Тёмный

BARAKA MPENJA AKITANGAZA WACHEZAJI WAPYA YANGA VS SIMBA/DABI YA KARIAKOO NGAO YA JAMII/CHAMA/MUKWALA 

Mpenja TV
Подписаться 553 тыс.
Просмотров 176 тыс.
0% 0

Matangazaji wa mpira miguu nchini Tanzania Baraka Mpenja amefanya
Mahojiano na Mpenja Tv na kuzungumzia kuhusu usajili uliofanywa na timu za Tanzania,huku akifanya majaribio namna atakavyoitangaza Derby ya Kariakoo

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 154   
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 2 месяца назад
Mwamba wa umalila unajua hadi unajua tena wanao mkubali Baraka mpenja bila choyo gonga like tujuane
@SheillahazizizAzizimakullah
@SheillahazizizAzizimakullah 2 месяца назад
Raha sanaaaaa ❤❤
@LovelyIguana-cn8vw
@LovelyIguana-cn8vw 2 месяца назад
Nakubal barak mpenja mwamba wamalila
@BenjaminiRevocatus
@BenjaminiRevocatus 2 месяца назад
Simba chama rang
@Abdul-zg7ci
@Abdul-zg7ci 2 месяца назад
Mungu ajalie uzima cku hyo saut ya rad iwe inarindima azam tv nkubali sana baraka mpenja
@Mwabundusalim5818
@Mwabundusalim5818 2 месяца назад
Nakukubali Sana kaka mpenja nakucheki from qatar +254 ndio gheto Mombasa
@zachariamasomi
@zachariamasomi 2 месяца назад
Sahiv tu- brand Derby yetu ni ya kwanza Africa Mambo mengine kujiamin tu
@FatherKunutti
@FatherKunutti 2 месяца назад
Jaa Sharle Ahoua
@FiniasBugobola
@FiniasBugobola 2 месяца назад
Nakubali mpenja iyo mechi ya simba na yanga uwe ni wew saut ya radi🎉🎉🎉🎉
@mohamedngwenya45
@mohamedngwenya45 2 месяца назад
Mpenja we ni ze beeeest brOoooo asietaka ahame nchi hii ...
@SAKINAJUMA-ey8qd
@SAKINAJUMA-ey8qd 2 месяца назад
Safi Sana baraka
@lazarolakara979
@lazarolakara979 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mapenzi yangu kwa baraka mpenja ni kubwa sana
@AmisseIssaTorres
@AmisseIssaTorres 2 месяца назад
Kaka nakuomba hiyo siku mungu atujalie atuwezeshe tuweze kufika mshalah torres nikiwa namatili mozambiki❤
@menaurukivuyo6796
@menaurukivuyo6796 2 месяца назад
❤❤❤❤tunajua Bwana baraka huwezi kutuangisha pia Imani yangu Toka moyoni najua siku ukitangaza Simba wanashinda,,,,,
@mwambietv7614
@mwambietv7614 2 месяца назад
nakubali Sana home boy wee ndo namba 1 Kwa nchi hii kwenye kutangaza soka Mwamba wa Umalila wee ni nomaaa hakuna kama wewe
@Malack-p7j
@Malack-p7j 2 месяца назад
Nakubar rady
@wistonmajenda
@wistonmajenda 2 месяца назад
Kuna mwamba wa Lusaka /Kuna mwamba umalila /Kuna mwamba wagadugu unyama sana🙌
@MarcoTelemala-w9d
@MarcoTelemala-w9d 2 месяца назад
Wow classic mtangazaji hongera sana kaka
@japhetkahindi4791
@japhetkahindi4791 2 месяца назад
Kutoka Mombasa Kenya with love👍
@JeanMinani-r5q
@JeanMinani-r5q 2 месяца назад
Aiseee baraka nomaaaa ,anajua anajua saaaaana from Burundi
@hamzasaidi7158
@hamzasaidi7158 2 месяца назад
😀😀😀 ila mpenja ukiwa unatangaza laa sana
@FREDYNYATECHI
@FREDYNYATECHI 2 месяца назад
Nakupenda sana mpenja fundi❤❤❤
@gkwaV
@gkwaV 2 месяца назад
No. 1
@yahayaKigongo
@yahayaKigongo 2 месяца назад
Mpenja nakuelewaga sana ukitangaza dsby
@Mosesndela24
@Mosesndela24 2 месяца назад
baraka wewe Tanzania huna mpinzani unajuaaaaaaa kaka🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako
@BabaMkuu
@BabaMkuu 2 месяца назад
Wakuu tupangieni B.MPENJA na JEMS SAMWEL waje wanogeshe haya mambo.
