Тёмный

MZEE SAID| TUKIFUNGWA NA YANGA TU USAJILI WOTE UTAKUWA MBOVU |TUTATUKANA VIONGOZI WATU WAMEKULA PESA 

Finest Online
Подписаться 65 тыс.
Просмотров 129 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 548   
@Finestonline
@Finestonline 14 дней назад
FAMILIA KUIPATA CONTENT YA MZEE SAID NI KAZI NGUMU MNOO......MSAADA KOKOTE UTAKAKOKUTA MTU AMEIBA HII CONTENT AKAIPOST KWAKE NITUMIE LINK YAKE 0782100162 HUYO ALIEPOST UTAKUWA UMENISAIDIA SANA FAMILIA🙏
@RukhayyahMtutuma
@RukhayyahMtutuma 14 дней назад
pamoja familia
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 14 дней назад
Chagamba zipo nyingi yu mbona..hata hii ukimaliza tu itapostiwa pahala.
@DM_15
@DM_15 13 дней назад
Ondoa shaka familia
@Finestonline
@Finestonline 13 дней назад
@@femidayahaya4882 msaada wako ndugu yangu nipate link zake tu familia wanaua sana nguvu kazi yangu 🙏
@salimkadenge3231
@salimkadenge3231 13 дней назад
Poa gamba
@stevenobure8241
@stevenobure8241 13 дней назад
Tunamuombea Maisha marefu sana Mzee Saidi ili tuweze kumfaidi maana anatupa raha sana Nawe Changamba hongera kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 14 дней назад
Kwa muda wa nusu saa watazamaji wanaomfuatilia Mzee Saidi 1.2k🎉🎉🎉🎉❤❤.Shikilia hapo hapo Chagamba kwa kumhoji Mzee Saidi kula siku.
@user-ho1jq3ut2w
@user-ho1jq3ut2w 12 дней назад
🎉Yjistyuyyyuu98888😮
@christophermbuga9623
@christophermbuga9623 13 дней назад
Mzee Saidi nampenda sina maelezo kwa nn!! Ninaongeza mb kila mara ili nimsikie Mzee Saidi!! Udumu Mzee. Unatupa raha. Mwaga madini Mzee!! Nakukubali mnooo
@Shuu_mwak
@Shuu_mwak 11 дней назад
An uyu mzee awekewe ulinz kwa kweeel an me ananimalizia bando langu😂😂😂😂
@Shadia544
@Shadia544 14 дней назад
Jamaniii jamaniii jamaniii 😂Chagamba na mzee saidi jamaniii nilikuwa namsubili mzee saidi 😂Chagamba anainjoi sanaaaaaa LIKE 10 😂
@mjumbemwanda9666
@mjumbemwanda9666 13 дней назад
Hadi wanawake mnapenda mpira? ❤
@abasikusaga6132
@abasikusaga6132 13 дней назад
❤ kumbe na wewe umoo
@MwanzoNyedeche
@MwanzoNyedeche 13 дней назад
Mambo mrembi
@Shadia544
@Shadia544 13 дней назад
​@@MwanzoNyedechepoa kipenzi changu
@Shadia544
@Shadia544 13 дней назад
​@@mjumbemwanda9666ndiyo tena miee yangaaaa 😂😂😂😂
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw 14 дней назад
Napenda hii make haina matusi bali inafurahisha sana👌👌👌👌
@MpembaMayunga
@MpembaMayunga 13 дней назад
Kama unamkubal Mzee said gong like🎉🎉🎉🎉🎉
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 13 дней назад
Yanga binwa msimu huu Asante MUNGU 🙏♥️
@YusuphMayunga-z8l
@YusuphMayunga-z8l 13 дней назад
Mm shabiki wa yanga mzee saidi anaujua mpira kweli nampenda sana
@alikawinga2289
@alikawinga2289 14 дней назад
Mzee saidi niko ujerumani wanifuraisha sana mimi ni Yanga
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 14 дней назад
Nipo USA 🇺🇸 Nipe number yako
@derimkongwa5965
@derimkongwa5965 13 дней назад
Kaka nipe namba yako nashida nawewe
@derimkongwa5965
@derimkongwa5965 13 дней назад
​@@Kuminamoja1995kaka nipe namba yako nashida naww
@derimkongwa5965
@derimkongwa5965 13 дней назад
Nipe namba yako kaka nashida naww
@OmanAlkamil-nl2zw
@OmanAlkamil-nl2zw 14 дней назад
Nimekuwa wa Kwanza jmn,, from Oman 🇴🇲🇴🇲🇴🇲 nilikumic Mzee saidi
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw 14 дней назад
Sawa Oman wa Tz😂😂
@gidanoagustino9056
@gidanoagustino9056 14 дней назад
😂😂😂
@BaruaniBakari
@BaruaniBakari 14 дней назад
Mzee saidi ww.wachekesha kweli jamani mungu akuweke
@user-we3cm7db2h
@user-we3cm7db2h 13 дней назад
Mungu akupe maisha marefu mzee SAID nakupnda sana mm napenda sana kukuckiliza wewe MB zangu naeka kwa sabb yako ila mm ni YANGAAAAAAAAAAAAAAAAAA ila mzee SAID AZIZ bado yupe sana YANGAAAAAAAAAA.
