Тёмный

KITABU CHA HENOKO KILICHOPIGWA MARUFUKU KATIKA BIBLIA, KINA SIRI ya KUSHTUA... | THE BRAIN FOOD 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 379 тыс.
50% 1

KITABU CHA HENOKO KILICHOPIGWA MARUFUKU KATIKA BIBLIA, KINA SIRI ya KUSHTUA... | THE BRAIN FOOD
Biblia inawataja watu wa wili, ambao inasemekana hawakuwahi kuonja ladha ya kifo tangu kuumbwa kwao kwa karne nyingi zilizopita hadi leo hii.
Miongoni mwa hao, anatajwa Henocko kuwa ni binadamu aliyekuwa akitembea na Mungu.
Huyo, aliwabadili watu kutoka katika uovu na kumuelekea mungu, alikuwa mnyenyekevu mwenye busara na Mtenda haki. Lakini roho ya ushetani ikataka kumuingia. Mungu akamnyakua na kutoweka duniani kabla ya kifo chake kufika. Na anatajwa kuwa hai mpaka leo hii.
Kitabu chake kinachofundisha watu uchawi na ushetani katika Biblia. Kitabu hicho Kikafuta na kufichwa.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 552   
@SophiaPaulo-u4z
@SophiaPaulo-u4z 27 дней назад
Ongera kaka
@FelisianMalaso
@FelisianMalaso Месяц назад
mungu alimpenda honoko kwa sababu alikua anatembea na mungu ukisoma kitabu cha biblia inasema kila andiko lafaa kwa mafundisho ya ulimeengu
@jamesimanwel5089
@jamesimanwel5089 5 месяцев назад
Muogopeni Mungu, soma biblia vzur acha kuchanganya ukweli na uongo, utahukumiwa kwa kwa kila neno lako liwe jema au baya
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Месяц назад
sasa uongo upi
@johnambrose7223
@johnambrose7223 6 месяцев назад
Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. 22 Henoko akaenda pamoja na Mungu baada ya kumzaa Methusela miaka mia tatu, akazaa wana, waume na wake. 23 Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na sitini na mitano. 24 Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu alimtwaa.
@jeremiahmunoru7390
@jeremiahmunoru7390 5 месяцев назад
ulisoma wap mambo haya nisaidie njue.kwenye kitabu gani
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 5 месяцев назад
tupee kifungu tusome
@gollokillo3300
@gollokillo3300 5 месяцев назад
Watu waliopo mbinguni hawafi ilikuaje akafa akiwa keshafika mbinguni
@faidaonesmo
@faidaonesmo 3 месяца назад
​@@jeremiahmunoru7390mwanzo 5:21-24
@vinnyvinnier1143
@vinnyvinnier1143 28 дней назад
​@@gollokillo3300Hakufa ila Alitwaliwa Na Mungu Ili Kumuondoa Na Dhambi Aliekuwa Anataka Kufanya.
@joelthuo9557
@joelthuo9557 5 месяцев назад
Good work,keep up.Don't stop.say it to the top of your voice. You represent all people even us Christians
@franciswanyoike7310
@franciswanyoike7310 6 месяцев назад
Nimesoma mwenyewe kitabu hiki wala sikuona uchawi wala ushetani humo ndani. Henoko,(Enoch) ameshuhudiwa kuwa mtu alie eneda na Mungu hivi kwamba Mungu kamuchuku akiwa hai wala hakufa kama ilivyo desituri ya wana adamu wote. Mtu yeyote aweza kuagiza na kujisomea kitabu hiki kweye mitandao.
@magorymara5515
@magorymara5515 6 месяцев назад
Mwanadam anapotaka kufanya jambo baya hugeuza mambo yawezekana mtu mzuri aligeuzwa kuwa mbaya kwanini wakitoe kama ni kibaya mbona mungu wetu hutuonyesha yote ili tuchague wenyewe
@SidBrand
@SidBrand 29 дней назад
Naweza pata soft copy kaka
@PeterMx-yo7ln
@PeterMx-yo7ln Год назад
Kazi nzuri.Enoch anatafsiriwa na bhaadhi ya Wachungaji kuwa miongoni mwa washuhuda wawili watakao rudi siku za mwisho na kumpinga mpinga kristu Enoch na Elijah wanatabiriwa kurudi cku za mwisho sababu kwa bibilia inasomeka Washuhuda wa mwisho watakao rudi kumpinga mpinga kristu watakuwa watu wawili ambao hawakukufa.Watarudi kumpinga mpinga Kristu na kisha kuuliwa mji mtakatifu wa Jerusalemu kutokana na wafuasi wa dini ya mpinga Kristu,na wengi kusherekea duniani na kupeana zawadi lakini watafufuka baada ya cku 3 ......Ufunuo wa Yohana 11:3-......
