Тёмный

LIVE: MAKONDA AREJEA AIBUKA NA MAPYA AIRPORT 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 279 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,2 тыс.   
@devisfrank6637
@devisfrank6637 2 месяца назад
wow God is GOOD kama umefurahi kumwona kiongozi wetu gonga like hapa kwa umoja
@NeemapauloLohay
@NeemapauloLohay 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@jacklinejoel2185
@jacklinejoel2185 2 месяца назад
Wanaomkubali MAKONDA mnipe like za kutosha hapa
@AyubuMwambola-j3k
@AyubuMwambola-j3k 2 месяца назад
Mimi simkubali
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq 2 месяца назад
❤Nakupenda sana Mweheshimiwa Poul Makonda chapa kazi tu
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 2 месяца назад
Ambayo hayapendi haki hayawezi kumkubali.
@susanakingu6440
@susanakingu6440 2 месяца назад
Namkubali kwa sana
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 месяца назад
Nyuma ya camera ilikuaje MAGUFULI amkanyagie kigamboni ndoo swali eb jib na ndoo kusema,alipo rudishw na Bi mkubw SAMIA alitakiw ajihadhar unapodai ye n saw na magu ikiwa MAGUFULI MWENYEWE alimkanyagia kigamboni au hujaenda shule nn w Tanganyika Tatizo shule mtaelewa tu
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 2 месяца назад
Chumaaa nimekionaaa Al hamdulillah Moyo wangu Umefirahii❤❤❤ Tunakupenda sana Kipenzi cha WATANZANIA
@ahz6907
@ahz6907 2 месяца назад
Kipenzi chako wewe na huyo bwanako 😂
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 2 месяца назад
@@ahz6907 Loh Sasa Umetumwa kucomments hapa..
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 2 месяца назад
Tukikua naye dubai tunainjoi sema alikataaa tusipige naye picha
@MosesShileka
@MosesShileka 2 месяца назад
​😊lpmo
@MosesShileka
@MosesShileka 2 месяца назад
​o Mo o onmojo oh
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 2 месяца назад
"Braza huwa Hatufanyi kwasababu duniani wanafanya ila tunafanya kwasababu tumeliona ni jambo jema" Prof Paul Makonda❤
@asifiwempagama27
@asifiwempagama27 2 месяца назад
Hii imeenda
@eng.peteradam395
@eng.peteradam395 2 месяца назад
Hii ni hekima ya kipekee
@issahmawee7096
@issahmawee7096 2 месяца назад
Inawezekana duniani kwenyewe wanataka kuiga
@majaliwafred1102
@majaliwafred1102 2 месяца назад
Yaaan huyu Jamaa hta kama humtak utamtaka tuu..hii nimeipenda asee
@nabiichrisstv
@nabiichrisstv 2 месяца назад
yani anaongeatu kilaisi tunafanya kwajiri ya duniani pumbavu sana na akajibidiwa kibishi inatakiwa wao waige kutoka kwetu❤😂
@castoagust7073
@castoagust7073 2 месяца назад
My favorite leader 🙏🙏 thanks for coming back.
@uzalendocontentschannel3277
@uzalendocontentschannel3277 2 месяца назад
😢😢😢😢😢 Aha umejua kuturusha roho Mh. Makonda.. anyway tumefurahi kukuona na wewe umepata fursa ya kujua unapendwa kiasi gani
@thronemoneyfx9730
@thronemoneyfx9730 2 месяца назад
Kama umefurahi kumuona huyu jombi like hapa na reply with kop❤
@maengomkopi
@maengomkopi 2 месяца назад
Saaaana 😂❤❤
@wamtekowamteko8028
@wamtekowamteko8028 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@catherinemhule6519
@catherinemhule6519 2 месяца назад
Bravoooo
@SifaeliJoshua
@SifaeliJoshua 2 месяца назад
Nimefurahi sana
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 2 месяца назад
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
Kama utampigia kura makonda akigombea urais basi gonga like hapa!😊😊😊😊😊!
@WaitiCharles
@WaitiCharles 2 месяца назад
🫵😁
@AnnaMsigwa-oi8do
@AnnaMsigwa-oi8do 2 месяца назад
Mimi naomba wanipe karatasi hata mia kwajili yake napiga kura zote,rais wetu mtarajiwa roho yangu imetulia mweee
@kaisimwantindili397
@kaisimwantindili397 2 месяца назад
Mwamba namukubali.
