Тёмный
No video :(

KWELI TAJIRI, CHIEF godlove Amwaga MAMILIONI kwa wakina mama/Hii sio kawaida 

Rick Media
Подписаться 872 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe RU-vid channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@Nevaboy-bz7qb
@Nevaboy-bz7qb Месяц назад
Ama kweli mungu atu saidie kweli maisha yakiwa magumu lazima tuwe watumwa tumwombe mungu tu atu saitie
@LemiaLuvanda
@LemiaLuvanda Месяц назад
Wapenda vya bure wengi
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l Месяц назад
Hii yote ni ugumu wa maisha mwenyezi mungu atusaidiye sana mchele unanebo yake lakini watu haujui umenenewa nini mwenyezi mungu atuhurumiye unaweza wale wanaogawa huo mchele hawapeleki majumbani kwao kwasababu wanajuwa hiyo siri ya mchele huo
@Daffa_ogy
@Daffa_ogy День назад
Sjapenda huwo mchele kwann unapicha yake sasa 🥺
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie Месяц назад
Daa shenz sana
@kalebomawande6057
@kalebomawande6057 Месяц назад
Anaonekana mzuri lakini katika ulimwengu wa roho ni muuaji mkubwa sana na mtumishi mzuri sana wa shetani 😈 kama huamini angalia mikononi mwake vidole na pia arama za madhabahu yake matambala hayo angalia vizuri usisahau kusoma Mathayo 24:1-15
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib Месяц назад
HII NCHI MTIHANI KWELI KILA MTU KAMA RAISI😅
@nasrimchopa678
@nasrimchopa678 Месяц назад
Njaa mbaya sana
@valentinavenance4258
@valentinavenance4258 15 дней назад
Ufalme duniani,
@akutiboysolomon9418
@akutiboysolomon9418 26 дней назад
Tuige mfano wa huyu kijana kusaidia jamii AMEEN
@akidaally2835
@akidaally2835 Месяц назад
Hongera sana Godlove. Haijalishi unapataje hela zako, lakini umekuwa ukisaidia sana jamiii. Mungu akubariki sana kaka.
@HamimuRashidy
@HamimuRashidy Месяц назад
Tumia hakili kaka utafel
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 8 дней назад
Wanawake,mmmmh🤔
@JaneyChigga
@JaneyChigga Месяц назад
Hakika watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
@MobileDawat
@MobileDawat 27 дней назад
Naona nawaisilamu wallahi,njaa mbaya kiukweli
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 8 дней назад
😂😂😂
@AnnyEtuna
@AnnyEtuna Месяц назад
Kweli tumuombe mungu kwa mambo yakishetani kama haya
@NebatiMgute
@NebatiMgute Месяц назад
Umasikini mbaya sana ndugu zangu ivi mtu anauza haki yake kisa pesa tu mmmh😭😭😭
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Месяц назад
godlove hongera kwa hili
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n Месяц назад
Ndoukanyage nguo za mama zako 😂😂😂😂😂😂
@elidiusiEdwini-yc9ju
@elidiusiEdwini-yc9ju Месяц назад
Mungu akubalki saana kiongozi
@MobileDawat
@MobileDawat 27 дней назад
Innalillah wa inna ilaihi rajiunna!!!
@GraceOtieno-vo3sj
@GraceOtieno-vo3sj Месяц назад
My eyes are just looking on Upendo mkone our mother take care please 🙏 don't be pleased with the earthly things
@user-hq8wn9tz2l
@user-hq8wn9tz2l 18 дней назад
Aiseeee njaaa iziiiii
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 Месяц назад
Hii ni ishara tosha kuonesha nchi yetu Ina watu wanaohitaji Nini?
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Месяц назад
Kweri tz maisha magumu wamama Hawa wamempgia gonti mtto wao kabsaaa kisha chakula na pesa aisee tz ndio mchi peke ya kusujudia watu mnaungua na jua aisee?
@ManotBahati
@ManotBahati Месяц назад
Yaliyo tabiriwa na Bwana yesu kristo yanatimia Haaaah 😢😢
@ShabaniMweta
@ShabaniMweta Месяц назад
Sio kumpgia magot mtoto mdogo kua na akil wew kitu alichokfanya chief n kikubwa na kinahtajka kupewa respect kiaz wewe
@malimusi-uf4ib
@malimusi-uf4ib Месяц назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 nimecheka Mpaka pesa inaisha
@Amani-d2l
@Amani-d2l Месяц назад
Apo ana Atafuta kutoa mtu kaf Ara apeleke Kue Ni makn
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni Месяц назад
Hamna Yesu hapooo
@user-lk3tp5cj3q
@user-lk3tp5cj3q Месяц назад
Hivi kama ni mtumishi Wa Mungu kwanin alindwe Mh kweli kusoma hatujui hata picha hatuon
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Месяц назад
Na mwijaku anataka mcheleee mbona mwijaku sijamuona
@vicentjosephat6501
@vicentjosephat6501 Месяц назад
Pamoja na kuwa ni msaada jamani mtakula siku ngapi kama si kujizalilisha.
@user-yd4et4sd9b
@user-yd4et4sd9b Месяц назад
Hizi njaa hizi, zitawakosesha wengi mbingu.