@AnnaSiame-j5x
@AnnaSiame-j5x 2 месяца назад
Nakuku bar sana mpenja
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 2 месяца назад
Mwamba wa malila❤❤❤❤
@JumaHamdani
@JumaHamdani 2 месяца назад
Mm apa nakubali shoo ya baraka mpenja
@LeapaRoine
@LeapaRoine 2 месяца назад
Namkubali sana Mwamba wa Umalila. Kikubwa apunguze kumpenda Chama
@gresimanity3946
@gresimanity3946 2 месяца назад
baraka mpenja hautofautiani na semaji la CAF hakika 2na enjoy mko na v2 nyie❤
@salmahemed5840
@salmahemed5840 2 месяца назад
Baraka wewe n noma sana
@MuhammedMuhando
@MuhammedMuhando 2 месяца назад
Kweli kabisa
@RamadhaniMpenda
@RamadhaniMpenda 2 месяца назад
Nakubali sana kaka mpenja
@GodfreyMduma
@GodfreyMduma 2 месяца назад
Tunasubir sana nakukubali saut ya radi mpenja utupe udavuudavu wakutosha huku ukipandisha ligi yetu kutokana na V A R kwa mama yakwan,za afrika
@MwanahamisHussein-dp2if
@MwanahamisHussein-dp2if 2 месяца назад
Mmh
@SalumuSalumu-hi9qf
@SalumuSalumu-hi9qf 2 месяца назад
Nakupa asilimia zote kak baraka
@SmilingPhoenix-td1rz
@SmilingPhoenix-td1rz 2 месяца назад
Nakubali sana kaka
@NellyWaKidato
@NellyWaKidato 2 месяца назад
Nimefurahi namna unavyo tangaza mpenja ila natamani ungetangaza na magoli
@kayikumazoya322
@kayikumazoya322 2 месяца назад
Umetisha sana 🔥🔥🔥
@davismwape7500
@davismwape7500 2 месяца назад
My favorite 1...mpenja ila mzinga the best 1...
@CizaRichard-c4u
@CizaRichard-c4u 2 месяца назад
Mimi nipo Burundi ,East Africa Baraka Mpenja huna mpinzani tuna kukubali sana ,unajua kutangaza mpira ,wanaokuchukia wewe mungu anawaona watakwenda motoni
@zainabyassini
@zainabyassini 2 месяца назад
Ulivo tangaza mm roho juu kama vile ndio naitizama simba yangu dah 😂
@yakoubaliy7559
@yakoubaliy7559 2 месяца назад
Ni wakwanza❤🎉😂😂😂
@IssaMkwata
@IssaMkwata 2 месяца назад
Baraka mtu wa maana sana tasnia ya utangazaji wa mpira wa miguu
@ChristopherEdifonce
@ChristopherEdifonce 2 месяца назад
Kaka na kukubali sana ukiwa tangaza mpira
@AminielEmanwel
@AminielEmanwel 2 месяца назад
❤nakupenda sana
@JonathanAbraham-f1b
@JonathanAbraham-f1b 2 месяца назад
Baraka mpenja ninoma xana!!!!!
