Тёмный
No video :(

KUA MAKINI NA URAFIKI WA WATANZANIA ULAYA |KILA NIKIPATA MZUNGU ANANIKIMBIA KUMBE RAFIKI ANAHARIBU 

Official Dating Assistance
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 79 тыс.
50% 1

Lucy ambae ni mkongwe wa Sanaa ametufungukia mengi kuhusu maisha ya Ulaya nchini Denmark na pia kuhusu kuendeleza kazi yake ya Sanaa.
Malezi ya watoto, utamaduni wa wadanish, na changamoto za kujipata ukiwa nchi za watu.
Ameeleza changamoto za watanzania wanapokutana Ughaibuni, Habari za kizushi na mengine mengi.
Thank you Lucy for allowing this to be online
www.oda.international

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 372   
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 месяца назад
Hongera Lucy Komba, nakukumbusha ule msemo wetu enzi zile "Kazi ya Maji" tumetoka mbali, najua utacheka sana. Wishing u best of luck!!
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 6 месяцев назад
Nampenda Sana Dear Lucy nimpole anaongea kwa unyenyekevu tangu yupo kwenye tasnia ya uigizaji,much respect to you Beautiful Lady💞💞💞😘
@polloz77
@polloz77 4 месяца назад
Nimempenda ssn she’s beautiful inside and out yupo real no fake Humesema ni muhigizaji wapi ? Tanzania or Denmark? Mara ya kwanza kumsikia Tanzania kuna wadada wazuri sana na warlewa vizuri sana
@theclanyoni4438
@theclanyoni4438 3 месяца назад
Dada Lucy alikuwa na pacha mwenzake kama sikosei kwenye mchezo mmoja sijui ni kweli
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 6 месяцев назад
Interview nzuri sana nmefurahi kumuona dada Lucy moja ya waigiza bora Mungu ambariki sana yuko na roho safi
@eliwajajacob8569
@eliwajajacob8569 3 месяца назад
Nicce
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 месяцев назад
Asante sanaa, na siyo Marafiki wa KiTanzania tuu , mama , Waafrica wote tuu kwa ujumla.
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 6 месяцев назад
Huyu ndio mtanzania wa kwanza kusema ukweli kuhusu maisha ya Skandinavien
@Marthamkilema
@Marthamkilema 5 месяцев назад
Hongera sana sana Lucy msanii wetu wa Kgss. Nimefurahi mno kukuona na kukusikia tena ukiwa na furaha tele...All the best dear by MAPISHA
@baeyanka5264
@baeyanka5264 4 месяца назад
Korogwe girls for life
@nevychacha6754
@nevychacha6754 3 месяца назад
Kamaliza mwaka gan..?
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 6 месяцев назад
Hongera sana Lucy kwa kutimiza maisha ya Ndoto zako! Bado madeko yako yapo pale pale! Nilimisi sana Uigizaji wako!
@QueenNgai
@QueenNgai 5 месяцев назад
Mashallaah ❤️ kipenzi changu nakupenda Sana allaah akuzidishie inshallaah 🤲
@MarryKimaro-m9k
@MarryKimaro-m9k 7 дней назад
Aisee dada Lusi komba una upendo Sana Wala huringi.❤
@user-sg1sx8yl2k
@user-sg1sx8yl2k 6 месяцев назад
Da Lucy alikuwa anaigiza vizuri sana
@homeandaway2811
@homeandaway2811 6 месяцев назад
Wabongo Ughaibuni ni wa kuogopa kama ugonjwa wa ukoma. Mwenye masikio na asikie.
