Тёмный

Kwanini Mgunduzi wa BOMU la NYUKLIA Alisalitiwa na MAREKANI? Hii ni Stori ya Kipekee ya OPPENHEIMER 

Charles Kombe
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 100 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe #oppenheimer #atomicbombdome
Katika video ya leo namwangazia kwa undani kabisa Robert OPPENHEIMER, Mgunduzi wa Bomu la Nyuklia lililomaliza vita vya pili vya dunia na stori ya maisha na safari yake iliyogeuka kuwa yakishujaa na mwishowe kusalitiwa na Taifa lake.
________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com

Опубликовано:

 

22 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@Abbas-fp5mc
@Abbas-fp5mc 6 дней назад
Sayansi ni nzuri lakini kwa uvumbuzi huu umeihatarisha DUNIA.
@williammarete3970
@williammarete3970 19 дней назад
Binadamu akitawala Dunia Ni maafa matupu. Maana tunazidi kigundua maovu kuangamiza Dunia! Hebu tujaribu kutambua huyu liyetuweka duniani ANATAKA Nini!!
@rashidsaid6015
@rashidsaid6015 3 месяца назад
Big up kijana ushakwiva Ni mwendo wa burudani TU hizi vitu zinapunguza makali ya swaumu kbs
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 3 месяца назад
Leo ndio nimetambua kumbe tuna charles kombe ... genius Bigapuu sana kaka.. namii nimejiunga
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Shukran sana kwa kujiunga na karibu sana. Share na wengine ili tuendele kuwa pamoja.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 месяца назад
Tanzania tuna kijiwe sio si inchi.mama samia angalau ananza kutambua kuwa tuponyuma sana .Mungu amsaidie tufike
@kadirduchi192
@kadirduchi192 2 месяца назад
😮l
@chogeromkama256
@chogeromkama256 3 месяца назад
Umesomeka
@user-bk1ei4mt4l
@user-bk1ei4mt4l 2 месяца назад
Mmoja wapo Katinka dalili za kuonyesha kama mwanadamu ni mnyama mpuuzi. Ikiwa Ubongo wa mtu unatumika sawa😢 utamsukuma kufanya matendo mazuri, na nyayo zake zitafuatiliwa kwa haki na starehe kadha.
@mohdyussah825
@mohdyussah825 3 месяца назад
Great
@user-nl3pi8id4s
@user-nl3pi8id4s 3 месяца назад
Maarifa ni muhimu lakini yasipotumiwa vizuri yanaweza kuleta madhara makubwa kuliko ujinga
@magigesabai8674
@magigesabai8674 2 месяца назад
Uwezi kuleta amani duniani kwa kutengeneza siraha kubwa
@JamesKiprop-js1yo
@JamesKiprop-js1yo 3 месяца назад
Good science invention apply for betterment of humanity and clinically safe usage of technology.
@NivadiraphaelKunganilo-ge8tj
@NivadiraphaelKunganilo-ge8tj 2 месяца назад
Uko vizuri boy , sio kazi nyepesi hiyo kama hujatafiti vizuri!
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq 3 месяца назад
asanti sana kwakutuelimisha😅
@erastosanga1694
@erastosanga1694 3 месяца назад
Thanks for the strong analysis
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Appreciate your positive feedback! Kindly do subscribe for many video to come
@gabrielmachotta5193
@gabrielmachotta5193 2 месяца назад
Sasa hivi vita vya nuclier vikitokea hatutakuwa na mahala pa kukimbilia hata hao wakaotumia silaha hizoo, watateketea kwa hiyari yao. Mwenyezi Mungu atuwekee usalama ulimwenguni. Amin 😢😢😢
@dismaskombe5092
@dismaskombe5092 3 месяца назад
🔥 🔥
@njoostudio_
@njoostudio_ 3 месяца назад
Kazi Nzuri Sana Kaka...!!!!
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Shukran sana kaka
@gabrielleshan737
@gabrielleshan737 3 месяца назад
I like it
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Thank you!
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 3 месяца назад
Manhattan not Manhantann Giogio Kristakovsky Larry Johnstone key players
@user-st3ws1ns5g
@user-st3ws1ns5g 3 месяца назад
Nasikia sauti ya blessa kombe