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
@@AnnaMsigwa-oi8do a!
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
@@kaisimwantindili397 haswa?
@HappinessSolomon-t5z
@HappinessSolomon-t5z 2 месяца назад
Huyu ndiye magufuli awamu hii mungu amsimamie makonda rais wetu🔥
@jacklinejoel2185
@jacklinejoel2185 2 месяца назад
Kama umefurahi kumuona MAKONDA weka like na kuweka makopa makopa hapa ❤❤❤❤❤❤❤
@SolomonNyandindi
@SolomonNyandindi 2 месяца назад
Nawakubali mazeee
@hadiaissah9912
@hadiaissah9912 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 2 месяца назад
❤❤❤
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 2 месяца назад
Mwamba
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 2 месяца назад
Makondaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
Kama unaamini makonda ni Magufuli mdogo gonga like hapa!😊😊
@bupeisaya9063
@bupeisaya9063 2 месяца назад
Reply hazitakiwi?
@godfreymagoso5334
@godfreymagoso5334 2 месяца назад
​@@bupeisaya9063 hawa machawa wanahisi nchi ni darasa la vichaa,,,,, Magufuli uifananishe na hii taka taka so sad 😭😭😭
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 2 месяца назад
Mafisadi hayawezi kulaiki
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
@@bupeisaya9063 zinatakiwa kwa sana Reply mwanzo mwidho mwanangu!
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
@@godfreymagoso5334umesemaje mkuu? At makonda ni takataka?
@nasiwasumari3830
@nasiwasumari3830 2 месяца назад
Safi sana Makonda! Kwa miaka mingi nimekua najiuliza kwanini Wakristo hatuwekewi maeneo ya kusali! Hekima yako na hofu ya MUNGU imedhihirika! Ubarikiwe sana!
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 месяца назад
NI KWELI KABISA HASA WAKRISTO TUWEKEWE SEHEMU ZA KUZUNGUMZA NA MUNGU WETU. BILA KUJALI DHEHEBU LAKO INGIA OMBA KISHA SAFIRI SALAMA. Aksante kwa hilo Neno.
@EsnathJohnMasulube
@EsnathJohnMasulube 2 месяца назад
@@nasiwasumari3830 kwakweli Mungu ambariki sana huyu baba mana walikuwa wanapendelea waislamu tu kana kwamba wengine hatutaki kumuomba Mungu wetu
@chalesimtundu7633
@chalesimtundu7633 2 месяца назад
Magufuli aliweka sitenndi zote za mabasi
@mailacamillius
@mailacamillius 2 месяца назад
​ Wakristo huwa hamna haja na mambo hayo. Huo ndiyo ukweli
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 2 месяца назад
@@dicksonkilupa2258 wakristo msijidai ushindani usio na tija . Nyinyi hamsali mara 5 kwa siku . Huyo makonda ni mdini tu. Chumba cha kusalia cha nini kwenu nyinyi?
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
Kama unaamini makonda ni rais ajaye gonga like hapa!