@CiscaRecaps2015
@CiscaRecaps2015 6 месяцев назад
Bora wabongo,wakenya ndio hatari zaid
@joejoshua7791
@joejoshua7791 6 месяцев назад
​@CiscaRecaps2015 west African nao sio watu wazuri
@homeandaway2811
@homeandaway2811 6 месяцев назад
Nadhani ni kila mtu na taifa alilotoka mana hata waFilipino nao wanalalamika watu wa kwao noma ughaibuni ​@@CiscaRecaps2015
@homeandaway2811
@homeandaway2811 6 месяцев назад
​​@@joejoshua7791hao waWest Africa na uchawi wanabeba kuleta nje 😂😂😂😂 full unafiki
@vailethmbulule8339
@vailethmbulule8339 6 месяцев назад
Basi nikajua wanaushirikiano
@rosemery3017
@rosemery3017 6 месяцев назад
Shena mtafute lulu kamanga nae tunataka kusikia history yake nawapenda sana wadada wa kingoni wanahekma sana na niwapambanaji mno❤🙏
@idrisssaissa4322
@idrisssaissa4322 6 месяцев назад
Jamani hata Mimi natamani ya Lulu nampenda sana huyo mdada
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 6 месяцев назад
Asant da shena na Mungu akubarik🙏🙏 kwa hivi vipindi maana napata kujua experience ya maisha ya nje hata nikifika huko meng takua nishayajua maana nipo kweny kusubir visa ya marriage
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 6 месяцев назад
Hongera sana Lucy kwa kukumbuka Tasnia yako! Keep it up! Naisubiri kwa hamu sana! Kupambana ni mhimu sana!
@ngendachubwa3457
@ngendachubwa3457 6 месяцев назад
Habari ndiyo hiyo. Na huo ni ukweli. Wawake tujikubali tulvyo.Asante sa LUCY. ❤
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 месяца назад
Asante sana Lucy mpole sana na anaongea kwa kunyenyekevu aswaaa mie kama mtanzania siwez kukalibisha mtanzania nyumban kwangu nawajua vizul. Acha nipambane na hali yangu
@francksylvester7844
@francksylvester7844 5 месяцев назад
Nakupendaga sana Lucy asa uigizaji wako wakutusha unajuwa sana
@user-vw7kg8pf4d
@user-vw7kg8pf4d 6 месяцев назад
Tunashukuru Dada kwa kuwafungua macho vijana,kwenda nje ujipange na waTanzania tujenge umoja wa kitaifa aliyotuachia mwalimu Nyerere.
@annamussa185
@annamussa185 6 месяцев назад
Ahsante Lucy niliwahi kumwambia shena wadada wasijichubue Yani plz wadada
@salmabasil385
@salmabasil385 6 месяцев назад
Kuhusu kujichubua bhana hata wazungu kibao wako na mademu walio jichubua yani kama bongo tu kuna wanaume hawapendi mwanamke alie jichubua na kuna ambao hawana shida na hilo sisi tunao fanya kazi mahoteli ya kitalii Zanzibar tunaelewa mzungu akikupenda kakupenda uwe umejibua au laa
@annamussa185
@annamussa185 6 месяцев назад
@@salmabasil385 sawa endeleeni kujicgubua wewe unafanya kazi hotel unakutana na hao wa hotel ndo unawajuwa wewe,siye tunaishi na hao wazungu so tunaelewa zaidi ya wewe unayewaona hotelni
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 месяцев назад
@@salmabasil385 unatetea wanaojichubua sababu nawewe umejichubua. Kifupi mzungu hawezi kujua kama unajichubua. Na akijua atakuuliza why are you doing that? Then atakuona unanyenyeekea ngozi nyeupe mwisho wa siku atakuona mtumwa. So stop bleaching yaselvs ok!
