❤❤
Naomba niulize swali ninarafiki yangu ameishi na mume wake Kwa muda wamiaka kumi na saba na ramadhani hii amwacha MKE wake kwasababu ya mchipuko je nisawa