Hii ni Demo ya kipindi ambacho Ruge alitaka kianze kuruka Clouds, bila kujali Ubize aliokuwa nao alitoa muda wake na kumwambia Ziza na Octagraphy "Nataka mfanye Demo, na ninaomba mtu mtakayemuhoji awe ni mimi hapa" JASIRI MUONGOZA NJIA
Ruge ulikuja, ukaenda, kwangu nakuona kama mtu uliekuja kutufundisha creative ideas, creative thinking and mindset solution ni nini katika maisha yetu! Thank you Lord for bringing Ruge for us. 🙏
Ruge alikua na madini sana aiseee. japo ana mapungufu yake kama binadamu but the guy was absolutely a genius. very unselfish. anakwambia hapendi grey kwasabab ni neutral. therefore ktk maisha au in most of our endeavors tujitahid kuchagua upande fulan.
daaaah huyu jamaa alikuwa anaongea points sana.nmekubali leo you may DIE but still LIVE.this is one of the greatest living testimony our generation.in summary be passionate,Be self disciplined,extramiled,Tekeleza jambo sio tu ulimalize but kwa ubora,but kubwa kuliko yote Don't be Grey be black or white
RIP ruge mbele yako nyuma yet utafikil bado upo dunian vile kweli walio wai kiishi nawewe kama mtu ajajifunza mambo mazur yamaisha ajaelewa kwakwel ata elewa ten maan wewe mimi ninavy tizama video zako t ulizo zungumza kabla ujakufa najifunza kupitia maneno yak japo sijakuona live wala kuish nawewe wewe ulikuwa kichwa
Boss Ruge jua kwamba nakupenda... kinachoniuma hili ni neno ambalo sikuwabi kukwambia ukiwa hai..... Narudia tena nakupenda na nitazidi kukupenda.... Kuna muda hata ndugu zangu wa damu walikuwa hawajui nalala wapi...na nakula nini... ila ni wewe pekee ulikuwa ukijua lala yangu na kula yangu.... 😭😭😭😭😭😭 Naumiiiiiiiaaaaa😭
Ruge umeraumiwa sanasana kwa wema wako wa kusaidiya watu nauliwatowa wengi Sana kimaisha IRA malipo yao kwako ni kukutangazia ubaya pumzika kwaamani kakaangu mbere yako nyuma yetu