Hizi nyimbo zingekuwa zinaimbwa kumsifu mungu wasukuma wengi wangeokoka sasa unasifu dawa za shetani tu hii ni hatari mno yesu anarudi jamani maana hizo dawa ukizikosea masharti tu unakuwa masikini milele lakinin ukimuamini yesu akunaga kurudi nyuma mizimu haina nguvu msiiamini itawapeleka jehanam
Pumbaaavuu zakoo! Mila na desturi kwanza! Usitake kila mtu aimbe kwaya wewee! Nyie ndio mnaopenda kudharau tunu zenu na tamaduni zenu! Kwani kunadhambi gani hapo jamaa kafanya ameimba vizuri wala hajatukana.... badala usifie vitu vya nyumbani wew unapotosha nyanoko gete
wewe ni fala kabisa,haujui lolote kuhusu dini,unafata kila kitu kilicholetwa na wazungu hadi unadharau vya kwenu,Akili za kuambiwa changanya na zako mjinga wewe