@yusuphharuni4459
@yusuphharuni4459 Год назад
🤔
@jacksonrock6535
@jacksonrock6535 Год назад
🤣 Story Za Mtaani Biblia Inasema Nafsi Au Roho Zilizotoka Duniani Nakwenda Mbinguni Zitarudi Siku Ya Mwisho Hana Duniani Kwa Ajili Ya Hukumu Ya Ulimwengu
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Год назад
Kama matakwa ya Mungu kwa mwanadamu ni kutii amri zake kumi tu, huu ujuaji mwingine unamsaidia nini mwanadamu ili akubalike mbele machoni ya muumba, Henoko aachwe km Henoko na usanii wake !
@nassonimfumbilwa6461
@nassonimfumbilwa6461 11 месяцев назад
@@godfreyobadiah7892 usijidanganye blooo kuwa kushika amri kumi za mungu ndyo umekidhi vigezo vyote hakuna kitu kama hcho * Mwanadamu anatakiwa kushika amri kumi za MUNGU,kuwa na neno la MUNGU na kuliishi pamoja na matendo ya haki ya utakatifu.
@nassonimfumbilwa6461
@nassonimfumbilwa6461 11 месяцев назад
Fact they will come kipindi Cha dhiki kuu kuja kuubili Injili watu wasipokee chapa ya 666 ya mpinga kristo upo right bloo👍
@claudeclaude3543
@claudeclaude3543 Год назад
Tunashukuru sana Mungu azidi kukutumikisha
@jobnabiyeh
@jobnabiyeh 6 месяцев назад
Elijah ni Yohana mbatizaji, Enock hajulikani na mwanadamu hatima yake kwa sababu hadi wa leo hakuna aliyeona kaburi “ lake ila alikuwa mtumishi wa Mungu na aliyempendeza sana na hakumkubali aonje mauti. Mungu alimpandisha mbinguni; hakuwa mchawi wala muovu, Mungu hapeani rehema zake kwa waovu namna ya wachawi au majoni: hiyo basi Mungu ni Msafi tena Mtakatifu....!
@joycepatofondo
@joycepatofondo 5 месяцев назад
Hapana Enock hakufa alichukuliwa mbinguni maana angeachwa angeachana na Mungu n kumuasi, yohana mbatizaji alikua n mfano wa Elia ndio maana enzi za Yesu wakasema hangekuja mfalme wa wayahudi kabla ya kuja kwa Yesu na Yesu akawaambia mbona elia ashawai kuja n aliekufa na kuzikwa na Mungu ambaye kaburi lake halijulikani n Musa ambaye shetani na malaika Mikael walikua wakipigana ju ya mwili wa Musa ndio maana Mungu mwenyewe akamzika n hakuna binadamu anayejua hpo mahali paka Sasa ambaye Yesu anafananishwa n Musa
@pilimakata
@pilimakata 15 дней назад
Kweli kabisa unachosema niukweli nakuungamkono​@@joycepatofondo
@boscomtani1006
@boscomtani1006 Год назад
Unadimulia vizuri, nikikusikia kwa mbali nafananisha sauti yako na Professor Jamal Mustapha wa the Story Book ya Wasafi TV na Wasafi FM
@kozzomix120
@kozzomix120 Год назад
Piya mimi nimezani ni Jamal😂😂
@intaneti1634
@intaneti1634 Год назад
nafikiri amejifunza kwa jamal
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 10 месяцев назад
Kijana wa prof. Jamal april
@Gwa-Kayaga
@Gwa-Kayaga Год назад
Global tv poleni sana kwa utafiti huu!
@emmanuelmwangelengele6240
@emmanuelmwangelengele6240 Год назад
Songa mbele kaka kazi nzuri
@boniventuredaud3259
@boniventuredaud3259 Год назад
Asante kwa elimu nzuri kumbe yeye ndo alibuni kalamu.
@JacksonSylver
@JacksonSylver 8 месяцев назад
Kalamu ilibuniwa na mungu sio enock sababu kabla ya uumbaji wa viumbe mungu alianza na kalamu ili kuandika kila kinachotokea hadi mwisho wa dunia ndo maana kila kinachotokea kimeandikwa so heshimu sana kalamu ndugu
@StevenPeter-sg7zo
@StevenPeter-sg7zo 6 месяцев назад
​@@JacksonSylverumelishwa matango pori ndugu yangu
@edwardkamina143
@edwardkamina143 5 месяцев назад
@@JacksonSylver futa hiyo comment unapotosha watu
@AbdallahJuma-rk9lb
@AbdallahJuma-rk9lb 3 месяца назад
asante sana zidi kufanya utafit birakusikiriza maneno.