@maskaatimaskaati151
@maskaatimaskaati151 2 месяца назад
Rais gani kwanza atowe mikono mfukoni ana madarau
@maskaatimaskaati151
@maskaatimaskaati151 2 месяца назад
You to respect your people kwanza
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
ni safi ila style alorudi nayo sijaifuraia. Anakosoa kila kitu. hawa watu ni maEngineer. He needs to just listen at them then add his contribution, suggestion then advise with humility. The guy leading this crew knows what hez doing, but criticing everything looks demeaning
@JudithAdonis
@JudithAdonis 2 месяца назад
​​@@jedidahbintidaudi8241 Nafasi
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
@@JudithAdonis lakini jmni ndo lazima kukosoa kila kitu walichofanya hawa waandisi Judith wetu? haya
@koshumangoma3696
@koshumangoma3696 2 месяца назад
Duh! Ahsante Mungu. Makonda karibu uendelee kututatulia KERO ni nyingi
@lyangadotcom1687
@lyangadotcom1687 2 месяца назад
Mh Makonda hauna hadhi ya kuwa mkuu wa mkoa tu, wewe anzia kuwa Waziri na hata Waziri mkuu. You have great business vision for Tanzania
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 месяца назад
Majaliwa atamroga
@EsnathJohnMasulube
@EsnathJohnMasulube 2 месяца назад
Sio waziri uyo ni Rais kbx
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 2 месяца назад
😅😅😅😅​@@fatmamsiliwa8485
@eliamatinya2791
@eliamatinya2791 2 месяца назад
Kama unaniunga mkono Kumsindikiza makonda Kuchukua fomu ya Kugombea Urias baada ya kipindi cha mama gonga like zako na Tia Musuliii💪
@melkizedck
@melkizedck 2 месяца назад
Namkubali, na nitampa kura yangu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 месяца назад
Abarikiwe Makonda wetu🎉❤
@harunamtiko117
@harunamtiko117 2 месяца назад
Watampoteza mana hawapendi wapenda haki
@HamisUrembo
@HamisUrembo 2 месяца назад
Ili awe mkuu wa nchi nini kifanyike
@jakalwambemanyalla6287
@jakalwambemanyalla6287 2 месяца назад
Sio kabla ya Mama Mwakani
@Noel-simion
@Noel-simion 2 месяца назад
My next PRESIDENT..Watanzania wamekukubali, malaika wamekukubali, MUNGU akuongoze, kuiongoza Tanzania. wewe ni mrithi wa JPM (malaika wamlinde aliko). Watanzania wanaoamini hili , niwaone hapa kwa like..
@FaridaSeif-yk3th
@FaridaSeif-yk3th 2 месяца назад
Jamani niseme ukweli mimi ninaishi Zanzibar lakn sjui kuna Spirit gani baina yangu na kaka makonda alivyotoweka niliumia sana na saivi karudi ety roho yangu imefurahi mno..yni ningekuwa na Ela ningepika adi pilau nikasherekea..makonda wewe ndo rais wetu ujae mungu akulinde na kila baya insha'Allah.
@njuka3515
@njuka3515 2 месяца назад
Hakuna sprit yoyote umeona roho na matunda yake
@overplantv21
@overplantv21 2 месяца назад
njoo nikupe Hela upike af nije tule wote Kwa kufurahia ujio wake
@samwelimwalindu3735
@samwelimwalindu3735 2 месяца назад
Sio wewe peke yako hata Mimi nawatu wengine pia nipo tunduma
@EzzyEddy-nv6ti
@EzzyEddy-nv6ti 2 месяца назад
​@@samwelimwalindu3735nipo tunduma pia namkubali Sana makonda
@MagrethCharles-ne2ts
@MagrethCharles-ne2ts 2 месяца назад
Wekaa namba nikurushiee hela ya mchele na nyama tuikamilishee hii furaha ya kumwonaa rais wetu mtarajiwaa, binafsi mimi siku zote nlikuwaa kama mgonjwaa ila nilisalii saana, yesu ametendaa,nalalaa kwa furahaa sana leo, viva Makonda ❤🎉!
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
Kama unaamini makonda ni upcoming president of Tanzania 🇹🇿 na hawezi kufa hadi ndoto yake itimie gonga like hapa!
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 месяца назад
President
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
@@gosbertmuta5421 oohh! Thank you! Typed error!
@sulehyanajma3399
@sulehyanajma3399 2 месяца назад
Baba yangu wa kiroho alichokitabili lazima kitimie
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 2 месяца назад
Acheni kuongea hivyo mnamwongezea maadui wasio lazima. Mungu amsaidie
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 2 месяца назад
​@@rexgodwill7353 wewe maadui kila sehemu
@denismasele4130
@denismasele4130 2 месяца назад
Nimependa hilo wazo la sehem za kuabudu wakristo na waislamu🙏🙏🙏🙏
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 месяца назад
Ahsante Mungu kwa kuwa wewe unaujuwa ukweli,wapiganie wenye nia njema na Taifa letu,asante kwa ajiri ya Makonda kuwa hai,mungu lilinde taifa letu na viongozi wema, inshallah iwe kheri aaamina
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
Kama unaamini makonda ni komando wa wanyonge gonga like hapa!
@danielreuben9332
@danielreuben9332 2 месяца назад
Great leader! Thanks for coming our hearts now are free!