@annamussa185
@annamussa185 5 месяцев назад
@@salmabasil385 wewe unafanyanao kazi siye tunaishi nao huwajuwi vzr wazungu sasa endelea kujichubua na uendelee kushairi wenzako pia wajichubue kazana kabisa kwa nguvu zote na Akili zote
@user-st4rb5oj2c
@user-st4rb5oj2c 5 месяцев назад
Lucy I miss you, msanii wangu pendwa ulipotea. Nimefurahi Shena nimemuona Lucy wangu. 💪
@user-sg1sx8yl2k
@user-sg1sx8yl2k 6 месяцев назад
Da Lucy komba alikuwa anaigiza vizur sana
@angelmashauri6961
@angelmashauri6961 5 месяцев назад
Ahsante sana Lucy kwa mazungumzo mazuuri sana yenye manufaa kwetu waafrica🙏🏻
@hildajoel5
@hildajoel5 6 месяцев назад
Jamani mm sina rafiki wa rohoni kabisaaa. Sijawahi kumwamini mtu kindakindaki wallah. Hakuna watu nawaogopa kama wale wanaoitana mabff😂😂
@Serenawilson11
@Serenawilson11 6 месяцев назад
Kama mm sina kabsaa niponipo tuu
@Alice-Gyunda
@Alice-Gyunda 6 месяцев назад
So sweet jamani. Roho nzuri inakipa jaamani tupendane tu😂😂😂😂❤❤❤
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 4 месяца назад
Hongera da Lucy mngon from Songea.Tunaoishi Songea tujuane hapa
@loulumony8519
@loulumony8519 5 месяцев назад
Lucy kitambo kwli nikuaga Napendag gisi ulikua unajua kuigiz san👌👌🥰🥰🇴🇲🇧🇮
@NasraSaid-qc5hf
@NasraSaid-qc5hf 4 месяца назад
Mimi nilizaniamefarikijamanii heee nimefurahisana
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 6 месяцев назад
DADA ANAYEHOJIWA ANA KIPAJI CHA KUIGIZA,,JINA LIMENITOKA...MALEGEND MTANIELEWA,,,AMEIGIZA SANA NA YULE JAMAA MNAESEMA KILA MOVI ANAENDA ULAYA😊
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 6 месяцев назад
Shija
@ginagigigg7
@ginagigigg7 5 месяцев назад
Lucy komba huyo
@user-sz7ir4sj5d
@user-sz7ir4sj5d 4 месяца назад
Maofisa na roy pia wa kwenye huba
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 6 месяцев назад
Mumw wangu ni mwafrica. Wote tunatoka tz ila ni half half hadi huwa nawaza tukirudi bongo wwnaweza hisi nimempa limbwata kumbe ni maisha ya huku yametufikisha hapa
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 6 месяцев назад
Kitu kimoja nimejifunza hawa ladies wake za wazungu wana determination
@t.jsaidia2047
@t.jsaidia2047 6 месяцев назад
Dada Lucy pole sana Kwanza. Mimi Naishi Holland ivi sasa sitamani Rafiki WA TZ NI Wachawi sana.hapa Holland kuna wachawi wengi mno.kwa kweli eur himeharibika. Naitwa Tunzamali
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 5 месяцев назад
Duuh poleni
@user-tg2sx3fo7t
@user-tg2sx3fo7t 5 месяцев назад
Miaka 9 naanaongea kawaida kiswaili waooooh! Nakupendasana Lucy ,wengine wakienda mwezi tu akija Tanzania anajifanya ajuikiswaili
@user-jz7td8kb6n
@user-jz7td8kb6n 5 месяцев назад
Da Lucy mrembo sana jaman
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 6 месяцев назад
Da Lucy shikamoo Huzeeki ❤nakukumbuka tulikutana ndege mmoja 😊
@hassankhamis344
@hassankhamis344 6 месяцев назад
Duu habari dada hiyo kweli nakubaliyana na wewe sisi watanzaniyani tuishiyao nje hatupendani kumi kwa mmoja mimi nimeliona hilo kwasababu nipo ulaya miaka mingi sana kama 29
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 5 месяцев назад
Siyo watanzania tu watu wote wa Ulaya
@janethngowi1058
@janethngowi1058 6 месяцев назад
Una roho nzuri lucy toka Kitambo marangu sec
@kevinmary7129
@kevinmary7129 6 месяцев назад
Lucy Komba mtoto wa Iringa huko sio mchanga
@janethngowi1058
@janethngowi1058 6 месяцев назад
@@kevinmary7129 c mchaga nilisoma naye marangu secondary enzi hizoo
@veronicasarita8422
@veronicasarita8422 6 месяцев назад
​@@kevinmary7129alisoma Marangu sec
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 6 месяцев назад
@@kevinmary7129shule aliyosoma kamanisha
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 5 месяцев назад
​@@kevinmary7129kwani mtu wa Iringa hawezi soma Moshi😂😂😂😂😂aiseee mbona sisi tulienda Machame girls
@Devota_life
@Devota_life 6 месяцев назад
Wow jamani nimejufunzaa asante dada Shena kwa hii channel inamafundisho saanaaa duu❤❤❤ big love
@ladymacollection
@ladymacollection 5 месяцев назад
🔥🔥🔥 kwakweli maisha ya ulaya yapo tofauti mno ni ku hustle uku
@everosemausa1436
@everosemausa1436 6 месяцев назад
Asante sana dd anaye kuleta uko nikutulia nakusaidiana majukumu
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 6 месяцев назад
Pole sana Lucy. Wewe siyo takataka, ni Malkina wetu (wangu) wa Nguvu.