@suzankamguna
@suzankamguna 6 месяцев назад
AMEN MUNGU AKUBARIKI
@dinairenge
@dinairenge Год назад
Enok ikombingini nimalaika mubengine bamalaika
@dinairenge
@dinairenge Год назад
Amen wamepaa mbinguni
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Год назад
Halo unachanganya maandiko ya vitabu vinne tofauti vinavyopingana kabisa unajalibu kuhadaa mioyo ya watoto wachanga
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 5 месяцев назад
Sahihi kabisa
@CesyKhan
@CesyKhan Год назад
Kazi nzuri kaka 👌👌
@RaweMwita
@RaweMwita 9 месяцев назад
God bless you all the time
@DavidDeus-e9k
@DavidDeus-e9k Год назад
Mungu
@musangamfuracelestin6629
@musangamfuracelestin6629 4 месяца назад
Mureke nsenge, nkuko abambere yacu hashize bizeraga Imana mubiboneka nibitagaragara. Uwiteka Mana, ndagusaba guhagarika ibitero byose bya satani nabakozi bayo bose. Imigambi yose mibisha ya secyibi maze uyiburizemwo Mana. Kuko njyewe Musangamfura celestin ibyumbwira byose biba ari ukuri. Kandi ibyo unkorera Mana ni ibitangaza kandi biboneka na nyuma yo kubyerekwa. Botyo rero Mwami wanjye ndashimiye Amena. 8:35
@HappinessKitosi
@HappinessKitosi 8 месяцев назад
Kunamwanafunzi alikua anaitw henoko,duh nomaaaa
@user-mw9vu8db3h
@user-mw9vu8db3h Год назад
Asante kwa elimu hii kumbe Enoch ndio aliyebuni kalamu and kuandika biblia yake..
@user-ip1vx4yj2c
@user-ip1vx4yj2c 6 месяцев назад
mungu akubalik san awe kalib yako
@stellamwali1848
@stellamwali1848 5 месяцев назад
🎉❤napenda luhuga hii sana
@user-zf3el3ef7k
@user-zf3el3ef7k Год назад
hakifundishi uchawi na ushetani ni uongo mimi nimekisoma chenyewe original,Henock alichukuliwa kwa kuwa alikuwa mtu mwenye haki
@msuyakennedy7902
@msuyakennedy7902 6 месяцев назад
Naomba hiki kitabu kama unacho
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 3 месяца назад
Naomba Kama kweli unacho Kitabu hiki
@lebaijeremiah4540
@lebaijeremiah4540 3 месяца назад
Mimi nakiomba hicho kitabu napatikana mwanza buswelu mwanza
@ceohasna9940
@ceohasna9940 2 месяца назад
Ni kwel me pia nimekisoma na ninacho
@JoelMuriti
@JoelMuriti Месяц назад
Umesema vema kabisa
@cosmasnzioki7105
@cosmasnzioki7105 Месяц назад
Shukuran kaka, mwenye ataki kusikilisa aende baali , tufuze chenye unanjua na mwenye ataki kusikilisa aende baali sio lazima asikilise,
@user-rt9qr3ie9g
@user-rt9qr3ie9g 5 месяцев назад
Hongera kaka umejitaidi
@shizoshop2469
@shizoshop2469 10 месяцев назад
Kwanini mungu awaluhusu mbwa hao hii nimewahi kusikia kwa jamal wa wasafi
@PetonillaNzomba
@PetonillaNzomba 7 месяцев назад
Hii story ni ya kweli, hiki kitabu ndio nasoma Sasa. Mungu akuzindishie hekima
@Afrikahuru28
@Afrikahuru28 6 месяцев назад
Kinapatikana wapi?
@felisianliheta3155
@felisianliheta3155 5 месяцев назад
Kinapatikana wapi?
@ayoueNzowh
@ayoueNzowh 5 месяцев назад
Playstore kipo search BOOK OF ENOCH
@ceohasna9940
@ceohasna9940 2 месяца назад
Nimekisoma ila hakifundishi uchawi ila kinaeleza namna uchawi ulivyoingia
@NewcovenantMuro
@NewcovenantMuro Месяц назад
@@ceohasna9940umekipata wapi
@vvip7992
@vvip7992 10 месяцев назад
Barikiwa sana
@HillaryBiketi-df7tt
@HillaryBiketi-df7tt Год назад
Kasi nzuri, Mungu wa mbinguni atukuswe
@DavidTito-wi7np
@DavidTito-wi7np 5 месяцев назад
Thank you
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j 3 месяца назад
yesu sio mzungu
@AndyDach
@AndyDach 3 месяца назад
Ni nani?
