Тёмный

KUVUNJIKA KWA NDOA YA MAKABILA, MILLARD NA FRIDA WATIA NENO, ZAI AFUNGUKA “TUNAONGEA” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Год назад
Mimi na mume wangu tulionanana asubuhi bank akaniomba number jioni akanitoa dinner akaniambia anataka anilipie mahari anioe nikamuuliza mbona haraka sana akanijibu kama nimekupenda na unanioenda tunasubiri nini..mimi sina tatizo nimekupenda na nitakupenda kweli week hiyo hiyo tulioana na mpk leo ni mwaka wa 12 tuna watoto watatu na hatujawahi kukosana naomba Mungu pia tusikosane.upendo hauna muda gani inategemea na uliyemchagua.
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Год назад
Hongera sana
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 Год назад
Ulibahatisha mpenzi..uliokota dodo chini ya mwarobaini
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
@@lelaiddy6856 dada unataka kuolewa au mpenzi ? Lol
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 Год назад
@@kabwelasutiviraka4765 nimeshaolewa mm
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw Год назад
​@@kabwelasutiviraka4765Mimi nataka kuolewa
@Tonny1141
@Tonny1141 Год назад
Nawakubali saanaa Watangazajii wangu Naowakubali Tanzania nzima ❤❤❤
@BikyeombeInnocent-vd3pg
@BikyeombeInnocent-vd3pg Год назад
Kuhishi kimapenzi nimuda ambao kila mtu anajifunza tabia zamwezie. Ila jisi tulifuzwa shuleni watu wanahishi mwaka 1 moja na nusu. Pia kushirikisha MUNGU akubariki upate mume bora ao mkee bora kabla yakuhigia kwenye mahusiano ❤❤❤from DRC
@Zuulito
@Zuulito Год назад
Fifi❤️❤️❤️
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
Huyu dada akiongea kiingereza ana accent nzuri sana yaani akiwa fluent kingekuwa ni vizuri kukisikiliza kiingereza akiongea
@ashuramhandoashuramhando6798
Saf nimependa kipindi ❤❤
@asalkhan9168
@asalkhan9168 Год назад
Kiimani ya dini hakuna utaratibu wa kukaa muda gani kwenye mahusiano. mmetakana muonae sio muanze kuchezeana muaze baada ya miaka 5 ndo ndoa
@khadija5761
@khadija5761 Год назад
Nampenda huyo dada frida🎉🎉
@anseelatan7718
@anseelatan7718 Год назад
Mm nilikaa miaka mitano ndio naolewa leo Nina miaka 14 kwa ndoa
@mamyukuru9081
@mamyukuru9081 Год назад
Kwanza ni mungu mbele kama alivyo sema kaka yangu pili mjuwane kwanza isichukuwe mda mrefu kuowana
@ngwembetv9007
@ngwembetv9007 Год назад
Atr sana
@RandB_Channel
@RandB_Channel Год назад
Kumbe zari alikuwa sahihi . Zari watu watakuelewa pole pole
@firdauskarembo7664
@firdauskarembo7664 Год назад
Ety no coment sis sio wajinga tumeelewa kila kitu😂😂😂
@mikidadymohammedy7603
@mikidadymohammedy7603 Год назад
Ndoa za mitandaoni kawaida tu.
@messaabbas739
@messaabbas739 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 bongo nyiee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mikidadymohammedy7603
@mikidadymohammedy7603 Год назад
Frida kanifurahisha nitampendaje bila pesa
@saadsuleyman7380
@saadsuleyman7380 Год назад
Tafuteni Kiongozi wa Dini Mpate Elimu ya Talaka Sheria haisemi kutoa Talaka Tatu kwa Pamoja kuna Utaratibu wake Kwa Mfano katika hiloo mnalolizungumzia La Dulla Kisheria Inahesabika ni Talaka Mmoja
@ochu6825
@ochu6825 Год назад
Kuna kipande kidogo cha furaha kwenye ndoa, hivyo kuna vitu muhimu vya kuzingatia.. utu, hofu ya MUNGU ..
@mvitahamad2126
@mvitahamad2126 Год назад
😂😂😂 wataenda kujuwana ndan
@jacksonjudicate9388
@jacksonjudicate9388 Год назад
Kabla ya kumjua huyo utakaekuwa nae, ni bora ujijue vyema wewe, Unataka nini, Unataka kuishi vipi, na nini nguvu na madhaifu yako. Itasaidia wewe kujua unataka mtu wa namna gani.
@aminalikwata9510
@aminalikwata9510 Год назад
Sure
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Год назад
😂😂😂
@lidyaedward876
@lidyaedward876 Год назад
Frida 😂😂😂😂 dawa ya mswaki inabinywa katikati
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@angelwilliam3471
@angelwilliam3471 Год назад
Miezi miwili au tatu
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
Dulla kavunja records 😂😂😂
Далее
WASANII wengi wananitaka lakini hawana PESA.:Candyboo
13:10