Тёмный

Kisima _Nahobakhe Official video 

Kisima Majabala
Подписаться 80 тыс.
Просмотров 52 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 202   
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 3 месяца назад
nilkuwa mshaki wa gude gude ila Leo nmehamia kwa KISIMA je washabiki wa kisma Kama mnefrahi kuwa mshabiki wa kisima tia like yako
@thentuzumusic
@thentuzumusic 3 месяца назад
Pia ni ushamba huoo
@Emma562
@Emma562 3 месяца назад
Nisawa íla usije ukawa mpeleléz tu.
@amosnaqbarxanaabddallah2730
@amosnaqbarxanaabddallah2730 3 месяца назад
Karibu Sana jamaa yetu maana huku cc nfulu mangoma,,,timu kisima tupo natumejipanga sana kmusapoti mshikaji
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 3 месяца назад
Uchonganishi na umbeya huo we kama umehamia uku njoo kmy kmy tu
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 3 месяца назад
100% leo nimekuwa mshabaki wa kisima 🎶🎶🎶🎶
@jamesamos4597
@jamesamos4597 3 месяца назад
Jamn kisimaaaaa we nomaaaa ngongaaa like hapa kama una mkubar kisima
@khamzalockymaster6008
@khamzalockymaster6008 3 месяца назад
Ambaye anamkubali director KANDOLO aweke like zake hapa
@user-oj9rg6vx1h
@user-oj9rg6vx1h 2 месяца назад
Naomba namba ya kisima jamaa
@Costantinejustine
@Costantinejustine Месяц назад
Kisima ,hakika unaweza ,nyimbo zako zinakonga mioyo ya watu ,ususani wanaoelewa lugha ya kisukuma ,
@user-rg5kq2md7i
@user-rg5kq2md7i 3 месяца назад
Kaka sijachelewa na mm naomba namba ako mie kijana wake na samola wa isuli ila naish maguryat naomba namba ako bac kak
@MwasitisaidiMgalula-pl7fs
@MwasitisaidiMgalula-pl7fs 3 месяца назад
Kisima hakika we ni msanii mkubwa sanaa wimbo mzurii mnoo mungu azidi kukutia guvu hakika wasukuma unatufurahisha Sana
@malingomediaofficial
@malingomediaofficial 3 месяца назад
Good Job Brother Congratulations Twin
@Malom_TV
@Malom_TV 3 месяца назад
King of sukuma music 💪🏻 no body can stop you just GOD only
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 3 месяца назад
Hawa ote tunasubiri na ni premieres ngoma bado inakuja kisima endelea kuwa mbunifu utumie jina lako kama brand hata siku ukichoka kuimba usitoke Kwa mashabiki zako bado waendelee kujivunia vitu ulivyoanzisha au kufanya Love from teacher teacher mrisho Bulabo kutoka mwanza
@user-zr6zu7fu3j
@user-zr6zu7fu3j 3 месяца назад
Tunakisubiri kwa hamu
@user-zr6zu7fu3j
@user-zr6zu7fu3j 3 месяца назад
Kaka naomba namba yako ya what's app
@Ng_wenda_Pole
@Ng_wenda_Pole 2 месяца назад
KAKA hakika mi waga nasikiliza sana midundo kama hii najifunza mengi sana kupitia nyimbo zako maana nami ipo siku ntakua kama wewe kaka sarut kwako Sinepar kisima majabala hongera sana kaka ❤
@MayengDulu
@MayengDulu 3 месяца назад
Kazi nzuli sana
@amosnaqbarxanaabddallah2730
@amosnaqbarxanaabddallah2730 3 месяца назад
Nmeanza kmfatilia kisima tangu nikiwa dogo sana maana knanyimbo zake za zaman ninazpenda sana kwamfano ntemi ni ntemi Yani kwene fring zangu nlikuwaga niktoka kazin lazima niisikilize af nilikuwa nashangaa sana kwann jamaa anatoa ngoma Kali hiv af bado hajajulikana kmbe Mungu nayeye alikuwa pamoja nami mwishowe amemtoa jamaa ye2,,namkubali sana,,maana hakna musukuma mwenye talent Kama hii wengine niwapiga kelele2 wanaimba nyimbo 2 zamaana Kisha wanaanza ktukana wenzao huo ni ushamba Sana,,ebana ckiliza Tungo zenye vina na mizani,mwanzo Kati na mwisho,,usisahau kumuelewa kwenye kila wimbo anamanisha nn,,tunampenda naww mpende pia
@machiyajohnmbasa2746