@dinairenge
@dinairenge Год назад
Amen
@omondiandika5661
@omondiandika5661 5 месяцев назад
Kazi nzuri
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 Год назад
Wakristo tunaamini Yesu alikufa msalabani na siku ya tatu alifufuka, na akapaa mbinguni mzimamzima na mwili wake hadharani. Pia hata waislamu wanaamini kuwa alipaa mzimamzima na mawingu juu mbinguni.
@daudinyello4033
@daudinyello4033 6 месяцев назад
UKO SAHIHI ILA WAISLAM WANAAMINI KUWA MUNGU HAJAWAHI KUFA NA HAITATOKEA KUFA MILELE.
@Officialwizzosun
@Officialwizzosun 4 месяца назад
​@@daudinyello4033yesu alikufa kama mfano kua tukifa tukiwa upande wake Yan tukiamini katika yeye tutafufuka hatutokua kuzimu milele hivyo karibu katika kiristo upate uzima wa milele
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 месяца назад
​@@Officialwizzosuntoka uko umepigwa
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 месяца назад
Mungu hatembei
@neemagabrieli-ff4mq
@neemagabrieli-ff4mq Год назад
Ukweli hatuujui kwa hiyo huenda kaka huyu kasema ukweli siwezi kupinga jaman
@Tumainy
@Tumainy 6 месяцев назад
Be the blesd kaka
@KichecheKicheche-u6j
@KichecheKicheche-u6j 6 месяцев назад
Ndugu msimulizi, kama unajikita ktk kumuelezea Enock basi bakia ktk biblia. Kama unazungumizia kitabu cha kiislamu basi bakia huko. Ukristo hauamini ktk majini. Acha kuchanganya uislam na biblia. Ni ngumu kuchanganya mafundisho ya ukristo na imani nyingine bila kuharibu.
@daudinyello4033
@daudinyello4033 6 месяцев назад
MAJINI YAPO NA MAPEPO YAPO NA NDIO MANA HATA MAKANISANI YAPO YANAKEMEWA KILA SIKU...
@loner_wolf
@loner_wolf 5 месяцев назад
Majini kivipi ? Biblia inaongelea shetani kama.mwalimu .....je kitabu cha majini ? Kwasababu Paulo anasema " hemenayo na eskanda ,ambao watu hawa nimempa shetani awafundishe wasimtukane mungu " . .... Mm siamini kama biblia ni kitabu kitakatifu cause luka 1:1 anasema watu wengi wametia mikono kutunga habari zile katikati yetu ,nami kwa kuwa jimejitafutia tafutia usahihi nami nimeamuwa kukuandikia taratibu ,theofilo mtukufu " . Lkn pia biblia inasema Yesu alibadiri maji kuwa pombe/divai , but najua yesu ni mtume wa mungu , iwaje atengeneze pombe ilhali mungu ameiharamisha pombe .....napata wasiwasi sana juu ya biblia , naona ni kitabu cha mila ya kirumi and that's why Xmas haipo ktk biblia lkn tunaikuta ni siku kuu kwa warumi na wakristo .
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 5 месяцев назад
​@@daudinyello4033nyie mnasali nayo
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 3 месяца назад
ww ndani yako yanaishi majini wachafu ndo mana unachukia uislamu utambui ukirsto ulikuja juzi na wazungu
@Pablolookman
@Pablolookman 2 месяца назад
Tatizo wa kristo wamekalilishwa. wakati Majini ya nakuona kuliko unavojijua wewe endelea kuwa kipofu
@marianmartin7483
@marianmartin7483 3 месяца назад
Safi sana
@peterpastory
@peterpastory Год назад
Mimi nishawachikaga, Mungu ni infallible na can not contradict himself.angewezaje kuacha walinzinwafanye uovu wakati anawaona na hataki maovu! Upotovu tu.mwisho wa maisha ni kifo
@DavidMabele
@DavidMabele Год назад
Kweli
@fgvh2151
@fgvh2151 Год назад
Vile nimefuatilia kuhudumu anasema hawa watu walikuja kwa mfano wamalaika na kumbe yalikuwa majini,,walipofanya mapenzi na wanawake kihebrania wakazama majitu na hayo majitu leo hii yako america,,ndio yanatajirisha marican
@AdamHaonga-cp4lf
@AdamHaonga-cp4lf Год назад
Kwani shetani si ni alikuwa malaika sasa dhambi aliipata wapi.
