Тёмный

LAVALAVA AJUTA KUWA NA MPENZI MZUNGU - "MIMI SIO KIBENTENI, NIMEMPIGA STOP" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 месяца назад
Kwer kunamda inabidi mtu akuachie muda ili ufanye mambo yako msigandane saaaana
@African-x1o
@African-x1o 3 месяца назад
Nimependa. Sana uchangamufuwake. Tunamukubalisana. Maputo 🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥🔥
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 3 месяца назад
Kiufupi wasafi hatoki
@newtonmalema8440
@newtonmalema8440 3 месяца назад
Despasito, Hao wasani wanajua kuongea kiingereza vixuri sana 😂
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 3 месяца назад
Dada vipi ww,wakati diamond wakati anatoa my number one ,,mbona alikua ajui English,,why mboso
@suleiphwaupendo1030
@suleiphwaupendo1030 3 месяца назад
Kazi kufeki maisha TU sie uyo mzungu huku zanzibar tunamjuwa na mka jamaa anaitwa Stephan anafany kaz nae ni Dem wake
@ShukruMakoko
@ShukruMakoko 3 месяца назад
Sema basata naowanazingua wao ni wcb tu hukumtaani singeri zinahalibu maadiri maana nomatusitu namakerele tu yanihazierimishi zinahalibu kizazi tuna taka video yakibango yani nyepe nyepesi hawaijui watuache kidogo bana
@saummohamedm435
@saummohamedm435 3 месяца назад
Kwan watangazaji wa wbc hakuna nyimbo nyingine zilizo fanya vzr zaid ya komasava 😂 watangazaji kila kitu diamond
@dullymsafi3149
@dullymsafi3149 2 месяца назад
Mkn sana wanangu wa Refresh
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 3 месяца назад
Mchaagaaa
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 3 месяца назад
Muongo www umeachwa
@suleiphwaupendo1030
@suleiphwaupendo1030 3 месяца назад
Dah lava lava muongo yule mzungu hujamstopisha yule kahamishwa kikaz na kampuni Yao jangle trauble kapekwa vetnum
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 3 месяца назад
😅😅😅😅mzungu kama mzungu hawachezewi😅😅😅 wazungu
@jackstar508
@jackstar508 3 месяца назад
Mchagaaaa
@AlbaSnepa-lr4bp
@AlbaSnepa-lr4bp 3 месяца назад
Siyo kesi
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 3 месяца назад
True wazungu wanataka kunyenyekewa
@RamadhanSaid-d1s
@RamadhanSaid-d1s 3 месяца назад
Umekaguw wote ukapata jibu jomba..
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 3 месяца назад
Wasafiiii chama lang
@African-x1o
@African-x1o 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉✊
@OmarKonde-rj5wx
@OmarKonde-rj5wx 3 месяца назад
Vp na nyny mkitok wcb mtakuaj
@jebace
@jebace 3 месяца назад
Hao wazungu wamekimbia vita ukreine wapo wengi tu wametapakaa kila kona duniani, wale sio matajiri mnavyosema, pesa ikikata anaondoka huo ni ukweli,huyo dogo kachunwa mpk kapauka, mzungu Kasepa.
@AlbaSnepa-lr4bp
@AlbaSnepa-lr4bp 3 месяца назад
✊💥
@HappyBurrito-bm5me
@HappyBurrito-bm5me 3 месяца назад
Baba yake alikuwa mlevi nini kila siku pombe tu Hana nyimbo nyengine
@hutheinplat5881
@hutheinplat5881 3 месяца назад
Hata mimi nilikuwa na demu mzungu alinishinda aisee
Далее