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo 14 дней назад
Chagamba kazi Yako unaitenda vizuri aise
@ChenchiKing
@ChenchiKing 13 дней назад
Yan Bato La Mzee Said Akunag Wakulimaliza🔥🔥🔥
@GodblessMushi-e6y
@GodblessMushi-e6y 13 дней назад
Maze Said ni msema kweli, big up Chagamba, big up Mzee Said, big up Miraji a.k.a Mara moja
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 13 дней назад
😂😂 Mzee Said na Gamba hii perfect combo
@michaelmduba5931
@michaelmduba5931 14 дней назад
Kumekucha kumekucha na mzee Said
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 13 дней назад
Yan mzee Said ukwl unamzid jemedar KABSA Mungu akupe Maisha marefu mzee Wangu❤ ishi miaka 💯 tuenjoi burudan
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 14 дней назад
Nimecheka jamani 😂😂 mzee said
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 13 дней назад
Kumekucha kumekucha 😂😂 Baba yangu mzee Said, Gamba tuwekee no.ya mzee Said jamni. 😂😂
@abelimaganga417
@abelimaganga417 13 дней назад
Chagamba nilikuwa nimechoka Sanaa nimetoka kazin lakin baada ya kumwona huyu mzeee nimefurah Sanaa ahsant sana
@MichaelMwambango
@MichaelMwambango 13 дней назад
Ila Mzee Saidi bhana 🔥🔥🔥
@BADAWY575
@BADAWY575 13 дней назад
Mzee Said mzee wa mpira anajua sana mpira na anajua kumtambua mchezaji kila la kheri mzee saidi wachezaji wako kwa mtazamo wanaonekana wanaujua
@shefatiakeleye897
@shefatiakeleye897 12 дней назад
Mhuuuu😂😂
@emaculatemakoi8226
@emaculatemakoi8226 14 дней назад
Huyu mzee nampendaaa sanaaaa
@JANE-jv4eq
@JANE-jv4eq 14 дней назад
Ngendembe imeanza lini tena mzee saidi 😂😂😂😂😂😂😂
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y 14 дней назад
Mmm h ni kweriii Mzee Said maneno yake yana maaana Tz bila uchawiii wachezaji hawatobowiii wazeee wa Simba kaeni mapema mtafakari ni wapi mmekosea hizo gori 5 mchezo ulikuwaje e uwanjani wachezaji wa Yanga waliingilua Mlango ganisiku ya mchezo hiyo ni Vita ya kisasiiiiiii Simba kurudisha ufalume❤❤❤❤❤
@trice_yanga
@trice_yanga 13 дней назад
nakuona mchawi umetoaa maoni😂
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 13 дней назад
Hapa kama simba wanataka ushindi watengeneze timu na wakinunua wachezaji wanunue wachezaji wa viwango na si wachezaji wa mafungu.
