Тёмный

[23.07.2024] - YEYE ASHINDAYE NITAMPA JIWE JEUPE LA USHINDI 

NGOME YA YESU KRISTO
Подписаться 135 тыс.
Просмотров 2,4 тыс.
50% 1

23.07. 2024
Tufatilie mubashara -Ibadani leo ndani ya Madhabahu YESU Kristo MUNGU Mkuu kutoka katika madhabahu ya YESU KRISTO Aliye Nuru Halisi chini ya mpakwa Mafuta Kuhani wa zamu Mwalimu Musa Richard Mwacha;
Tufuatilie Live JEHOVA JIRE TV kwenye King'amuzi cha Azam Channel 006 Upande wa Other Channels na kwenye Startimes Antenna 445 pia RU-vid channel.
#livestream #matendomakuu #mezayamakuhani #kuhanimusa #matendomakuu gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #scripture #amen #believe #biblestudy #praise

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@fatumaachombo1777
@fatumaachombo1777 2 месяца назад
Najiungamanisha Mimi na watoto wangu ktk jiwe jjeupe mungu ukawatendee watoto wangu ktk maisha Yao wakawe vichwa na wasiwe mkia Amina
@HamidaFrancis-f6c
@HamidaFrancis-f6c 2 месяца назад
Kupitia sadaka hii napasua vyote kwa jina la yesu
@FestusMutinda-lb5cv
@FestusMutinda-lb5cv 2 месяца назад
Ameeena, watesi wa maisha yetu leo wapigwe
@hildafrisch9370
@hildafrisch9370 2 месяца назад
Familia yangu na mie tunajiungamanisha na ibada hii ya leo na maombi haya ya nguvu. Tunashuku na ahsante sana.
@hildafrisch9370
@hildafrisch9370 2 месяца назад
Tunapokea jiwe baba mie na familia yangu!
@HamidaFrancis-f6c
@HamidaFrancis-f6c 2 месяца назад
Ee bwana Yesu vifungo vyote vya kwa babu baba mama wakwe na mizimu tote vivyonikandamiza navikata kwa jina la Yesu.Yesu nisaidie
Далее
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,4 млн
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43
Sisi wafupi
8:25
Просмотров 2,9 тыс.
KUHANI MUSA AKIMKARIBISHA BELLA KOMBO
32:07
Просмотров 2 тыс.