@estermathias8354
@estermathias8354 10 месяцев назад
​@@AdamHaonga-cp4lfkosa la shetani nikutamani kiti cha mfalme ambae n Mungu wa muumba mbingu na nchi.tamww
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 5 месяцев назад
@@fgvh2151 shetani ni roho,na malaika ni roho,hawana maumbile ya kiume wala ya kikee.elimu hizi peleka kwa waisilamu wenzenu
@mastaplan
@mastaplan Год назад
Mkakati wa MUNGU MMOJA ni mkubwa sana na ndio hii dunia ya sasa ilivyo na hadi ijayo na hadi tutakapo adhibiwa na MUNGU MMOJA kwenye mizani ya HAKI.
@benjaminsemwenda3152
@benjaminsemwenda3152 Год назад
Sema unamcopy sana Jamal April wa The Story Book Hadi Unakera, Embu Jaribu Kuwa Wewe....
@fridalyanguka1733
@fridalyanguka1733 Год назад
Nini unakereka ikiwa huyo ni mwanadamu kama wewe na hayo ni mawazo yake jaribu na wewe.
@Shockabsober
@Shockabsober Год назад
Mwisho wa Dunia Bado Brother
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
😆😆😆
@joycepatofondo
@joycepatofondo 5 месяцев назад
Mbali na hichi kitabu bt mwisho umekaribia sana maana maovu yanazidi upendo umepoa ndoa za asbhi Jioni watu wameachana zimejaa n yote yaliyotabiriwa katika kitabu Cha Mathayo mengi yameonekana
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 Год назад
Unafafanuwa kweli
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 Год назад
Nimesoma comments zetu bali naomba punguzeni ukali wa maneno ukiona msoma story kakosea basi ww kasome zaidi ujue ukweli kisha create na ww voice story tutakusikiliza au kama unamkosoa bc mkosoe kwa lugha sahihi bila mihemko.
@robertrevelian6986
@robertrevelian6986 Год назад
Pp
@robertrevelian6986
@robertrevelian6986 Год назад
P
@elopheygandabway
@elopheygandabway Год назад
Very true ,well said bro
@abeidomar2433
@abeidomar2433 Год назад
Kweli kabisa
@AjNgailo
@AjNgailo Год назад
BABA
@user-hh8mo9ki9q
@user-hh8mo9ki9q Год назад
😢nimeelewa 3:43
@Hamis-kp1em
@Hamis-kp1em Год назад
Hajji wa Kassim
@JosephMikononi
@JosephMikononi Год назад
Henoko ndiye kipenzi Cha mungu, hajawahi kutokea Kama henoko na hatatokea, henoko Kuna Siri kubwa mungu ameifanya, henoko amerudi duniani, na elia amerudi na Hawa wote wameonja kifo,
@bryson0772
@bryson0772 7 месяцев назад
Henoko ndio kipenzi cha Mungu kushinda YESU?
@sarahhassan1323
@sarahhassan1323 Месяц назад
Henoko alirud dunian kama nani tunajua Elia alirud dunian kama yohana mbatizaji je henoko alirud dunian kama nani
@lonsman
@lonsman Год назад
Good work
@Hamis-kp1em
@Hamis-kp1em Год назад
Hajji wa kassim, huwa nakufuatilia kaka unafanya kaz kubwa allah akunariki
@deogratiusdeo6954
@deogratiusdeo6954 Год назад
Saf sana
@INNOCENTJAMAN
@INNOCENTJAMAN Год назад
wewe kaka wachanana mamboya mungu kuhi fundisha habariya mbinguni fundisha habari zenuza duniya nakuhitafuta sayari zenu zingine
@bobp6720
@bobp6720 Год назад
Huyu ni muongo wala ukweli hana wala hajui, kwanza Mungu hawezi kuchukua mtu anaefundisha uchawi, wanafundisha uchawi ni waislamu, na maelezo yako ya kujichanganya uongo mtupu
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 10 месяцев назад
Na yale mapepo mnayo yatoaga kanisani yanatoka wp?wakristo hamna elim ya kidini mnafata ushabiki tu kanisani
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 7 месяцев назад
​@@mangulimanguli3974😂😂😂😂 wapuz awa ata Bible yenywewe hawajui
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 7 месяцев назад
Gamboshi wanakaa waislamu ? Usijitoe ufahamu
@Pablolookman
@Pablolookman 2 месяца назад
na Yale ya wa kristo Kila kukicha wanaekemea inawezekana vp mkristo anaejinadi anapatwa na jini
@fgvh2151
@fgvh2151 Год назад
Mungu akuifathi kaka
@erastonzogela1405
@erastonzogela1405 8 месяцев назад
Aiseeeeee
@GloryNeema
@GloryNeema 10 дней назад
eli ba Enoko
@PascasMathew
@PascasMathew 3 месяца назад
Hii story tuu hakuka ukweli
@anitharroger5567
@anitharroger5567 Месяц назад
Kwa mm sis mungu ametupunguzia miaka Sana??