@errydeo8865
@errydeo8865 2 месяца назад
Super
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 2 месяца назад
Naukubar sana🎉🎉🎉🎉
@Mkudemkde
@Mkudemkde 2 месяца назад
Ujuzi auzeek
@ChimmeJulius
@ChimmeJulius 2 месяца назад
Congratulations my bro nice job
@RAYMON-pv1gd
@RAYMON-pv1gd 2 месяца назад
Kaka mpenja wewe hapa Tanzania Huna mpinzani mama yako kaka 🎉🎉🎉
@JosephMagezi-r4n
@JosephMagezi-r4n 2 месяца назад
Chama ohhhhh ohhhhh Chama baba
@nicholausjuliusmassawe6080
@nicholausjuliusmassawe6080 2 месяца назад
Brother unajua
@KulwaMartine
@KulwaMartine 2 месяца назад
Nakukubali sana mwamba wa malilaaaaaaaa❤❤❤❤
@sirlehmwenjia1297
@sirlehmwenjia1297 2 месяца назад
Mpenja bahna unajua sana kak
@rehemambwanji3883
@rehemambwanji3883 2 месяца назад
Mwamba upo sawa
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 2 месяца назад
Mwamba upo vizuri sn unakipaji kikubwa sn mkuu ishi mingi uzidi kutupa burudani kwenye soka letu kiongozi 🔥
@EMMANUELKAJUNA
@EMMANUELKAJUNA 2 месяца назад
Nakukubali sana saut yaladi
@YohanamaduhuMadaso
@YohanamaduhuMadaso 2 месяца назад
Itakuwa poa sana kama ataitangaza mpenja
@mwambietv7614
@mwambietv7614 2 месяца назад
mwamba wa Umalila wee ni namba 1
@obadiadaniel7274
@obadiadaniel7274 2 месяца назад
Baraka penja umetisho nimekupa Maua Yako😂😂😂😂😂
@davicekombe4932
@davicekombe4932 2 месяца назад
Nimependa iyo intro 😂😂😂😂😂
@FredVunjabei-k9d
@FredVunjabei-k9d 2 месяца назад
Kabixa
@DjTopd
@DjTopd 2 месяца назад
Baraka w ninoma
@mzeebabumzee
@mzeebabumzee 2 месяца назад
nguvu moja mpenja
@StalonySilvester
@StalonySilvester 2 месяца назад
Dah!! Natamani pafike chapa maana nashauku sana hakuona kikosi cha mnyama
@AminaSendekwa
@AminaSendekwa 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉kwako mpenja
@SufianSeringo-kq2ld
@SufianSeringo-kq2ld 2 месяца назад
Jamani mbona wachezaji wa Simba wakitangazwa kama ulaya vile duh sio poa
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 2 месяца назад
Mwaka huu watauana
@BoniphaceCosta-kd2yw
@BoniphaceCosta-kd2yw 2 месяца назад
Simba unyama sana
@BAHATIOMAR
@BAHATIOMAR 2 месяца назад
Mpenja iyoo dabi. Utangaze ww
@IZAACManyonyi
@IZAACManyonyi 2 месяца назад
Uyu Jamaa ni hatari sana
@MaheriChristopher
@MaheriChristopher 2 месяца назад
Navotamka majina yawachezaji wapya wa simba mpaka raha sana
@emanuellyanga8785
@emanuellyanga8785 2 месяца назад
Una hatari sana baraka hiyo siku tunaisubili kwa hamu san mashabiki
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 2 месяца назад
Nakubari xn mwamba wa malila
@ArnoldRwegasira-hp9gt
@ArnoldRwegasira-hp9gt 2 месяца назад
Baraka shikamoo
@ChidyMagoly
@ChidyMagoly 2 месяца назад
Ila mpenja n mnyama
@showshowtv1854
@showshowtv1854 2 месяца назад
Jamaa yuko pw kinoma anajua
@mudyo.mponji6520
@mudyo.mponji6520 2 месяца назад
Mwamba nanusu 🔥🔥🔥🔥🔥👆
@KelvinRobert-mn2mn
@KelvinRobert-mn2mn 2 месяца назад
😂😂😂😂,ww teal Acha kumaliza kikos wataogopa leta yimu uwanjan😢😢😢
@othmanali7408
@othmanali7408 2 месяца назад
Apo umesema kutumia VAR TZ ndio nchi ya kwanza kwa Africa sio kweli kk angalia vizuri ktk nchi nyengine mana SA na toka mwaka juzii wanatumia .