@jumamwita9965
@jumamwita9965 2 месяца назад
Oyooooo mwamba huyu hapa mwenyezi mungu tunakuomba utulindie zawadi hii uliyo tupatia watanzania ispoteee kama alivyopotea jpm mpaka tunatamani angekuwepo tungekukuwa tupo kwenye nchi yahadi🙏🙏
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
Kama unaamin makonda yupo hai hajafa gonga like hapa!
@BakakarIMaulid
@BakakarIMaulid 2 месяца назад
Sasa mtu anaonekana hapo alafu kwanini atokee mtu aseme ayupo hai 😅😅😅
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 2 месяца назад
Kwani ulitangaziwa amekufa au 😏
@sarahmaro215
@sarahmaro215 2 месяца назад
WAOOO
@ElimashoyaMmasi
@ElimashoyaMmasi 2 месяца назад
Yap atakufaje ajamaliza kazi Mungu aliyompa wabaya wake watasubiri sana
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 2 месяца назад
Jamani mbwa wewe unajua kunivunja mbavu😅😅😅😅😅
@annammary5593
@annammary5593 2 месяца назад
Baba.. baba huyoooooo! Mungu akulinde na mabaya yote. Natamani kila mmoja atumie dakika moja kumuombea huyu baba.
@Elizabethlizy-w1v
@Elizabethlizy-w1v 2 месяца назад
Mungu nashukuru nimefurahi kumuona rais wangu 227❤❤ ilove makonda
@AjrasMobile-q8j
@AjrasMobile-q8j 2 месяца назад
Alhamdulilah karibu tena kazini baba rais wetu mtarajiwa
@mussajohn2908
@mussajohn2908 2 месяца назад
Tunampenda sana rais mtalajiwa mungu akujalie maisha marefu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 2 месяца назад
Mtarajiwa siyo mtalajiwa
@NuruSalum-k1c
@NuruSalum-k1c 2 месяца назад
Tatizo lake dogo Sana au kubwa udikteta hapendi kukosolewa huwezi kuwa Rais huyu atatusumbua labda abadilike kidgo
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 месяца назад
​@@NuruSalum-k1cusipomchagua tutamchagua ye atangaze nia tu kwa tanzania bila mtu kma makonda mambo hayaendi
@VedastoRushalizi
@VedastoRushalizi 2 месяца назад
Shangaz amegomea fom nimgombea pekee
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 2 месяца назад
Makonda alifeli shule kaiba jina la mtu kafauli siasa! Chezea bashite weee😂😂😂
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
Kama unaamini waliompa sumu makonda watakufa wao wenyewe gonga like hapa!
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 месяца назад
Kwani alipewa sumu ??
@LucyMallya-i4p
@LucyMallya-i4p 2 месяца назад
Tena watakufa vibaya!! Maombi tuliyoomba lazima yajibu.​@@muzafarsharif9465
@samasob8233
@samasob8233 2 месяца назад
@@muzafarsharif9465 hajapewa sumu wala nini,,,,,,samica ameanza kuwaandaa kisaikolojia tu muone ni kweli muangukie kwenye mambo yao ya hovyo
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 месяца назад
Wanaomwonea wivu washindweeee
@magdalenalaban8895
@magdalenalaban8895 2 месяца назад
Utakula vya kufisha lakini havitakudhuru Kwa Jina la Yesu Kirsto Alie hai
@PendoPetro-jl1zx
@PendoPetro-jl1zx 2 месяца назад
Dah Yani nimefurahi Hadi sio poa kumsikia makonda mungu nimwema
@PeninaMatemba
@PeninaMatemba 2 месяца назад
Asante MUNGU nimemuona mtumishi aliye kwa ajili yetu.Welcome back Makonda hutakufa utaishi.❤❤❤
@lyangadotcom1687
@lyangadotcom1687 2 месяца назад
Hatua kubwa sana hii, hapo kwenye sehemu za ibada kwa dini zote nahisi utakua umekidhi kiu ya wengi katika maeneo ya kazi. Ubarikiwe sana
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 2 месяца назад
Leo Roho yangu Imetulia sasa Kumuona Mkuu...Mungu Akulinde Sana...Ushauli Wangu Mkuu.Uwe Unapotea hivi hivi kwa Muda flani ...Unatokea tena...Wasikusome kabisa.Watendaji Wenyewe watakuwa Awajui Utatokea lini..Watachapa kazi bila kusimamiwa.