@AnnaAstadhia
@AnnaAstadhia 2 месяца назад
Siku zote ukweli ujitenga na uongo.acha usanii. Biblia inasema enoko akatembea pamoja na Mungu naye Mungu akamtwaa.maana akuonja umauti.
@nashmakali1967
@nashmakali1967 5 месяцев назад
kweli
@pascalerick3525
@pascalerick3525 Год назад
Quran ina miaka 1500 lkn biblia ilianza kuandikwa kipindi husika kwa kila tukio sasa uamuzi ni wako uwasikilize wahusika walioandka au umsikilize mtu mwingine
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 10 месяцев назад
Ww ndo wale wafata mkumbo unakurupuka tu ujui unalo ongea, Sasa kipindi cha uyo Enock Yesu alikuepo?au injili ilikua tayari, jitathmin elim yenu ya kidini ndogo sana usijilinganishe na waislam Waislam wana elim kubwa sana tena sana ya kidini
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Год назад
Story book nyingine n uongo mnasimulia kaka
@DavidMabele
@DavidMabele Год назад
Dhibitisha basi kama ni uongo
@gideonemmanyi9593
@gideonemmanyi9593 Год назад
jitahid kuwa unasoma vitabu
@christophercostantine7497
@christophercostantine7497 Год назад
hakuna kitu kinaitwa story kikawa Cha kweli , Cha msingi nikuendelea kuamini Tunacho amini tu
@VedastinaJohn-um5lj
@VedastinaJohn-um5lj 6 месяцев назад
Mimi naitwa mchungaji DOMISIANO FEDLIKI naishi kigoma nimependa sana mimi ninaswali hivi kwanini kweri upo wazi ira wachungaji wengi na wariosoma fyuoni mamawao huaminisha watu kwamba kanisa ambaro Mungu anaroripenda ni jengo hata zuuri mamirioni ambayo yangesaidia jengo ra kawaida nakureta mamirioni mengi kwa Yesu yooote yanaishia kwenye jengo ?
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Год назад
Yale yaliyofunuliwa kwenu hamtaki kuyatenda mnakazania kitabu cha henoko ambacho ambacho hakipo wala hakina uwezo Wa kumwadibisha MTU katika haki someni Yale yaliyopo muujue ukweli acheni kuhangaika na aya za kishetani na falsafa zilizojaa hekima za kuzimu jueni lengo la bibilia yote ni wokovu kwa mwanadam mwanzo 3:15 na ujue tunaelewa kusudi la mchanganyiko wa kitabu unachosoma maana nimaandalizi tu
@abdulrashid1506
@abdulrashid1506 Год назад
Ukitaka usipate shida we soma Qur'an tu maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake na ni uongofu kwa wenye kumcha Mwenyezimungu Lakini huku kwengine changamoto ni nyingi sana, we uliona wapi Malaika akazae na binadamu!!
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 7 месяцев назад
😂😂😂 awa watu ni hatar
@MustafaOmach
@MustafaOmach Год назад
Mkowapi hapa Tanzania napenda niwatembelee kwa ajili ya kuandaa trekta namba za simu ni muhimu
@MwaineShabani
@MwaineShabani 5 месяцев назад
Hngr
@AndreaPaul-ox6oz
@AndreaPaul-ox6oz 5 месяцев назад
Achen uongo bana mnapenda kuchanganua biblia na huo ukuta uko eneo gan
@antoniocassanho1991
@antoniocassanho1991 Год назад
Aaaaaaaaaaah ongera kwa kutupondeya muda🤥
@manaregilly-fc6uu
@manaregilly-fc6uu Год назад
Kanisa ni kaani Ama kilamtu atafute mungu wake
@SedaStanford
@SedaStanford Год назад
jamani mambo ya MUNGU hayahitaji mbwembwe nikweli kabisa kwenye biblia kitabu hicho Hakipo lakini Kuna vitabu vinavyoeleza MATOKEO ya kitabu hicho kama vile mwanzo ,6:1-6 lakini Kwa ushairi tu kwamba tumtake mwl wa kweli Yesu atufundishe maana yeye hawezi kusema uongo
@fridachuwa8622
@fridachuwa8622 Год назад
Soma biblia hiyo vizuri uone uongo ulioko ndani
@andersonkibaha
@andersonkibaha Год назад
Nimesikia kama umetaja kifo cha henock ila nakumbuka kama henock hakufa ila alipaa
@GeorgeUsele
@GeorgeUsele Год назад
Uwe unasikiliza sio unakurupuka
@issakawaya8315
@issakawaya8315 Год назад
Malaika awana matamanio majina ndiyo wenye matamanio
@Beau___witynes
@Beau___witynes 11 месяцев назад
Henock hakufa alinyakuliwa na mungu.