@saydonahmed5469
@saydonahmed5469 2 месяца назад
Uongo, mpaka leo South Africa hawatumii VAR
@fidonsostenes
@fidonsostenes 2 месяца назад
Brow unajua unajua tena
@Shadrackkapesa
@Shadrackkapesa 2 месяца назад
nakukubali mwamba wa malila
@MariamunikolousTangamjini
@MariamunikolousTangamjini 2 месяца назад
Kwaiyo ukiwa tz nitaitwa rashid ila nikiwa England nitaitwa Rushford 😂😂😂
@donatusnicolaus6403
@donatusnicolaus6403 2 месяца назад
Mpenja mpenja mbn mifano yote mibaya anaisema Yanga wew vp bhn😎😎😎😎
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 2 месяца назад
Tatizo la utopolo wachawi 😮
@Bertha-p5g
@Bertha-p5g 2 месяца назад
Namkubr xn mpenja sauti ya radi
@NasryHalid
@NasryHalid 2 месяца назад
Sawa😂
@ThomasDonard
@ThomasDonard 2 месяца назад
Kusoma comment tu kuandika aaah😂
@LovelyIguana-cn8vw
@LovelyIguana-cn8vw 2 месяца назад
Nakubal
@LovelyIguana-cn8vw
@LovelyIguana-cn8vw 2 месяца назад
😂😂😂
@EvartWilson34
@EvartWilson34 2 месяца назад
Nikafikir ushaanza😂😂😂😂😂😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 месяца назад
Unatakiwa ulipwe mara mbili pia mpeja kwa kuwa umetangaza goli mara mbili huini kama ni faida pia
@SalimMohd-g6x
@SalimMohd-g6x 2 месяца назад
Mpenja babaaa wee acha humtu
@ThomasPhissoo
@ThomasPhissoo 2 месяца назад
Tunakukubal brw
@janecharles8922
@janecharles8922 2 месяца назад
Yanga inaogopesha nyie mhhh cjui
@JaclenoauloSiita.Kitulia-xn5fc
@JaclenoauloSiita.Kitulia-xn5fc 2 месяца назад
Mimi jaclene. Paulo. Natokea. Simiyu. Naitakie. Dimu. Yangu. Yanga
@malietamaliet
@malietamaliet 2 месяца назад
😂😂😂😂ila baraka mpenja kwann dube awe offside
@LucknessPeter
@LucknessPeter 2 месяца назад
kikosi cha yanga kinatisha
@MartineHusein
@MartineHusein 2 месяца назад
Nakukubali sanaa mwamba wa umalila fahari ya tete
@murshidyabdallah1356
@murshidyabdallah1356 2 месяца назад
kska wee mwamba unaweza mpenja sema unaipenda yanga bhnaa tunakujua
@jairatu688
@jairatu688 2 месяца назад
Jenny kishai yuko wapi jaman
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 месяца назад
Joshua Mutale tayari anayo nick name yake ( BUDO )
@FatmaAdam-e7t
@FatmaAdam-e7t 2 месяца назад
Nice
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 2 месяца назад
Hyo ya yanga co kweli hapo chama ataanzia nje huwez kumuacha mudathir nje wala max
@SimonimatoneyusuphMatone
@SimonimatoneyusuphMatone 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤
Далее
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 82 тыс.
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 443 тыс.
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 919 тыс.
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Просмотров 148 тыс.
TRUE LOVE FULL MOVIE
1:01:50
Просмотров 1,3 млн
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 82 тыс.