@minazsaid2470
@minazsaid2470 14 дней назад
Mzee Said bado hujasema 😂😂
@deogratiaspmwolo1942
@deogratiaspmwolo1942 14 дней назад
Mzee said kipenzi cha wana yanga . Yanga tunakupenda sana mzee said. Wewe ni kipenzi chetu
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 13 дней назад
Wana yanga chawa wenu huyu ntunzeni sana?
@VedastinaVedarian
@VedastinaVedarian 13 дней назад
Tupo na mzee said mpka wamfukuze ahamie kwetu 😅
@zakayomgaya2758
@zakayomgaya2758 13 дней назад
😂😂,😂 chagamba mwambie mzee saidi tunafulahi sana kumskia mwanasimba wenzie tupo nyuma yake
@user-eh6wn9qf4b
@user-eh6wn9qf4b 14 дней назад
Tulikumiss sanaaaa xema saiz chagamba anazingua 😂😂😂😂😂😂
@leoncengabo5799
@leoncengabo5799 13 дней назад
Kkkkkkk Mzee Saidi nakupata vizurii nikiwa Kampala. Wazingue team!!! Makoe,kutunguluka,juijuijuii!!!! Kkkkkkkkkkk,misemo Yako,kweli nimeingia kamsi nimepotea...
@WilliamStanley-m8u
@WilliamStanley-m8u 14 дней назад
Nakuelewa sana mzee said
@kelvinkumila4708
@kelvinkumila4708 13 дней назад
BOKA TENA?? WAMELETA MWINGINE?? JANA?? ANAITWA BOKA!! KATOKA WAPI??? EEEH!😢😢
@BarnabaJaphet
@BarnabaJaphet 13 дней назад
Daaah ebana hapo sasa afadhar nimepata furaha ya moyo.pamoja sana gamba mpe salam mzee said
@Sadick-vb5gg
@Sadick-vb5gg 14 дней назад
Uwa nasubiri interview ya mzee Said,Hao wengine wakina kisugu siasa nyingi mara mama mara nyoko
@user-ls2pp5hi6m
@user-ls2pp5hi6m 13 дней назад
Mzee wetu said tunampenda sanaa
@rashadymuhamad6293
@rashadymuhamad6293 9 дней назад
Yaani tunampenda vibaya mnoooo!!!
@user-hp5zf2fw4o
@user-hp5zf2fw4o 14 дней назад
😅😅😅😅😅😅mzee unateseka sana poleee
@christophermbuga9623
@christophermbuga9623 13 дней назад
Mzee wa ngendembwe!! Mzee Said uko vizuri
@chumaramadhani.7581
@chumaramadhani.7581 13 дней назад
Mzee Said umetoa SMG kwa YANGA, wewe umebaki GOBOLE, Pole Sana.
@MariamMbonde-v1e
@MariamMbonde-v1e 13 дней назад
😅😅😅 mzee side angalia usije mpiga vibaoooo huyo chagamba aisee jaman nmecheka sanaaa😂😂
@cleophasmkungu623
@cleophasmkungu623 13 дней назад
Huhuuuu! Mzee Said utauaa, eti hamna cha Mkwara wala Mkwaraaaa😃😃
@PeterTelemka
@PeterTelemka 14 дней назад
Nimemsubiri Sana mzee said hivi viongozi wa kaole Sanaa wako wapi kipaji hiki jamani kwenye maigizo
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 14 дней назад
Mambo yashaaanza uku😂😂😂
@PlanetLeo721
@PlanetLeo721 12 дней назад
Mimi ni mwananch ! ila I like Mzee Said. He also makes me to be happy when I’m very stressful.