@machiyajohnmbasa2746 3 месяца назад
Big up brother
@malambimasele7415
@malambimasele7415 Месяц назад
Hongera bro kwa nyimbo zur mungu akubariki
@user-oh7zr3fi2g
@user-oh7zr3fi2g 3 месяца назад
Bonge la ngoma brother big up sana mwamba
@imansamwel4748
@imansamwel4748 2 месяца назад
Kisima brother msalimie prisca saidi namkubal san❤❤❤
@williamjames5267
@williamjames5267 3 месяца назад
Mzee baba japo haraka haraka haina baraka naona kama vile na kunoga ukulindela nkoyi lekelaga nemo wa kukaya
@martinekazungu842
@martinekazungu842 3 месяца назад
Dahaa kisima
@JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
@JumamgemamatogoloMatogol-de8gx 3 месяца назад
Waleta kiafrika moto 🔥🔥 ni ule ule kumbuka wanao kusumbua ndio wanao Kupa fikra ya kufanya uwe zaidi yao 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@matongovincentmatali4104
@matongovincentmatali4104 3 месяца назад
I do not understand the language but I love all your songs very very much all along Namibia
@erastolukanya1333
@erastolukanya1333 3 месяца назад
Bhebhe Matongo mbona hili jina ni kama Shinyanga kabisa 😂 hiyo Namibian 😂
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 3 месяца назад
Mmmh!! Haya banah
@erastolukanya1333
@erastolukanya1333 2 месяца назад
@@kisimamajabala135 kisima shoo za kwenye harusi huwa unafanyia shilingi ngapi
@massanja221
@massanja221 3 месяца назад
Nilijua tu lazma kutakuwa na goma la akiba kama mwaka jana shikome ilivyomalza shughuli
@HamisiMasesa
@HamisiMasesa 3 месяца назад
Kumekucha tena kwa kisima 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DanielShiganga
@DanielShiganga 3 месяца назад
Achia na video ya Sara.... baba alinogewa
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 3 месяца назад
Sala mwana fala😂😂😂
@ngasasospeter6899
@ngasasospeter6899 3 месяца назад
A good music for real. Hold up bro
@MwajumaIhonde
@MwajumaIhonde 2 месяца назад
Brother kazi nzur , good job
@ElishaMolla
@ElishaMolla 3 месяца назад
Moja ya kazi nzur sana kaka angu ❤❤❤
@engobeid2943
@engobeid2943 20 дней назад
Hongera sana kaka kazi nzur
@ibrahimbaraka5262
@ibrahimbaraka5262 3 месяца назад
Achia kitu blo❤❤🎉🎉🎉
@Masebrain
@Masebrain Месяц назад
Vizuri rafiki yangu kazi nzuri❤
@amosntabo7671
@amosntabo7671 3 месяца назад
Hongeraaa,,,sana,, Mungu akubariki,,,
@johnlukanda4360
@johnlukanda4360 2 месяца назад
Kz nzr😮😢
@ndeteleleoizdory2292
@ndeteleleoizdory2292 3 месяца назад
Acha niisubr asa kesho mapema sana naichek congratulation bro
@DeogratiusmgungaBujiku
@DeogratiusmgungaBujiku 3 месяца назад
Mwenyezi mungu aendelee kukutia wepesi ktk kazi zako 💪💪🙏🙏unajitahidi ktka kubuni kazi zako❤
@hamisimakunga9339
@hamisimakunga9339 2 месяца назад
Good task brother
@GabrielsimonKilulya-ek7dc
@GabrielsimonKilulya-ek7dc Месяц назад
KILULYA tunakusubulia mwanza buswelu.
@lucasbusagala4033
@lucasbusagala4033 3 месяца назад
Ongw'amajabara noma sana ww 💪💪💪
@ndeteleleoizdory2292
@ndeteleleoizdory2292 3 месяца назад
Ndo hii inahesabu second nmeisubr
@Director_Kitindi_Complete
@Director_Kitindi_Complete 3 месяца назад
Nice Good Job Umetisha Sanaaaaaa Director Kandolo na Brother Kisima Wewe Ni King👑 Mauwa Yako hayo 🎉🎉🎉
@SilimaZelle-no7jr
@SilimaZelle-no7jr 3 месяца назад
Hiiiiii Ngoma kaka watafata sana pamoja na Dunia bila kusahau bhazunije Moja wapo Mimi nakufatilia sana kaka endelea kutuburudisha🎉🎉🎉🎉
@amosalphonce1631
@amosalphonce1631 3 месяца назад
Nihatareee 🔥🔥🔥🔥
@mussabuyaga3231
@mussabuyaga3231 3 месяца назад