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 месяца назад
👊👍✌️.
@FaustineBM
@FaustineBM 3 месяца назад
Angalia movie yake Oppenheimer 2023
@hansstar6688
@hansstar6688 3 месяца назад
Kifo kifo
@user-ui9fz5eu2j
@user-ui9fz5eu2j Месяц назад
So Sad To The World For Such An Invention.
@longinusbankyanule191
@longinusbankyanule191 2 месяца назад
Bado hujasimulia hatima ya Bomu la Hydrogen lenye nguvu kuliko Bomu la nyuklia . Je waliweza kulitengeneza ?
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 3 месяца назад
Ni AKILI KUBWA, SIYO AKILI NYINGI🙏🙏🙏
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Shukran kwa maelezo. Lakini sijatumia lugha rasmi ndio mana kuna sehemu nimesema "mshkaji, mwamba, n.k lengo ni kuzungumzq lugha ya watazamaji wangu wengi. BTW asante kwa kufuatilia na barikiwa sana
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 3 месяца назад
Arie umba mbingu na nnchi ndye mtawala pekeee
@remmyyasinti1939
@remmyyasinti1939 3 месяца назад
Hahah kumbe ni wewe kaka kazi nzuri sana
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Hakika mkuu...Shukran sana!
@magorymara5515
@magorymara5515 Месяц назад
Mtu wa kwanza kugundua nyukria ni Mgeruman
@KifuKikoi
@KifuKikoi 3 месяца назад
wanasayansi waongezeke tuheshimiane
@nashommagwe5112
@nashommagwe5112 3 месяца назад
Ile ilikua ni gunduzi za jerumani
@AugusitineBushoberwa
@AugusitineBushoberwa Месяц назад
Wewe nmwamba kweli
@josephchuwa2772
@josephchuwa2772 3 месяца назад
Nnacho kiona 80% unacho simulia umetoa kwenye movie 😊 ila saf sana unajua kusmulia
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Ungesema asilimia 80 ya nnazosimulia umekiona pia ktk movie ingekaa vzr zaidi. Makala haya nimeandaa kwa kusoma machapisho mbalimbali pamoja na kuskiliza interview za Openheimer mwenyewe. So before ucomment bila kujua ni vyema kuuliza. Asante!
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Месяц назад
Nimekupata😅
@saidahmed7268
@saidahmed7268 3 месяца назад
Myahudi huyo aliisaliti taifa la ujerumani ambako alisomeshwa kama physist
@franklyn7439
@franklyn7439 3 месяца назад
Baba yake ndio alikuwa mjerumani. Yeye amezaliwa na kukulia marekani
@rogersruvuga86
@rogersruvuga86 3 месяца назад
Nadhani ni hydrogen bomb
@fredricklitunda8870
@fredricklitunda8870 3 месяца назад
Barua ya Einstein to Flanklin roosevelt inaingia wapi katika development ya nuclear bomb??
@frankmare1708
@frankmare1708 3 месяца назад
hawezi kujibu
@franklyn7439
@franklyn7439 3 месяца назад
Baada ya marekani kulipua bomu huko Japan ndio akaandika barua kwenda kwa Rais ili kushauri juu ya madhara ya mabomu hayo na kushauri itungwe Sheria ya kuzuia siraha hizo
@mrdaslam301
@mrdaslam301 3 месяца назад
Naomba utengeneze video inyoelezea ni jinsi gani USSR walijua kutengeneza bom LA nyuklia na jinsi vita baridi ilivyo anza
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Asante sana kwa kufuatilia na kwa maoni yako. Nitafuatilia na panapa majaliwa utaipata ktk channel hii. Please subscribe n kushare n wengine
@JuliusSenyael-ej6hg
@JuliusSenyael-ej6hg 3 месяца назад
Aache uongo USSR wao hawakugundua mbona Russia ndio wameshikilia nyuklia
@robertmosha6801
@robertmosha6801 3 месяца назад
Walitumia ujasusi..wakati wamarekani wanatengeneza bomb walikuwa na ma spy wao kwenye hyo mission ambao badae waliiba formula ..jaribu pia kutafta source nyingine kama madini dotcom wameeleza kwa kina zaidi
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 3 месяца назад
Lilikuwa ni swala la muda tu. hata asinge gundua yeye mwanasayansi mwingine angegundua. maana idea ya Bomu la nuclear ili ibiwa na mmarekani kutoka kwa Mjerumani . na iliwateka wana physikia wengi sana wa kijerumani baada ya ujerumani kushindwa WW1