@user-cl1qr4zv2x
@user-cl1qr4zv2x 4 месяца назад
Nilimpenda sana huyu mwanamke uingizaji wake
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 6 месяцев назад
Jamni da luc nilimpenda sana kwnye muvi zake at nkawa najiuliza kwa ni alienda wapi ama❤❤❤ nampenda
@jasminmdimi6059
@jasminmdimi6059 6 месяцев назад
Jamani Lucy mi nampendaga uyu❤❤❤
@TheTickingAges
@TheTickingAges 6 месяцев назад
baadhi ya waafrika wengi wakija ulaya wanakua wabaya kuliko wazungu wenyewe.
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 5 месяцев назад
Kivip
@user-we5zc7xk8x
@user-we5zc7xk8x 4 месяца назад
Nikweli
@olympiamtenga8761
@olympiamtenga8761 6 месяцев назад
❤❤ the actress nilikuwa na mpenda..Ansanteni kwa Interview nzuri sana
@judithawadhi3510
@judithawadhi3510 6 месяцев назад
Ahsante sana kwa elimu,kuomba omba ni hapa Tanzania
@salomemkilima5732
@salomemkilima5732 2 месяца назад
sikujuaga huyu ndugu yangu wa kunyumba kumbe yupo majuu hongera sana.
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 6 месяцев назад
Tuwe makini na marafiki sana sio kila jambo unamwambia wengine hawapendi maendeleo ya wengine
@nicedavid8536
@nicedavid8536 6 месяцев назад
Kweli kabisa, kuna mtu alikuja kwenye maisha yangu bc anakuja kwa njia ya kukwambia matatizo yake, unampa ushauli fanya hiv, bc unamwambia mipango ysko, unashangaa mambo hayaendi, nikamshitukia nikamkatia raini,baada ya kukata kila kitu kikawa kinaenda.
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 6 месяцев назад
@@nicedavid8536 aisee ulifanya vizur sana laa angeendelea kukuharibia kabisa
@mamadida6100
@mamadida6100 5 месяцев назад
My daughter god bless you
@surusuru1994
@surusuru1994 5 месяцев назад
Masha Allah jamn kumbe umevuka boda
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 5 месяцев назад
Pole sana dda kwa changamoto iyo, hata uku Oman hakuna urafiki my ivyo ivyo kuaribiana na kuchukuriana wanaume usirogwe ukamwambia rafki yako aisee atakuaribia unajua umepaata ndgu kumbe ni shetani na kutangaziana vibaya,na kila kitu kinasababu mpez usijal ssi watz wivu unatusum
@pendojeremia7068
@pendojeremia7068 4 месяца назад
Jimejifunzaa mengi sanaa kwenu asante sana❤❤❤❤🎉❤🎉❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 6 месяцев назад
Da Lucy chaupole jmn tumkumiss kweny move
@dayana5513story
@dayana5513story 6 месяцев назад
Lucy I can't wait your new project,ubarikiwe sana na family yako
@mankaminja683
@mankaminja683 6 месяцев назад
Huyu dada aliwahi kuigiza kam mapacha..it was lovely move
@claudiajames2003
@claudiajames2003 6 месяцев назад
Nilihudhuria Harusi ya huyu dada together with my late Japanese husband jamani,hongera happy for her.