@josephgalandu128
@josephgalandu128 5 месяцев назад
Dini yangu ya zamani ina fundisha kwa hadithi(hitorical za mababu)Biblia inakataa hadithi za kizeee.Eti Yesu alipokuwa mdogo alikuwa anatengeneza ndege za udongo na anazipulizia uhai zinaruka,sasa BIBLIA MBONA HAISEMI?AU NYIE WAARABU NDO MLIKUWA NA YESU KARIBU KULIKO WAYAHUDI WAKINA PETRO WALIOKUWA NAE MWANZO MWISHOO??😂😂😂
@Theophilolazaro-ox3jj
@Theophilolazaro-ox3jj 5 месяцев назад
Lazima zkatae 😂 we unaona vizuuri kutengeneza ndege za udongo???
@Gwa-Kayaga
@Gwa-Kayaga Год назад
Hahhaha wakristo msiokuwa na ROHO MTAKATIFU na NENO la MUNGU ndani yenu, poleni sana; maana matango pori ni mengi mno na hasa end-times tunazoziishi leo! Hapa ni uongo dhahili, hasa anapochanganya IMANI HALISI na imani potofu!
@Pablolookman
@Pablolookman 2 месяца назад
Hujui kuwa Imani kama unapinga manabii waliopita kabla ya Yesu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 месяца назад
​@@Pablolookmanukiristo ni Iman potofu
@SilasMwangi-hx8nf
@SilasMwangi-hx8nf 9 месяцев назад
naona majini,mashetani naelewa vizuri
@yusufkhanna
@yusufkhanna Год назад
Ukristo ulianza na majini na wachawi,lakini wakristo wa sasa wameondosha maandiko mengi,maana wao na mashetani ni wamoja na wakiambiwa ukwelii hawatakii,ni ushindani mtupu wakipenda kubishana bila maandiko yaani yaliyopo kwa bibilia hawafuati wanafuata mapenzii ya mioyo yao
@shadrackkamugisha4481
@shadrackkamugisha4481 Год назад
Hujui kitu
@yusufkhanna
@yusufkhanna Год назад
@@shadrackkamugisha4481 ww ujuae niambie kina nanii wameanzisha ukristo?
@derickmponzi6582
@derickmponzi6582 Год назад
Acha uwongo ukristo maana yake wafwasi wa yesu ukristo ayo we unayo sema unapotoka
@shadrackkamugisha4481
@shadrackkamugisha4481 Год назад
@@yusufkhanna ukristo ni wale wanaoamini kufa na kufufuka kwa yesu kristo ( masia)
@yusufkhanna
@yusufkhanna Год назад
@@shadrackkamugisha4481 lete andiko kwa bibilia,kutoka nizaliwe mpaka leo sijawahi kusikia maneno hayo thibitisha kwa bibilia,angalia kwa msamiati wa maneno magumu
@AfsaliKweyu
@AfsaliKweyu Год назад
Endelea hivyo ukweli.
@user-mo6zh6dk2g
@user-mo6zh6dk2g 6 месяцев назад
Haupaswi kusema uongo sema yaliyo kweli
@loner_wolf
@loner_wolf 5 месяцев назад
Enock na Yesu walinyakuliwa na mungu .......hawa wote ni mitume.wa.mungu .... Na watarudi na watakufa kwasababu kila nafsi itaonja mauti kabla ya kiama. Sisi waislam tunaamini hivyo.