Huyu kijana ni mwisho wa mashaili
@MigeraStudio
@MigeraStudio 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉 kaka umetisha
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 3 месяца назад
Boss wangu naona idea zako kwenye kupanga dancers adi kandoro kazitumia kikubwa mziki wetu usonge mbele❤💪 united we stand sukumaland music to the worldwide
@mahungujulius1788
@mahungujulius1788 3 месяца назад
Salute kwako Mwamba
@nyandahella9263
@nyandahella9263 3 месяца назад
Ngoma kali saaaana 🎉❤
@GabrielsimonKilulya-ek7dc
@GabrielsimonKilulya-ek7dc Месяц назад
All time we go forward
@johnsuky6314
@johnsuky6314 2 месяца назад
Nawakilisha niko lindi, kazi nzuri bro ❤❤
@Ndushikayungilo722
@Ndushikayungilo722 3 месяца назад
Asante kisima kwa tungo bora
@user-zr6zu7fu3j
@user-zr6zu7fu3j 3 месяца назад
Kaka achia chuma hicho
@user-ir6ki8dz7h
@user-ir6ki8dz7h 3 месяца назад
Hongera sana mwamba❤❤❤
@MohammedMrengela
@MohammedMrengela Месяц назад
Namuelewaga sana kisma
@revocatusclavery3562
@revocatusclavery3562 3 месяца назад
Umeferi pakubwa mno hii album nyimbo nzuri ni tatu 𝗡𝗮𝗹𝗶𝗻𝗮𝗸𝗶 , 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮, 𝗯𝗵𝗮𝘇𝘂𝗻𝗷𝗲
@masungazabron4571
@masungazabron4571 3 месяца назад
Toa album yako
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 3 месяца назад
Achia na wew album yako utoe zote Kali , pia kati ya wew na kisima ni Nan wa kufel
@YohanaIsaya-vs7ty
@YohanaIsaya-vs7ty 3 месяца назад
Acha unafiki
@dikakimishawasumbwahalisit7596
@dikakimishawasumbwahalisit7596 3 месяца назад
Sasa mnamkosoa Nini kwa hiyo mnavyowaza ninyi na yeye awaze vile Au ugali ukitengwa ukawa mbichi mtu asiseme et nenda ukapike na wewe. Acheni kujipendekeza Bora anaekosoa maana anampa changamoto afikiri zaidi kuliko mnapongeza tu Wa ndio mzee anajifunza nn kwenu😂
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 2 месяца назад
The Greatest singer in SUKUMA LAND...KISIMA nyanda wa Majabala
@NdikumanaDeottt
@NdikumanaDeottt 2 месяца назад
Ndikumana
@yoshuapaul8300
@yoshuapaul8300 3 месяца назад
MtC waleteee unaweza broo
@alicenyakurutara7280
@alicenyakurutara7280 3 месяца назад
🔥🔥🔥🔥 gud one
@CharlesInyasi-nd3lj
@CharlesInyasi-nd3lj 3 месяца назад
Jamaa huyu ni mwanamziki halisi habatishi
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 3 месяца назад
Kandolo njoo uchukue maua yako broo🎉🎉🎉🎉🎉
@afterlifechannel4647
@afterlifechannel4647 Месяц назад
Hongera sana!
@UwimanaConsolee
@UwimanaConsolee 3 месяца назад
Kisima nakupenda sana wimbo wako inanifuraisha sana Songambere baba from kigali Rwanda
@user-zr6zu7fu3j
@user-zr6zu7fu3j 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉perfect boy achia chuma hicho kaka tunaona kama inachelewa vile yaani🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@noventyboniventure1411
@noventyboniventure1411 3 месяца назад
King wa nyimbo za asl
@ramadhankwilasa2371
@ramadhankwilasa2371 3 месяца назад
Mungu anatoa kila jambo kwa Wakati wake Kipindi upo unatembea kwenye uchaguzi na Njalu daudi silanga ukweli ulikuwa na mengi sana mara uachwe mwenyewe tu
@Chastv966
@Chastv966 2 месяца назад
kaz nzuri kaka
@DjzombiMusictz-sb1xk
@DjzombiMusictz-sb1xk 3 месяца назад
Twendeni Tena wadau Na mashabiki hii hainaga
@umemetv5919
@umemetv5919 3 месяца назад
Kisima Naomba Uje Kupiga Show Masengwa Shinyanga Watu Wanakusubr Bro... Mimi Shabiki Wako
@BashiliMasingija
@BashiliMasingija 2 месяца назад
Naomba namba yake kisima nipo dodoma naitwa masingija.