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 6 месяцев назад
Just a husband is enough to say the least.
@neemathomas2008
@neemathomas2008 6 месяцев назад
😂😂😂😂​@@clementhiddi1486
@vailethmbulule8339
@vailethmbulule8339 6 месяцев назад
Waooo hongereni sana
@user-pw2bl4qd8w
@user-pw2bl4qd8w 5 месяцев назад
Nmemiss move zako mamy hasa ile ya patric na anjelo
@neemashuma5595
@neemashuma5595 6 месяцев назад
Ooh such a humble lady
@stellajoseph6212
@stellajoseph6212 5 месяцев назад
Nakupenda sana❤❤❤❤
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 6 месяцев назад
Interview nzuri sn, Napata kujifunza Kwakweli, Asante ❤🙏.
@consolataconsolata1250
@consolataconsolata1250 6 месяцев назад
Great interview
@naomipetro6325
@naomipetro6325 4 месяца назад
nimeipenda sana ...jamni tumeelewa sio wale wanatoa story juujuu
@sadihashimu4664
@sadihashimu4664 5 месяцев назад
Huyu mdada hanaga Mambo ya ajabu ajabu anajiheshimu Sana maashaallah ❤
@user-kp2sk2vi7d
@user-kp2sk2vi7d 5 месяцев назад
Safi
@ladyjoomahegga9407
@ladyjoomahegga9407 5 месяцев назад
Kiswahili yako bado iko vizuri kabisa ila kuna watu wakienda wiki mbili tu ht kiswahili hawajui tena
@MM-bu4ir
@MM-bu4ir 5 месяцев назад
Eeh Lucy Umenichekesha sana. it was a good interview
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 5 месяцев назад
Lucy wangu wa mideko❤❤❤❤❤❤
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 6 месяцев назад
Wow nakupenda sana dada lucy
@mbonijabut1405
@mbonijabut1405 5 месяцев назад
Upo sahihi
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 6 месяцев назад
Waooo leo umejua kutuletea kipenzi chetu aise❤❤
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 6 месяцев назад
Marafiki ni nyoko, namshukuru Mungu sijawahi kuwa na marafiki
@dayana5513story
@dayana5513story 6 месяцев назад
Nami pia
@ThaniaYahya-zd5xy
@ThaniaYahya-zd5xy 4 месяца назад
​❤
@souksoukeventsandmarketing653
@souksoukeventsandmarketing653 5 месяцев назад
Lucy You are very beautiful what I like about you. When I saw your parent and siblings came to visit you
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 5 месяцев назад
Mazungumzo mazuri ❤️
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 4 месяца назад
Nakupendaga sana da Lucy❤️
@EmJesho
@EmJesho 5 месяцев назад
Dada Lucy kitambo sana ni kweli jamani watanzania wengi tunajua nchi za inje wanajua English lakini kumbe sio kweli
@user-fs2zh6hc5o
@user-fs2zh6hc5o 5 месяцев назад
Nafurahi sana hata mm nindoto yangu ila bado haijafika mkipata mniambie ❤
@user-we5zc7xk8x
@user-we5zc7xk8x 4 месяца назад
Nimependa bure ❤
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 месяцев назад
Huyu dada ana roho nzuri❤
@Serenawilson11
@Serenawilson11 6 месяцев назад
Wooow jaman dada Lucy komba ❤❤
@chimamilion
@chimamilion 5 месяцев назад
Kuna mov yake iyo inaitwa heli ya ujinga kuliko fedhea htr sana iyo
@user-gh9oh6mt5o
@user-gh9oh6mt5o 5 месяцев назад
Asante kwa elimu
@mamuvandermerwe485
@mamuvandermerwe485 5 месяцев назад
Wow this so true huyu dada ni kweli tena kweli 1000% Lucy alivyo ongea hiyo dada ndoo alikua rafiki yangu ameniaribia sana n me nilikua namchulilia hyo hyo dada rafiki yng huyu dada anaitwa fatuma aliniahindwa kwa kumwambia mwanaume akaanza kuroga kuroga…ukipata hyu demu ana kuaribia yaan huyu Lucy simjui but she speak very true