@chidikhalifa
@chidikhalifa Месяц назад
Kweli
@ManotBahati
@ManotBahati Месяц назад
Yaliyo tabiriwa na Bwana yesu kristo yanatimia Haaaah 😢
@OnesmusMuendo-v3v
@OnesmusMuendo-v3v 13 дней назад
Shetani
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n Месяц назад
Nothing is free
@user-sp2fq5xu6v
@user-sp2fq5xu6v 29 дней назад
Hii ina wezekana jamen,huyu jamaa sio shetani ni kwamba ana saidia tu watu,huku kenya kuna mmoja anaitwa peremji kila week ana gawa chakula kwa jamii
@FATUMAPASKAL
@FATUMAPASKAL Месяц назад
Hizi ndo zama za mwisho hamna akili na huyo mpumbavu wenu mama wazima mmeacha kaz. Zenu tafuten hela
@michaelbachubira7197
@michaelbachubira7197 Месяц назад
Wote waliokusanyika apo akili 😂
@AfandeMunezero
@AfandeMunezero 22 дня назад
Njaa mbaya
@ClaraSudi
@ClaraSudi 22 дня назад
❤❤
@Avit_khan
@Avit_khan Месяц назад
Nilichogundua wanasiasa wanamwaga pesa kw macelebrates na kupigiwa kampeini kiaina
@ManotBahati
@ManotBahati Месяц назад
Huu ni utumwa wa shetani
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 Месяц назад
Umaskini wetu ndo unatufanya tunakula pesa za mashetani, kujitafutia laana tu basi😮😮
@SadaHasimu
@SadaHasimu Месяц назад
Kamani kamq namfananisha na yule kaka aliyokuwa anaongea tink tok kuwaasema watu akwaa kuwaeleleza maisha au nimemfananisha
@ManotBahati
@ManotBahati Месяц назад
Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
@AllyWema
@AllyWema Месяц назад
Laaaaaaana inawarafuna mpo kweny gizaa
@user-zj7lt5ig6t
@user-zj7lt5ig6t Месяц назад
Hizinisiku zamwisho
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Месяц назад
Watu wamekuwa watumwa wanarazimishwa kuitikia mama Samia hoyee watu hawamtaki hoye iyo kwinyoo,,watu wa tz hatujitambui na ni waoga,,nawapongeza sana wakenya Hawa naga ujinga huu
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Месяц назад
Hi misahada iritakiwa watoe selekari kwa wananchi kama irivyo kuwa nchi zingine kama Oman na nchi zingine lkn wao wanakula tu maisha?
@nehemiamwailongano2960
@nehemiamwailongano2960 Месяц назад
Mama wana huduma jamani 😂😂😂😂😂😂.. naona jehanamu wanaweza kuwa wengi sanaa kuliko viumbe zingine vyovyote. MUNGU awaokoe tyu wadhaifu sana kiasi kuzolewa na upepo wowote
@anthobarengeke3200
@anthobarengeke3200 Месяц назад
Freemasonry imeteka watu mateka neema ya bwana iwaone.
@doreenmacha-tp8gc
@doreenmacha-tp8gc Месяц назад
Umenipa hamsa unaupendo hatakama unatoka flmasoni ila niwatofauti
@KHAMISIDAUDI-vr9xo
@KHAMISIDAUDI-vr9xo Месяц назад
Afrika ujinga utsisha lini
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Месяц назад
Mwenye pesa hahesabu huchotatu na kuzitoa akizishikatu ajua kiasa Gani anatoa........
@festomkane948
@festomkane948 Месяц назад
mtakufa maskin hivyohivyo saiv mnaamua kusujudia had binadam wenzenu Mungu aturehem kwakeli inaskitisha
@KapenkwekasaliKasali
@KapenkwekasaliKasali Месяц назад
Kweli njaaaa hiii itatupeleka kuzimu mamaaa
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂upendo waa yesu.au.washetani😂😂😂😂😂😂
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa Месяц назад
Jamani haaaaa kweli dunia kwisha habali
@KaaleJumbe
@KaaleJumbe 29 дней назад
watakuelewa tu hp mjini content ndo abar ya mjini
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c Месяц назад
Uje na huku mbeya kwela usaidie
@thomasmwambuba680
@thomasmwambuba680 Месяц назад
Kama utani hivi🤔🤔🤔🤔🤔
@user-zj7lt5ig6t
@user-zj7lt5ig6t Месяц назад
Watuwengi shetani anwapata kwaju yapesa
@user-ky4rb2lg3h
@user-ky4rb2lg3h Месяц назад
Wanawake wengi tutaenda motoni
@user-ec4br4pd3o
@user-ec4br4pd3o Месяц назад
Aje na dodoma fursa zote Dar tu
@Awarewell4
@Awarewell4 Месяц назад
Dotto Magari na Mama Samia wapi na wapi 😂😂😂😂
@user-hj8sc7jv5m
@user-hj8sc7jv5m Месяц назад
Mimi sina laki ya kujiunga na wewe je nifanyeje
@ManotBahati
@ManotBahati Месяц назад
Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
Далее
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 150 тыс.
Почему-то хочется плакать
00:17
Просмотров 500 тыс.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 333 тыс.
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 150 тыс.