Тёмный

LAURENCE: ATAPIKA NYONGO DOSA KUPANGUSWA STESHENI KISA KUSIFIA DEBRA MAVAMBO | AZAM ANATAPATAPA TU. 

wispoti tv
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Спорт

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@abelimaganga417
@abelimaganga417 9 дней назад
Huyu laurence yupo vizur sana hongera sana kaka sema nyuma mwiko wana mawazo finyo sana
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 дней назад
Laana ya MZEE MAGOMA imeanza kuwatafuna.
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 8 дней назад
Injinia TU iamsifia eduini barua juzi tu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 дней назад
KUNYA KANYA KUKU AKINYA BATA KAHARISHA NDIO HII SASA 😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE 😂😂😂😂. MACHOGOOOOOOOOO
@fareedkhalipher3590
@fareedkhalipher3590 9 дней назад
Watu wa Yanga wengi wao mpira awaujuw ndio shida
@Sanjey-vp1fm
@Sanjey-vp1fm 9 дней назад
Injinia juzi tu kamkubali barua, nani kamnyooshea kidole? Yanga manara kawaona. Mbumbumbu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 дней назад
KWANI HAPO STESHENI NI TAWI LA UTOPOLO?? DOSA ATAKUJA NA HAKUNA MSENGE WA KUMZUWIYA NA MAHOJIANO ATAFANYA
@erasmusleonidas6729
@erasmusleonidas6729 8 дней назад
Aisee jamaa anaujua mpira sio matani Yanga fateni huu ushauri utawasaidia
@NemesMasawe
@NemesMasawe 8 дней назад
Dosa yuppoo sawaq
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 9 дней назад
Ila utopolo nchi hii mwenye akil kikwete tu wengne wote zero😂😂😂😂😂mmmmh sasa kosa liko wap hpo?
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 8 дней назад
Yanga hawataki kiambiwa ukweli.wasenge wataka ue TU chawa mbona mchome wanamsapoti kuichafua Simba
@Madina-cf6hy
@Madina-cf6hy 8 дней назад
Simba Noma debora atali sana
@issataslima9846
@issataslima9846 9 дней назад
Dosa yupo sahihi kabisaa tatizo shule wengiine inawatesa uelewa mimi shabik I wa yanga😊
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 9 дней назад
😂😂😂😂😂
@issataslima9846
@issataslima9846 9 дней назад
@@LindaMbilinyi-n3n jamani kwani unahisi Tanzania unajuwa haki zetu kuzidai wala hatujui Sasa dosa amekosea wapi haya mambo ya kuendelea kuamin wazee ndio chanzo cha kuendelea kufeli kiukweli, mitaala kibao yakielimu imefelishwa na Hawa wazee
@issataslima9846
@issataslima9846 9 дней назад
mimi nishabiki na nimwanachama wa yanga, Ila dosa yupo sahihi, mimi naona clips zake Deborah kweli anaweza kuwa mbadala wa Aucho Sasa kosa liwapi
@josephjohn2114
@josephjohn2114 9 дней назад
YANGA WALIKUA WANAMSIFIA SAIDOO LAKINI HAKUNA ALIYE CHUKULIWA HATUA
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 8 дней назад
Mavambo kahalibu ndoa za watu huko
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 9 дней назад
Mbona ninyi mliweka ndani Gb 64 na mkamfungia Dr. Mo
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 9 дней назад
Wale walikuwa wanachochea vurugu
@pezzalthebaddest1526
@pezzalthebaddest1526 8 дней назад
We nawe ni matako Gb 64 Aliwekwa ndani alimsifia mchezaji wa yanga kwanza unaelewa kinachoongelewa au umekurupuka tu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 дней назад
​@pezzalthebaddest1526 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE 😂😂😂😂😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 дней назад
MTAUWANA UTOPOLO KURUJUWANI IMESHA WAPIGA 😂😂😂😂😂😂
@omarymwazema5332
@omarymwazema5332 8 дней назад
kaka hapana gb64 aliwekwa ndani kwa kuhofia uvunjifu wa amani, alisema kua tukifungwa katika hii game viongozi hawatotoka uwanjani na ndiomana alihifadhiwa police station na aliachiwa baada ya mechi​@@pezzalthebaddest1526
@MakarotiKamugisha
@MakarotiKamugisha 2 дня назад
Uo ndo ubaya ubwela
@neemamwijage
@neemamwijage 8 дней назад
Ndo maana yanga ni wachawi hawataki mafanikio ya simba
@MohamedHaji-i4k
@MohamedHaji-i4k 8 дней назад
Mashabiki wa simba wengi wana akili sana
@jemsmoleli8279
@jemsmoleli8279 9 дней назад
Uyo anae tukana timu ajibishwe
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 дней назад
JIFUNZE KUANDIKA
Далее
Suivez le débat DDR
51:47
Просмотров 709
RESPECT VIDEO'S 🙏 🤲
0:29
Просмотров 994 тыс.
Short Kings On Top?!?
0:10
Просмотров 6 млн