@febroniaKitondo-x1d
@febroniaKitondo-x1d 2 месяца назад
Mitandao ya kijamii ni nzuri ukiitumia KwA manufaa zaid, na sio kuvumisha taarifa zisizo nauhalisia, nilichukia saana facebook baada ya kuzusha makamu philipo mpango ametutoka na picha zikaambatanishwa,, niliumia lakin nikamuona yupo,kuanzia hapo nikaapa siwezi kutumia facebook tena, sina cha kujifunza zaid. So makonda go go go we love ❤
@ScolaKilaga-v4q
@ScolaKilaga-v4q 2 месяца назад
Mungu akulinde na kukupigania
@IfrahimEmmanuel
@IfrahimEmmanuel 2 месяца назад
Mungu ni mwema Sana,Mimi nilipokukosa Jembe letu nlikosa amani na na Kwa kuwa Makonda kaonekana basi Kwa mwananchi yeyote aliekaribu na mm namkaribisa siku ya jumapili anitafute tusherehekee uwepo wa Makonda,Make tumesikia mengi ya kutukatisa Tamaa lakini kweli Mungu kajibu maombi ya wa TZ,Chapa KAZI jembe
@annajohn3377
@annajohn3377 2 месяца назад
Mi mwenyew nilishakataa tamaa nahii nchi man habar nilizozisikia ni nzito kuhusu huyu kijan
@IbuGang
@IbuGang 2 месяца назад
Mwanangu Makonda nakupenda kwa utendaji wako wakazi Mungu akubariki nyota yako ikang'aa ikawe juu.
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 2 месяца назад
Kweli sio hiyo hofu niliokuw nayo basi mungu ni mkuu kuliko vitu vyote duniani❤❤🤜🤛big up bro
@Dorka12-n7b
@Dorka12-n7b 2 месяца назад
Amen 🙏 glory be to God sasa roho zetu zimetulia kipenzi cha wengi utaishi kwa neema ya mungu mpaka uone kizazi cha nne elishadai muweza yote ametenda
@RamadhaniShadaGeorges
@RamadhaniShadaGeorges 2 месяца назад
Mungu nimukibwa sana sisi kwetu congo drc tuna kila aina ya mali ila atuna viongozi . Tungali pata mtu sawa Makonda congo yetu ingalikuwa kama ulaya . Je suis fière avec mon chefu makonda
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 2 месяца назад
Wawoooo mungu azidkukulinda
@hanifa9153
@hanifa9153 2 месяца назад
Mmh congo yenu waizi adi watu wa kawaida sio viongozi tu tamaa kwanza hakna uaminifu kabisa baadhi yenu mnaeza toa ata uhai wa mtu kisa pesa ushirikina nao sasa... uwiii ctaki ata kuckia jina congo🥺😰kazi mnayo wa congo tulieni tu hko kwenu
@EzzyEddy-nv6ti
@EzzyEddy-nv6ti 2 месяца назад
​@@hanifa9153ulienda lini ??
@hanifa9153
@hanifa9153 2 месяца назад
@@EzzyEddy-nv6ti kwa kweli wanakon watu sana hawana Utu
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 месяца назад
Mungu awakumbuke congo mmpate Makonda
@FadhiliMagana
@FadhiliMagana 2 месяца назад
Ushauri wangu kwa watanzania, mwacheni makonda Kwanza ajipike kiukweli amunge mkono Samia badae sasa agombee urais uyu n magufuli part 2 God bless honerable makonda (fadhili from Kenya)
@David-if6nk
@David-if6nk 2 месяца назад
Mbona ana uwezo mkubwa sana kuliko huyu tuliyenae Kwa sasa, anajipika Kwa kipi sasa
@ramsodaffisoni3684
@ramsodaffisoni3684 2 месяца назад
Kwa kweli leo nimefurahi sana kumuona tena makonda mtumishi wa wanyonge karibu tena kaka endeleza mapambano na mungu akulinde siku zote za maisha yako
@shabannayopa5406
@shabannayopa5406 2 месяца назад
Am very happy to see u
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 2 месяца назад
Namkubali san Sana makonda.ila sijawahi kumuona kavaa hivi . NATAKA nseme kitu Ila naogopa .Ila Kama NI yeye kweli Mungu ampe maisha marefu mno yenye Amani.