@user-rg5kq2md7i
@user-rg5kq2md7i 3 месяца назад
Nakuja wa kwanza kesho kaka
@paskalkizwaro6012
@paskalkizwaro6012 2 месяца назад
Ngoma kali sana
@ShijaMlolasa-ld3yw
@ShijaMlolasa-ld3yw 3 месяца назад
Kazi nzuri sana kaka❤ 7:30
@MabugaLukasi
@MabugaLukasi 3 месяца назад
Kisima jmn nakubar mwamba reo yupo bande zet razm niende
@mashakaesitasahani-qi9hk
@mashakaesitasahani-qi9hk 3 месяца назад
Piga kazi kaka yangu
@MsalikaSabuni-tm9yk
@MsalikaSabuni-tm9yk Месяц назад
Noma kabsa wewe
@ezekielsaid9536
@ezekielsaid9536 3 месяца назад
Dah hongera san wa. Kwetu
@user-bc9zc5il2o
@user-bc9zc5il2o 2 месяца назад
Kasekese mwaka huu usituangushe tunakusubilia
@AbelyBufumbe-dk9eq
@AbelyBufumbe-dk9eq 3 месяца назад
Nimeipata vzr sana nikiwa kisiwani Comoros
@DirectorFredy
@DirectorFredy 3 месяца назад
Jamani tumpe ushauri msanii wetu kama ameshindwa kutupa chakula kilicho bora ache maana hakuna kitu kabisa
@kayungilojuma7361
@kayungilojuma7361 18 дней назад
Kisima moja
@ShijaKagoke-oc2zu
@ShijaKagoke-oc2zu 3 месяца назад
MTC 🫡 salute 👏👏👏👏
@littlebloom6910
@littlebloom6910 3 месяца назад
Omukaya we ni noma good job my brother. Majirani watajuta kwelikweli
@fredyjames4327
@fredyjames4327 3 месяца назад
Kaka upo vzr sana
@chandikadechandika9852
@chandikadechandika9852 16 дней назад
Kazi nzur sana bro but , achie video ya bhazunije tumeisubr kwa hamu sana nyimbo bora2024
@djmusakasekesetz8126
@djmusakasekesetz8126 3 месяца назад
Mamb Yako Sawa Achia Mzee
@mussabuyaga3231
@mussabuyaga3231 3 месяца назад
Meseg zake nazielewa sana
@boniphaceligwa2541
@boniphaceligwa2541 3 месяца назад
The Great
@user-py3cv8ds9f
@user-py3cv8ds9f 3 месяца назад
Kisima kaka umepigaje apooo kaz zur kaka mungu akulide,🙏🙏
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 3 месяца назад
Video yake imetoka haaahaa 🎉
@jamesdaniel5557
@jamesdaniel5557 2 месяца назад
Love song ❤ guys
@nshishiponsian8853
@nshishiponsian8853 2 месяца назад
Mwamba wa ngoma za Asili
@maigecharles301
@maigecharles301 3 месяца назад
Mm nasema kila siku hiki nikichwa cha nyimbo siyo longo longo situdio mjipange na biti nzuli tu
@conkerlosevenofficial8692
@conkerlosevenofficial8692 3 месяца назад
Nasubili kwa hamu 🎉
@user-vb7pt2zk5q
@user-vb7pt2zk5q 3 месяца назад
Umeimba vizuri brother lakin alie shot video 📸📸 ajaitendea kazi director
@amosmacompyuta1015
@amosmacompyuta1015 3 месяца назад
Achia kumekucha
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 3 месяца назад
MWAKITORYO tunaipata vyema MTCTZ
@robertbunzali
@robertbunzali Месяц назад
nyanga wa nyimbo hawakuwez
@NtemiGambishiMageme
@NtemiGambishiMageme 2 месяца назад
Kaka mbona kama zaman tunaomba mungu akuongezee ndoto zidumuu
@KimolaShilinde
@KimolaShilinde 3 месяца назад
Wakwanz wewe kisima kuupata huo mzigo wapil mm hapa
@BUPAMBANYALWESA-jx5de
@BUPAMBANYALWESA-jx5de 3 месяца назад
Hongera kwa mavaz mmeonesha nidhamu inayo takiwa
@MohammedMohammed-ie1nj
@MohammedMohammed-ie1nj 2 месяца назад
Nakupata vzr sana kisima hatal we noma
@ManotiMabanza
@ManotiMabanza 2 месяца назад
Ukija. Morogoro. Unatoka. Na gunia la Pesa kisima mmi mkaguzi wa NYIMBO za asili
Далее
KISIMA _SHIKOME OFFICIAL VIDEO 4K
15:24
Просмотров 364 тыс.
Kisima_Ng'wanankanda Official Video 4k
15:52
Просмотров 237 тыс.
Bahati Bugalama - Bhuhabhi |Official video
15:29
Просмотров 126 тыс.
MJUKUU WA MWANAMALUNDE  -NA ENJOY -OFFICIAL (VIDEO  HD)
12:29
KISIMA _SUSANA OFFICIAL VIDEO
12:42
Просмотров 51 тыс.
kisima _Bhazunije Official Audio
14:10
Просмотров 54 тыс.
Kisima - Ester (official video 2020)
11:29
Просмотров 142 тыс.
Bhudagala Mwanamalonja-Majungu mp4 official.
11:35
Просмотров 31 тыс.
ngelela samoja ,,kilio cha babu,,
13:34
Просмотров 184 тыс.
Kisima  Namonge Official Video
11:51
Просмотров 201 тыс.