@peternoga
@peternoga Год назад
kuna vitabu ambavyo havijulikani waamdishi wao siyo hicho cha Henoko tu lakini kigezo walichokitumia cha kusema et hakina mwandishi ni sababu tu lakini kuna siri kubwa kuhusu hilo
@user-ll4gy5nj2r
@user-ll4gy5nj2r 6 месяцев назад
Historia hizi za kikafiri na kupotoza jamini ilisojua uislam ni dini
@EmmanuelMwambaji-vk2th
@EmmanuelMwambaji-vk2th Год назад
Umeigiza sauti ya Jamal lakini uko poa
@EmmanuelSaluel
@EmmanuelSaluel 11 месяцев назад
Kuna uongo mwingi sana katika Maelezo ya The Brain Food kutokana na Biblia mfano Biblia inasema kuwa Yesu alikufa siku tatu na kisha alifufuka na kwenda Mbinguni hakuna Andiko linasema Roho ilipaa ikaacha Mwili
@lapazako1770
@lapazako1770 10 месяцев назад
Ukipaa kwenda juu unaelekea saali mars hakuna anae juwa mbingu kunako ishi mungu iko wapi
@lapazako1770
@lapazako1770 10 месяцев назад
Ukipaa kwenda juu unaelekea saali mars hakuna anae juwa mbingu kunako ishi mungu iko wapi
@VodacomTunaweza
@VodacomTunaweza 5 месяцев назад
Amina
@EmmanuelMikael-in1ej
@EmmanuelMikael-in1ej Год назад
Jitahidi unapoweka kitu online weka na fact vingjnevyo utapotosha wengi
@BashirMahero
@BashirMahero 6 месяцев назад
Hampendi ukweli kaeni hivyo basi huu ndio ukweli uliopo na utaendelea kukua hatabishana na ukweli
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 месяца назад
Mpotoke mara ngap mshapotoka
@aliyissa9857
@aliyissa9857 Год назад
Tahadharini na groups za mikopo on line. Wanatumia nembo mfano modewji foundation, azam nk hawana mabilioni ya kukopesha watu bali ni matapeli
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 Год назад
Nieleweshe vizuri hapo
@tbwoy216
@tbwoy216 Год назад
Wewe wasema kitabu Cha Enoch kimefichwa lakini bado wasoma simulizi ndani ya BIBILIA tukwelewe vipi brother?
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
🤣kwa ufupi biblia imefanyiwa marekebisho mara nyingi sana hasa nyakati Uingereza inatafuta uhuru na ndo biblia tunazotumia leo ila mengi mno yamefichwa kwani hata katika biblia hawasemi wayahudi walikuwa watu weusi bali wanatuonesha wale wazungu waliopelekwa pale miaka kadhaa baadae baada ya watu weusi kuuliwa pale Israel sawa na pale Misri/Egpty kumbe maeneo hayo yote yalikaliwa na watu weusi eeeh chukua hiyo mf. pia pale Argentina wazawa ni watu weusi bali miaka ya 500 waliuliwa wazungu wakidai ngozi nyeusi ni laana
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Год назад
Kwani Kumbukumbu la Taurati ndo Taurati OG?!
@tbwoy216
@tbwoy216 Год назад
Ndio
@kuschprince3216
@kuschprince3216 6 месяцев назад
" Stop your charred! Its true that "Enock was a trusted friend of the Lord, ihave this book myself and he speaks only about how the fallen Angels led by Shamyaz sinned to God by fornicating ( Commiting zina with human beings)!! He also speaks of how the moutains, valley, rivers and lakes and how the angels open the gates so as to rain!! He also talks about the other fallen angels taught witchcraft and the use of weapons!! You´re contradicting/ confusing your self with "the 6 and 7 books of Moses which were not included in the Bible because they teach "Whitch craft" and are used by the witches around the world! Hakuna kitu ya kushangaza /Kushtua ni maelezo tuu!!
@INNOCENTJAMAN
@INNOCENTJAMAN Год назад
ndipo mandiko ilituagiza kwawakatihu wahongo watatokea wengi wanashindanana kristu
@Anielmax
@Anielmax 6 месяцев назад
Je kutembea na Mungu ni kuasi kweli?
@masindemfuse
@masindemfuse 6 месяцев назад
natamani kupata kitabu chake
@innocentkihinja7912
@innocentkihinja7912 2 месяца назад
mmmmh
@mrmhenipm
@mrmhenipm Год назад
Kitabu cha Henoko kimeandika na kufichua siri nyingi ndio maana wanaficha
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Год назад
Hakika
@Pablolookman
@Pablolookman 2 месяца назад
wakristo wamefichiwa Siri nyingi wameng,Ang,Ania utatu utakatifu wanakati wanapaswa Mungu mmoja
@MillardMushi-ce2bu
@MillardMushi-ce2bu 6 месяцев назад
kitabu ninacho Mimi
@mwantendeleonard2991
@mwantendeleonard2991 6 месяцев назад
Nisaidie hicho kitabu
@deogratiusalexsingombe903
@deogratiusalexsingombe903 6 месяцев назад
Mimi nakihitaji
@jacksonmutua2034
@jacksonmutua2034 Год назад
seth,abel na cain walioa wake kutoka wapi?
@AliDiamond68
@AliDiamond68 10 месяцев назад
Walioa dada zao
@SamweliKatani
@SamweliKatani 5 месяцев назад
hy bn
Далее
Батя всех бургеров на 7000 ккал!
00:55
JESUS (Swahili: Tanzania) 🎬  (CC)
2:07:54
Просмотров 10 млн
HISTORIA YA WIMBO MWAMBA WENYE IMARA
4:21
Просмотров 30 тыс.
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Просмотров 105 тыс.
Батя всех бургеров на 7000 ккал!
00:55