@prettynayally2177
@prettynayally2177 2 месяца назад
😂😂😂kam hujawahi muona kavaa hiv Basi ww humfatilii
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 2 месяца назад
Furaha ya wengi ni kufahamu yu salama na ameonekana. Siri ya kutoonekana kwa muda anaifahamu yeye hilo tumwachie mwenyewe ila muonekano wake umebadirika si kama alivyokuwa kabla.
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 2 месяца назад
​@@prettynayally2177🤣🤣🤣ni kweli hujakosea. Issue NI tupo busy Sana...Ila tukibahatika kukutana na Kaz zake tunapopata muda.tunamkubali Sana.....
@fatumadhahabu4720
@fatumadhahabu4720 2 месяца назад
Tunamshukuru sana mungu kwa kukurudisha tena machoni mwa watu wanaokupenda na kukukubali ktk utendaji wako wa kazi. ❤
@davidmickidad6842
@davidmickidad6842 2 месяца назад
Aminaaaaaa kubwaaaa....tunakupenda na tunakupenda na tunakuombea Mh. MAKONDA ...
@ElizaMwandu
@ElizaMwandu 2 месяца назад
Mungu wa mbinguni ninakushukuru kwa kumlimda mtumishi wako Makonda umemkinga na hatari zote za roho na za mwili.Nimefurahi sana kumuona makonda akiwa hai🙏🙏
@shadyaomary
@shadyaomary 2 месяца назад
Thnks you Lord for this leader Paul makonda God bless you
@saumsaid1966
@saumsaid1966 2 месяца назад
Mungu aendelee kukulinda mkuu. Kazi iendeleee, happy to see u makonda
@JonesBrighton
@JonesBrighton 2 месяца назад
God bless Makonda
@ProsistaTarimo-hr7ys
@ProsistaTarimo-hr7ys 2 месяца назад
Milad Ayo Yuko vizuri . Answmaga ukweli Hana papara kama hawa wengine . Hongera sana milard uko vizuri.
@Davivancee
@Davivancee 2 месяца назад
❤Mungu mkubwa hakika hofu xaxa zimekwisha Rais wetu yupo hai
@tielyelibariki8958
@tielyelibariki8958 2 месяца назад
Tunao muomba mama ampe Makonda Uwazi wa fedha gonga like hapa.
@febroniaKitondo-x1d
@febroniaKitondo-x1d 2 месяца назад
Kiongozi shupavu, like majaliwa like makonda, uongoz ni kujiamin na ushupavu na uthubutu
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 месяца назад
Ofyee roho zimetutuwa kwa kwadhati kabisa tumeshusha pumzi ,kujua upo Tena ,Mungu akupe nguvu na Afyanjema naakupe zaidi busara yakuwasaidia kila anaehitaji msaadawako ,Amiin❤❤
@OnesyMbembe-e3v
@OnesyMbembe-e3v 2 месяца назад
Mh.Makonda nashukuru sana uko vizuri sana hatimae umeonekana upo vizuri sana waweke vyumba viwili vya waislam na wakristo kam a ulivyoelekeza
@moddy8744
@moddy8744 2 месяца назад
Ilove this guy He is the best leader ever
@BakariHamisi-y5m
@BakariHamisi-y5m 2 месяца назад
Makonda usirudie tenaa asee utatuuaa please tunapenda viongozi wanaojali nchi please tumechoshwa na siasa uchwaraaa wanaona Kama wanapendwa vile hawajui tuu love makonda
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 2 месяца назад
My leader on the job
@kelvindaniel7018
@kelvindaniel7018 2 месяца назад
Don't quit ,kanisa tupo twakusubir
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 2 месяца назад
😂😂😂Wooow Mashaallah, Nimefurahi kumuona MAKONDA 🇰🇪🇸🇦
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 2 месяца назад
asaaaaante YESU tumemuona bro makonda teeeeeeeeeena...nmefurah kupita kiac
@Jameskakola
@Jameskakola 2 месяца назад
Baba yetu umeludi mungu ni mwema sana
@jtheophil5499
@jtheophil5499 2 месяца назад
Nimefurai mno mno mno kumuona tena makonda..God is so good.Wewe nichuma umekuja kivinge outfit sasa waonyeshee mungu sio mwanadamu anatujua mpaka sirini.