@sesilianjala3306
@sesilianjala3306 5 месяцев назад
Noma sana uyo dada. Lucy yuko true. Ila mwenye bahati ni mwenye bahati tu. aibu yake sasaivi uko aliko😅
@mamuvandermerwe485
@mamuvandermerwe485 5 месяцев назад
Kweli kabisa MUNGU akihuandikia akuna w kupinga ata waroge uchi…
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 6 месяцев назад
hongera Shena kwa kupambana❤❤❤
@anniafredrick8925
@anniafredrick8925 6 месяцев назад
Lucy you made my day😂😂😂😂😂
@user-jz2su4co4d
@user-jz2su4co4d 5 месяцев назад
Nakupenda sana kipenzi chetu kwenye filam
@SuzanneMyles
@SuzanneMyles 6 месяцев назад
Smart and beautiful ❤❤❤
@fatmaismail7683
@fatmaismail7683 5 месяцев назад
Jmn natamani nipate mzungu Mungu nibariki siku moja nipate mume mzungu
@MtuSafi
@MtuSafi 5 месяцев назад
😂😂😂
@user-vn3kh6im6z
@user-vn3kh6im6z 5 месяцев назад
Nampendaga sana huyo dada
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 6 месяцев назад
Huyu nakumbuka alikuwa mwigizaji nilikuwa nampenda sauti yake na rangi yake❤
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus 5 месяцев назад
Jina la movie zake
@husa8849
@husa8849 5 месяцев назад
Napenda ukweliwako dada
@irineadisa7289
@irineadisa7289 6 месяцев назад
Tz mko tofauti,sisi kenya mgeni akija iwe masaa ya kula au sio masaa ya kula lazima umpee kitu cha kula au umpikie,kama hakuna chakula basi umpee hata chai pekee.
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 6 месяцев назад
Acha uongo wewe kenya ni wachoyo no 1 africa
@irineadisa7289
@irineadisa7289 6 месяцев назад
@@emmanuelchiza7733 ok
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 6 месяцев назад
@@emmanuelchiza7733sio kama wazanzibari weeee
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 6 месяцев назад
Wewe sisi Tanzania tena tunakula hata kibarazani na mtu hata humjui unakaribishwa usiseme uongo
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 6 месяцев назад
Tanzania Pia same
@user-wc3hn4kt1x
@user-wc3hn4kt1x 4 месяца назад
Aisee huyo mtangazaji anatabasamu vizuri sana aisee. Unavutia sana
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 5 месяцев назад
Lucy hujapoteza sauti yako ya upole...
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 месяцев назад
Mashallah nakukumbuka ulikuwa bongo movie uliect watt pacha kumbe upo nje
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 6 месяцев назад
Ahaha Leo umeniweza uniletea mngoni wangu bs umenikamata ata video ya masaa kumi nitaitazama😅 Wacha nijikaze
@user-py2ik3dp5v
@user-py2ik3dp5v 4 месяца назад
Lucy ushawai kutongoza mzungu mtandaoni
@pulikisia7963
@pulikisia7963 6 месяцев назад
Umemwaga moto kwenye petroli 😂😂
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 6 месяцев назад
nilisubiri sana hii😢❤❤❤❤
@Zimwilishe
@Zimwilishe 5 месяцев назад
Asanteni sana dada zangu, tunaomba basi mtupe iyo dating site.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 месяцев назад
www.bantu.dating
@Zimwilishe
@Zimwilishe 5 месяцев назад
Shukrani dadangu
@stellakiula3497
@stellakiula3497 5 месяцев назад
Loooo my roll moder kumbe ndo maana sikuonagi tenaaa
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 4 месяца назад
Nikiwa na bando kesho niiangalie kwa kweli we miss you
Далее
Паук
01:01
Просмотров 2,8 млн
WANAUME WALIKUA HAWANITAKI KWASABABU YA UFUPI WANGU
1:02:41