@GIFT37tv
@GIFT37tv 13 дней назад
IMENIUMA SANA KUMUACHA SAIDOO NTOMBANDOKIZA
@MpembaMayunga
@MpembaMayunga 13 дней назад
😂😂😂😂 xhenzi zako
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 13 дней назад
Gamba Augustine ni namba 6 Gambaaaaa unampoteza Mzee ila hapo kwa Deborah nimecheka sana😅😅😅😅
@ElizabethLukosya-lv2vf
@ElizabethLukosya-lv2vf 13 дней назад
Pamoja sana mzee wetu saidi 🤗
@user-pw4hw5sx6e
@user-pw4hw5sx6e 13 дней назад
Nilitaka kushangaa bila kumtaja saidoo
@nelsonlugaimukamu6611
@nelsonlugaimukamu6611 13 дней назад
Hongereni sana kwa kipindi kizuri,mzee saidi namkubali sana....msema ukweli
@mwanaidimtengo8151
@mwanaidimtengo8151 13 дней назад
Jaman Nampenda sana Mzee Saidi,Deboraaaaaaah Hahahaaaaaaaaaaa
@westonyjob1747
@westonyjob1747 12 дней назад
Nimejikuta nimecheka kwa sauti ety nyooo😂😂
@user-tk5wi3gi5o
@user-tk5wi3gi5o 14 дней назад
Mzee saidiiiìii unanichekesha mpaka basi,nawapata kutokea mascat Oman,
@trice_yanga
@trice_yanga 13 дней назад
Mzeee said kwann wakuite Deborah 😂😂😂
@musamwakalibule3383
@musamwakalibule3383 13 дней назад
Sasa😂😂😂😅 jamani mzee said, huyo chagamba kakosea nini? Usimpige huyo
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l 13 дней назад
Chagamba hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunakupata vilivyo....😂😂
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 12 дней назад
Mzee said ni 🔥🔥🔥
@shabanihaji3896
@shabanihaji3896 14 дней назад
Ila mzee saidii 😂😂😂
@jofreymsomba4652
@jofreymsomba4652 13 дней назад
Noma sana mkuu mzee saidi huyu
@MohammedIsmail-fw9vn
@MohammedIsmail-fw9vn 13 дней назад
Mzee Said muwe mnamlipa hela kama hamuwezi wekani namba
@KaujuMwakajumba
@KaujuMwakajumba 13 дней назад
Kweli bwana mzee hata fridge Hana
@halidijuma1884
@halidijuma1884 13 дней назад
Mimi yanga ila mzee Saidi na ENJOY kumsikiliza,,
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 13 дней назад
mzee saidi ni shidaa sana mjini
@EdsonMdagachule
@EdsonMdagachule 13 дней назад
Mzee Said upo sasa kabisa
@taufiqis-haq536
@taufiqis-haq536 13 дней назад
Mzee said umeongea point Sana viongozi wa Simba wachukue Huu ushauri
@tamariamisi3540
@tamariamisi3540 7 дней назад
Nikiwa from uganda I love said o
@EmmanuliM.lugembe
@EmmanuliM.lugembe 13 дней назад
Mi mwemyewe mzee sis nimemc sana
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 13 дней назад
Gamba kwanini malizia ukuta wa yeriko😂😂😂😂😂
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 14 дней назад
😂😂😂😂 Mzee Saidi bana😅😅😅😅
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 14 дней назад
Gambaaa una enjoy San 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sem mzee Saidy
@HanafyTuwa
@HanafyTuwa 12 дней назад
Chagamba yupo kama kunguni vile anang'ata huku anapuliza taratibu 😂😂😂😂🙌🙌🙌
@rashadymuhamad6293
@rashadymuhamad6293 9 дней назад
Kwa kweli, hivyo hivyo yaaaniii.
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 13 дней назад
Mzee wangu Said 🇨🇩🇨🇩🇿🇦🇿🇦mimi ni shabiki yako kindakindaki, ila mimi YANGA 😂😂😂😂😂
@EliasMyeya
@EliasMyeya 13 дней назад
Mzee saidi unatufurahisha san wanayanga,......najua ndo tumejazana apa
@gideonchipepo8405
@gideonchipepo8405 13 дней назад
Hongera sana Mzee saidi wewe ni mkweli siku zotee
@geraldndosi2083
@geraldndosi2083 13 дней назад
😂😂😂 mzee wetu saidi leo anaongea kwa uchungu sana
@witnessgeorge1976
@witnessgeorge1976 13 дней назад
😂😂😂nilikumc mzee said😂😂😂
@nacetsiringa1334
@nacetsiringa1334 12 дней назад
Chagamba unatukosea weka namba tuchangie hela ya maji kwa mzee said na miraji mahojiano mazuri sana 🎉🎉
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 14 дней назад
Chagamba jitahidi kila siku ukutane na Mzee Saidi mi MSURE mbaya.Wanafamilia tunampenda sana ,hasa kwa ukweli wake,vichekesho na lugha yake ya utani.Mie nacheka tu huku na kuongeza uhai wangu😂😂😂
@user-zq2tj9gr6r
@user-zq2tj9gr6r 14 дней назад
Mzee saidi saidiya simba yako
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian 13 дней назад
Mzee Said yuko safi mbona Jobe haongelewi?