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 3 месяца назад
SUALA siyo SWALA🙏🙏🙏
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 месяца назад
Sio WW1 ni WW2. Vita ya pili ya dunia!
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 месяца назад
Albert Einstein ndio aligundua formula ya atomic power
@erastosanga1694
@erastosanga1694 3 месяца назад
Albert Einstein ndio alikuwa chanzo Cha yote haya
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 3 месяца назад
Na sisi tutengeneze vifaa vyetu. ❤ 11:39
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 3 месяца назад
Watu wana akili
@ce-08
@ce-08 3 месяца назад
Sasa wewe endelea na stor hiz hiz usije ukabadilika kama ananias edga saizi anahadithia hadithi zakufikirika tu hazina uhalisia
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Ntafanya hivyo Cecy. Asante kwa kufuatilia
@farajistory
@farajistory 3 месяца назад
Bro upo slow
@charleskombe
@charleskombe 3 месяца назад
Ok
@paterinomlowe8317
@paterinomlowe8317 3 месяца назад
Je hawa esrael walikuwa wapi ,enstain,albert ,mbona cjawaskia ,lkn nyukilia ya kwanza ni USSR ndio lkn Marekani wanapenda kuona wao ndio wakwanza
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 3 месяца назад
bomu la nyuklia ni mmarekani ndg kama kuna mwingne angekua nalo vita ya pili ya dunia isingeisha
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 месяца назад
SASA HIVI MATAIFA MENGI WANAYO AKIPIGA ATAPIGWA TU KAMA KAWA.
@pumpandnozeltec3019
@pumpandnozeltec3019 3 месяца назад
Enstain alikuwa rafiki mkubwa wa oppenheimer
@magigesabai8674
@magigesabai8674 2 месяца назад
​@@salimmalaka256ndio wanalo je ni kubwa kama la Marekani? Je wana uwezo wa kuzuia madhara wakishambuliwa? Usicheze na Marekani
@EphraimWekesa-je7gy
@EphraimWekesa-je7gy 3 месяца назад
Kwa nini African wasifanye ivi
@sabahumedia7053
@sabahumedia7053 3 месяца назад
Mwehu w
@alawiali3475
@alawiali3475 Месяц назад
Sisi tumevumbua kuruka na ungo sio jambo jepesi bro.
@revocatusngussa1428
@revocatusngussa1428 3 месяца назад
Huyu anayetajwa Albert Estain naye alihusika vipi katika ugunduzi wa bomu la nyuklia..?
@fasamifaudy6058
@fasamifaudy6058 3 месяца назад
Alikua mshauri mkuu kwakwe Albert Einstein ni balaaa lingine
@EvaristiTarimo-br4jg
@EvaristiTarimo-br4jg 2 месяца назад
Sisi watanzania nikuiba pesa sikuumiza akili maabara
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
Dunia sio duara bali ni tufe flani hivi na limejaa watu kibao mimea na wanyama pia maji lkn binadamu sio mtawala wa hii dunia kuna kiumbe anayetuongoza sisi hatuwezi kumjua
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 3 месяца назад
akili zako zipo makalioni wewe
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
@@lampadshigonko3006 unapenda kuonekana uko juu zaidi ya viumbe vyote,ndege mnyama halimi havai anapaa ila wewe unavaa unaficha uchi unatafuta kwa jasho ule lkn kuna tembo pale akija mjni hapa tunakimbiana. We unadhani aliyekupa akili alikuzidishia kwa akili zako?,sisimizi tu anaishi kifalme kwa akili zake,we pimbi tu ukifa hujui unapokwenda unadanganywa na hilo fuvu,likioza nafsi yako ikaja kivingine utajiona zaidi ya vyura majini utamuona binadamu unammudu. Kuku wewe. Hufikirii sana bata wewe. Ubongo wako sio nafsi wala moyo
@elsabio11
@elsabio11 3 месяца назад
Kwani maandiko matakatifu yanaeleza mtawala wa dunia ni kiumbe gani?
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
@@elsabio11 unayaamini?
Далее
The Kids Who Hacked The CIA
23:05
Просмотров 7 млн