@GwessaJrMahoyange-pk5xl
@GwessaJrMahoyange-pk5xl 2 месяца назад
mama samia .... naomba linda sana huyu mtu ...... ni muhimu kwetu raia Tz
@joycealex8652
@joycealex8652 2 месяца назад
Ndoto yangu imetimia na moyo wangu una Amani kubwa na furaha nyingi karibu sn Rais wetu Mkono wa Mungu ukae juu yako sikuzote mshike sana Mungu nae hatakuacha kamwe kila jicho la adui lisikuone Damu ya Yesu ikufunike wewe na family yako, tunakupenda sana ulipoishia anzia hapo spana ziendelee🥂🙏🥰🥰
@GeeMax-e6t
@GeeMax-e6t 2 месяца назад
Dahhh Mungu mwema Sana tumekuombea muda wote Makonda kwa machozi Asante Sana Yesu siamini
@MerryMsuya-q1h
@MerryMsuya-q1h 2 месяца назад
Daaaah nimefurahi sana kumuona Makonda Mungu nimwema sana karibu Tena baba
@Imend1
@Imend1 2 месяца назад
Makondaaaaaaa at least umeonekana mkuu. Ila mbona kama mkuu umekonda😥
@neemachriss2605
@neemachriss2605 2 месяца назад
Kweli amekonda na amekuwa mweupe haswaa
@GoldenButterfly-zu9ke
@GoldenButterfly-zu9ke 2 месяца назад
Amekonda sana nilijua nimeona mwenyw
@alexmalindo8179
@alexmalindo8179 2 месяца назад
Na mguu wa Kulia anaulazimisha hauko sawa anavyo tembea. Na hata kuongea anaongea kwa kulazimisha hayuko powa.
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya 2 месяца назад
Makonda ni Chuma ya mwanaume,Mimi nampenda kutoka moyoni.the future President.God guard him forever more.
@amosdaudi9793
@amosdaudi9793 2 месяца назад
Mashallah!! Leo kwangu ni sikukuuu kubwa sana..acha Bata wangu wa kafala nimlie ubwabwa tu.
@AnnaMsigwa-oi8do
@AnnaMsigwa-oi8do 2 месяца назад
Ndugu yangu,usitusahau wenzio,tuliumwa kwajili ya uyu mh Paul makonda rais ajae Leo amani Kwa sisi tunae muelewa,tunaempenda ,anasaidia wanyonge habadui rangi Wala kabila,mungu tunakushuku sana endelea kumlinda kiongozi wetu
@amosdaudi9793
@amosdaudi9793 2 месяца назад
@@AnnaMsigwa-oi8do ameen
@HBI-TV
@HBI-TV 2 месяца назад
Oooo Makonda nini nini huyuhapa sasa , Piga kazi Muheshimiwa
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 2 месяца назад
Mpez wangu rafik yangu mpendwa wangu snabud kusemaa Allah akutangulie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HAKISAWA
@HAKISAWA 2 месяца назад
😂😂hapa kwenye mpenzi wangu utuache kidogo tafadhali 😮
@ReychoMc
@ReychoMc 2 месяца назад
😂😂😂😂dj waleteeeee
@ErickPetro-e4k
@ErickPetro-e4k 2 месяца назад
Kaka gombea urais me na uhakika utapat full respect mungu yupo nawe tunaku penda manyara boy naku takia kazi njema
@fabianlilenga9897
@fabianlilenga9897 2 месяца назад
Du kama makonda upo hai bass ashukuriwe sana binafis mimi nakufuatrua sana kwa kupita alipo pitia baba yetu hayat magufur sa wew mungu amekuweka uwe mtatuzi wa shida za watu naomba tena urud kgm huku bado kuna matatizo ya viwanja.
@kiandikomichael9554
@kiandikomichael9554 2 месяца назад
Ashukuriwe sana Mungu kwa kumrejesha mheshimiwa Makonda pia naamini kua hutakufa kabla hujalitimiza kusudi la Mungu juu ya Tanzania hutakufa bali utaishi ili uyasimulie matendo makubwa ya Mungu Hapa duniani
@ErckMsandai
@ErckMsandai 2 месяца назад
Hayo tv pekee wanaweza hawanaga uongo kbs,tumefurahi sana❤
@njuka3515
@njuka3515 2 месяца назад
Tupaye ukweli alikuwa isije ikawa kapewa dumu ya kumaliza kidogo kidogo
@AlbanoMatata
@AlbanoMatata 2 месяца назад
Hakika Mungu ni mwema sana nimefurahi kumwona tena kaka makonda akiendelea na harakati za uchumi wa nchi yetu,.Ee, Mungu Baba wa mbinguni Naomba umtetee na umlinde kiongozi wetu Paul makonda.