@assumedprivacy3940
@assumedprivacy3940 14 дней назад
Nasema tena, Mzee Saidi hamia Yanga roho yako itulie mzee wangu
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 13 дней назад
Watakuwa wanaijua daby Kwan hata kwao kuna daby
@MuammaryAbdalla
@MuammaryAbdalla 14 дней назад
wakikuita debora na wew waite joicy
@phiddeschacha3143
@phiddeschacha3143 13 дней назад
Yaani Mzee Saidi wenye kukuelewa wamekuelewa
@nasibumuya4504
@nasibumuya4504 12 дней назад
mzee saidi mm nakukubali sana hata kama nimevugwa nikikusikia bavu sina🤣🤣🤩
@chrispinallan3683
@chrispinallan3683 13 дней назад
Wee mzeee saidi noma sn Nina zawadi yk nitafute mzee wang
@kingslove7772
@kingslove7772 13 дней назад
Mzee said bana we leo umeamua je
@jamesmakaranga1170
@jamesmakaranga1170 13 дней назад
Mzee said bn nakukubali sna
@clementmmbaga3052
@clementmmbaga3052 13 дней назад
Hatarii mzee said
@WilliamStanley-m8u
@WilliamStanley-m8u 14 дней назад
Nakuelewa mzee said
@moseshaji1177
@moseshaji1177 13 дней назад
Mzee Said nakufatilia vyema sana kila utupiapo interview mpya Nipo Bin Umran Doha Qatar hapa
@hyy4114
@hyy4114 12 дней назад
Upo umran mm nipo Umqan
@gaspermathayo5204
@gaspermathayo5204 13 дней назад
Ndomana watoto wayanga wananita debora😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@tamariamisi3540
@tamariamisi3540 7 дней назад
Thank you so much said I love you me I live from yuganda
@Hgd-jk6lh
@Hgd-jk6lh 13 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂mezee said jamani nampendaa saan😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅mwenye nambar yake naombeni ninavocha yake laki 1chagamba nicheki mwanagu mie ni yanga ila nampendaa saan mzee Saidi😂😂😂like za mzee said ♥️
@rozamabagala6242
@rozamabagala6242 3 дня назад
Saido mzee kukimbia hadi ajikusanye kama tairi za scania😂😂😂
@HassanHassan-vh6pc
@HassanHassan-vh6pc 13 дней назад
Mzee said x hii tunakubandikia bango mlangoni kwako
@godwingobe1887
@godwingobe1887 14 дней назад
Mzee saidi unasema ukweli utupu
@EmmanuliM.lugembe
@EmmanuliM.lugembe 13 дней назад
Changaba unakuwa unamcheleweaha sana Mzee saidi
@ramadhankombe2643
@ramadhankombe2643 13 дней назад
Kwa sasa hv hawawez kumuelewa mzee Said.lkn ngoja ligi ikianza ndio watamuelewa vzr anachomaanisha huyo mzee.hahahaaaaa walah mzee said unanifurahisha sanaaa.na ww chagamba unachombeza kiunafki km vile huelewi simba watavyodhalilishwa na yanga😅😅😅
@harunimsangi7770
@harunimsangi7770 12 дней назад
Mzee saidi bwana mungu akupe maisha marefu
@AllyMaketa
@AllyMaketa 13 дней назад
Chagamba ww yanga mzee said nakuelewa sana
@claragodfrey2985
@claragodfrey2985 13 дней назад
Mzee saidi unanipa burudani jamaniii ata kula sijala sababu ya maneno yako
Далее
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 1,1 млн
Телеграмм-Колян Карелия #юмор
00:10
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 1,1 млн