@user-jn1gc7fy9z
@user-jn1gc7fy9z 2 месяца назад
Waoooooh welcom again kipenzi cha wengii❤❤❤
@MfalmeMteule
@MfalmeMteule 2 месяца назад
Wajenge Na Mahali Pa Kuabudia Wakristo. Kwenye Kila Kiwanja Tanzania.Kuomba Kabla Ya Safari Ni Muhimu!!.Sote Tunahitaji Muda Wa Kuomba Kwa Mungu!.
@MarhaMasumbigana
@MarhaMasumbigana 2 месяца назад
Asante Mungu, Kwa kutulejeshea Makonda wetu, kipenzi chetu, Aaah acha utwe Mungu , tunakuombea sanasanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 2 месяца назад
Makonda ww Mungu amekuandaa kwa tz ,,tunakuombea tu kwa Mungu...tunakupenda tz❤
@chikujuma18
@chikujuma18 2 месяца назад
❤❤❤❤makonda mola akufanyie wepes katika shughuli zako za kusaidia wanyonge
@MatidoniFasitini
@MatidoniFasitini 2 месяца назад
He hatimaye umerudi Rais wetu kazi iendelee,spana ziendelee sasa ❤❤❤❤❤❤❤
@AshaMlumbe
@AshaMlumbe 2 месяца назад
Hakikika neno hatutakufa bali tutaishi liko juu ya mamlaka yetu Mungu yu juu ya Makonda tunakuombea mkuu songa mbela
@HilaryNjama66
@HilaryNjama66 2 месяца назад
god bless you for everything
@josephsisa8139
@josephsisa8139 2 месяца назад
Hongera saana muheshimiwa mungu akupigañie
@JacksonJoram-o5k
@JacksonJoram-o5k 2 месяца назад
Am so happy happy happy after see you makonda
@HalimaMdoe-g8e
@HalimaMdoe-g8e 2 месяца назад
Nimefurahi kurudi mwenyezi amfanyie wepesi awe raisi ajae.❤❤❤❤
@upendoluva2066
@upendoluva2066 2 месяца назад
Nimefurahi Sana kumuona Paul makonda, Mungu akupe umri mref wenye amani na furaha tela.
@SamsonSimba-k4l
@SamsonSimba-k4l 2 месяца назад
Nime furahi sana kumuona Mr Makonda 👏👏👏👏👏🙏🙏
@kamogesamuel2461
@kamogesamuel2461 2 месяца назад
❤ God bless you, God is good!
@GeniusThimoc
@GeniusThimoc 2 месяца назад
Asante mungu kwa kumrudisha mwamba wa Tanzania 🇹🇿 . Bado nasubili mungu wa kiboko ya wachawi nae arudishwe kanisani kwake tunataka
@FatherKunutti
@FatherKunutti 2 месяца назад
Nashindwa kucontrol furaha yangu. "Long life Makonda!"
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Mheshimiwa Makonda Mungu akubariki na akulinde.
@JoyceSimba-n2t
@JoyceSimba-n2t 2 месяца назад
Nimefurahi sana kukuona kiongozi ,jembe, kipenzi Cha sisi watanzania, Makonda safiiiiii.
@mussajohn2908
@mussajohn2908 2 месяца назад
Hakika usiingilie kaz ya mungu na ambariki sana makonda
@nyamvuragrace2436
@nyamvuragrace2436 2 месяца назад
amen amen mungu ashukuriwe sana kwasauti ya makonda turikuwa na huzunisana mungu ni mku .mwenye wivu ajinyonge karibu sana ndugu.
@adamuandrea6658
@adamuandrea6658 2 месяца назад
Kuna watu watalia au hawataamini kama ni wewe bosss
@privaushaki7395
@privaushaki7395 2 месяца назад
Mwenyenzi Mungu amlinde na amsimamie kwa kila jambo mana watanzania twamhitaji sana tungepata wazalendo 20 tu kama hawa hili taifa lingefikia hadhi nzuri sana
Далее
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36